MWIJAKU - DIAMOND Hajui kuimba, HATUMTAKI, sio CHUKI, Mashabiki hawamtaki, ole wake aje Dodoma

  Рет қаралды 3,736

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@joyhylton7901
@joyhylton7901 4 күн бұрын
They sleep Diamond , They wake up Diamond. May Diamond continue to give them nightmares.
@LutfiaAboud
@LutfiaAboud 4 күн бұрын
Mwinjaku una roho mbaya sana na ungelikuwa una uwezo wa kutoa watu uhai bc wa kwanza ungemtoa diamond,halafu unajiita muislamu!
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 4 күн бұрын
Akinyimwa hela 😂 na simba na safari hii simba kamkausha😂😂😂
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 күн бұрын
Ajui kuimba ana imba usenge2
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Күн бұрын
@RomanMwinyi wewe kuna nyimbo umetoa ama wivu adi kwa mwanaume mwenzio jipe shughuli wacha kupangianwatu wakati nyimbo zake umeweke kwenye cm na unaimba kila unapoisikia pole kwa maumivu🤣
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Күн бұрын
@Sarah-e1o9k Yani katika machiziii tz wewe nikichaa no kwani nisivyoo kua na nyimbo ndio llijitu liimbee minyimboo mibovuu niseme vuliiii kafie mbele uko tailaa
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Күн бұрын
@RomanMwinyi punguzan mihemko ya mtandao hajui mnaimba adi bafuni kanyaga mbele tukisonga wewe unajua imba basi tuone unamtoa mwenzio makosa wewe kula adi shikamo kelele bhana
@widebrainclassic
@widebrainclassic 3 күн бұрын
Wabongo bana.. muache uongo. Sema wana mnaleta maboko sana😂😂
@FannySubira
@FannySubira 2 күн бұрын
Mjaku roho mbaya inamwisho mbaya, ujiangalie na vitu unavyosema, vita ku back fire siku moja
@alexsakilu2650
@alexsakilu2650 4 күн бұрын
Mwijaku ungekuwa na uwezo ungeichukua roho ya Naseeb humpendi kwa mafanikio yake
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 күн бұрын
CHAWA HUYU ANAONGEA UJINGA KUHUSU DIAMOND
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 4 күн бұрын
Huyu jamaa bwana 😂😂😂
@geoufo2858
@geoufo2858 4 күн бұрын
Ayo maneno Cio mageni jijin labda kwa mgeni wa jiji
@paulokenedy4090
@paulokenedy4090 4 күн бұрын
WABONGO BANA kujidanganya Sasa mwijaku ndo nani Sasa ampangie diamond awe vp mkubali mckubali diamond ndio tanzania 1 musician Sasa hivi HUYU ni ROHO MBAYA tu inamsumbua
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 күн бұрын
Halaa😂😂
@donnatasooya
@donnatasooya 4 күн бұрын
Watangazaji siwa amini tena
@franklinmganga736
@franklinmganga736 3 күн бұрын
Yeye ndo tunamtaka sasa
@donnatasooya
@donnatasooya 4 күн бұрын
Nyie wa ndishi wa habali nyie wote ni wa senge
@khadijabbykhadijabby1389
@khadijabbykhadijabby1389 4 күн бұрын
Jinga hili senge km kumalamamake
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 күн бұрын
@@khadijabbykhadijabby1389 Umeshindwa hoja Umeona utukane ndo mwisho wa akili yako
@zubeaslay6566
@zubeaslay6566 4 күн бұрын
@@Brunotarimo10kbsa hana akili mjinga huyu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 күн бұрын
i love this guy 🤣🤣🤣
@FannySubira
@FannySubira 2 күн бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu, nyie mkazane na chuki zenu, mtaziona mwisho wake siku moja
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 4 күн бұрын
Kweli diamond nyota imefifia walivimba na komovava lkn wapi kashidwa na yule Binti Tyler ht nyimbo yake Moja sijui Mimi😂😄
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 күн бұрын
Kwa hio Tanzania alau huyo Diamond ana jitahidi na ndio mana kila kwenye event kubwa watu wana mlenga yeye tu apo Tz hawa walengi wasanii wengine hiyo nayo ni hatua kubwa kwake
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 4 күн бұрын
Vp na wewe nyota yko umeandika wangapi kazi na upo tu nyumban😂😂 pole kwa maumivu
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 3 күн бұрын
😂😂😂
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 3 күн бұрын
@@Sarah-e1o9k watu hatupo ht hiyo EST African pole wew unaebweteka kijijini kwenu Lima mamaa
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 3 күн бұрын
@@janerouhassanjanerou7933 ila kweli
@TwigaFashions
@TwigaFashions 4 күн бұрын
This guy is full of shit
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 күн бұрын
BINGWA WA MISIMU YOTE DC BATONI KAONGEA UKWELI MWAMBINO HANA LOLOTE HAMFIKII MFALME KIVYOVYOTE. BIG UP KING SALEE KIBA
@musamagulu2023
@musamagulu2023 4 күн бұрын
Bila Diamond hamsikiki ni lazima mtamtaja kwa vyovyote vile ili tu mpate kufatiliwa
@musamagulu2023
@musamagulu2023 4 күн бұрын
Mwenye nguvu nani hapo? Asiyeongea chochote na anafatiliwa au nyie waropokaji muda wote tena kwa kumtaja yeye asiyekuwa na muda na ninyi sisimizi
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 4 күн бұрын
@@musamagulu2023 Eti mwambino Anataka kushinda Grammy anaota Ndoto ya mchana
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 4 күн бұрын
Kitu kimoja nachompendeya Diamond hamjibu mtu yeye ni vitendo tu, nyiye lazima mumuongeye Diamond ili lpate kiki
@musamagulu2023
@musamagulu2023 4 күн бұрын
@jimmyhabarugira4232 ndo mwanaume huyo hana shobo za kijinga anapiga kazi tu
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 31 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 138 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 17 МЛН
Lillian Mwasha: SIFA ZA KUOA WAKE WA TATU
13:01
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 44 М.
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 31 МЛН