MWIJAKU AFICHUA MAZITO AMTAJA MPENZI WA VUNJA BEI KWENYE HARUSI YA WOLPER NA RICH MITINDO

  Рет қаралды 39,640

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@lastbornsaadah7632
@lastbornsaadah7632 2 жыл бұрын
Najiuliza mke wa mwijaku anavumilia vipi, wallah si kwa ubaya ila waovyo sana yaani aibu kwenye shughuri za watu anajifanyaga mjuaji ila jamani watoto wanazomewa shule baba chawaaaaa tena kunguni
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
Yaani huyu aah,yule mke hapana jamani......linaomba hela wanaume wenzie kwenye TV dunia ikiangalia afu lenyewe linaona sawa
@lastbornsaadah7632
@lastbornsaadah7632 2 жыл бұрын
Nakwambia mtihani sana alafu anajitamba Amehitimu vyuo viwili mtihani
@neemalusasi60
@neemalusasi60 2 жыл бұрын
Hongera mwijaku unaupiga mwingi bro we love
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 2 жыл бұрын
MVUMILIENI TU HUYO NI MUIGIZAJI. HUYO ANATUMIA SANAA KUISHI. HIVYO MUDA MWINGI UNAPOMUANGALIA UJUE UNAMUANGALIA MUIGIZAJI WA WAKATI WOTE.
@sistersade9039
@sistersade9039 2 жыл бұрын
Mpaka kwenye sherehe ya harusi, mazungumzo ya umbeya na upuuzi wa mwijaku.. ovyoo badala yakushughulika na walichoalikiwa. Very sad 😔
@Mimy_keys
@Mimy_keys 2 жыл бұрын
😂😂😂 Mwinjaku shikamoo 🤭 H ni Hamisa👌💃😂😂😂
@janethedwin8068
@janethedwin8068 2 жыл бұрын
Sio hamisa ni joket h nijina lake la ubunge joket
@saidatniyonkuru9910
@saidatniyonkuru9910 2 жыл бұрын
Ntaacha aje ku likes wakati nimekuon mwijak
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 2 жыл бұрын
kwa kweli
@cocotz1892
@cocotz1892 2 жыл бұрын
Hamisa ?
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Huyu jamaaa daaaah...
@ashurakihemba7519
@ashurakihemba7519 2 жыл бұрын
Nimecheka jamani mjini ishi kwa akili tu
@ashuramhando4933
@ashuramhando4933 2 жыл бұрын
Jaku anafagilia Ugali wake kwa Vunja 😀😀😀😀
@harodphilipo8228
@harodphilipo8228 2 жыл бұрын
Mshenzi huyu😀😀😀
@rachellegashurwe5083
@rachellegashurwe5083 2 жыл бұрын
Paka Freddy ceko inamuwaaaa😄😄😄😄
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Point moja ya maana mwijako ni degree mbili unammiminia Tajiri beer mhh ulaya barstaff wengi wana degree
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 2 жыл бұрын
Chibaba kumbe ulienda?
@rehsanhassan8141
@rehsanhassan8141 2 жыл бұрын
Mwijaku weeuwe eti ooh wanasema wazazi wa wolper weusi na wolper mweupe, tajiri ametaka pombe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Hivi mwijako anatoka Dodoma?
@kwazulu5240
@kwazulu5240 2 жыл бұрын
Duuuu Holper usingemualika Mwijaku. Angalia anavyomudhalilisha. 😊😊
@jokhaali5893
@jokhaali5893 2 жыл бұрын
Mwijaku yuko tayari dunia nzima ichafuliwe ila yeye apate pesa za omba omba
@reginagodfrey7768
@reginagodfrey7768 2 жыл бұрын
jamani Fred kaoa nyinyi
@nervenb2831
@nervenb2831 2 жыл бұрын
Weye nillana😄😄😄😄
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 жыл бұрын
Daa jamaa hana aibuu kuomba omba hadharani mtihani huyu Mwijaku.
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 жыл бұрын
Hamissa
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 жыл бұрын
Unashauri matajiri😛kwanini wewe usiutumie huo ushauri ukatajirika . Mwijaku hovyoooooo
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Ila mwijaku jaman😂😂😂😂
@innat04
@innat04 2 жыл бұрын
Sheikh mwijaku ana serve pombe
@habbibtymonah6912
@habbibtymonah6912 2 жыл бұрын
Mwijako ww ovyo ulijuaje kama wema bado msafi😏😏😏
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂jmn #Mwijaku eti ikalia kupambana na maic 🎤🤣🤣🤣🤣🤣
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 жыл бұрын
Mwijaku anajua kuishi
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 2 жыл бұрын
yaani mwijaku wewe basi tu@🤣🤣🤣😄😄😄😄
@charlesmanase4507
@charlesmanase4507 2 жыл бұрын
Msenge chawa huyu eti msiniache hiv hiv ila mjin ni akili tu
@angelailunga7582
@angelailunga7582 2 жыл бұрын
Mwijaku mbona huna mtoto
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 2 жыл бұрын
kwahiyo mkeo hawezi kukuacha kwasababu umetoka kigoma
@rachellegashurwe5083
@rachellegashurwe5083 2 жыл бұрын
Mwijaku jamaniii mimi😂😂😂😂
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 degree mbili anammiminia tajiri pombe
@KSJ6569
@KSJ6569 2 жыл бұрын
Alafu mwehu uyu atajiita anadini alafu anashik pombe
@vero57
@vero57 2 жыл бұрын
Utamwombaje mwanaume mwezio pesa?? Kafanyaje kazi uko acha umama!!mwijaku
@shaminaabdul8427
@shaminaabdul8427 2 жыл бұрын
Mwijaku wallah mie hata sikuelewi ujue yan wewe hueleweki🤣🤣🤣🤣
@aweyuumbise8087
@aweyuumbise8087 2 жыл бұрын
China kumbe ulienda
@nadyaabdallah2741
@nadyaabdallah2741 2 жыл бұрын
Huzulia ndio kiswahili cha mtangazaji eti
@dama4995
@dama4995 2 жыл бұрын
Mwijaku anavyoo omba omba pesa hadi kerooo mpuzi huyu
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Umegunduaeee nani mwingine kagundua jamani toeni mtiririko wamaoni yenu hapa hapa
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 2 жыл бұрын
anaangalia chek🤣
@Queen_latiffa
@Queen_latiffa 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 ety wema msafi anaingia siku zake 😂😂😂
@elizabethmudio818
@elizabethmudio818 2 жыл бұрын
ila mwikaju una sifa😂😂😂😂😂😂
@gres1182
@gres1182 2 жыл бұрын
Mwijaku umenshinda 🤔🤔🤔
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 жыл бұрын
Mwijaku miaka 10 kwenye ndoa huna mtoto kweli una walakini
@selelaamod4052
@selelaamod4052 2 жыл бұрын
Anae anaitwa malichuuii ana miaka saba
@dama4995
@dama4995 2 жыл бұрын
Kama una mawazo mwijaku mbna usiyatumie uitwee ww tajiri kubwa jinga ww
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣mwijaku chizi jmn
@mariagodwin7669
@mariagodwin7669 2 жыл бұрын
Ila mwijaku bwege wewe hahahaaaaaaa
@mariamselemani1366
@mariamselemani1366 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@zainabumzashi4535
@zainabumzashi4535 2 жыл бұрын
😆😅😆😅😆anamimina pombe
@miamia6155
@miamia6155 2 жыл бұрын
Amenichekesha et jifanye umesoma elimu ni nzuri inakufungua akili ila kuna mda jau 😂😂😂😂 nyumban kuna kaka alikuwa anauza samak wabichi amesoma hadi chuo kikukuu ila gundu kazi apati akaanza kuuza samaki siku akikumbuka elimu aliyo nayo na kazi anayofanya ad analia huruma
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
@@miamia6155 Albert Eistein aliwahi kusema akili ni ile unachofundishwa darasani halafu ukitoe ndiyo akili usifikirie akili ni kuwa na PhD ama sijui masters n.k akili ni kile ambacho ukitoa vyoote ulivyofundishwa class ukivitoa kile kinachobaki kichwani mwako ndiyo akili.kwetu tz ama africa tatizo akili hupimwa kwa vyeti.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 жыл бұрын
Mwijaku bichwa linavimba
@grakaemanuel2541
@grakaemanuel2541 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@marthashenenga9076
@marthashenenga9076 2 жыл бұрын
Ila ilijinga uwaga na likubali litukane lichambe utajijuwa wewe alipo😂😅😂😅😂
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 жыл бұрын
Meijaku anashekesha mno napiahujangamsha watu… Wolper apendeza mno mno ,,,,,🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👌👌👌
@sayunimwambene5796
@sayunimwambene5796 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani mwijaku nimecheka mpaka machozi
@niwaelally1579
@niwaelally1579 2 жыл бұрын
@@sayunimwambene5796 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kilichoandikwa
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
watu mnasema mwijaku anaongea hovyo kwenye harusi za watupu arafu awa watangazaji wenyewe wanapenda kuoji vitu vya kijinga maana washajua huyu ropoka ropoka anaongea maneno meusi kabisa sijui wema anaingia siku zake sijui rich mguu wa kwanza mtt kwaiyo awa watangazaji nao ovyo kabisa
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Eti anaona cku zake wewe acha uongo umejuaje
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 жыл бұрын
😀😀😀sasa si bado hajapata ujauzito
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
Mwijaku anajua kuishi
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
NIKISEMA HAWEZI KUIGIZA, AMEOLEWA AKAE NYUMBANI ATULIE -
3:17
Ankali Mambi
Рет қаралды 1,1 М.
Toyota Kluger Tanzania | Toyota Tanzania |
11:06
Ndinga za Bongo
Рет қаралды 48 М.
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17