MCHUNGAJI HANANJA AWAJIBU WANAOMWITA COMEDIAN,, HUWEZI KUHUBIRI SERIOUS MDA WOTE...

  Рет қаралды 5,238

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

18 күн бұрын

Пікірлер: 16
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 16 күн бұрын
😂😂Mzee wangu bana napenda kumsikiliza huyu mtu wa maana kabisa huyu unanifurahisha sana mtumish barikiwe sana🤲🏻🤲🏻🤲🏻👍🏿✌🏿
@scopy0428
@scopy0428 12 күн бұрын
Hananje anaongea fact
@GodlistenAlen
@GodlistenAlen 14 күн бұрын
Napenda jinsi unavyonukuu vifungu vya bibilia kama vile unakunywa maji.
@sergebaleke695
@sergebaleke695 13 күн бұрын
Eti ipo siku watajipaka uji 😂😂
@johnsonmachange1543
@johnsonmachange1543 14 күн бұрын
Hahaha mchungaji umetisha😂😂
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere 13 күн бұрын
Je tunye nn mchungaji ili kuzuia tamaduni za kigeni kuingizwa malangoni pa bwana
@wilfredshoghosho0017
@wilfredshoghosho0017 14 күн бұрын
Eeeish eti watapaka uji siku moja senzi😂
@SilasNdaisabha-gx8jo
@SilasNdaisabha-gx8jo 15 күн бұрын
Watajipakaa uji mmh🤣🤣 et kama nyumbuu
@isayasimwinga2854
@isayasimwinga2854 10 күн бұрын
Ni comedian kweli. Unajifanya hujijui😂😂😂
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 14 күн бұрын
Comedian pure sio mchungaji
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 17 күн бұрын
Akisilimu atakua sheikh mzuri
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 10 күн бұрын
Ndoto ya alinacha asilimu aende wapi Na njia sahihi ni moja tu YOH 14:6
@lwitcofredy4013
@lwitcofredy4013 12 сағат бұрын
Usichokijua alikuwa muislam huyu, aka okoka
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 11 сағат бұрын
Nini maana ya kuokoka
@ANDREWKIMARO-by3zl
@ANDREWKIMARO-by3zl 10 сағат бұрын
@@Kuminamoja1995 kuokoka ni lugha ya kawaida kabisa, yenye maana ya kunusurika, kusalimika, kupona, kukombolewa, kufunguliwa kutoka katika janga au hatari au kifungofulani. Leo tunaanza na hili andiko “Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu” RUM.10:9-10 SUV hiyo ndio maana ya wokovu
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 13 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 50 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН