MWIJAKU AOMBA RADHI ALIOWAKOSEA, AKIWEMO MAUA SAMA, AITWA NA FAMILIA YA MTOTO ALIYEMUITA TAJIRI

  Рет қаралды 17,336

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@Kabwela776
@Kabwela776 5 ай бұрын
Mwijaku unaongea point sana kuhusu wake nakuunga mkono sana ukiwa Karibu na mke wako na kama ni mwaminifu maishani utafanikiwa
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 5 ай бұрын
Kwenye utaftaji hapo very true….👊🏽
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 5 ай бұрын
Mwijaku big brain💪💪💪
@mr.saiduwesuomary1859
@mr.saiduwesuomary1859 5 ай бұрын
Ushauri Kwa Mwijaku..... Asiwe na direct statement kumpoint mtu , ni namna nzuri anavyofanya kupatia Rizki na harakati zake...! Hizi direct statement akimpata mtu Yuko serious atamletea shida.
@user-sv4er3xe7n
@user-sv4er3xe7n 5 ай бұрын
Mwijaku unamilion mia tatu 50 lkn pesa yakwenda umra huna
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 ай бұрын
😂😂
@hizamawa6046
@hizamawa6046 5 ай бұрын
Leo ndo nimeamini alichoongea kiba na makabila aisee jamaa ni Genious sana na very creative
@pengefeza2563
@pengefeza2563 5 ай бұрын
Hamna. Ana wivu na chuki binafsi
@owdenisaga4361
@owdenisaga4361 5 ай бұрын
Genius anaomba kufadhiliwa kwenda kuswali then anasema 300m anayo bank ?
@eliezerkanju6368
@eliezerkanju6368 5 ай бұрын
😂😂😂😂 mwijaku head master🙌🙌🙌🙌
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 5 ай бұрын
Magret thatcher anasema "ukitaka uongeleke mpe mwanaume, ukitaka kifanyike mpe mwanamke".
@mwanaidgwawa6290
@mwanaidgwawa6290 5 ай бұрын
😂😂 Mwijaku Mtu Wamana sana hiyu
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 5 ай бұрын
Nakubari kaka mkuu
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c 5 ай бұрын
Mwijaku upo sahihi
@user-br8xs2ch9u
@user-br8xs2ch9u 5 ай бұрын
Nikweli mwijaku,mke ni msiri wako
@user-ll3pk6jf7s
@user-ll3pk6jf7s 5 ай бұрын
Mjaku acha ushamba we umesema unaomba mtu akupeleka hija hela unazo siujipeleke mwenyewe
@priscajohn6090
@priscajohn6090 5 ай бұрын
Sianaomba mtu ampeleke ili hija nauli kumbe anazo
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 5 ай бұрын
Ila ni ukwel ogopa kudharirka ufe maskini umetsha bro
@teedullah5708
@teedullah5708 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Eti niliwavuruga sana
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 5 ай бұрын
Mwijaku bhana
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 5 ай бұрын
Unafunga na uongo mwingi hivi.... Faida yake ni ipi????
@mikidadymohammedy7603
@mikidadymohammedy7603 5 ай бұрын
Mwijaku duuh!
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 ай бұрын
Kamari Ni kharamu, kama kweli unayosema uko sahihi au umeangalia upande mmoja wa katiba ya Nchi
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 5 ай бұрын
Hata mzee Yusuf aliapa na aliporudi kutoka Haji akarudia miziki yale's Mola atuhifazi
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v 5 ай бұрын
Kumbe nauli unayo
@twalibali851
@twalibali851 5 ай бұрын
Uyu jamaa ni mjanja sanaa
@user-cq2lt6ho5w
@user-cq2lt6ho5w 5 ай бұрын
Usiache pesa mzee
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 5 ай бұрын
Mbon humr kunakushinda na bei ni milion 4 tu
@user-hp2ix5wp6i
@user-hp2ix5wp6i 5 ай бұрын
Loop lopoo
@robertsimfukwe1097
@robertsimfukwe1097 5 ай бұрын
Elimu yake haija msaidia ilaipo siku atajichanganya kwa mtu atajuta maisha yake yote mp.😂
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 5 ай бұрын
Mbona kama uko na Pesa mbona unaomba komba pesa za kwenda Umra?..
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 5 ай бұрын
Mnafiki ni mnafiki tu manala wa nn tena hapo
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 5 ай бұрын
Yaani Manala kafikaje hapo
@user-nb3fb9wr3v
@user-nb3fb9wr3v 5 ай бұрын
Acha kulopoka utafungwa 😢😢😢😢
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 5 ай бұрын
Umeomba radhi hal afu unamteta mtu tena hovyooo
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n 5 ай бұрын
yaani hapohapo unromba msamaha nihapo hapo unasengenya
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 5 ай бұрын
🥰🥰🥰
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 ай бұрын
Sijui choko hili talking too much
@hamzahamoud60
@hamzahamoud60 5 ай бұрын
Ntakua imamu 😂
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 5 ай бұрын
Hii nchi imejaa wagonjwa wa akili. This guy has undiagnosed ADHD.
@SamiaRashid-up6cg
@SamiaRashid-up6cg 5 ай бұрын
Na hao hao wagonjwa wa akili ndio wanaojenga maghorofa sasa ww mwenzangu mwenye akili timamu sijui una nn hapa mjin
@user-iv7dm3xw9v
@user-iv7dm3xw9v 5 ай бұрын
​@@SamiaRashid-up6cgjibu konk😂😂😂nimependa maua yako🎉🎉🎉nakupa. jamaa anajua kutafuta pesa sana.
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 5 ай бұрын
Lipa Sasa msamah wa nini tujue we kwli co makell
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 ай бұрын
Umezidi yani mwanaume una mdomo mchafu kama choo
@kataviboi99music
@kataviboi99music 5 ай бұрын
😂😂😂😂 mweu
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 5 ай бұрын
Lazima aropoke kwa kila kitu???
@Lulucut
@Lulucut 5 ай бұрын
Malipo duniani nandy alikulipa na wewe yamekukuta😅
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 5 ай бұрын
Sema tu umezini sio huko nyuma tukiri dhambi zetu zote ja mani hata mimi ni m wenye dhambi
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 5 ай бұрын
Blo bado umejaa tena kwenye mfumo uleule wa majungu
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 15 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 44 МЛН