Kabla ya vita vya ukrain tulikua na uchumi wa buluu saiv utasikia vita vya ukrain kiukwel maisha ni magumu sana na watu wanavumilia maana wazanzibar hawapendi kuomba lakni hali ngumu Sana
@stonetown5782 жыл бұрын
Hakuna Kiongozi asiyejua shida za wananchi wake, dhulma ndio inayoleta dhiki zote hizo.
@jumafundi28712 жыл бұрын
Swadacta
@maryamalli90902 жыл бұрын
Na bado mtaendelea kusonona dunia ya leo hakuna hata mmoja asiedhulumu hata kukwepa majukumu ya familia ni dhulma na wanaume zimewajaa dhulma hizi sio rais pekee
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
@@maryamalli9090 tunasemea kiongozi Wa nchi si mume
@gangmore90912 жыл бұрын
Dhulma hailetii maendeleo hawawezi kuleta maendeleo wakati wanatoa roho za watu n kuiba mapesa
@mozakhamis72532 жыл бұрын
ndungu mwinyi poleni sana alla atufanyiye wepesi ishaalla mungu atampa tenzi aadhirike ishaalla amina
@raphaelkatanga53352 жыл бұрын
Bora Mara 10000 mwendazake🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kassimajmus20102 жыл бұрын
Dah!ufasaha alo nao huyu mzee umenipa mshangao kumbe wapemba wanaweza kuongea vizur kama hiv nilifkiri ni watu wa bara tuu...na kama watoto wamzee huyu watakua na akili na ufasaha kama wa baba yao basi haraka sana wajikite na kuisoma dini ya kiislam watu wapungue kusinzia zinapotolewa khutba na watu wasio na ufasaha
@safiamohamed6352 жыл бұрын
Maneno kumtu hali ni mbaya sana watu wanakula mlo mmoja kwa siku kweli Iyo haki
@mohdjuma12522 жыл бұрын
Msomaji wa kichwa cha habari hebu kisome vizuri. MWINYI JUMA ndie anaemwambia raisi MWINYI.
@motinihatibu21162 жыл бұрын
Ww mzee uko vizuri kbc lakin yote mwenyi anayona hayo
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Kuna dhulma nyingi sana zimepita Zanzibar sirahisi kukaa sawa ila kila alomdhulum mwenzake akae amuombe radhi.. hapo labda Mungu atakusahilishiyeni kwa kudra zake...tuu.
@ibugharib3892 жыл бұрын
Si rahisi DHULMA imeanza tokea 1964 mpaka leo inaendelea, hayo mashamba ya EKA pekee basi nchi haiwezi kuendelea.Allah atustiri tu yaarab.Bega kwa bega mpaka NCHI ikae sawa itoke kwenye mikono ya DHULMA wakubwa
@KhalidiBakar26 күн бұрын
Kwanza iyo dhulma ya kudhulumu rohozawatu tu Yani nahisi wasipotubu kwamoyo safi basi wanzanzibar sjui km tutaenda mbele😭😭😭
@mwatumsaidi51042 жыл бұрын
Maneno mazima mpemba mwenzangu
@fathimamct2322 жыл бұрын
Atembelee huko Ili aone na SI akae aOfisini tu hakuona marehemu magufuli watu wake walikuwa hawamdanganyi maanayake anatembea Kila sehemu alikuwa hadanganyiki.
@hajikhamishaji75482 жыл бұрын
Napenda Sana mawazo yako Ilajee ww ni mwenye njaa kama mm ukipewa ww tutakuwa na maisha memaaa au ya familia tu
@mustafaismail56222 жыл бұрын
Safiii sana anataka umaarufu wakipewa wao nyaa itaondoka
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Musikasirike Allah amemzungumzia kiongozi Wa nchi atakwenda kuizwa juu ya waja wake aliwaongoza vipi musikasirike anatakiwa aangaliye vizuri hali ilivo
@mozakhamis72532 жыл бұрын
wangejaribu. kuacha kuuwa na kunyanyasa watu waone nji nchi. itakavo badilika. mbona wako tayari kuuwa. kwakuwa madarakani
@rayasuleiman52052 жыл бұрын
Iv cc waswahili tuna nni?mtu akisema ukweli anatafuta umaaruf sasa tfanyeje jamen......
@hajikhamishaji75482 жыл бұрын
@@rayasuleiman5205 tatzo hamna mwana siasa mkweli Hilo amini tunapigana na kuuana masikini kw aajili ya kuwapa pesa hao ni ujinga inatakiwa tuelewe sisi mm binatc nawachukia wanasiasa wote Wala sibagui chama Mana nshawaona wakisoma na jinsi yao na maelezo wanayopewa nikajua siasa ni ugomvi na uongo tu
@allyhassan71692 жыл бұрын
Mh rais mwinyi chunquza vizuri kama kionqozi fata nyayo za saidna abubakar kuhusu watu wako ni mtihani wako huo siku ya siku mtetezi siku hiyo ni amali yako tu hakuna bodqard siku nqumu sana kama serikali tuma watu chunquza hiyo hali kwasababu hizi sauti za watu kuhusu njaa zimezidi wenqine tupo nje ya visiwa lakini sauti kila kukicha zinasikika maskioni mwetu hali nqumu sana mheshimiwa tunakupenda tunaipenda nchi yetu
@abulfadhwil37332 жыл бұрын
Ata waso na dini wanalalamika hahahaha
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
@@abulfadhwil3733 njaa haichagui na kiongozi hajaambiwa awaangaliye wenye dini tu ameamrishwa kiongozi awaangaliye watu anaowaongoza bila kuchagua
@mohdjuma12522 жыл бұрын
Maelezo ya bwana Mwinyi yanakubalika na ni ya kuhuzunisha sana. Ingekuwa jambo la busara baada ya bwana Mwinyi kuielezea hali halisi ya maisha vijijini basi ange toa rai lipi lifanyike kuikoa hio hali. Nasema hivi kwa nia safi. Hakuna ulazima bw. Mwinyi awe na ushauri na ikiwa hana ushauri asiseme la hasha, kutokana na uzito wa suala hili ni jukumu la kila mmoja wetu kuchangia mawazo yake.
@planetstours11392 жыл бұрын
Thanks Ujumbe umefika
@planetstours11392 жыл бұрын
Asante sana kwa alert yako
@w40582 жыл бұрын
Anaju vizuri huyo
@MAPETEE2 жыл бұрын
Kweli kabisa wallah njaa tupu
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Maneno yamenihuzunisha, kula ya mwananchi wa chini mlo 1 au akose kabisa😭.
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Ni shida haki !
@noffelsalim8302 жыл бұрын
Ata bado tutakufa kwa njaa, mwinyi hayajui ayo, utaskia watu wafanye mazoezi haya jamaa mazoezi na njaa tokea lini?? Hana lazima ya mwiny kuambia shida za wananchi yeye mwenyewe anatakiwa afuatilie ili ajue shida za wananchi mitaani .
Wazanzibar sikilizeni nyinyi kinacho kusibuni ni muungano tu hakuna chochote kile zanzibar ina watu million 5 watu hao wote asibaki hata mtoto mdogo wote wanatakiwa wawe ni watu waserekali pia mutapaswa muajiri watu kutoka nchi jirani lakini vunjeni muungano mufanye yenu wachini ujinga nyinyi
@BimkubwaJuma-ew5dg4 ай бұрын
Duwa kwa wingi nae mh wetu anatamani kila mmoja ajiweze
@muhammadfadhil94422 жыл бұрын
Siwezi kusema huyo jamaa anaongopea
@husnamohamed92452 жыл бұрын
Jamani nimeenda pemba mkowsni njaa tupu najiuliza watu wanaidhi vipi? Pemba maisha magumuuuuu yaani kukavu kuna njaaa pemba jamani kasoro kufukiwa tu. Inasikitisha sana.
@omarjuma36782 жыл бұрын
Hali mbaya jaman wanaonufaika wachache tu. Maneno yako atajenga lkn ataakimaliza kujenga atakaa pekee yake kweny majumba soote tutakua tushakufa
@dula35702 жыл бұрын
Hahhhhh
@hassanbravo74123 ай бұрын
Mungu atatufanyia wepec kw vle yy ndio mtoa riziki Kwa watu wote ... Ila ukweli ni kwamba serekali haipo Kwa ajili ya wananchi, wapo Kwa ajili ya maslahi yao l, wanaiba pesa za umma, nchi Imejaa zulma, hakuna haki, Wala hawana dini na ndivy wanavyosema, Sasa Kwa kauli kama hii ya kwamba serekali haina dini ni kosa kubwa sana Kwa mungu.... Sasa ss tunatakiw tupambane ss wenyew bila ya kuitegemea serekali, tumtegemee tu mung inshallah.....na sijui ni Kwa nn baadh ya watu wajing mpaka Leo wanaendelea kudanganyw ety ikifka kipind Cha kupiga kura bado wanaend, ni ujing tu tungewaacha wenyew tu wapige kura na familia zao
@muhammedwakif62162 жыл бұрын
Very true
@adilhabib89882 жыл бұрын
Wallah walimdhulumu alikufa na kinyongo yule wali mdhulumu
@ghulamhaji78562 ай бұрын
Njaa kali pambana hakuna atakuletea chakula
@aishahaji31282 жыл бұрын
Kweli unasema tunaumia sana wananchi
@muukwacha60182 жыл бұрын
Nyie muana mwinyitu uo mda wakukaa umo maskani kafanyeni kazi mkikosa kapige mashine ndani hakuna riski kwa binaadam mwenzio #TUACHENI UMWINYI
@alimbarouk29362 жыл бұрын
swadaqta mambo magumu haina shaka kila mmoja achukuwe nafac serikali ichukuwe hatuwa kubadilisha hali ya uchume lkn na watu waache vitendo viovu hasa kubaka watoto na kuuza unga nao hayo ni vikwazo kwa ustawi wa jamii
@rastafare8782 жыл бұрын
Ubakaji utaondoka ikiwa vyanzo vitaondoka Kwa mfano , mitandao ya ngono, Wenda uchi Na makahaba pamoja Na mabaa serikali Inapaswa iyondoshe kwanza haya
@sidesaid46042 жыл бұрын
UTAVUNJWA MIGUU WEWEEEE.....
@othmanalnabhany32082 жыл бұрын
Dhulma dhulma dhulma wallahi dhulma inaleta dhiki inaleta ufukara viongozi mnaotawala kimabavu kumbukeni nyinyi ndio sababu ya majanga ktk taifa lkn pia wanachi tujitahidini pia kurudi kwa Allah kufanya ibada kwa wingi kwan hutuondoshea matatizo meengi ktk nchi kwan hata hawa madhalim pia Mola anatuepusha nao
@kennyrogers47342 жыл бұрын
Hongera sana mzee umetema nyongo ila hii nchi yetu ukiongea ukweli kama mzee Baraka unaambiwa wewe msaliti kesho utakutwa Micheweni mashamba ya karafuu umevunjwa miguu
@allyyussufshuwari45082 жыл бұрын
Hali ya maisha ipo tokea Zaman maalim ni mtu hawezi kuondoka na rizki za watu turudini kwa mola wetu susi ni waislamu hili pigo kutoka kwa muumba wetu
@mustafaismail56222 жыл бұрын
Wacha ushirikina mana huyo sefu alikuwa anatowa riski acha kumkweza mtu ndo tabiya yenu tu ya wizi na zulma acheni shirk
@kassimajmus20102 жыл бұрын
Tahiid imekosekan ndo tatizo la dhiki yote hii kwasababu tunatak maisha mazur lkn kumfanyia Allah anavotak hatutaki
@suleimansaid26332 жыл бұрын
Hayo mambo yapo tokea zamani kubwa tujiulize nini la kufanya kutatua matatizo. Na hivyo vyama ndio matatizo zaid
@aishahaji31282 жыл бұрын
Hao walioko chinimyake ambao anawa,ini ndio wanaomumiza Raisi wetu
@aishahaji31282 жыл бұрын
Hubu fatilia Raisi wetu wasa9dizi wk wanakumiza
@aishahaji31282 жыл бұрын
Raisi wetu ni mtendaji kiukweli ila wao wafuasi wake sio
sio vijijini mzee ata uku mjini hakukalik tatzo sio vita tatzo tozo zaman kulikua kuna vat
@omarhamadomar88322 жыл бұрын
Hapa umeongea ukweli
@hasbunakhamis4872 жыл бұрын
Kwel
@fathimamct2322 жыл бұрын
Dunia ni kibidibidu mpemba ala sembe hivi Sasa ama kweli ni maajabu enzi hizo mpemba ulikuwa humlishi sembe ni msambwija mugogo wa Samaki wali chapati mandazi na vyenginezo .
@rayasuleiman52052 жыл бұрын
Ukikosa la mama ata la mbwa utanyonya!!!
@mozakhamis72532 жыл бұрын
swadackita. maneno mazima. na huyo raisi ni feki tu. na hiyo nchaaa. nawatu wote. ni mtihani mkubwa uliopo. na ukweli. mtupu. huyo munaemuita raisi yeye ndiye anaye sababisha hiyo njaaa.
@planetstours11392 жыл бұрын
Haraka sana Tunaomba ezypesa/ tigo pesa relief Haraka sana
@rastafare8782 жыл бұрын
Umekusudia nini
@planetstours11392 жыл бұрын
Pia tunaomba numba yako mheshimiwa
@saidhassan77792 жыл бұрын
MIAKA MITANO TUU MARA HII
@lusakaone77822 жыл бұрын
Na kwetu ni hivyohivyo bro
@abdulhakimjuma91122 жыл бұрын
Sisi chakufanya tuidai zanzibar tu ndio solution mana hivi vyama wanavisimamia wao pia
@zaytunhijja67712 жыл бұрын
Hahahaaa nenda uko bara ukaawaambie wapemba hivo uone utakavojibiwa ww maskini wenzio wameekeza kule matako ww
@abdulhakimjuma91122 жыл бұрын
Kuekeza kule sio tatizo watu wameekeza mpaka ulaya tumeungananao nao kwani ?
@amorthaniy69502 жыл бұрын
Kiongozi umesema mazito ya uhakika..nakufaham vyema kw sabab tumekua wote marakadhaa ktk utumishi wa Taasisi.. lkn kikubwa hapa sio kua Mwinyi hajui hali lkn wanaendelea na ule usemi wananchi watakula dongo lkn wao wabaki madarakani...Dhulma haidumu na ikidumu huangamiza
@amamossi42034 ай бұрын
Nastaghfirullah
@fatmasaid97652 жыл бұрын
Eti atakuja jenga inchi akose wakaazi maana watakua washakufa kwa njaa😂😂 siyakucheka lakini nimecheka Allah atufanyie wepesi
@aliabdallah51832 жыл бұрын
Hata mimi nimecheka huyo jamaa hatari
@fatmasaid97652 жыл бұрын
@@aliabdallah5183 hatari kweli maneno yake ya maana
@aliabdallah51832 жыл бұрын
@@fatmasaid9765 huyo jamaa hakosei
@salumshaib25282 жыл бұрын
Acha shirki malim seif hakuwa mungu ni binadamu kama sisi neema ipi aloondoka nayoooo????
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
Khaa kuna shiriki wapi hapo mbona mna chuki na hasadi
@salumshaib25282 жыл бұрын
@@lilianmakwati5228 twambie hizo Neema alizoondoka nazo basi,musije mukafika kama wana wa lsrael tu lssa kusema ni mungu
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
@@salumshaib2528 je kwa mfano kafiri umwambie uislamu ni dini isiyokuwa na shaka anaweza kukuamini ?
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Jamani Unguja na Pemba neema zimeondoka zamani na nyiye wenyewe mnajuwa kwa DHULMA zilopita. Siyo yakucheka zamani vitu vya maana vilikuwa vikiuzwa shilling 3,4 sasa vinauzwa laki tatu laki saba million vipi wananchi wanaweza kuishi??? Hospital dawa zikitolewa bure kwa wagonjwa sasa mgonjwa hawezi kumiliki pesa za kununuwa dawa na mengi...Muombeni Mungu akurejesheeni NEEMA alokuondosheeni..hakuna MWENGINE..
@musachande73002 жыл бұрын
Ameshatulia mitajiyetu yote
@wakwetu24442 жыл бұрын
Dhulma haijengi.
@sabihamakami37202 жыл бұрын
Mtihni kiukweli
@maryamalli90902 жыл бұрын
Kila aonae maisha magumu arudi kwao pemba
@aminamohdnimejifunzakupiti56212 жыл бұрын
Hiyo aliyezungumza kazungumzia zaidi Pemba au Jina masikio? Zako ni chuki
@thanimosi89062 жыл бұрын
Twambie tu ulitaka kumkufuru Allah na kumtukuza Sefle Shariff . Maalim alikuwa ni nani hata aondeke na barka kasome Quran utaelewa kuwa toka enzi hzo Hali km hii ishatokea mbona peleka mbele huko siasa zako
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
Pole kwa ugonjwa wa chuki na hasadi
@kinkybanjukome2172 жыл бұрын
I think you are sefle hundred times pussy cat
@mustafaismail56222 жыл бұрын
Washirikina hao
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
@@mustafaismail5622 huenda anaemwambia mwenzie ni mshirikina akawa yeye ndio mshirikina mzee acha ulofa na roho ya kwa nini