TRA NDIYO CHANZO CHA HIKI KINACHOENDELEA KARIAKOO

  Рет қаралды 19,902

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 49
@charlesstephen9668
@charlesstephen9668 3 ай бұрын
Huyu mzee ameongea vitu very critical tena kwenye uhalisia wake,inaonyesha jinsi gan viongoz wanakaa tu maofisini hawatak kujua kinachoendelea kwa mtanzania wa chini,na kama wanajua bas wametengeneza mifumo ya kupiga
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Viongozi wana maslahi na hao wasiolipa kodi wanaokaa vibarazani! Serikali imelea hilo tatizo kwa kigezo cha wapiga kura wangu na sasa donda ndugu limetufuka
@charlesstephen9668
@charlesstephen9668 3 ай бұрын
@@festokemibala5832 kabisa chief, ukiwa na kiduka chako hata uchochoroni TRA hao wakati kuna watu wanapiga mamilion kariakoo kwa kisingizio cha umachinga
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Katoka kuongelea uwajibikaji wa waziri wa fedha na waziri mkuu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 3 ай бұрын
Tra wezi unalipa kodi vizuri leo mwaka 2024 unakuja kuambiwa 2007 hujalipa kodi unadaiwa si wizi huo
@Zenny89
@Zenny89 3 ай бұрын
Solution ni Moja…Wamachinga nao waanze kulipa Kodi AU Wamachinga waondolewe Kariakoo na sehemu za Maduka…Hakuna Jinsi
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution 3 ай бұрын
Nakubaliana na wewe
@KennedyMganga-o3z
@KennedyMganga-o3z 3 ай бұрын
Kuna umuhimu CPA firms yani Certified Public Accountants firm kuungana na TRA kutoa elimu kwa wanabishara kuzielewa tax regimes(yaani sheria ya ushuru),tax enforcement procedures(muongozo wa ukaguzi wa ushuru katika ; mali(capital gain tax and other wealth tax),mapato(income tax,revenue tax(sales tax,output VAT)),expenditure tax(input VAT) and so on.Elimu ya ushuru(tax education and awareness) itasaidia walipa ushuru kukagua mali,mapato na matumizi yao na itasaidia voluntary compliance/walipa ushuru kujitolea kulipa ushuru. CPA Chilibasi.
@chrisekonga9092
@chrisekonga9092 3 ай бұрын
Una biashara wewe unamiliki???😂 au mfanyakazi wa TRA hujikagui unajipa favour😂 kupitishiwa hesabu na hukamatwi efd. Mambo magumu ukiwa huna kimbilio
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
TRA wafungue Duka lao tuone wanatishia raia hizo faini za million 12, wazilipe Tatizo shule wa Tanganyika serkali ilishindwa maduka y RTC leo mnadhulumu raia,warudishe RTC tuone wanatishia raia na mi police,
@alfonsimwalongo942
@alfonsimwalongo942 3 ай бұрын
Maneno mengi hakuna cha maana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@nin6324
@nin6324 3 ай бұрын
Mtanzania wa kwanza mwenye akili nyingi
@navioma4882
@navioma4882 3 ай бұрын
Wamachinga watafutiwe sehemu hayooo😢😢
@AdrusHassan-c5m
@AdrusHassan-c5m 3 ай бұрын
Wamachinga waondolewe hayo maeneo ya kkoo watafutiwe mahali nyingine kuepusha hilo tatizo
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 3 ай бұрын
Watu wanakimbia kulipa Kodi ,na kuajili machinga pemben ,kwasabab nchi hii mfumo wa Kodi haueleweki wanalipishwa Kodi zingne zisizoendana kabisa na mfumo wa kazi pili, Kodi inayolipwa haiendi kufanya Kaz serikalin Bali ni wizi tu huko ndio maana Kila siku tunasikia matukio ya CAG, kwahio wananchi wanaona ni ujinga kulipa Kodi zinazoenda kuibiwa na wao wanaona sio mbaya kuzikwepa japo pia zinakua zinakusanywa pasipo kuwekwa mpango mzuri zinazoendana na kazi, tatu ,shida zimejaa sana za wananchi kutotendewa au kutatua vitu vingi ktk nchi hii ndio maana wananchi na wao wanachukia wanaona kama hamna viongozi ndio maana wanaona hata uvivu wa kulipa Kodi kwasababu serikal haiwatendei haki ktk nchi ,kwani uongoz umegeuka kama sio zamana tena, Bali imekua kama sehem ya upigaji, maoni ya Hilo serikal iwafanyie watu mambo yalio mazur yanayoendana na watu ktk sekta mbali mbalia uone kama Kodi watakua wanakimbia yaan hawataweza kukombia Bali watakua wanawahibika wenyewe watu kulipa pasipo shulutisho ,maana watakua wanaona kua wanalipa kitu ambacho kinawalipa ktk mafanikio ya uendeshaji wa nchi na kutimiza mambo ya wananchi wote kama madawa, Maji ,Barbara nakazalika, kwa hio hayo ndio matatizo na Wala sio vingnevyo ,na yasipokua hayo kuwekwa sawa ujue yatakua yanaendelea matatizo yakulipa Kodi siku Hadi siku pasipo kukoma ,utajikuta panakua shwar kwa muda alafu yanaludi Yale yale
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
TRA wafungue Duka lao tuone wanatishia raia
@jeffmap4038
@jeffmap4038 3 ай бұрын
Kuna shida nyingi. Kuna mfumo wa Kiletroni wa TRA ambao pia ni tatizo. Mfano PAYE unatakiwa ulipe 2,400/= ukichelewa kulipa panat ni 250,000/= na ukifungua kampuni ni na haifanyi kazi una penati mpaka milioni 5. kwa kutofili mauzo wakati biashara haifanyi kazi.
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 2 ай бұрын
Mmmhhh...
@alipepetz3453
@alipepetz3453 3 ай бұрын
Kweli
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
Serkali mnatesa watu wafungue Duka lao tuone wanatishia raia na police,ubabe wao tu
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 3 ай бұрын
Suluhisho kama mnasema wanameza zaidi yamoja apo kila mmachinga awe na meza moja tu ili wafanya biashara wasiwe na mameza zibaki kuw za machinga tu,
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 ай бұрын
Wazir wa fedha wazir wa mipango wazir wa biashara na wazir mkuu inatakiwa wajihudhuru mgomo wa mwaka Jana walitudanganya wakamdanganya na rais kwaiyo hawafai kwendelea kumshaur rais
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Tatizo la hii nchi mtu anapewa uongozi wa kuendesha biashara na hajawah fanya biashara hata ya kuuza mayai
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j 3 ай бұрын
Kweli wanakamata tdm na mikoan wana hio kaz
@thomasmassaga4430
@thomasmassaga4430 3 ай бұрын
Huyu jamaa kichwa kimetulia sana Bora kumsikiliza huyu kuliko mkuu wa mkoa
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 3 ай бұрын
Mwenyekiti maelezo yako ni mazuri nimekuelewa sana. Biashara tz bado mfumo wa kodi hauko sawa. hasa panapokuwa na anayelipa kodi na asiyelipa kodi, bidhaa ileile, soko lile lile, mteja yule yule. Mzigo ukikamatwa kosa anabebeshwa anayelipa kodi he!!! Hapo pana shida!!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Serikali imelea wamachinga na kuwapa vikadi vya sh.20,000 kwa mwaka kwa gharama ya ujinga wetu wananchi!! Chinga halipi kodi kwa nini? Huo ni mkakati uliwekwa eti kuwafanya chinga wasisupport upande unaokinzana na sera mbovu za serikali! Sasa kimenuka
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 ай бұрын
Serekali.inapoteza matrilioni kwa sekunde ktk kwa wamachinga
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 3 ай бұрын
Shida ni MACHINGA!!! Itakuwaje unauza bidhaa ambayo haijazalishwa Tanzania bila Risiti?
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Shida iko Bungeni wanakotunga Sheria za Kodi zisizozingatia uhalisia kipato na uchumi wa mwananchi wa nchi hii!
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Kivipi
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 3 ай бұрын
TRA msitumie nguvu kubwa kudai kodi na inavyoonekana mnafanya hivyo ili wananchi waichukie serikali na kama ni bunge ndo lilipitisha sheria hizi , Yafaa zipitiwe upya
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Sheria haina shida, shida utendaji
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 3 ай бұрын
Ila yanga
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 3 ай бұрын
Wamachinga kwani mbona wanalipa kodi keani anavyo Nunua mzigo dukani mbona lisiti yake inakuwa. Amelipa kodi acheni chuki kwa wamachingaa maana mwisho mtakuwa. Kama kenya
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 3 ай бұрын
Na kweli ni mbaya maana kiongozi ameshinda kuwasimamia wafanya kazi wake. Ndio maana huenda tu masokoni kuchukua pesa za wafanya biashara sio kisheria.
@josephsabuni795
@josephsabuni795 3 ай бұрын
TRA wezi wakubwa...
@mwenem8130
@mwenem8130 3 ай бұрын
Shida ni sheria za kodi, VAT 18% ni kubwa mno kwa waTz + kodi ndogondogo zingine, Bora VAT iwe 7% ama 8%, kodi kibwa inaua uchumi wa Nchi
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 3 ай бұрын
Wamachinga ndio wateja wenu wakuu na maduka hamtoagi risiti msiwatupie machinga kodi
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
WANAJIFANYA KAMA WAMACHINGA MAJUMBAN MWAO WANAMASTOO MAKUBWA TU.
@maryamtan682
@maryamtan682 3 ай бұрын
Kipindi kizuri lkn huo mdondo unakera undooeni.
@xfamefatetv
@xfamefatetv 3 ай бұрын
Unajua ase🙏😅 #Famefate
@JosephLadaraswa
@JosephLadaraswa 3 ай бұрын
😊😊😊
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
TRA NDO SHIDA AU SAMIA NDO SHIDA
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 ай бұрын
Rais anaingiaje hapo?naomba ufute hii comment
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
🤔
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 3 ай бұрын
Unamatatizo ya akili wewe afute kivipi wakati ni mtazamo wake​@@frankvianey2438
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
We usichezee MUNGU inamana hajui hata Wanaotoka nje hawarudi kariakoo,c ufungue duka we hutak hella acha rohoo mbaya hata Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe,kutesa raia,et wanakwepa kodi fungua duka lenu TRA we umeshiba ww
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 53 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 122 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 15 МЛН
SISI WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO TUNATAKA KULIPA KODI
4:38
Wasafi Media
Рет қаралды 6 М.
Nigeria Billionaire Dangote on Fuel Subsidy, Oil Prices, Football
26:00
Bloomberg Television
Рет қаралды 294 М.
ONA MAHABA YA DK SULLE KWA WAKE ZAKE WANNE, NAWAPENDA WOTE
13:54
What the Maker of Ozempic Doesn't Want You to Know: It's Bankrupting America
12:01
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 53 МЛН