Ahsante Yesu Kwa kutupa Baba Mwakasege katika taifa letu la Tanzania
@janetjanet8669 Жыл бұрын
Yesu nakupenda sana ingia moyon mwangu utawale milele 😭😭😭😭😭
@phaustinegodfrey4056 Жыл бұрын
Asante YESU kuniweka kuwa kijana wa Tanzania 🇹🇿
@butwawestonmwailubi Жыл бұрын
Ahsante Yesu ,ninakupenda Nakupenda wewe pekee mtakatifu
@gabrielahmwakyembe8498 Жыл бұрын
Ahsante Yesu nakupenda u Mali yangu umefungua malango na vizuizi vyote
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Ee MUNGU nisaidie mimi heaven,Mars nyingi navuka mto mkavu, saa narudi nikiwa tayari nimefanikiwa nakuta mto umefurika nashindwa vuka,na ikitokea nimevuka Niko ngambo nakutana na ukuta mrefu na geti kubwa lenye walinzi wengi na wahindiwana Silaha na mavazi kama lile jeshi la farao,naambiwa rudi kwa usalama wako,narudi tena mtoni,njia panda hivyohivyo, sivuki! maisha yangu ni magumu mno😭😭😭 nimeomba haya maombi ee MUNGU unikumbuke.
@jacklinejuvenal2364 Жыл бұрын
Mungu anayajua yalio mbele yako na ya nyuma na amepanga kujidhihirisha kwa mda wake , 🙏🏼
@heavenlight5084 Жыл бұрын
@@jacklinejuvenal2364 amina mtumishi wa MUNGU
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Yesu tulinde sisi na watoto wetu 1:40 Nakupenda ee Yesu
@assayusuph3295 Жыл бұрын
Asante yesu kwa nemaa hii
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Amina.Mungu azidi kukutumia.
@waithirahnaomy1573 Жыл бұрын
Ameni Twende kwa nani bwana kwako kuna maneno ya uzima
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Asante YESU ninakuprnda
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Asante SANA mtumishi wa MUNGU, mafundisho yamenigusa sana kuhusu KESHO ya FAMILIA YANGU. Naombea FAMILIA yangu MUNGU atuguse TUBADILIKE tushike njia sahiiiii
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
stay focused watoto wa kiume AKIWEMO mwanangu, wasichana stay focused AKIWEMO binti YANGU. Ameeeen
@user-tm1gj1wb4d Жыл бұрын
Mungu atukumbuke sisi na watoto.wetu😭😭😭😭😭
@jacklinejuvenal2364 Жыл бұрын
Tutumike Kama Bwana atakavyo🙏🏼
@MaryNywage Жыл бұрын
Yesu tawala MAISHA yangu
@user-im2xy3qj3i Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia baba ututaidie watoto wako pia azidi kukupamaisha marefu.
@anjelalyamboko740 Жыл бұрын
Amen,ahsante Yesu.
@tumainijoshua5090 Жыл бұрын
Ee Baba wa Mbinguni naomba kilio cha wazazi wetu hawa kisiende bure katika kizazi hiki
@marthermwakyobwe9794 Жыл бұрын
Nakushukuru Baba kwa uaminifu wako
@barackamichael1474 Жыл бұрын
Amen
@anessabinery5654 Жыл бұрын
Asante Yesu,ninakupenda Yesu 😢😢
@sylviaelias2529 Жыл бұрын
Amen, Yesu tuokoe.
@Hilgath Жыл бұрын
Amina
@oportunashirima4925 Жыл бұрын
Amen 🙏
@user-ts6sk7tz4d Жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie vijana wa tz
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
NI VIZURI WAKATI BABA NA MAMA WANAOMBEA WENGINE WANYAMAZE MPAKA WARUHUSIWE KUOMBEA WASIJE WAKAVURUGA WINGU