Wakina dada acheni wizi kazini hata kama ndio kupambana na kulipa madeni lakinni sio hivyo jamani... Aibu kwa KIBOGA
Пікірлер: 408
@samiasalum96909 күн бұрын
Napenda joti akicheza character ya kiboga, hongera sana hakika unajua,wanaopenda kama Mimi like hapa
@davismtui359810 күн бұрын
Leo Joti Kauwa 😂😂😂😂😂after the long wait Leo joti kauwa 😂
@irineanyango486810 күн бұрын
I love this character 😂😂
@user-vb6cl5fy6l11 күн бұрын
Namm nipewe like hata moja jaman siyo kwakuwah huko
@AminiMsellem-gk3yy10 күн бұрын
@@user-vb6cl5fy6l usikute mwanaume kabisa eti oooohhh n'a mimi like zangu dah kama Juma lokole vile 🤣🤣🤣
@faidamuhamed301110 күн бұрын
Wewe ni mdada?
@fathiyahmuzney736710 күн бұрын
@@faidamuhamed3011😂😂😂😂😂
@Blackmuslimtiger10 күн бұрын
Hutaki mkia??? Unataka like?😂😂😂acha umama na kama ww ni mama basi unazeeka vibaya
@MohammedVuai10 күн бұрын
Hutak maji ???
@davidmsigwa643810 күн бұрын
Aliyegundua location ya ni shishi food gonga like🥰
@user-uh7to2kw2z10 күн бұрын
Huyu dada kafanana na snura😂
@rehemahassan747510 күн бұрын
Saana, wamefanana mno
@user-uh7to2kw2z10 күн бұрын
@@rehemahassan7475 kabisa
@JamesReuben-gt8up10 күн бұрын
Kwelii kbsaaa
@laddyfaida10 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@michomichael411110 күн бұрын
Mwenyewe huyo
@ablemethod541410 күн бұрын
Hilo tabasamu la meneja sasa😂😂😂chapati piza 😂😂😂
@MeshackMnyenyelwa-j6g10 күн бұрын
Nakukubali sana mdogo wangu jott👍
@RazakiMatochi11 күн бұрын
Dah tulimmic sana kiboga Bora amerudi.
@Magehemaj10 күн бұрын
Hajaolewa bado nikupe namba yake 😂😂😂😂😂😂😂
@KhalidNa-bn4gp10 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@Magehemaj
@Magehemaj10 күн бұрын
@@KhalidNa-bn4gp maana kiboga ndoa zote hua zinavunjika
@rosemahenge907110 күн бұрын
Sema ulimiss character ya Kiboga 😂😂maana yeye yupogo tu siku zote
@rashdiyange775810 күн бұрын
Walah nime cheka leo mpaka nime anguka kwenye kitanda apa mamaeee joti we habar ingine na ndo tabia zao ao wasenge manina zao ata kiagiza kuku wanatoa vipande😂😂😂
@cristaezekiel103610 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Kiboga anakula chapat za wateja 😂😂😂😂😂😂😂😂
@happytitus211910 күн бұрын
Kubabakeee kafumwa 😂😂😂
@juanajuan319810 күн бұрын
Jamaa kageuka na kuwapa dole wateja Kwamba kila Kitu ni Sawa amenimaliza😅😅😅😅😅