Nilikuwa sijui kama huyu jamaa mjinga na upumbavu alionao hauna kipimo!!! Kama uchawa basi, huyu chawa wa blue!!
@abeidrashid257414 сағат бұрын
Huyu brother mwijaku kwenye maneno anautani mwingi ila kwenye mipango yupo sawa sana huyu brother anamadini makubwa sana nnje ya kamela
@SamsonMsafiri5 күн бұрын
Mm silipendi hili lamwijaku kwanza liongo liongo.😏😏
@SophiaElius4 күн бұрын
Mwenzio anaingiaza pesa hapo wewe unae kaa ooh! Humpendibuna nin😂 wa Tz bhanaa
@wycliffjiva62353 күн бұрын
Jana tu ndo umekanyaga marekani, umekaa kwa week mbili tu tayari ushaanza kutoa interview kama mwenyeji wa america yan kichwa mviringo wew😂😂😂
@godfreymushi6966Күн бұрын
Japo siyo.fans qa Tandale boy .cybertruck mi 100.000 us ambayo ni.milioni 267.000.000.na ushurusijui garielectric car bongo ni bei gani we Mamyema acha ujinga ushakuwa mbabu sasa
@sosthenesmaemba5 күн бұрын
Wewe umekuwa mkewe kujua kama hana pesa au ? Hacha kuwa unaongea kila jambo kaka yangu.