We mwenyewe una makosa mangapi? Zinaa ni kati ya zile amri kumi za Mungu je jiulize kama huzini je umenusurika kwenye hizo tisa? Achana na maisha ya watu Mwinjaku utakufa kifo kibaya sana tena kwa kufumaniwa na mke wa mtu. Wewe unawaudhi watu wengi sana hujui tu. We inabidi upate ulemavu wa mdomo ili uache kukera watu kwa kusema matendo ya wenzio kama vile we mtakatifu. Mfyuuu zako.
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Huyu pungs zee mie simwelewagi hakika
@salumunsabimana6502 Жыл бұрын
Wewe muulizaji shika adabu yako .mama ndo mlezi muda mwingi mama yuko na watoto si baba vuta kauli yako mjinga tokeya lini baba akawa mlezi .baba niwakutafuta rizki.tafuta swali lingine .
@kimah9855 Жыл бұрын
Anajuaje kama wamefunga ndo ama laa? Mwijaku asiengie dhambi. Inaweza kuwa wamefunga ndoa na hatujui, Maybe They did that na hawataki kusema. Achache dhambi
@uwimana6533 Жыл бұрын
Hua nampinga mwinjaku lakini kwa huli yupo sahh , huyu zuchu anatumimwa atajitambua akiwa 40 anatafuta mume na mtoto daimond sio muoaji nimfanya biashara huyo 😂😂
@upendokariro4252 Жыл бұрын
kwani marioo na paula wanafanyaje wao mbona umemshupalia zuchu, rayvan na fahyma wengineyo wote wao sio kosa no zuchu