ERICK KABENDERA AFUNGUKA MAZITO KWA MARA YA KWANZA 'NILIIKOSEA SERIKALI NIKATEKWA/ WANGENIUA'

  Рет қаралды 9,420

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Ай бұрын
This guy still has strong pain in heart he went alot and lost mother while he was in prison mungu akupe nguvu kaka I feel your pain 😢
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Ай бұрын
Wanasiasa huanzisha mambo ya kishetani alafu utasikia niombeeni, maisha yenyewe haya ni mafupi sana
@mambas264
@mambas264 Ай бұрын
Kaka kwanza pole, Mungu akupe nguvu. Endelea kipaza sauti kutetea haki za wanyonge mkuu.
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Ай бұрын
Tigo na Mh. Tundu Lisu, sasa ni Vodacom na Kabendera...mitandao hii sasa limageuka genge la uhalifu....
@aminaali792
@aminaali792 Ай бұрын
Whaaat!!! Hayajakufika ndugu ndo maana unaona ni kitu cha simple kabisa 😢
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Ай бұрын
Inasikitisha sana africa kukosa umoja
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Bensanane yasemekana simu yake ilidukuliwa na Wasiojulikana kwa msaada wa Makampuni haya ya simu
@georgenyange4648
@georgenyange4648 Ай бұрын
Unaongea kishujaa wananchi wachache wanaweza kuniambia hivi
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 Ай бұрын
Nyie chukulien tu samia mnamuwez af mtajua km mnajua au hamjui. Et kil mtu saiz anaropok yke vp ulkuw wap?
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Ай бұрын
Tangu 2019 ulikuwa wapi unaaza kusimulia leo wewe kipandikizi kilekile cha wakoloni wanataka kuharibu usalama wa nchi yetu
@ShekySwai
@ShekySwai Ай бұрын
Alikuwa kwa mama yako
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 Ай бұрын
Ongelea yako ,ya tundulisu mwachie yye, ww vp? Kamshtak
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Ай бұрын
Nawe saa saba ulikuwa unatoka wapi nawe uchunguzwe una jambo nyuma ya pazia acheni kuzichafua kampuni hizi mnalengo la kuharibu biashara tanzania
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Hata Shetani anawatetezi Nguruwe wewe😮😮
@Ambagaye
@Ambagaye Ай бұрын
Kabendera hakukosoa serikali bali alikuwa anatukana serikali kwa kutumia maneno "stupid Government." Ingawa serikali ilitumia mabavu sana dhidi yake lakini hata yeye mwenyewe alikuwa anayachochea kutokana na uachaguzi wake wa maneno yake dhidi ya serikali.
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 Ай бұрын
Watu kama hawa wanamchezea mama wajinga kweli hawa na ni washezi kabisa nchi hii kuna umhimu wa kupitisha sheria ya kunyongwa kwa washezi kama hawa wanaotaka kuharibu nchi yetu
@georgenyange4648
@georgenyange4648 Ай бұрын
Wewe ndo wakunyongwa kwasa​babu wewe unaongea kama zombi.n@@samwelnevele7796
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Wasiojulikana mtajilikana tu kwa matendo yenu.
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Ай бұрын
Acha kulalamika mkuu. Kaanze maisha yako. Uko huru sasa
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 Ай бұрын
Wewe ni wale wale wasiojulikana
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Mm namuita mropokaji.. Kwavile hayajakukuta au mtu wako wa karibu kukutwa na haya
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 Ай бұрын
Umewahi kukutwa na Jambo kama Hilo? Kama hujawahi basi nyamaza kimya! Jaribu kujiweka wewe kwenye Hali hiyo
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 115 М.
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 1,4 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 39 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,2 МЛН
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 65 М.
BBC: Mahojiano na Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera
5:32
Молодой боец приземлил легенду!
01:02
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 1,4 МЛН