Mashujaa kwelikweli, roho zenu zimpumzike kwa amaani bila kusahau Alicia,asante kaka felix kwa kazi nzuri,pongezi👏👏👏👏
@Adonai8102 жыл бұрын
POOR ALISHA, BELINDA..😪😪😪. THIS IS REALLY PAINFUL. THIS LIFE TRULY HAS NO BALANCE. 🔥🔥VERY EDUCATIVE MR FELIX.
@monajafar44732 жыл бұрын
Shukran mtunzi na mcmulizi mahiri f mwenda tumejifunza mengi kwa hakika
@monajafar44732 жыл бұрын
Tamaa yako baba ss mwamdhalilisha mtoto asokuwa na hatia
@evalineedwardsuzanne98622 жыл бұрын
Shukurani sana simulizi mix na Felix
@catherinemuhagama73382 жыл бұрын
Nmejifunza kila mtu abebe msalaba wake maswala ya kubebeana tumwachie masiha🥺
@ney23082 жыл бұрын
🥺🥺inahuzunisha
@puritylobun53132 жыл бұрын
Kwa hakika nimejifunza.. Asante sana msimulizi wangu Felix mwenda
@halimashaib91022 жыл бұрын
Nimejifunza Sana kaka Felix uzuri wao hawakuharibu Mali kwa uasherati. Thanks prosper n Belinda for opening prob fund
@lilianeerica33182 жыл бұрын
RIP🥺🥺🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@mariamhaliki4112 жыл бұрын
Wale dada zake prospa waliishia wapi.ila tamu
@nurafedrick3782 жыл бұрын
Belnder hukumtendea mtoto haki sikuulijua nyinyi niwaathirika ungeazisha mtoto dawa kidogoo angekuwa nafuu kabisaaa.... Mm kama mm huo moyoo sina etii mtuu amenitesaaa halafuu nijemsaidia?nanikasema lini wapi kambo rip rohoo mbaya
@saraasatenisanasimlizimixc92322 жыл бұрын
Asate sana simlizi mix fellix mweda Mbalikiwe sana tumeitimisha hatimae leo
@monajafar44732 жыл бұрын
Ya umiza sana na kwani cwampeleke oc apate matibabu wa muacha mtoto yuwateseka
@zobaidhyounis70872 жыл бұрын
Hakika amekufa bila atia
@diddahjay21852 жыл бұрын
Alisha kazaliwa tarehe sawa na yngu,😭😭😭
@mwanahawayunus36532 жыл бұрын
Shukran
@mezeaali45592 жыл бұрын
Simulizi inauzunisha sana😭😭
@loycesospeter14972 жыл бұрын
Mbona sijaona Elishia na Belinda kupima afya na kupata majibu, walichukulia majibu ya Prosper tu