MWIJAKU AMCHANA SARAH WA DIAMOND "WOTE NI WAPUMBAVU TU" ZUCHU ANAONDOKA // TAZAMA HAPA

  Рет қаралды 23,682

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

2 ай бұрын

Пікірлер: 72
@jumaayubumohamedi4813
@jumaayubumohamedi4813 2 ай бұрын
Mwijjaku is very smart
@dol-pnintz2503
@dol-pnintz2503 2 ай бұрын
Zuchu mshirikishe Mungu huyo si mume wako acha kujichanganya
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Kweli kaka yangu mohamed 20❤❤❤
@weveeernest9911
@weveeernest9911 2 ай бұрын
Kweli bhana napenda vibe za gigy.
@typohneprofiel515
@typohneprofiel515 2 ай бұрын
Zuchu hakulazimishwa kudate na Mondi
@abudulahnkingwa5095
@abudulahnkingwa5095 2 ай бұрын
na we mwijaku unakuwa kama shoga kaka utafilwa unatfuta pesa kwa stail iyo kaka Fanya kaz
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 Ай бұрын
Zuchu Acha utoto kila mtu anakula riziki yakee .hajaowa huyoo
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 ай бұрын
Na hiyo ghorofa kila siku unaitaja.haikauki mdomoni kama mate.ulipukeni.watu wana maghorofa 100 hawasemi
@righitkileo
@righitkileo 2 ай бұрын
Ha.ha.ha.ha.mwijaku, haya boss
@AnnSanga-eo6ii
@AnnSanga-eo6ii 2 ай бұрын
Kwa zuchu hakumuasili zali kayakanyaga
@ScolarMsilotwa
@ScolarMsilotwa 2 ай бұрын
Kwani diamond kamuowa zuchu huwo uusiano unahusiana vp na ustawi wa jamii hawo si maraya tu wanazini
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 2 ай бұрын
Mnapayuka ovyo ovyo alafu mtu akishikwa na depression mnahurumisha tu sio poa
@ClarisPetroo
@ClarisPetroo Ай бұрын
Pole xan
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 2 ай бұрын
Zuchu did not leave because of Sarah. Diamond attitude is bad.She can't take it anymore.I wonder what example he is showing the children. Money is not everything
@LissaBosh
@LissaBosh 2 ай бұрын
We na zuchu wasenge
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 ай бұрын
Nyie jamanii daah!!yaani tuache kuombea waathirika wa mafuriko,waliofiwa na ndugu zao kupitia mafuriko,bado Kuna upepo wa HIDAYA kwann tunasahauu haya yote?ZUCHU ameimba wakigombana tufunge midomo,wanajuanaaa,bado hamuelewi huo mwimbo?🙏🙏🙏🙏
@AMINAMOHAMED-de7gb
@AMINAMOHAMED-de7gb 2 ай бұрын
Mimi ningemuomba zuchu ajitoe kimausiano mondi,wafanye kazi you.Bado yeye mdogo atapata wake,aachane na uyo Malaya. Mwishowe atakubandika maradhi Bure dada.
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 ай бұрын
Kwani huyu chuchu sio malaya wote wazinifu nawewe unae watetea ndio walewale
@user-te5jr1rz7w
@user-te5jr1rz7w 2 ай бұрын
Kwn yy ni mke wte anawachezea muache diamond achezee wt anachkua kw stareh diamond endelea na kazi zko 😂😂😂😂😂
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 2 ай бұрын
Uko na akili zingine au
@elizammari
@elizammari 2 ай бұрын
Hiyo issue ya Zuchu sio ya ustawi wa jamaii ni ishu yake mwenyewe anayo maamuzi anahitaji counseling kwa hiyo hapo ni councelor tu ndio ataongea nae na kumsaidia kuondokana na msongo wa hayo mawazo aliyonayo. Zuchu anatakiwa akae kitako aongee na Mondy ili amwambie anataka nini ili aridhike ila ninachokiona Mondy anampenda sana Sarah ndiye mwanamke aliye moyoni mwake
@pengefeza2563
@pengefeza2563 2 ай бұрын
Mondi alitumia pia mamlaka kuwa na yeye. Kuna interview Zuchu aliongea akasema alijiuliza kwa nini mimi alipo ulizwa kuhusu kujutia kuhusu mahusiano.
@LissaBosh
@LissaBosh 2 ай бұрын
Asha use get we mwijako
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Saraha wala ana kosa lolote.Yeye zuchu ajue tu Nassibu Tabia zake za ovyo.Yeye zuchu sio mke wa ndoa.
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
Ana makosa kwa sbb yey ana mtu wake na huyo diamond alishaachana naye Lzm heshima iwepo.hata yule mwanaume anayeishi naye akimuona anakumbatia diamond wafikiri yule mwanaume wafikiri atafurahi. Mapenzi yana heshima yake sio kujitoa ufahamu km mgonjwa wa akili diamond km hampendi zuchu kwa nini amuweke ndani kwake kisha awe anampa wakati mgumu kila siku akitoka kwa mwanamke huyu anaingia kwa mwingine huo ni uchafuzi wa wanawake na udhalilishaji
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
Zuchu ana akili yule amemsoma diamond na kumjuwa vizuri tabia zake ndio maana kaona anamtumia tu kwa ajili ya kuendesha maisha yake Kwa nini amfanye yy ni kitega uchumi tabia za diamond ni chafu sana huyo anatakiwa mtu amtoe busha akae nyumbani atulie kidogo maana huo uume wake unamsumbuwa hauna thamani tena kwa jamii
@user-dp1zv6dx1v
@user-dp1zv6dx1v 2 ай бұрын
🎉🎉​@@mohammadoman8963
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j Ай бұрын
Sasa uyo zuchu samuwache uyo Damonde jamen badomudogo maneno yanini ??? Watazania shikamo 😮😮😮
@TVT4888
@TVT4888 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅
@SARDIKWAYA9812
@SARDIKWAYA9812 2 ай бұрын
🎉😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 ай бұрын
Hili limwijaku nalo halina akiri linajifanyaga lijuaji nalo lizinzi
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 2 ай бұрын
Kwaniweye zuchu hujuwi kama diamond ni mcheze aji wanawake haowi kwanini akakubali kuchezewa kataka mwenywe kudhalilishwa mtukaziayake uzinifutu zina ndomaisha yake
@henryndosi2002
@henryndosi2002 2 ай бұрын
Wewe nawe ni msenge
@user-no8mp7yg1m
@user-no8mp7yg1m 2 ай бұрын
Kwani Zuchu ni mke wa ndoa ?
@user-pq9qc1sz7b
@user-pq9qc1sz7b 2 ай бұрын
Wee shenzi umbea utakuuwa.umeenda umra kufanyaje
@asiamerey9081
@asiamerey9081 2 ай бұрын
Baba ana mdomo huyu kama mwanamke
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 ай бұрын
Wanawake midomo yao ikoje
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
Nyamaza ww ndio unamdomo lzm umsaidie mwislaam mwenzako tena kaa kwa kutuli pimbi ww
@ramak.9587
@ramak.9587 2 ай бұрын
​@@Brunn-mh2bqkama mikduuu
@tinershayo6191
@tinershayo6191 2 ай бұрын
Sarah Ana makosa bwana
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 ай бұрын
Makosaa ganii kwani kajipandisha mwenyewe kwenda kujitambulishwa au si aliitwaa kosa lake liko wap eti?
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 2 ай бұрын
Makosa niyske Diamond. Sarah amepabdishwa jukwaji . Sasa amulawumu Diamond. Ame sana akasema ajushiba mwanamuke ana mupa matukio. Njo ayo zuchu amepewa do not mix business and love .
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
​@@kelvinsauveur6264 mélanger affaires et Amour n'a jamais été un problème comme vous le croyez ? Même les couples qui ne travaillent pas ensemble ont des querelles
@neemajames5137
@neemajames5137 2 ай бұрын
JAMANI ZUCHU MSIMSEME ANAPITIA MATESO SANA
@beatricehayake5203
@beatricehayake5203 2 ай бұрын
Kwani nani ali mtuma
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 2 ай бұрын
Is that what she told you.I think she is not. What about Diamond? He has not lost a good entertainment partner. Pity Diamond, not Zuchu .Money is not everything if you don't have good people around you.
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w 2 ай бұрын
Kabisa leo yeye anaumiza watoto Wa watu mungu analipa hapa hapa Duniani yeye anafikiria pesa tuu hafikirii utu naye pia Ana Dada watoto wadada yake na mtoto wake pia Wa kike
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w 2 ай бұрын
Kweli kabisa maskini mungu atamsaidia atamsahaulisha mambo yote ya matatizo yanayo mpata
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
​@@beatricehayake5203wewe
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 ай бұрын
Wtf
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 2 ай бұрын
mimi nachomshauri zuchu ajiue kama mimi nilijiua
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 2 ай бұрын
😂
@lidyakinono9917
@lidyakinono9917 2 ай бұрын
😂😂😂😂duuu hii tz jmn
@khadijaomar6730
@khadijaomar6730 2 ай бұрын
😂
@SamuelCornelioSamuel
@SamuelCornelioSamuel 2 ай бұрын
Mwijako Ana akili
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
Sana kanifanya nijivunie ndungu km huyu
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 2 ай бұрын
Mwijaku una utu KBS👏🏽👏🏽sijui kwanini WA Tanzania mnamchukia sana Zuchu,what did she do to you guys???to deserve all the hate you are showing her?alafu wengi ni wasichana wanao mchana,🤔na ukienda kwenye profile zao Yani wabaya haswaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,alafu kweli nimeona mnaosema eti Sarah she is beautiful than Zuchu🥱😱😱 really???????
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
Tanzania tunampenda sana zuchu ni baadhi tu ya watu wanamuonea choyo au hasadi zuchu ndio maana midomo mirefu zuchu ni msichana mstarabu sana na mkweli na anapenda haki
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 2 ай бұрын
Wanaomchukia zuchu ni wanawake wachache wadangaji wa mjini wanaomtaka diamond wanaona zuchu amewabania riziki zao maana zuchu amemteka mno diamond wao wanakosa nafasi ya kuwa na diamond kumchuna
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
@@yusternyirenda7231 haswaaa
@fbr5113
@fbr5113 2 ай бұрын
HUYU JAMAA ATAKUJA KUPATA MATREO SANA SIKU SI NYINGI MAANA NI MGOMBANISHI SANA NA ANA CHUKI KALI JUU YA DIAMOND. KITAKACHOTOKEA ATAPATA ULEMAVU WA MDOMO NA MIKONO ILI AACHE UONGO NA KUMTUKANA NA KUMDHALILISJA DIAMOND. NA AKIPATA HUO ULEMAVU ATADHALILIKA SANA HADI ATAJINYONVA HUYU
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
We chiziii wee sio mzm kwani anaongeaa owongo au matako ww
@fathimamct232
@fathimamct232 2 ай бұрын
Sasa WW mwijaku umekwenda Makka Na Dini unaijuwa Sasa vipi unatetea uzinfu?? Au unaweza kutuhakikishia kama wale ni Wana ndowa?? Mana ndowa sip matangazo lakini kama unatetea.uozo wa zinaa Acha kabisa kuingia Huko huewzi juwa huwenda Mungu Ameweka hayo yatokee Ili Amnasue sehemu hiyo Ambayo SI sahihi na huwenda SI Sahihi Kwa Watu wote wawili Huwenda Naseeb Mungu Ametowa kwenye hiyo familiya ya Zuchu SI Sahihi kwake au zuchu Ametolewa kwenue hiyo familia ya Naseebo SI Sahihi kwake yote yanawezekana Leo ukatafute Bibi ushauri waitwe kama Wana ndowa mbona Wana wazazi ? Na kama SI Wana ndowa Acha kufagilia hayo mambo Ambayo mungu hapendezwi nayo unafikiri kama Hawa Watu wawili wapo pamoja Kweli kama unavyotangaza bi Khadija anafurahiya haya hapana hafurahii huwenda ameshamkanya mwanae hakumsikiliza Kwa hiyo kinachomkuta ndio Hali yake hakuna mzazi anapenda.mwanae akaisho kihuni TU Kwa MTU pasi na kutambulika kwenue familiya.
@zainabhussein5542
@zainabhussein5542 2 ай бұрын
Kwani wewe ilikua inakuhusu nini kuingilia mambo Yasio kuhusu Kwani zuchu haoajui huko ustawi wa Jamii ama mamake siyupi mbona hakuenda kupeleka Malala Miko hebu achana na mambo Yasio kuhusu jiheshimu
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h 2 ай бұрын
Et pourquoi HARMONIZE s'est immiscé dans ce problème ça le concernait en quoi ?😂😢
@sisifaty9183
@sisifaty9183 2 ай бұрын
Mwijaku Mungu Anakuona ivi kosa la huyo Sarah ao Diamond jifikiriyemwenyewe je pense wue tues un intellectuelle ,mais tu es zero
@LissaBosh
@LissaBosh 2 ай бұрын
Wajinga
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
DUDU BAYA AMVA NAPE NNAUYE NA VYOMBO VYA HABARI
4:11
MAMBAZ 24 TV
Рет қаралды 2,5 М.
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01