No video

Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali

  Рет қаралды 46,402

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akizungumza na waandishi wa habari nnje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya Bajeti Kuu ya Serikali kupitishwa rasmi leo.

Пікірлер: 414
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Жыл бұрын
Hongera Mpina Mungu akulinde watoto wa Maghu kumbe mpo. Safi sana
@magumbakazi
@magumbakazi Жыл бұрын
Nimemuelewa Mhe Mbunge. Yupo well composed and focused. Anafanya jukumu lake ipasavyo. Congratulations
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Mh.Luhaga Mpina mungu akulinde ww ni nyota ya Tanzania tuko pamoja sana na ww hongera
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Жыл бұрын
Hata yote ni madhara ya kukosa wabunge WA upinzani hongera mpina
@7675kio
@7675kio Жыл бұрын
Nilimsikiliza Waziri vizuri sana. Alitumia nguvu nyingi kupotosha alichosema Mheshimiwa Mpina. Ni vizuri Mheshimiwa umefafanua vzr.
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Жыл бұрын
Mhe Mpina siku zote ana hoja za kizalendo.
@magumbakazi
@magumbakazi Жыл бұрын
Exactly. Mhe amefafanua vyema. N nimemuelewa
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Mh.Mpina,sasa nimekuelewa, hongera kwa kuwa na msimamo huo
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 Жыл бұрын
Mpina uko vizuri wewe ni mzarendo wa kweli kwenye uwaziri utarudi tu watake wasitake,big up.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Akiwa waziri hatasema haya🙄🙄
@fcbooktest1154
@fcbooktest1154 Жыл бұрын
Hatuna wizir wa fedha
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Mh mpina mungu akupe uwepesi na utusaidie watanzania kutuwakilisha uko vizuri sana
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Akiwa waziri atayasema zaidi ya haya acha kutetea ujinga Mwigulu awe mkweli
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Waziri akiona Mh mpina anachosema ni cha kupotosha ajitokeze akanushe mh Mpina Yuko vizuri sana
@joelyngomuo7441
@joelyngomuo7441 Жыл бұрын
Huyu jamaa huyu mpina Ni shujaa jasiri muongoza njia Mungu akulinde Kaka hongera
@philjonez3324
@philjonez3324 Жыл бұрын
Daaaa mpina mzee una nondo wee ni msomi kweli kweli.. Hongera Mpina🤝🤝
@alexmliga
@alexmliga Жыл бұрын
. Hoja zako MB Zina mashiko sana, hongera sana. wananchi tuliowengi tunaona wabunge wenye maadili, basara na hekima
@Mwanasheriawakimataifa
@Mwanasheriawakimataifa Жыл бұрын
Huyu Bora Kuliko hata Magufuli. Ana Ujasiri Wa Magufuli, lakini upeo wake wa Uchumi ni MKUBWA Zaidi. Sisiti Kumpa kura ya Urais huyu Dogo. Anaheshimu Katiba na Sheria. Bora Kuliko JPM , Na Samia Combined. Very level headed, lakini Sio Muoga, na Sio Mnafki. Nimemkubali
@sitamgeta7565
@sitamgeta7565 Жыл бұрын
Unapomtaja raisi Magufuli uwe na adabu. Tafadhali sana.
@mmwaupete6265
@mmwaupete6265 Жыл бұрын
Huyu ni Kati ya watu wachache wanaomsaidia Rais na hasa kama akimsilkiliza kwa umakini. Very intelligent na mzalendo kweli kweli.
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 7 ай бұрын
huyu nae ana kashfa ya kujichukulia maelfu ya hearing sehemu mbalimbali nchini. haaminiki
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Жыл бұрын
Nakubali mhe Mpina endelea kuwatingisha..😅
@hope-cj9rh
@hope-cj9rh Жыл бұрын
Hongera sana ndgu mpina MUNGU akulinde tunakuombea sana kwa kazi nzuri unayoifanya umetimiza wajibu wako tunakuona sana msaidie MAMA yetu na raisi wetu, Mwigulu anauwa biashara, analeta unfair compitation kwenye biashara analeta siasa kwenye vitu profesional
@ysmasalu
@ysmasalu Жыл бұрын
Mhe. Mpina wewe ni shujaa kiongoza njia. Mungu akulinde.
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 Жыл бұрын
Ninapo kusikiliza ndio nakumbuka ile kauli ya Magufuli juu yako "Wanasema wewe ni Kichaa mm ndio nawapenda vichaa kama wewe" kumbe Mzee alikuwa na maana kubwa na Pana ingawa tumechelewa kulijua hilo..Hongera na pole kwa kujenga hoja zenye mashiko
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Mpina ni mtu adim sana
@makanyamhanga2497
@makanyamhanga2497 Жыл бұрын
Excellent, Hon.Mpina!
@madoshimalambo7933
@madoshimalambo7933 Жыл бұрын
Mpina nakupenda sana hongera sana nakuombea sana Kwa Mungu akulinde
@dn_cider9641
@dn_cider9641 Жыл бұрын
Hii lecture kabisa, nice 🤜🏾
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
👌👌👌
@liberatusmsasa7103
@liberatusmsasa7103 Жыл бұрын
Ki ukweli huwa nakuelewa sana kiongozi. Natamani wabunge wetu wote wangekuwa na uelewa huo tungekuwa mbali! Waziri wa fedha anatakiwa afahamu kuwa suala siyo cheti bali ni uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kusikiliza na kutafakari ushauri. Uko vzr Mpina.
@meshacknyagawa3497
@meshacknyagawa3497 Жыл бұрын
Hongera Mh Mpina uko briliant
@musasimbeye7829
@musasimbeye7829 Жыл бұрын
Ngoma nzito mpina na Mwigulu.Iache iendelee kunyesha tuone panapo vuja yetu macho.
@davidwhite7834
@davidwhite7834 Жыл бұрын
Unaeleweka sana mzee
@mako331
@mako331 Жыл бұрын
Ahasante Mpina simama imara, Tanzania inahitaji watu jasiri na sio machawa kama kina Mwigulu, kazi kumsingizia Mama yetu mpendwa
@japhetlaizer3919
@japhetlaizer3919 Жыл бұрын
MPINA ni kichwa,,,,,,,hiyo nafasi apewe yeye,,,big up sana
@joelykibona662
@joelykibona662 Жыл бұрын
Akipewa watamuhslibu abaki hivi hivi inatakiwa tuwe na mkosoaji kwenye chama cha ccm ili wawe wanajielewa akikosoa chama pinzani hawasiki
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE Жыл бұрын
Mpina Yuko sawa kwa sababu yeye ni mbunge na kazi yake ni kuisimamia serikali, na siyo kuungana na serikali, kwahiyo Yuko sahihi tukiacha siasa
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Жыл бұрын
Mbunge pekee wa ccm...naishia hapo
@saimonjumanne4334
@saimonjumanne4334 Жыл бұрын
Leo nimekuelewa sana Mheshimiwa umeongea point mtupu👌
@Mwanasheriawakimataifa
@Mwanasheriawakimataifa Жыл бұрын
Mpina Atarudi Bungeni, hata kama CCM wamauondoa kwenye kura za Maoni. Huyu ni Asset Kwa Taifa la Tanzania
@KisigeraKisigera
@KisigeraKisigera Жыл бұрын
Kaka wananchi tunakwelewa sana tuko pamoja nawewe
@BenjaminNgata-wm7ek
@BenjaminNgata-wm7ek Жыл бұрын
Ulenzangamba ngosha, tulagha shughuli nkwengwaa. Usebha akutongelee🙏🏾🙏🏾
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Жыл бұрын
Hv rais haon kua huyu mpina anaweza msaidia?jamaa smart , brilliant,dah mungu amlinde huyu mwamba
@erickeliyah0074
@erickeliyah0074 Жыл бұрын
Nakuona mbali sana kiongozi. Ukweli ni ukweli daima
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Mh uko vizuri sana tupo nawe Mpina songs mbele usiogope
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Mpina wananchi tunakukubali mungu akusimamie 🙏🙏🤝 inshallah
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 Жыл бұрын
safi sana mbunge mpina huyo mwigulu ni mpiga dili tapeli
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Жыл бұрын
Ningekua mimi ndo Rais wenu . Waziri Mwigulu na Naibu waziri Mpina nikiona,vipi Uwewaziri mkuu Mpina afu tuone picha.
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 Жыл бұрын
Oooh my God, thank you umetupa chuma kingine tena kazi kwetu kukilinda. Jasiri, very logical man. Sema nchi yetu ya kijinga huyu watawala wanamuona Kama adui wa system
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 Жыл бұрын
Njoo bas uwe mbunge wangu mh, mpina upo vizuri kuliko wabunge wote
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Mh.Mpina uko sahihi kabisa unatusemea vema MUNGU akulinde 🙏..
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 4 ай бұрын
Nakubaliana sana na MPINA ASILIMIA100. WAFANYABIASHARA WAZAWA LAZIMA WALINDWE..KUNA FAIDA GANI KULA MCHELE FEKI ,WAKATI TANZANIA TUNAJITOSHEL KEZA KWA MCHELE WETU?MCHEKELE WETU MZURI, UNAPEKEKWA WAPI
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
Mpina pekee ndo mbunge wa nchi hii akina msukuma na wengine wote ni wapiga Dili tu bungeni
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Huenda hata shuleni alikuwa mpiga kelele darasani huyo😂😂😂
@gaudencengasa5245
@gaudencengasa5245 3 ай бұрын
Yeye au wewe chagua hoja yake Moja tu alafu ujibu sio ulete matusi
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 Жыл бұрын
Mwananchi digital ni chanel kubwa sana, Wekeni watu waliocompitate
@user-fz1xs5ht7k
@user-fz1xs5ht7k Жыл бұрын
Upo vizuri sana
@godwinmwakalinga8590
@godwinmwakalinga8590 Жыл бұрын
Sometimes this person speak sense.
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Very true
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Жыл бұрын
All times sio sometimes tu
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Жыл бұрын
All the time Mpina speaks POINTS
@7675kio
@7675kio Жыл бұрын
Mpina ni jembe sana tu and speaks a lot of sense.
@Bikhafija
@Bikhafija Жыл бұрын
Mpina mm nakupenda sana mzalendo wakweli na unaipenda nchi yako na sisi wanyonge
@geofreysimpepo9945
@geofreysimpepo9945 Жыл бұрын
Umewapiga vizuri Sana lakini KWA sababu wamezoea kuziba maskio watajifanya hawajaskia ,lakini tumekuskia na kukuelewa vyema MH mpina.
@sadickbudoda4361
@sadickbudoda4361 Жыл бұрын
Mungu akulinde, maana unaofanyanao kaz hawajitambui haswa mwigulu, Mbalawa, Makamba,kibajaj,msukuma mpaka spika sasahiv tunamuona chawa
@alexsimon9674
@alexsimon9674 Жыл бұрын
Nataman mpina ugombee urais. Unaakili kubwa sana mkuu
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 Жыл бұрын
Umebak ww tu baada ya msukuma kununuliwa
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Kabisa, jamaa anahoja kabisa mwigulu alitakiwa awe specific biashara ambazo zifungiwe na zisizofungiwa.
@user-cd7ts2wy4f
@user-cd7ts2wy4f Жыл бұрын
Mh.hongera sana tumekuelewa
@joshuahassan1605
@joshuahassan1605 Жыл бұрын
CPA Luhaga Mpina. Big up sana
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 Жыл бұрын
Iwe mwanzo na mwisho saf sana
@venancymsukwa6431
@venancymsukwa6431 Жыл бұрын
Wewe mpina ni mzarendo wa kweli mungu azidi kukutunza na kukubariki keep up don't give up tuko nyuma Yako haupo peke yako nadhani walio pewa dhamana wangechuwa mawazo yako wangepata Raha ktk utumishi wao sahizi Watanzania wamefunguka sana wanaulewa mkubwa
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Жыл бұрын
Jamani mtu huyu waziri wa pesa katokea katokea kwenye Jimbo ambalo maendeleo ya lake yanasikitisha ...mi naona ni Bora kwanza kabla ya kumkabidhi mbuge uwaziri angaliwe amefanya Nini kwenye Jimbo lake ..
@Globalpeace123
@Globalpeace123 Жыл бұрын
Mr. Mpina tuko pamoja usikate tamaa kufichua ufudhuli wa huyu Mwigulu Nchemba siku ya siku inakuja ataondolewa kwenye uwaziri wa fedha anaifilisi sana nchi yetu 😢
@royalahmed7024
@royalahmed7024 Жыл бұрын
Kwani huyu jamani Mzee Magu alishamtoa kaja kufanya nn tena?
@jacksonchaula6010
@jacksonchaula6010 Жыл бұрын
Mungu akulinde kaka
@leonardrichard3032
@leonardrichard3032 Жыл бұрын
Natamani siku moja uchukue uraisi nahisi nchi itanyooka
@simonmasunga7398
@simonmasunga7398 Жыл бұрын
Well said Mpina
@subilaadam4179
@subilaadam4179 Жыл бұрын
Mpina hongera sana. hao jamaa mkiwaachia tu watatufanyia madudu. Tumewatuma huko mfanye maamuzi kwa niaba ya wananchi sio badala ya wananchi
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Mpina unajua sana 🎉🎉🎉🎉
@tatukatembo7564
@tatukatembo7564 Жыл бұрын
CPA huko vizuri sana
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Жыл бұрын
Wabunge wote wanapaswa kumuunga mkono mpina. Huo ndo uzalendo sio kuunga mkono madudu
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Ww nikiongozi mzee
@josephamos6636
@josephamos6636 Жыл бұрын
Tungekuwa na wabunge wengi wa aina hii tungeendelea sana
@mejajenerali2872
@mejajenerali2872 Жыл бұрын
Ahsante mpina wewe ni shujaa
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Hili taifa watu ni mazuzu sana huyo waziri ingetakiwa awe ashafukuzwa kaz
@emjay1016
@emjay1016 Жыл бұрын
So unamaanisha wananchi ndio wanamamlaka ya kunfukuza uwaziri.
@mathayokaponya7926
@mathayokaponya7926 Жыл бұрын
Mheshimiwa uko vizuri sana unachokiongea kinaeleweka, Mungu anakupigania.
@user-jh1qc3ov7e
@user-jh1qc3ov7e Жыл бұрын
muda mwingine eti tunasema tanzania hatuna watu makini ,lakini kumbe siyo na mimi huwa nilikuwa najiuliza hivi huyu waziri wa fedha yuko hapo kwa maslahi ya nanikwa sababu sijawahi muelewa hata kidogo ni nkajua ni mm tu kumbe hata mh. mpina big up wew utakuwa mkweli mbele ya watanzania na mbele ya mungu , huyu waziri hajawahi jibu maswali magumu ya wananchi wala za wabunge sasa sijui yuko kwa ajiri ya maslahi ya nani ? halafu Rais anabadilisha mawaziri lakini huyu yuko na mantiki yake haionekani kwa maslahi ya wananchi, waziri wa kuto jibu hoja za wananchi huyo siyo hatufai pia huyo hafai kuwa waziri bali mzuri kwa vijembe na kejeri bali amekuwa mtu wa kutoa sifa kwa rais
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Mh Mpina Yuko vizuri sana
@jesaminzo
@jesaminzo Жыл бұрын
Huyu Lameck ana kiburi sana, mimi hata sielewi hiyo pHD alipataje
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Sana..anakiburi cha madaraka…
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Mpaka sasa, nimegundua Mpina ana akili kubwa zaidi kuliko akili za Mawaziri 10 waliopo sasa wakiwekwa pamoja.
@HekimaLutego-jx8li
@HekimaLutego-jx8li Жыл бұрын
Safi tunahitaji viongozi kama hawa
@mwailubikamongo9774
@mwailubikamongo9774 Жыл бұрын
Mpina uko sawa mwiguru mwizi sana
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Huyu ndio mwakilishi wa Bunge kitaifa si wengine wapiga makofi tu na ma ndioooo😂😂😂😂🎉🎉🎉😅😅😅
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Wabunge Serikali
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Ukinyamaza mpina tutapigwa mno ..Tulishaambiwa twende Burundi jamani na huyuhuyu waziri ..Hatujasahau ..Alishasema mambo ya uganga ...Trap na trat😂😂😂
@jamesmakongo2287
@jamesmakongo2287 Жыл бұрын
Nina kupongeza sana Pina Mimi nikubali sana Mimi Niko sudani kusini ninakufatilia sana
@sendamachenge6311
@sendamachenge6311 Жыл бұрын
Well good Mpina 100% Mwigulu hana akili na hiyo nafasi haimfai kabsa ndugu
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Mpina Uko vizuri
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 3 ай бұрын
Mh Mpina uko vizuri sana
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Kweli kabisa hakuna aliye juu ya Sheria,mpina Mimi nakuunga mkono kabisa,mwiguru nchemba Hana sifa ya uwaziri.
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Hongela mpina
@salumjuma9586
@salumjuma9586 7 ай бұрын
Safi Sana kaka Luhaga!!!!!!!
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Жыл бұрын
Mm namkubali sana mpina
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
Nakuelewa Sana mpina
@user-on4qu8yj3t
@user-on4qu8yj3t 3 ай бұрын
Mwambie mwambi huyo boya wanatua mpina mungu akupe ujasiri
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Жыл бұрын
Wafanyabiashara unaowasema Mpina huwa hawafungiwi biashara.Wanaolengwa na jambo hili ni wafanyabiashara wadogo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Mweshimiwa Mpina unasea ukweli. Wanao Kimbia kwa Rais kwa kumutupia sifa ujuwe wanaficha ufisadi wawo
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Жыл бұрын
Pesa ni sayansi sio projo hahaha
@NimkazaKiogwe
@NimkazaKiogwe Жыл бұрын
Wewe una akili. Mungu atakulinda daima. Wewe ni msomi aliye elimika.
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q Жыл бұрын
Mwigulu pamoja na mipasho yake hakuwezi watanzania tumekuelewa
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 3 ай бұрын
Mpina uko vizuri sana ndo maana tulikutuma kwenda masomoni uingereza kusoma fedha zetu zilitumika vizuri unajua serikali hii ni dhaifu kwa kuacha watu wajiita wana phd orodha ni ndefu musukuma, mwigulu, samia, jk na wengine wrngi hatuelewi hizi phd walizipataje tulia tuambie hawa watu waliataje
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Mwigulu mhuni tu .Hiyo Phd yake sijuwi kama nisahihi.
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Жыл бұрын
Nakuelewa Mpina.
@AltoFesto
@AltoFesto Жыл бұрын
Tungekua nawabunge kama hawa 20 nchi yetu ingekua na maendeleo zaid
@abelbufumbe790
@abelbufumbe790 Жыл бұрын
Tunasubiri part two tena kwa mwingulu
@philipomwasha5325
@philipomwasha5325 Жыл бұрын
Kwa mfano rais anatakiwa kuwa mkali Sana kwa wabadhirifu wa Mali za imma hasa Kodi,tunaminywa kwenye Kodi sisi masikini alafu wanakula majambazi serikali waziri anaona kawaida tu ni hatari sana
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega 4 ай бұрын
Nimuhimu msimuliaji kulindwa ni afya maana anasimulia waovu wakamatwe na mashujaa watangazweee pamoja mzee mpina
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Tunakuelewa kaka, daaah kuna wabunge tunawatamani wangekuwa kwetu, najua hautarudi bungeni kaka wakweli hawana nafasi tanzania
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 Жыл бұрын
Wewe ndio mbunge wetu msema kweli .
@baltasartemu2153
@baltasartemu2153 Жыл бұрын
Unaongea ukweli kabisa. Hongera sana lkn wenzako hawakuelewi japo unasema ukweli.
@jameskagulu4228
@jameskagulu4228 Жыл бұрын
Tulimmisi sana uyu jamaa kwa kuongea kwa niaba ya wananchi
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,3 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza
17:40
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 31 М.