NYUMBA YANGU

  Рет қаралды 164,147

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Пікірлер: 278
@modex_0376
@modex_0376 4 ай бұрын
Ukisoma soma comment hii bila kupita n kunipatiya like mungu Akupatiye Umri Mrefuu in Shaa Allah
@mwinyimustafa3227
@mwinyimustafa3227 4 ай бұрын
Huyu ndo mr. bean wa Tanzania. Safi sana joti kimbia100
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 4 ай бұрын
Kazi nzuri 👊 joti sema umefanya vizuri kuongeza wasanii
@Charleskulwa-hp5ow
@Charleskulwa-hp5ow 4 ай бұрын
Hongera sana joti kazinzuri sana 🔥🔥🔥
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 4 ай бұрын
Jot nimekupenda Bure kuchukua huyo dada na Mama huyo safi sana.Wanaweza wanaweza Tena ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@imoblata4688
@imoblata4688 4 ай бұрын
umetisha ni nomaaaa sna ila nanga ndio anauaga siku zte hahahaha
@Astinbray
@Astinbray 4 ай бұрын
Dah😂😂 joti noma sana tujadili wananchi ujengewe sanamu kariakoo
@ChingaKenboy-fz8yr
@ChingaKenboy-fz8yr 4 ай бұрын
Nawapenda kwa ushirikiano wenu wa kazi nyote kila mtu anauwezo wake apo 🎉🎉🎉🎉 nawaombea kwa mungu
@mlewa_official
@mlewa_official 4 ай бұрын
Aminaa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
​@@mlewa_officialNakubali sana mlewa❤🎉
@issamakau5841
@issamakau5841 4 ай бұрын
Haya ni maisha wanayopitia baadhi ya watu duniani.....safi sana
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 3 ай бұрын
watubwanalundikana ukipata tatz wanakukwepaaaa woteeeee😂😂😂
@jblmunis8784
@jblmunis8784 4 ай бұрын
Mzee wa mmh! Kazngua badala ya kusema mjomba anaigiza yey anasema babu😅
@alexpaul2981
@alexpaul2981 4 ай бұрын
Sema Askari anajua sana😂😂
@DanielGood-m8l
@DanielGood-m8l 4 ай бұрын
Kanyinyi yuko fresh ,,,,
@NewPhone-oh7ge
@NewPhone-oh7ge 4 ай бұрын
Babu kachoka kukaa na ndugu 😂😂😂😂
@alexpaul2981
@alexpaul2981 4 ай бұрын
Mama waongo babu anaigiza njooni muone😂😂😂, au joti kwann usitoe muendelezo
@AmoriAmori-i4w
@AmoriAmori-i4w 4 ай бұрын
Itapendeza akitoa muendelezo,joti malizia hyo video
@harithmohd6318
@harithmohd6318 4 ай бұрын
Nimeamin mtegemea cha ndgu au urisi hufa miguu juu kama mende nishai umeuwa🎉😂
@gottaboy4178
@gottaboy4178 4 ай бұрын
Ila huyo dogo alierudia charger, amenifanya nicheke kwa sauti....🙌🙌🙌
@ngarokajr.9580
@ngarokajr.9580 2 ай бұрын
😂😂😂
@namdigumagwenge193
@namdigumagwenge193 4 ай бұрын
Nanga jamani kama huyo joti Popote anaweza ❤❤🎉
@hajindeka1511
@hajindeka1511 4 ай бұрын
Lijinga linaubunifu sana pongezi kwako kazi nzuri
@ElísioMadimba
@ElísioMadimba 4 ай бұрын
From Mozambique I need like❤ na joti kazi mzuli soon ya tamkuta Harmonize, kukopa Safi kulipa mbaya😂
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 4 ай бұрын
Never disappoint jotiii
@FlorenceDDR
@FlorenceDDR 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mmezidi, katafuteni kwenu 🤣 vin'gan'ganizi wakubwa 🤣
@Calvin-jv6ri
@Calvin-jv6ri 4 ай бұрын
Joti kiboko😂😂
@AmriMzeru
@AmriMzeru 4 ай бұрын
😂frome Trinidad and Tobago love much broo
@AllieOchu2395
@AllieOchu2395 4 ай бұрын
Nilikuwa nasubir tu hiyo mmmh mhhhhhhhhhhhhhhh mwanangu J wakusmater
@pastorheri715
@pastorheri715 3 ай бұрын
Babu anaigiza!! Tafuteni kwenuuu 😊
@mashakamarsel9737
@mashakamarsel9737 4 ай бұрын
Wakwanza Leo from Zimbabwe naombeni like zangu hapa
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 4 ай бұрын
Zimbabwe ya kwiyoooo😂
@IluMshana-ni8xf
@IluMshana-ni8xf 4 ай бұрын
Zimbabwe mako mnaomba like😂😂😂😂nimeogopa sana
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 4 ай бұрын
Alafu mwanaume mzima unaomba like 😂😂😂
@user-zairo3ki1m
@user-zairo3ki1m 4 ай бұрын
Zitakusaidia nini
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 4 ай бұрын
@@mashakamarsel9737 alafu mwanaume mzima masikini anaomba like 🤣🤣🤣
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Joti au unawafukuza ndugu kijanja 😂😂😂😂😂mana sio kwa kujazana huko 😂😂😂😂
@rabaniAmri
@rabaniAmri 4 ай бұрын
yani joti ww kwangu famiria nakubali kazi zaco❤❤❤❤
@BabyCharles-jl3gv
@BabyCharles-jl3gv 4 ай бұрын
Ila jamani timu nzima hii tuipee pongezii jamanj😂😂
@Madicotheboy
@Madicotheboy 4 ай бұрын
Jot😂😂😂😂 wenoma sana
@GodfreyRItuwe
@GodfreyRItuwe 4 ай бұрын
Hii mbinu safi sana hii, hapa nakupa 5
@Marjeby
@Marjeby 4 ай бұрын
😂😂😂😂 mmmmmmmmhhh inaniuwaga sana hiyo aiseee
@molyrics1213
@molyrics1213 4 ай бұрын
Joti hulali kaka haaaa😮
@mbarderonly5874
@mbarderonly5874 4 ай бұрын
Hii Kali ingekuwa na muendelezo
@MeshackMnyenyelwa-j6g
@MeshackMnyenyelwa-j6g 4 ай бұрын
Hahahaha😂😂😂😂 nimecheka Asubuhi Asubuhi
@prosperkisumbe5612
@prosperkisumbe5612 4 ай бұрын
Ngoja leo tuone wakudai wa kwanzaa nanga na joti mmeweza hahahaaaaas
@aishaMape-jc4ef
@aishaMape-jc4ef 4 ай бұрын
Hao ndio binaadam kazi nzuri🎉🎉🎉🎉 yako
@bonifacemizambwa2251
@bonifacemizambwa2251 4 ай бұрын
Hii ya mzee nili imic sana bado ya kiboga jot
@wilsonmalaji4133
@wilsonmalaji4133 4 ай бұрын
Onesha , walivyo jua umewadanganya kupitia huyo dogo , walirudi vipi😅
@danielcleverest548
@danielcleverest548 4 ай бұрын
😂😂😂 Aisee!!!!
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂Et mi mdogo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@MashaMwakindangi
@MashaMwakindangi 4 ай бұрын
😂😂😂😂joti akili kubwa nimejifunza kitu
@JohnsonKatagira
@JohnsonKatagira 4 ай бұрын
Ila babu kaju ni mwamba kweli😅😅😅
@blackpanther4825
@blackpanther4825 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 from dubai baby
@godfreymvamba9246
@godfreymvamba9246 4 ай бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Ilq ndugu
@NadiaIbrahim-fn4rh
@NadiaIbrahim-fn4rh 4 ай бұрын
Ila nanga hzo nguo zilivombana😅😅😅😂
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 4 ай бұрын
Nipo kwaajili ya nanga🎉🎉
@simonandrew1489
@simonandrew1489 4 ай бұрын
Kazi Nzur Mr Joti
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu mie..bi kauye kwa misemo ni htr mmmmmmmmhhh waongo mama wnaigizaa🤣🤣🤣
@AmirAbdallah-pr4uq
@AmirAbdallah-pr4uq 4 ай бұрын
Jay unajua sana basi tu hupewi kipande kirefu
@IssaHamisi-tf1bf
@IssaHamisi-tf1bf 4 ай бұрын
❤❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas 😊😅😮🎉😂❤❤
@صالحالفرحان-ت9ن
@صالحالفرحان-ت9ن 4 ай бұрын
nimeigia let jamani like sina😢😢😅😅😅😅😂😂😂
@AishaHabibu-e8l
@AishaHabibu-e8l 4 ай бұрын
Nikama utani ila inafunzo laukweli
@okaozzy
@okaozzy 3 ай бұрын
Joti tupe muendelezo wa hii kaka😂
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 4 ай бұрын
Uwakika sana joti❤❤😂😂😂🎉🎉😢😢😢😢😮😮😮😮😅😅😊😊
@Naema-x7p
@Naema-x7p 4 ай бұрын
Imenifunza kitu hii ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@k.o.n.g8925
@k.o.n.g8925 4 ай бұрын
Babu kama babu 🤣🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 ай бұрын
Hahaha😅😅 inachekesha ila funzo
@titinadevumedia6787
@titinadevumedia6787 4 ай бұрын
Msinisahau wadau nawapenda wote❤❤❤
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 4 ай бұрын
Hii sawa kabisa
@MwanahamisMruma
@MwanahamisMruma 4 ай бұрын
Watuuuu humu hamlaliii 😂😂😂leo wa 91😅😅
@kingkiwango1435
@kingkiwango1435 4 ай бұрын
First one❤❤❤❤❤
@onlinetzmedia
@onlinetzmedia 4 ай бұрын
Leo mimi ndio wa kwanza sina mpinzani joti naomba unijibu comment yangu 😅
@Manomacho
@Manomacho 4 ай бұрын
Kwa niaba ya joti
@titinadevumedia6787
@titinadevumedia6787 4 ай бұрын
​@@Manomachonakubali ❤
@EmmyMbagule
@EmmyMbagule 4 ай бұрын
sawq nitamfikishia mm kama media director
@theonekulwa
@theonekulwa 4 ай бұрын
Sijawahi zichoka za babu zinafunika zote jot
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 4 ай бұрын
Wapendwa humu ndani mmeamkaje?nawapenda cn❤❤❤❤❤❤
@mrizzy5424
@mrizzy5424 4 ай бұрын
Wa kwanza from somalia
@titinadevumedia6787
@titinadevumedia6787 4 ай бұрын
Together
@TwalibKwelii
@TwalibKwelii 4 ай бұрын
Hii imeendaaa
@RashidyMrang
@RashidyMrang 4 ай бұрын
Ndevu km takataka za smanku😅😅😅😅😅😅😅
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 4 ай бұрын
Babaahh mlewa shewele
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 22 күн бұрын
Afisa mikopo kutoka bank ya kati so haina jina 😂😂😂😂😂😂
@kibayasadickson4105
@kibayasadickson4105 4 ай бұрын
Tulionza kuchekaa kabla ya kuangalia Hadi mwisho tu juane😂😂
@SuleimaniKinyogoli
@SuleimaniKinyogoli 4 ай бұрын
Ahh nimewah le0😅😅
@nazaabraham5317
@nazaabraham5317 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 babu anaigiza
@MadbrainTz
@MadbrainTz 4 ай бұрын
"Mjomba lipa deni , ukilipa tutakuja"😂😂
@AlesiusAndrea1991
@AlesiusAndrea1991 4 ай бұрын
Eti mi tolu sana😁
@ismailkiwawas5982
@ismailkiwawas5982 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂joti chizi
@FatumaAbdalah-f7r
@FatumaAbdalah-f7r 4 ай бұрын
Hapo imekaa sawa nimatukio yasiyo jirudia
@hamischilu7603
@hamischilu7603 4 ай бұрын
Umeupiga mwingi sana leooo
@mansoursabri4398
@mansoursabri4398 4 ай бұрын
From Mozambique
@usher_bambi94
@usher_bambi94 4 ай бұрын
Jay achinjwe mwaka mpya😂😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Umejua kuwaeza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DanielGood-m8l
@DanielGood-m8l 4 ай бұрын
Zuu yuko wapi jamani🎉
@PaulKidula-o9g
@PaulKidula-o9g 4 ай бұрын
😅😅😅ila Joti😅
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk 4 ай бұрын
😂😂😂hatar xana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Askari nanga😂
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 ай бұрын
😂😂😂mtegemea cha ndugu....
@FREDRICKPAULO-vi2ut
@FREDRICKPAULO-vi2ut 4 ай бұрын
Joti unakubalika sana
@abubakarmwachuo1337
@abubakarmwachuo1337 4 ай бұрын
Ila smartaa ...mmmmhhhm😅😅
@kayajaexpress8313
@kayajaexpress8313 4 ай бұрын
Wal wale 😂😂😂😂 kitu 😂😂😂😂😂
@HamisMshana-rc4mc
@HamisMshana-rc4mc 4 ай бұрын
The best comedyan
@godfreyndelwa
@godfreyndelwa 4 ай бұрын
pana funzo zito sana apa...
@saliminimsuya
@saliminimsuya 4 ай бұрын
😂😂😂 Takataka za Sumaku Ndevu
@Shadia544
@Shadia544 4 ай бұрын
Nimekuwa wa 82😂😂😂haya NYUMBA YANGU 😂😂😂BABU ANATAMBA NA NYUMBA YAKE😂😂ILA JOTI 😂😂KAMA HUNA NYUMBA MJINI SHIDA SANA 😂
@fatimamtoo9288
@fatimamtoo9288 4 ай бұрын
Tupe muendelezo 😂😂
@fabianclato3101
@fabianclato3101 4 ай бұрын
Mtego huuu😂😂
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 4 ай бұрын
Mr Bean kwli🎉🎉🎉🎉🎉
@carolineivan3748
@carolineivan3748 2 ай бұрын
uloookota naye kuni ndio utaotanaye moto😂
@ismailburhan8622
@ismailburhan8622 4 ай бұрын
Wa kwanza mimi leo kuangalia na kucomment
@pretty2081
@pretty2081 4 ай бұрын
Cresci a assistir joti apartir de 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@ButoyaSteven
@ButoyaSteven 4 ай бұрын
Team kubwa❤❤
MZEE WA BUSARA
10:28
Joti TV
Рет қаралды 126 М.
MCHAWI NDUGU
11:24
Joti TV
Рет қаралды 362 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 844 М.
CHUNGU CHA LEO!
12:48
Joti TV
Рет қаралды 467 М.
KUMBE MLEVI
11:45
Joti TV
Рет қаралды 215 М.
FAMILIA YA MZEE KICHECHE - FULL MOVIE (Ep 1-10)
3:14:46
kicheche
Рет қаралды 356 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 230 М.
KIMUME
11:40
Joti TV
Рет қаралды 248 М.
NAMLOGA
10:31
Joti TV
Рет қаралды 335 М.
Месть от кутюр (2015) | Ты ведьма!
1:00
Vinogradenko
Рет қаралды 1,3 МЛН
аптека этажом ниже панин
0:48
Shorts Master
Рет қаралды 3,3 МЛН
Men will be men!!!!!!
0:51
Learn And Growth
Рет қаралды 4,8 МЛН