MWIGULU ATOA TAMKO ZITO BUNGENI MIGOMO YA WAFANYABIASHARA, ACHANA MAKAVU BILA KUPEPESA

  Рет қаралды 8,422

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 40
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 3 ай бұрын
Ripoti ya CAG vipi? Tuendelee kuibiwa fedha zetu, na Mbunge atakayethubutu kuuliza anafukuzwa Bungeni? Wabunge wakishindwa kuwawakilisha wananchi, basi hatimaye wananchi watajiwakilisha.Mfano hai ni Kenya sasa hivi.
@SanziNzige
@SanziNzige 3 ай бұрын
Tambeni na ujiha wenu mmemfukuza kiboko yenu mpina.wewe mnyirba hivi unashida gani.unasimama kabisa katika taifa kusema etitunakopa coz sis NI matajliri.watanzania huwa unawaonaje wewe .utajiriwako wewe NDO ulisemee taifa tajiri!ama kweli mnaselekari Malini. Ole wenu magufuli akiludi.minapata mpaka kichefu chefu na hotuba zako zozote.huna aibuwewe
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Viongozi wa Tanzania mną bahati kubwa kuongoza watanzania wapole,mpaka upole wawo mumewachukuwa kaa wajinga. Munafanya munavyotaka. Hii demokrasia ya kiwango cha juu ya kufukuza wabunge wanaotetea uchumi wa watanzania, ni demokrasia gani? Watanzania walio wengi wana shida kubwa kwa serikali kushindwa kupigana na mafisadi..
@RizikiMlela
@RizikiMlela 3 ай бұрын
Watanzania tuwemakini nahawa wabunge wanaotetea serikafi baadayakuyetea wanainchi wariowachangua sasabasi 2025 tuwaachewachanguane wenyewe yaniniunamuchangua kiongozi wakukukandamiza niheri uturie
@naseersalim8586
@naseersalim8586 3 ай бұрын
Rekebisheni kodi zimekuwa gandamizi kwa wafanyabiashara wataendelea kugoma kwa mtaindo huu
@abdirazakmadhar2000
@abdirazakmadhar2000 3 ай бұрын
MADHARA INAYO SABABISHWA NA MGOMO NI KUBWA NANI HATARI KWA UCHUMI.EPUKENI MIGOMO KWANI UCHUMI WA DUNIA UPO VIBAYA CHONDE CHONDE MTAVUNA MTAKACHO PANDA.
@johnbundala7596
@johnbundala7596 3 ай бұрын
Hili jamaa janja sana kiasi michezo yote linaijua na linajua kabisa kua watu wakireact tutakuja na hili kwa hyo mlikosea hapo tu na kwa Nini mpaka watu wagome ndo mseme mneona luck of consistence msifanye mchezo na maisha ya watu kabisaa.
@Cultureupdates-w5r
@Cultureupdates-w5r 3 ай бұрын
Hivi kazi ya bunge ni kutetea serikali au wananchi
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 ай бұрын
Huyu waziri hajajua anachokifanya kweli
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 3 ай бұрын
Magari ya Estter yahojiwe yalipatikanaje .Haya mabasi ni mali ya nani,
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 3 ай бұрын
Mnajifunza nini kuhusu maandamano ya kenya
@Nedjadist
@Nedjadist 3 ай бұрын
Huyu jamaa siwezi kumfahamu.
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 3 ай бұрын
Huyu mpumbavu tu
@MwitaChacha-sx3po
@MwitaChacha-sx3po 3 ай бұрын
Sikuelewi.
@saeedmbaraka3997
@saeedmbaraka3997 3 ай бұрын
Foolishness speech
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 3 ай бұрын
Ila Kenya 🇰🇪 salute
@EagerKiwi-pw2oq
@EagerKiwi-pw2oq 3 ай бұрын
Mm binafsi nimekuelewa vizuri ,Toka umekuwa waziri leo ndiyo umefafanua vizuri sana hongera
@saeedmbaraka3997
@saeedmbaraka3997 3 ай бұрын
Mastermind
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 3 ай бұрын
Tunajivunia kukopa? Wakati Nchi yetu miaka 60 ya Uhuru! Wenzetu Vietnam, Singapore, China na lndia tulikuwa kundi moja kiuchumi lakini sasa wanatupa misaada na mikopo, sisi bado tunahangaika na misaada kutoka kwao kweli! Tumekwama wapi? Tujisahihishe
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 3 ай бұрын
Unafanya mizaaa kwenye mambo serious.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 ай бұрын
Haiwezakani kueshimika ,acha kuchukua mkopo,ongea na mawazili WA Feza WA East Africa Community ili mfungue Shilingi Moja au sarafu Moja ya East Africa Community Shilingi.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 3 ай бұрын
Njia nzuri ya kuepuka migomo ni kuzisikiliza hoja za raia na kuzitolea majibu ya kweli.Sasa hivi kuna changamoto nyingi kuhusu fedha za umma. Hali ya maisha,kodi zimezidi.Matumizi ya utawala ni makubwa sana.Ufisadi haujapungua,ripoti ya CAG haijaleta nafuu kubwa kwa wananchi.n.k.
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 3 ай бұрын
Niaibu ..sana.. kama kila jambo linalohusu wanainchi nyie mnatuletea siasa.....kwauelewangu mgodo ..mi maona hamna lengo la kuwaskiliza wa tz ..???
@EmmanuelKilewo-cj3iv
@EmmanuelKilewo-cj3iv 3 ай бұрын
Kichefuchefu
@josephmahando493
@josephmahando493 3 ай бұрын
Kugongewa mrango juu ya madeni, ndo hayo MAISHA magumu tunayo pitia kupitia Kodi nyingi zinazo tuumiza , hivo hatakuja mzungu kutudai Ujuwe Hilo....
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 3 ай бұрын
Serikali inajitetea pia wabunge wanatetea serikali badala ya kutetea wananchi hii ni hatar sana wananchi nikama hatuna watetez
@devangandhl2255
@devangandhl2255 3 ай бұрын
Mheshimiwa city service inalipwa na watu wanaotunza hesabu na inalipwa kama mauzo ghafi kwa bidhaa hiyo hiyo Ni double taxation
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 3 ай бұрын
Acha uongo deni linatuhusu kwani Kodi zetu
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 ай бұрын
Kichefuchefu
@petermogha7025
@petermogha7025 3 ай бұрын
Unamimba au
@kelvinsanga1517
@kelvinsanga1517 3 ай бұрын
Tutaonana 2025 bola tuwape chadema
@emmanueljohn4018
@emmanueljohn4018 3 ай бұрын
siasa ya bongo imekaa kidalali sana nchi ipo mikononi mwa madalali au wanasiasa?
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 3 ай бұрын
Watu wanagoma kufungua biashara na serikali inakosa mapato halafu etty Mi mtu iko silius kupiga makofi etty
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 ай бұрын
Ndiyo wabunge tulio nao
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 3 ай бұрын
Mpina tutakukumbuka
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 3 ай бұрын
BARABARA YA MPANDA KWENDA KIGOMA NI MUHIMU
@saidmabanga388
@saidmabanga388 3 ай бұрын
Kuna usenge mkubwa sana kwenye kichwa ya uyuu jamaaa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Siku itaongea shida
@petermogha7025
@petermogha7025 3 ай бұрын
Siku gani ww
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 50 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
TUNDU LISSU ACHAFUA HALI YA HEWA 'MSILALAMIKE CCM'
57:46
Uhondo TV
Рет қаралды 1,8 М.
MCHUANO MKALI MAHAKAMANI MPINA AIBURUZA  SERIKALI
5:49
Uhondo TV
Рет қаралды 12 М.
CHADEMA WATIBUANA TENA, UTATA KUHUSU RAIS SAMIA
3:08
Uhondo TV
Рет қаралды 1,4 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 50 МЛН