MWISHO: BORA NIFE 11/11 | Season II | SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

  Рет қаралды 6,456

Simulizi Mix

Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@sellenasellena5475
@sellenasellena5475 3 жыл бұрын
Hakika mvumilivu hula mbivu acha remsey ale mbivu kwa uvumilivu wake pamoja sana 👌👌👌
@tambwefatuuma5378
@tambwefatuuma5378 2 жыл бұрын
Jamani nimejifunza jambo shukrani simulizi nzuri Sana hongerani Jimi ivadiya Ramsi lidiya,,,,,,
@janethkashele3192
@janethkashele3192 2 жыл бұрын
Herry mpilly safi sana
@leilasadick5477
@leilasadick5477 3 жыл бұрын
Nime wahi leoo🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 3 жыл бұрын
Haaaa we Hilo gema mbn htre
@saragh1243
@saragh1243 3 жыл бұрын
Asante sana simulizi mix pamoja na felix mwenda kuitimisha bora nife
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 3 жыл бұрын
Herry mpil new Edgar mbogo ❤❤❤❤❤Umetisha sana Herry mpili asante sana felix 😘😘😘😘😘😘
@Simulizicreation
@Simulizicreation 3 жыл бұрын
Shukran san sana
@marthajohn9120
@marthajohn9120 3 жыл бұрын
Asante sana simulizi mix na kaka felix mwenda kwa sauti nzuri na herry mpilly kwa utunzi mahiri big up za dhati kwenu na sisi tumejifuza
@winniewairimu3822
@winniewairimu3822 3 жыл бұрын
Bora nife,lakini hafi mtu hapo asante heri mpili na mkuu wa sauti felix
@husnashindano1192
@husnashindano1192 3 жыл бұрын
Tusipo Sema Asante tutakuwa Atuna fazila Asanteni Sana Simulizimix shukran za dhati zije kwako Herry Mpilly kwa Simulizi tamu Asante Sana Felix Mwenda kwa sauti tamuu mtu wetu Mwakan In Shaa Allah unikumbushe Zawadi zako Kwan nyny wadau munasemaje? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@Simulizicreation
@Simulizicreation 3 жыл бұрын
Shukran san
@nibigiramwajuma7925
@nibigiramwajuma7925 3 жыл бұрын
Hatimae tumefika tamati kwa simulizi nzuri mbarikiwe sana felix mwenda na herry mpily
@elizabethbarasa5832
@elizabethbarasa5832 2 жыл бұрын
Tamu hiyo!!!Bonge la Simulizi .... blessings 🙏🙏 🙏 be blessed.
@janethkashele3192
@janethkashele3192 2 жыл бұрын
Napenda sana utunzi wenu edga mbogo na Jerry mpilly
@janethkashele3192
@janethkashele3192 2 жыл бұрын
Herry mpilly
@mariamhaliki8976
@mariamhaliki8976 3 жыл бұрын
Mambo c hay bhana ndo maan nawapendaga simliz mix santen😍
@aleemaleem2512
@aleemaleem2512 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo nawapenda sanaa😘😘✌
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Yani umefanya vizuri kuituma nibora nilale nikiwa na amani
@abdalahasssni4759
@abdalahasssni4759 3 жыл бұрын
Mwaaaaaaa felix asante sana
@ندوش-و2ك
@ندوش-و2ك 3 жыл бұрын
Asante sana simulizi mix tumefika mwisho pongezi kwa Felix
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 3 жыл бұрын
Woooiye muvumilivu ula mbivu ni 🔥🔥🔥🔥🔥❤baadaa ya dhiki ni furaha nimejifunza mengi sana be blessed all SIMULIZIMIX
@rayabulisaid432
@rayabulisaid432 3 жыл бұрын
Nzur kwel asante sana kaka felix
@stellanjoka4094
@stellanjoka4094 3 жыл бұрын
Yaani herry mpilly ako pamba tu pamba with Edgar mbogo....waandishi bora kweli kweli Asanteni sana simulizi mix wote kwa jumla ...mnafanya maisha yangu kuwa bora day by day ...especially this hard time and away from my family in search of green pastures Mob love guys🥰🥰🥰🥰🥰 Felix mwenda kwenye mic..hongeraaaa kaka
@Simulizicreation
@Simulizicreation 3 жыл бұрын
Shukran boss
@rehemarehema1145
@rehemarehema1145 3 жыл бұрын
Wow hatimae safari imefika kikomo,shukran sana nyote washiriki na wenzangu wafuasi wa simulizi mix
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Asante sana kaka mungu awajaalie
@zuusuley9112
@zuusuley9112 3 жыл бұрын
Shukran sana Felix na herry baraka ziwe juu yenu...😍😍
@marymatanga2028
@marymatanga2028 3 жыл бұрын
Namba 1 Finally byeee Bora nife asnt bro
@zainabubahati3976
@zainabubahati3976 3 жыл бұрын
Waooo,asante saana kaka Felix na Herry Mpilly kwa Simulizi nzuri Mungu awabariki
@aminayusuf2583
@aminayusuf2583 3 жыл бұрын
Woyoooo hatimae tumemaliza , asnt sana kwa simuliz traamuuuu 😘
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 3 жыл бұрын
Wooow hatimaee tumemalizaa sasa tuhamiee kwa kifo cha hawara hhhhhhhhh mtu anaendaa mpelelezaa jini khaaa asatee sana simulizi mix mungu aendelee kuwabarikii zaidi na zaidii
@vero756
@vero756 3 жыл бұрын
Asante sana kwa simulizi nzuri
@irenepeter6013
@irenepeter6013 3 жыл бұрын
At last Ramsey amefutwa machozi,,,,,,,,big up to Herry Mpilly na Simulizi Mix as a team👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@tauhidasheha1118
@tauhidasheha1118 3 жыл бұрын
Mwenzenu leo nimemwaga machozi kwa masuali ya mtt kwa babake😭
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 3 жыл бұрын
Ndaini ya mda
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 3 жыл бұрын
Asante sana kutu buridisha. Nakutupa maneno yenye busara
@blackboitzmabucha9023
@blackboitzmabucha9023 3 жыл бұрын
Asant simulix mix leta moto mwengine
@aminaaminatuhabibusaidi5658
@aminaaminatuhabibusaidi5658 2 жыл бұрын
Yani hii simuliz hadi naimaliza nilikua nafurahia mwanzo mwisho Hongera Sana kaka mtoto wamwenda
@aishagarcia733
@aishagarcia733 3 жыл бұрын
Asante sn nimejifunza jambo kwenye hii simulizi 🙏
@salmakea7797
@salmakea7797 3 жыл бұрын
Tumefika mwisho asante sana simulizi mix
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Tumfika tamti pamja Sana alhamdhulillah wote simulizi mix😍😍😍😍❤️
@neemakadzo7855
@neemakadzo7855 3 жыл бұрын
Kweli utavuna ulicho kipanda na wema sikuzote hauozi asante sana kaka felix kwa simulizi nimekua makini tangu mwadzo hadi mwisho
@uwimanaberyse4rgh502
@uwimanaberyse4rgh502 3 жыл бұрын
Waoo shukurn san simurizi mix asante sana
@slellahpaul2399
@slellahpaul2399 3 жыл бұрын
Wahooó shukran Sana simuliz mix
@Muheramaneva
@Muheramaneva 6 ай бұрын
Jamani sijalala mimi sakumi ndio namalizia 🎉🎉🎉🎉
@sarahsarah4919
@sarahsarah4919 3 жыл бұрын
Asateni Sana simlizi mix fellix mweda herry mpilly mbalikiwe Sana
@salmazwallo8720
@salmazwallo8720 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhh nimeipendaa hinyo ya kufumaniana ukimwangaa mbonga mm namwangaa ungalii hakii daah ilaa so mbaya walibadilishanaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@margretmonday4617
@margretmonday4617 3 жыл бұрын
Poa sana 👍👍😭😭💋💋❤
@saphinaibrahim725
@saphinaibrahim725 3 жыл бұрын
Asnt
@Muheramaneva
@Muheramaneva 6 ай бұрын
Mtoto ameniliza mimi🎉🎉🎉🎉
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Herry mpilly new Edger mbongo ❤❤❤
@monajafar4473
@monajafar4473 2 жыл бұрын
Wooh hii cmulizi niyakujifunze sana patamu
@jahatanzania2667
@jahatanzania2667 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa kigongo kizur unani fanya nisilale kwa simuliz zako
@sabrakhamis4585
@sabrakhamis4585 3 жыл бұрын
Shukran saana😘❤
@mhabimina4023
@mhabimina4023 2 жыл бұрын
Wouuh nice story 🔥🔥👌
@elizabethmulunda8400
@elizabethmulunda8400 3 жыл бұрын
Nimesoma kitu kweli hakika ni simulizi tamu
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Wema hauwozi Wala hauna kaburi
@nzorabashaban2610
@nzorabashaban2610 3 жыл бұрын
Saf saan kwa simuliz zenu bora nife
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 3 жыл бұрын
Shukran Sana simulizi mix mngu awabariki
@monajafar4473
@monajafar4473 2 жыл бұрын
Naapangalo mungu hakuna wakupangua
@umisidi1816
@umisidi1816 3 жыл бұрын
Mungu amesikia dua zangu😂😂
@leilasadick5477
@leilasadick5477 3 жыл бұрын
Ulikua una ombanini🤣🤣🤣🤣
@umisidi1816
@umisidi1816 3 жыл бұрын
@@leilasadick5477 😂😂😂imalizike ninywe maji ya shuke daaaaaa yalikuwa haya shuki moje kooni
@leilasadick5477
@leilasadick5477 3 жыл бұрын
@@umisidi1816 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Amanaoman
@Amanaoman 3 жыл бұрын
Mwishooooo shukrani simulizi mix
@lavenalol5944
@lavenalol5944 3 жыл бұрын
Asante sana kk felx na asante sana edga baba
@aminasuleiman3825
@aminasuleiman3825 3 жыл бұрын
tunamalizia hiyoo hamna wa kufa hapa wewee
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 3 жыл бұрын
Asant kk felyx mwenda na Eli mpili
@رحمهعمر-ي4غ
@رحمهعمر-ي4غ 3 жыл бұрын
💕💕💕💕💕💕
@bbrsssaad1282
@bbrsssaad1282 3 жыл бұрын
Thnx
@haraisarajabu2311
@haraisarajabu2311 3 жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@chantalmavandu4950
@chantalmavandu4950 2 жыл бұрын
Shukrani kubwa
@umisidi1816
@umisidi1816 3 жыл бұрын
Akalau tutameza maji yashukekooni daaaaa heri imeisha kiroho juu
@zuusuley9112
@zuusuley9112 3 жыл бұрын
Ndo naiona leo jana sijaiona etyy😀😀
@maguga
@maguga 3 жыл бұрын
Hii nikiboko nimejifunza kuto kataa tamaa kwakila jambo
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Wema wa maskini siku zote hauwozi😏
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 жыл бұрын
Ride or die 😂😂😂❤️❤️❤️
@monajafar4473
@monajafar4473 2 жыл бұрын
Patamu hapo huo ndio upendo wa dhati
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 3 жыл бұрын
Asantee
@fatmarashed6918
@fatmarashed6918 3 жыл бұрын
Shukurani
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 6 ай бұрын
To be continued
@kiyrachinedu8279
@kiyrachinedu8279 3 жыл бұрын
Ninzur
@monajafar4473
@monajafar4473 2 жыл бұрын
Nitamamu kifo cha hawara nikila cku cwa nairudia
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730 3 жыл бұрын
😭🔥🔥🔥🥰🥰
@masukazu7989
@masukazu7989 3 жыл бұрын
Hawa wazee aise sasa kununiana kwanini wakati ngoma ilienda drow walibalishana wake ama kweli wanaume wanapenda kufanya na sio kufanyiwa
@monajafar4473
@monajafar4473 2 жыл бұрын
Hakuna mtu ayejua kesho yake vijana watakikana wajifunze kutoka kwa rams
@aleemaleem2512
@aleemaleem2512 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo nawapenda sanaa😘😘✌
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 3 жыл бұрын
Asantee
SOPHIA, SIMULIZI FUPI YA MAPENZI.
3:26:07
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 145 М.
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
Kibibi cha msituni 1. by master
8:51
Simulizi za Huss*
Рет қаралды 9 М.
BORA NIFE 11/12 | Season I | SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.
44:10
MPYA, INSPECTOR KONYA 1 & 2 ; SIMULIZI YA KIPELELEZI BY D'OEN
2:12:29
NYUMBA YA MAJINI: SIMULIZI YA SAUTI BY FELIX MWENDA
1:53:19
Simulizi Mix
Рет қаралды 9 М.
How To Speak Fluently In English About Almost Anything
1:49:55
EnglishAnyone
Рет қаралды 3,3 МЛН
who and what are you part 2 by: As-Sayyid Al Imaam Isa Al Haadi Al Mahdi
12:25
The Off Grid Producer
Рет қаралды 10 М.