Milard tunaomba Interview ya LUGUMI, Tunaomba sana fikisheni like 100, Ili Milard atuletee, Interview yake, Naamini Kuna mengi ya kujifunza.#LUGUMI.🙏🙏
@70sbroАй бұрын
Next interview LUGUMI
@I.C.U24Ай бұрын
Lugumi
@AliyCk-r5kАй бұрын
Haya ni maandamano tunataka interview ya lugumi tunataka interview ya lugumi
@ZonieclassicАй бұрын
Lugumii ndo nan jamanii
@lyrics_forumАй бұрын
Tena tunaomba Millard Akae nae, sio hizi story za Juu Juu
@pastor-Chrisfeston123 күн бұрын
Babu kama umekielewa alicho kizumuza hapo huyu Chief Godlove gonga like ndugu❤❤❤
@mr.dopects25 күн бұрын
I just love this confidence. Just confidence, only that.
@alphatissa9379Ай бұрын
Nimemuelewa san huyu jamaa..alicho ongea kuhusu family spirit ni 💯/💯
@frankmpoto5347Ай бұрын
Kama unamiliki utajiri wa dunia hii halafu huna Mungu wa kweli hujampoke Yesu Kristo kwakumfanya Bwana na mokozi, wewe nimaskini kwani uhai ulionao ni kwa dakikamoja tu unaweza kukutana namauti je ukifa sasa utakuwa wapi milele? Soma Habari za tajiri mmoja aliyejifurahisha katika dunia hii akamkataa Mungu baadae alikufa mojakwamoja aliingia katika shimo la hukumu ya jehanam yamilele alilia sana akihitaji msaada haikuwezekana soma Luka16:19-31; Oleeeee!!!!!!
@mteulemnyama7858Ай бұрын
😂😂😂😂
@edenchulla5663Ай бұрын
Wwe na maulokole yako kwenda. Yesu yesu yesu wa wazungu@@mteulemnyama7858
@neemasalema1546Ай бұрын
Ni kweli kabisa ila hapa kwani kuna sehemu amesema amemkataa Yesu? Au hamwamini Mungu? Yaani Yesu?
@amonalexander1513Ай бұрын
Hacha mindset ya umasikini,tafuta hela ilimladi usivunje sheria za Mungu,tafuta hela,pesa,pesa,pesa.
@amonalexander1513Ай бұрын
Na nikupe taarifa Yesu mwenyewe hapendi umaskin ila anawapenda maskin
@frankbujiku9496Ай бұрын
Mwanzo nilikuwa naishi Tanzania ila kwa sasa naishi youtube .Neema popote ulipo rudi mm bado nakupenda sana❤❤❤
@mgambowayesuАй бұрын
🎉🎉🎉
@JescaJohn-h1b27 күн бұрын
Hahaha
@MejumaaRashid-s8gКүн бұрын
Mwenyezi Mungu akupe ufahamu wa dini kaka nauache vitu duni kwani dunia nikitu duni hakidumu Allah ndomjuzi zaidi
@am_DatotaАй бұрын
wewe unapenda chief goodluck ukiwa wapi🇰🇪♥️
@storytownTvАй бұрын
Kasongo yeye ..😢 mobali nanga..😢 #mafanikio n chupi ,hakuna wakukuruhusu kuona rangi yake aliovaa, apa tunapoteza mb zetu tu
@Drmange39629 күн бұрын
👏👏👏 nimefurahi sana kusema Tujijue sisi ni akina nani
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
kuna mazuzu yanaenda kujiunga sjui kwenye chama😊,,eti ada laki 1,,,,wazimu unao kaka,,watu ebu fanyeni kazi afu mumuachie mungu,,shauri enu..
@lyrics_forumАй бұрын
Acha Wavivu wakapigwe kaka, yaani mtu anawaambia kabisa Yeye Pesa anapata kwa kupambana, watu badala wapambane waamini Mungu yupo wanaendekeza Njaa na Uvivu.
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
@lyrics_forum 😃😃😃,,mgonjwa ww
@IsackZacharia-f8t21 күн бұрын
Sina cha kuongea zaidi ya Kukuombea Maisha marefu. Mwenyezi Mungu akulind, akuongezee umri mrefu zaidi, akuepushe na kila la shari na akupe mwisho mwema
@JanethAmandiКүн бұрын
Kaka vip
@zawadimpayo3839Ай бұрын
Simlisema anahela zambao Leo imekuwaje🤣🤣🤣🤣♥️♥️♥️🖐️🖐️🖐️🖐️
@masalumanoni4012Ай бұрын
😂
@timothmateta70803 күн бұрын
Jaman wanawake tuwe makin na watoto wetu , kiufupi mtoto huyo kaniumiza sana
@lewissvictor8930Ай бұрын
Fact sana tena umeelimisha watu hongera sana , ukikua unaambiwa tu kua uyaone ndo hayo,💪💪💯
@levismbowela4630Ай бұрын
Yuko sahhh kwenye Koo zenyelana
@mashakaramadhani551617 күн бұрын
Mi sijamuelewa kabisa uyu jamaa ajajibu ata neno moja
@nsengiyumvasamuel7139Ай бұрын
shindwa na ulegee kwa jina la Yesu,eti una ability kuliko vijana wote East Africa!😅😅
@mwandeagrovetandsupplies2549Ай бұрын
Umeng'aaa kweli saiv tofauti na 2017 ulivyokuwa unaitwa Mwakibete mbeya ulikuwa upauka sana
@TAUWELVURIАй бұрын
Tunataka lugumi uhusiano wao
@alexlingwendu67803 күн бұрын
Leo mwamba nimekuelewa.
@kelvinmwenga5285Ай бұрын
Hapo kwenye babu na uchifu baaasii ndo milard ayo hakataka kiendelea na interview ila any way jiulizeni mtu anadai anapesa ila anachofanya hakijulikani ye mwenyew kashindwa kukisema tuwe makini sana
Me nashindwa kwani sio mfanya biashara na anapambana anapambania nini
@AlbertNyemba-r5k3 күн бұрын
Chifu wa matako au
@ukhutfatumah1154Ай бұрын
GINIMBI WA TANZANIA TUMEMPATA 28 AGE MHHH ACHA NIFUMBE BAKULI LANGU MWANASHERIA WANGU AYUPO NCHINI HAPA
@nancyg8664Ай бұрын
we unaumri gan na bakuli lako
@nancyg8664Ай бұрын
we unaumri gan na bakuli lako
@JanethAmandiКүн бұрын
Vip kak
@KareemIdd25 күн бұрын
Chief godlevo wakuigwa afulica hii na nje ya nchi
@FahimRahim-n6nАй бұрын
Watu kama hawa wanatengenezwa na serikali ku spin aklil za watu zitoke kwenye vitu vya maana. Tumeshasoma hii pattern
@SellinaMorris-p1j27 күн бұрын
Uko vizuri broo
@SellinaMorris-p1j27 күн бұрын
Nakupenda sana bro
@AnordJoseph-e2e24 күн бұрын
Duh nimemfatilia sana huyu jamaa nilikuwa nahisi kama ni kiki kumbe huwenda anapesa ana confidence yakutosha
@capatinaugustingatariАй бұрын
Inashikitisha sana tena sana kuona mtu eti hana kazi hafanyi biashara yeyote na anafanya kila kazi duu
@newttechog7521 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakuelewa
@KuruthumBilali2 күн бұрын
❤❤❤
@GervasMkingwa-j3c22 күн бұрын
Napenda sana niwe na ww karibu
@lucasndaganiwe576424 күн бұрын
Huyu jamaa siyo wa kuiga njia zake
@RastaFaston28 күн бұрын
Uuyujamaa number 1 munguwamapenzi nana
@ramaboy239028 күн бұрын
The guy is really
@issashabani-c7rАй бұрын
Sasa huwo usenge eti mtoto wa kiume unamuliza mwanaume mwenzio pesa anatowa wapi c ukuma huu mbona humuulizi kuusu unaskini wake alio pitia mnataka kujuwa pesa kapata wapi tu au sio msoto alio pitia hamtaki kuujuwa ama vipi
@rajimuashirafa826526 күн бұрын
Wewe ni ubongo wa makamasi kabisa uwezo wako ni mdogo mnoooo,,,,,acha kupuyanga na dunia hakuna aliyeiweza dunia
@Coach_ibratzАй бұрын
Tunataka kujua kuhusu jicho LA tatu ni nini 🤣🤣🤣
@maulidipazi6770Ай бұрын
Jicho la tatu ni kuamka korosho Yani unaona wachawi na mazingira ya Siri pia unatambua jambo kwa haraka sana Yani ulilala ukiamka unajua yatakayo jiri
@lubogotv9811Ай бұрын
Nshafungua hizo chakra
@IbrahimElly-p5cАй бұрын
Kuliwa p diddy mkuu
@AbiaWilliam-s1sАй бұрын
😂😂😂
@lifeonearth94Ай бұрын
😂😂😂😂@@IbrahimElly-p5c
@neemasalema1546Ай бұрын
Kidogo nimeanza kukuelewa kweli unatakiwa kumsikiliza mtu mwenyewe sio kusikiliza watu wanasemaje juu ya mtu ambae hata hawamjui kwa undani kingine ni kweli tunaishi kwa kupangiwa na wazazi wetu au wahenga waliotutangulia bila kujua sisi kama sisi ni nani na tunatakiwa kuwa nani na kufanya nini? Sio kitu kibaya kuishi kwenye misingi ya wazazi hapana Mimi ni nani? Na kwa nini nipo?
@mcbuty201Ай бұрын
Inspiration
@Johnnestorz29 күн бұрын
Tazama hyo video utaona kam nimwongoo snaaa hyo jamaaa
@richkaja3317Ай бұрын
Mungu akubaliki uishi miaka mingi
@jamestocta3075Ай бұрын
Ushawish wa huyu Jamaa, ni injil ya ufalme wa Giza. Ukimsiklza ndo unapotea mdogmdogo
@georgedaniel4962Ай бұрын
Kwa mtazamo wako lkn ipo siku nawe utamkubali.NA SIO LZM UJUE.
@officialcheehАй бұрын
humsikilizi halafu umekoment ulichokisikia😂😂😂 sasa umemsikiaje bila kumsikiliza?😂😂😂
@nickyvanich6214Ай бұрын
Tuaminishe njia zako zilizokupa utaji... ulionao, kama huna utaji... wewe ni mpumbavu mmoja.
@richardkonzo5717Ай бұрын
Uko sahihi sana @James
@YusufuBalebesefe11 күн бұрын
Asate,kaka,chief, godlove,wazhewakulide
@tekashichannelАй бұрын
Mtoto mdg mwenye pesa nying 💯 ✅
@pitertommyАй бұрын
Wee hujakamatwa ukagongwa vizr utasema tu wee ngoj mbn sis tunapamban tunapata tu za kubadilish mboga
@YasserSuleiman-s5y4 күн бұрын
Mnazidi kumuongeze stress kwa maswali yenu
@Zeddaw-tl2yyАй бұрын
Nakubali xana chieff
@pammymoraamoraa670212 күн бұрын
Hawa watoto ndio moja wao wanatoanga kafara maana hata wakipotea kakuna mtu wakuja kuwaulizia au kuwa dai .nawengi wanaambiwa wawe wanasaidia wasio jiweza ndio wapate makafara zao tukiogeza masipitali na makanisa.😢😢
@DismasLuogaАй бұрын
Kaka upo vzr aisee tupeane mchongo wa hizo biashara
@En_DielАй бұрын
6:08 Na kama yupo ajaribu #manina 😁😁, atuongei sana
@lilhydon452Ай бұрын
Wewe hapo kijana una maswali ya kujiuliza kumbe Roho za mababu zako zinaishi na unaziona ,je siku binadamu wote wakiisha hizo Roho zitakwenda wapi?
Kenya has the most millionaire in east africa na hawataki kujipiga kifua
@JamesMwandojeАй бұрын
Eeeeeh....,.mubongo ukumpa nafasi ya kujieleza uyu atoe njia sio maelezo
@MwitaBoy-l5kАй бұрын
Chief mzee wangu nisaidie hata kamtaji nimelima Sanaa miaka 10 Hadi mikono imechubuka sijatoboa kabisa
@AbuushaymaatzАй бұрын
😂😂😂
@TAUWELVURIАй бұрын
Unaonekana kabisa huna Nuru ya uso
@triphonetawete326828 күн бұрын
Chief godlove niko pamoj a nawe nakufuatilia nina shida ya milioni moja nipunguze matatizo yangu
@Moha-l3cАй бұрын
Hauna utajiri hiyo inaitwa rizki....una rizki yakukutosha lkni sio utajiri
@zachaamaster537825 күн бұрын
Uyo doni
@JanethAmandiКүн бұрын
Kak vip
@ahmadmahmoud6139Ай бұрын
Ma shaa Allah
@capatinaugustingatariАй бұрын
Eti tajiri mdugo kuliko wote EA
@lyrics_forumАй бұрын
Huyu Jamaa ni TAPELI, huku kwenye hilo group hamna la Maana zaidi ya swaga zake tu hizo hizo.
@zachaamaster537825 күн бұрын
#nakukubari chifu
@hanifa9153Ай бұрын
Mmh hyu jamaa atari😂😂😂🥱
@judithmussa-le1gj27 күн бұрын
Yale2 ya bwana mmoja mahera alikuwa Anamiliki pesa km mvua na aliishi salasala leo yupo wapi
@lameck12Ай бұрын
Chief haiwezi kukwambia anachokifanya sababu ni siri yake siku akisema anapotea, hawez kusema direct anachokifanya ili ukifanye na ww
@AnthonyGabrielGwarisangaАй бұрын
Nimenukuu neno "KADRI UNAVYOFANIKIWA NDIVYO CHANGAMOTO ZINAVYOZIDI KUWA KUBWA"
@GudluckMsingiАй бұрын
Daa uyu mwamba...
@lilhydon452Ай бұрын
Wewe apo akili huna,ni miongongoni mwa wajinga tu,usijivunie magari na nyumba hivi ni vya duniani,alikuwepo kijana anaitwa Ginimbi Zimbabwe alikua na magari ya kifahari wewe hapo hufikii ata nusu...mpaka sasa ni marehemu katika mwili Roho yake iko wapi?😢 Mwenye akili ni yule alie mpokea Yesuh Masih na kumwabudu Mungu katika roho na kweli na ndo tajiri mkubwa
@hanifa9153Ай бұрын
We nae ebu silim yesu hakujui🤬
@abdulllyhussein3224Ай бұрын
We mtume anakujua? Acheni unafki huyo mtume hajafufuka had Leo, lkn shingo ngumu tu...NA MSIPO MKIRI YESU MBINGU MTAISIKIA NAWAAMBIA...NA HUKO KUSHIKA DINI ZENU
@wamburaneema-w7rАй бұрын
huyu nae mjinga sana dunuani wote tunapita hivo ukipata mali tumia kivyovyote kwa sababu duniani tunapita 2 hakuna wakudumu, acha ujinga wako
@nickyvanich6214Ай бұрын
Yaan masikini tunawivu, kwahyo huyo yesu chief kakwambia kuwa hajampokea
@katemachanda7035Ай бұрын
Hajampokea, sikiliza tena hiyo video vizuri, kazungumza Kwa maneno yake kabisa kwamba baba yake alitakakurithishwa mambo ya mizimu akakataa akasema ameokoka, Kisha akasema baba akadai anampenda Yesu and bla bla bla.... Ni kauli ambayo Iko wazi kabisa kwamba suala la Yesu kwake ni la bla bla bla na ndio maana kaamua kutumikia mizumu, na kiuhalisia huwezi kumtumikia Mungu na mizimu Kwa wakati mmoja. NURU YAPINGANA NA GIZA SIKU ZOTE. @@nickyvanich6214
@IddyHatibu-o2dАй бұрын
Kipindi anahojiwa wasafi alisema anamiliki duka la kuuza dawa leo hafanyi biashara😅
@Tg.7_7Ай бұрын
In a very near future so many lives will be completely ruined even deaths in connection to this open practiced voodoos and cultic. Take this Word!!
@TAUWELVURIАй бұрын
Millad ayo tunataka ita view na lugumi
@nabugobafakhruddin794Ай бұрын
Kalibu geita brother uje uwone vijana walivyo na hela hata kiswahili hawajui 😂😂😂😂 kwenye swala la akili hiro sijui
@kassimkalole8834Ай бұрын
Sasa geita Kuna watu Wana hela nenda NJOMBE na iringa
@damianmcba9525Ай бұрын
@@kassimkalole8834 Sehemu za madini hizo watu wana pesa sana
Mtu akishakuwa na kauli zinazokinzana kama yule Niffer unatakiwa uwe makini naye sana. Kuna taarifa kuwa huyu anafanya utapeli wa kudangamya watu kuwanganisha kwenye biashara na kuingiza faida kubwa kwa muda mfupi. Huyu alikuwa anatafuta attention ili aitumie kuingiza fedha kwenye mitandao.
@EmanuelKabeaАй бұрын
Kama namwerewa kwa kuturiaaa
@judithkirenga9977Ай бұрын
Motivation speaker wa nini???? Hafanyi biashara anasema ni mpambanaji na hana kazi maalum ???, Guys nielewesheni wapambanaji 😮usikute tunaishi na watekaji na tunajifanya hatuoni
@AmaniManase-x1iАй бұрын
Yeahman he just tell us what he doing incase of mpambanaji kiaje yan?
@zachaamaster537825 күн бұрын
#uyo ndio tajili
@TWDCI_1Ай бұрын
Seek God's spiritual of discernment something very wrong here
@totobest6913Ай бұрын
Masifa isijekua ana bwana wakizungu alli wahikulewa na mzungu monahataji kaziake
@Mr_Fact_9629 күн бұрын
Huyu jamaa Ana akili kubwa sana
@josephatSwaiАй бұрын
Anakwanywa eneken fala uyo
@Msemakweli058Ай бұрын
Kufanikiwa sio kupandana sana, hili ufanikiwe inabidi uchague kati ya MUNGU na SHETANI unamtumikia yupi hapo ndo mafanikio yalipo ukichagua hata mimi utanishukulu
@afrobongobeats1686Ай бұрын
Kumbe chief ni mganga
@danieljoseph1610Ай бұрын
Huyu hana kitu!
@williamloma2264Ай бұрын
Huyu jamaa mbona alikuwa anasema ana habal clinic nying leo anasemaje hana biashara
@BarakaTheodory17 күн бұрын
😢
@yohananyamaruri9105Ай бұрын
Huyu mshenzi anatumia Black magic na hadi logo zote ni Black magic , lkn nyie anawalipa mnatangazaa😢😢 Mwisho ataangamoza wengi na makafara
@omaryboman6629Ай бұрын
Huyu tukimkatamata tukamchapa atatueleza pesa anatoa wapi