Ee Mungu najua napitia changamoto nying katika masomo yangu pia na kazi ila 2024 lazima malango yafunguke ..Naamin Mungu wangu utawashangaza wengi 🙏🙏
@nazahedmngara6788Ай бұрын
🎉😊
@afrikaafrika7097Ай бұрын
you yyy y6
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen 🙏🏿
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Jesus Christ 🙌🏽 🙏🏿 nakuomba 😇🙏🏿
@AnethMassawe-cr1oe7 ай бұрын
A year later, nimesikiliza hii video and prayed na Mungu amafungua malango yangu. Mungu ni mwema sana🙏.
@estamichoromichoro56347 күн бұрын
Nifungua malango yote yaliyofungwa na shetani kwa kutumia madhabahu hii kwa jina la YESU 🙏🙏🙏
@IrineJohn-e2v7 күн бұрын
Ee mungu nakuja mbele zako naomba toba na rehema napo enda kumaliza mwaka huu 2024 naomba kibali nikakutumikie vema na ukanifungulie malango ya baraka na amani amina
@lucasmanyerere76442 жыл бұрын
Namshukuru Mungu nilienda nimlifungua malango na nimepata kaz 😥jmn Mungu yupo huyu Baba kama alitumwa kuja kusema na mm mwanzo mwisho nilitamani nimfuate nimwbie Asante baba
@noellekababa56862 жыл бұрын
Mwamini Mungu anaemwamini Mwl. Mwakasege
@agnesmagehema5762 жыл бұрын
Hongera endelea kumuombea
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Endelea kumwamini Kristo!!!!!
@hopebuliga68312 жыл бұрын
Honger
@hopebuliga68312 жыл бұрын
Naomb nichek
@sylviamassawe99052 жыл бұрын
Najiunganisha na hii madhabau ya huyu mtume wako bwana kila madhabau nilizounganishwa nazo kwakujua au kwakutokujua ikavunjwe na hii madhabau ya mtumishi wako AMEN
@jomomwalubandu6468 Жыл бұрын
Amen mungu atufungue vifungo vyote tulivyofungwa mimi nafamilia yangu kwa jina la yesu
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen 🙏🏿
@agathatembo4304 күн бұрын
Mungu wako Mungu wangu Roho wako awe kwangu pia
@arnodcalist61618 күн бұрын
Ee Yesu yaokoe maisha yangu na ya ndugu zangu.
@christinalawrence74932 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi mwlm Christopher mwakasege uendelee kutulisha neno lako
@mmarynicolaus9837 Жыл бұрын
AMEN
@esthershija5442 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana na maubili yako Mchungaji Mungu wa mbinguni na akubariki sana . Nimefunguliwa kuanzia leo mambo yangu yote yamefunguka kwa Damu ya Yesu Amen
@evakikove2 күн бұрын
Bwana Yesu naomba ufungue malango yangu
@danielmbisso43772 жыл бұрын
Mafunzo mazito sana haya. Utukufu kwa Mungu aliye hai. Ubarikiwe sana Mwl Mwakasege.
@dullawax8799 Жыл бұрын
Mungu nakushukuru kunibadirisha kiimani naomba unisaidie nikushike mungu wangu nifungue mapito ninayo yapitia
@alantemu95568 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai
@ASIADUNIA-v2u2 ай бұрын
@@dullawax8799GG
@kimpalambapj Жыл бұрын
Asante Mungu kwaajili ya maisha ya mtumishi wako, mwl. Christopher Mwakasege. Sifa na utukufu ni vya kwako maana unastahili.
@mozesSenyo6 ай бұрын
❤❤❤❤
@meshackdaniel994Ай бұрын
Hapana sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyempa hekima na huduma ya ualimu
@josselinijosiah8370 Жыл бұрын
Mungu naomba uniondolee roho ya kiburi cha uzima. Nipe kuutafuta uso wako na mengine Nita ongezewa toka kwako
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
Juu ya mwamba huu familia yangu ikakusifu Mungu sikuzote na kujengwe juu ya mwamba na kutuweke huru
@agnesmallya77812 жыл бұрын
Haya ni maneno ya Roho wa Mungu aliye ndani yako Mwal Mwakasege, Barikiwa sana wewe na familia yako kwa ajili ya utukufu wa Mungu
@shakilamuhsini Жыл бұрын
Amen
@shakilamuhsini Жыл бұрын
Emungungoyeye
@humbemusa3480 Жыл бұрын
Daah Mungu akubariki somo linabariki sana nilichelewa wapi! Daaaah Huyu mwalm toka nikiwa mdogo anafundisha redio free Afrika namsikiliza kwa kweli Mungu akutunze mwalimu nakupenda na nayapenda mafundisho yenye ufunuo
@colethachaula5922 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi, pia ninaomba mungu aniponyee mdogo wangu afunguliwe anaumwa tumbo kwa mda mrefu,ee mwenyezi mungu ninaomba unisikie.
@helenmghwira66212 жыл бұрын
Pole Mungu atamponya
@GeorgeSebatian Жыл бұрын
BWANA YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake tazama tumepewa mamulaka yakukanyaga Inge na nyoka YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake
@vanchrix75305 ай бұрын
Ee mungu naomba utuonekanie kwnenye malango yako ya biashara familia ya neema mshani na ukatubariki na kutuongoza kukujua ww na ukatuepushe na hila zote za maadui na unibariki mm charles solo. Natokea chunya mjini na ukanifungulie malango yangu yote yalio fungwa na nguvu za giza amina
@robertmnyanyika5252 жыл бұрын
Vitu vingumu sana hivi bila ufahamu wa Mungu hautaelewa,,,Baba Mungu azidi kukutunza
@TigerZlatan9 ай бұрын
😮
@ailenibinyama1735 Жыл бұрын
Mungu anipe Hekima kwenye kila kitu ninachokifanya na anitimizie makusudi yake Amina.
@melanienicimpaye9743 Жыл бұрын
Asante bwana yesu kwa iyi njili. Imenifunguwa macho. Mungu apewe sifa kwa yale ametenda mahishani mwangu. Niehangalia iyi video nikiwa amarika kwa cumba, nirikuwa nimefungwa kwa minyororo ya shetani, arakini saa hiyi nasikiya ushindi wa yesu ndani yangu. Balikiwa mutumishi wa Mingu.
@labanmwenyewe6777 Жыл бұрын
Laban chivole from Kenya nimefatilia mafundisho yako toka 2002&has helped me a lot God bless you man of God 🙏
@mankamlay9063 ай бұрын
Namwomba Mungu anisaidie niweze kuomba kila siku bila kuchoka..naomba Damu ya Yesu inifungie kila kifungo
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen 🙏🏿
@lucylucy23272 жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa kweli kuna cha kujifunza katika maandiko haya na maneno yatokayo kwako mwalimu
@CryslinAyoubКүн бұрын
Eh Mungu ninakushukuru kwa kuniruhusu kuona mwaka huu mpya . Jina lako ni kuu sana. Eh bwana naomba ukae ndani yangu uniongoze Uwe katikati ya maisha yangu . Kila kikwazo na kiteketee . Asante baba wa mbinguni
@GradyDanny7 ай бұрын
Asante mungu kwa neno lako hakika malango yamefunguka kwa jina la yesu🙏
@SarahMzungu-r5d3 ай бұрын
Mungu nakuomba uniondolee roho ya hasira na kufikiri
@helenmghwira66212 жыл бұрын
Mafunzo ya msingi sana haya ila bila ya masikio ya roho hutaelewa hata mstari mmoja. Asante mwl Christopher. Mwaka huu umekuwa na mafunzo ya msisitizo sana.
@isayamngongo32707 ай бұрын
Najikabidhi Kwa Mungu wangu Mimi na familia yangu atuondolee roho zakuandamwa vifungu vya kukosa kazi
@eunicekimaro96462 ай бұрын
Mungu nifungue maisha yangu..niondoe katika madhabahu ya familia... Ubarikiweee sana mtumishi wa Mungu.. Amina
@namelockmlisa56295 ай бұрын
Eee bwana yesu najiunganisha na maombii haya malango yote yang yaliyofungwaa naifungua kwa damu ya yesu nijifungue salama kama wanawake wa kiebrania this week amen
@neemasawere63225 ай бұрын
Ahsante MUNGU kwa Neno hili, maana umenitendea mambo makuu sana katika maisha yangu
@paulinemrosso21572 жыл бұрын
Neno la Mungu ni jipya kila siku asante sana Mtumishi
@henrytarimo98022 жыл бұрын
Asante mwalimu kwa mafundisho. Bwana anapendezewa na wewe. Maana tunazidi kumjua na kumwamini kupitia mafundisho hayo. Jina la Bwana liendelee kutukuzwa
@bablajemsi70762 жыл бұрын
Nakupenda sana baba unaongozwa na roho wa Mungu mwenyewe
@Sanweli10 ай бұрын
Mwalimu unafundisha Mungu azidi kutufungua masikio ya kiroho tupate kumjua zaidi na zaidi Ubarikiwe sahna🙏
@ShimitiJumaah9 күн бұрын
Eee Baba mwenyezi muumba wa mbingu na aridhi naleta kwako ombi langu pepo wa chafu hawana mamlaka mbele Yako nisaidie bwana 🙏🙏
@estamichoromichoro56347 күн бұрын
Ee mwenyezi Mungu nakuomba fungua malango ya biashara zangu kwa jina la YESU napokea
@philipoelia32542 жыл бұрын
Unatumiwa na mungu kwa viwango vya juu sana mwakasege mungu akibariki mteule
@alexkatana5827 Жыл бұрын
Asante kwa mahubiri yako mtumishi naomba uniombee nipate kazi na amani katika ndoa yangu pia mume wangu akombolewe kutoka kwa giza
@Jobmwakasyele11 ай бұрын
😂asante kwa mahubiri yako mtumishi niombee nitoke gizani
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
Mungu naomba UNIPE funguo. zote katika maisha yangu ili niweze kuyatimiza mapenzi yako🩸🩸
@simonkabeta3632 жыл бұрын
Hakika nimemuona Mungu akinipatia majibu,kaniletea mafundisho haya majira ya saa tisa usiku,Mungu akututunze Mwl Mwakasege wewe ni tunu,unstuonesha njia ya mbinguni lkn pia njia za kushinda na kupata amani ktk maisha haya ya utumishi.
@LizzyOfficial-g5gАй бұрын
EEEH UNAJUA NINAYOYAPITIA KWA SASA NAOMBA UNIKUMBUKE AMEN 🙏
@naomifungo4840 Жыл бұрын
NIMEBARIKIWA SANA NA SOMO HILI,,,,,BWANA YESU ASANTE KWA UTETEZI WAKO JUU YANGU NA UZAO WANGU.... AMEEEEN TENA AMEEEEN
@jacquelinembanda2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho haya 🙏🏽💯%
@IsayaPius8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu na nguvu ya roho mtakatifu ikufunike ziku zoteeeeeeeee mwl.
@janethoscar5954 Жыл бұрын
Ninafungua malango yangu ya fulsa kupitia neno hili la mwl MWAKASEGE!ubarikiwe sawa MTUMISHI WA MUNGU
@JanethShirima-i4lАй бұрын
amina mwalimu Mungu akupe maisha marefu
@stephaniepayet9161 Жыл бұрын
Nime barikiwa katika jina la Yesu na kumfunga Mumewangu Asitamani Mwanamke mwengine katika jina La Yesu
@thabedamian3813 Жыл бұрын
Hahaahaha
@annakbunga8377 Жыл бұрын
Unamfunga asitamani mwanamke unajuwa unamfunga na ufahamu wake kazi Mipango kila kiti😅
@marrypaulo781410 ай бұрын
We mungu niondolee roho ya hasira na maamuzi ya haraka nipe kufikiria kwanza
@jonathanrwezaula6676 Жыл бұрын
Ahsante Sana Mungu wetu uliye mwema. Ahsante kwa jinsi unavyomtumia Mtumishi wako kwa ajili yetu. Nunakuomba uzidi kumpa neema na kibali
@upendo93262 жыл бұрын
MUNGU wangu naomba utuponye mimi na familia yangu watoto wangu wakawe kichwa Amina
@inosentantoni26382 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda babayetu wakiroho
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen Ameen Ameen 🙏🏿 Asante Yesu Kristo Mwana Wa Daudi 😭 nimepokea kwa Imani 😇 Mimi Meshack Stephano Petro Kuingia nchi ya ahadi kanani😇🙏🏿
@fridamassawe96926 ай бұрын
Malango ya familia yangu yafunguliwe Leo katika jina la YESU 🙏
@frida-oi6kw19 күн бұрын
Ameen
@nyasugutaveronican7037 Жыл бұрын
Baba naomba unifungulie mlango wa kazi na ubariki familia yangu🙏🙏🙏
@AbuuAchiles4 ай бұрын
Baba naomba mungu akubariki sana naomba uniombee kwa sababu ya ndoa yangu shetani anaiaji kuivuluga sina tumaini isipokua ni yeye yesu , amina
@abby-qd3qx Жыл бұрын
Ameeen napokea roho ya maombi kwa Jina la YESU🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@kuphakumbo7578 Жыл бұрын
Ameen na pokea kufunguliwa kwa malango kwa jina la yesu Ameen
@wanjikumumbua Жыл бұрын
Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.
@wanjikumumbua Жыл бұрын
Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen 🙏🏿
@rizikinibale67482 жыл бұрын
Utukufu na heshima vimrudi bwana wa majeshi AMEN AMEN 🙏
@rechosteven92442 жыл бұрын
usinipite mwokozi wa maisha yangu unajua mahitaji yangu Jehova naomba unijibu sawasawa na mapenzi yako
@EmmyPhilimonАй бұрын
Uyu baba jamn Mungu uendelee. Kumpa miaka mingi
@lovenessmwamengo70902 жыл бұрын
Mungu akutunze mwalimu mwakasege, kweli wewe ni baraka katikati yetu.
@isayakayange5439 Жыл бұрын
Huyu ndugu ni BARAKA KWA TAIFA
@WSRISK2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kukutunza mwalim
@Jenitha-ub8mrАй бұрын
Urithi mbaya wa Aina yoyote ufe uangamie kwajina la yesu amen
@maombijofre23022 жыл бұрын
Amina Hakika nimebarikiwa na Naamini nimefunguliwa kila kifungo kilichokuwa kimenifunga katika Jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏🙏
@cathypeter Жыл бұрын
HALEYUYA
@miraclennko1147 Жыл бұрын
Stell we need your presence dad
@mkadinali65329 ай бұрын
Grace,Mtumishi wa mungu naomba ombea Mama yangu ili mwenyenzi mungu anene uhai kwa maisha yake apate kutembea tena Katika jina la yesu kristo Amen
@christinamwandri9552 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa mungu naomba mungu akamponye mtoto wangu tumbo linamsumbua Sana naamini atafunguliwa kwa jina la Yesu
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu Christopher Mwakasege.., kunakitu nimepata leo. Mwenyenzi Mungu Azidi Kuibariki Huduma yako ya Mana!!!!!!!
@helenmghwira66212 жыл бұрын
Ninamkomboa mwanangu Elibariki ktk kila sehemu aliyofungwa na adui. Amen
@pendoseburuka8457 Жыл бұрын
Mungu akutenzecMwalim na mama mlitumikie shauri la Bwana
@SimoniMbela6 ай бұрын
Asante yesu Kwan kumuanda mtoto wako kwaajili yawatanzania na inchi nyingine,
@aloycesiaitys6072 жыл бұрын
Miamba ya Yesu Kristo mmbarikiwe sana napenda sana mahubiri yako na mpakwa mafuta Katunzi .
@hildamzee67192 жыл бұрын
Asante baba kwa mafundisho matamu kweli kweli mbarikiwe sana. Ammmmeeeen
@sabrinagabriel92082 жыл бұрын
Ameen
@aliethmgode3892 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia Mr mishi wa Mungu jimejifunza kitukipya
@kelvinpatrick3312 жыл бұрын
Asante Yesu Kwa urejesho wako barikiwa sana watumishi wa Mungu
@elizabethmichael87742 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Mwakasege🇹🇿
@gloryfaustine92522 жыл бұрын
Mungu azid kukutumia kwa viwango vikubwa baba
@augustahamdani6699 Жыл бұрын
Najiunganisha na Madhabahu hii mimi na familia tufunguliwe kila vifungo viliyowekwa maishani mwetu vifunguke kwa Jina la Yesu. AMEEEN
@azizawaziri3804 Жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa Neno Mtumishi
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
Nataka nikuone Mungu kwa AJILI ya Liberatore akawe kichwa na sio mkia, siku ya usaili wakem na akakutuze Mungu siku zote🙏🙏
@condradanyoni6556 Жыл бұрын
Mungu uliyeniumba naomba utaangulie mbele yangu leo nipate baraka za isaka petro na yakobo ziwe juu yangu kwa sifa na utukufu wa Mungu aliyetuumba siku ya leo
@meshackmahrina149222 күн бұрын
Ameen 🙏🏿
@marianguli7994 Жыл бұрын
Amen uwe na uhakika hata kama Goliathi amelitukana Jina la majeshi ipo chapio ya Daudi oooh Haleluya...
@Angels_2024 Жыл бұрын
Haleluya yesu ni bwana hakika hashindwi jambo lolote
@WillyDaud Жыл бұрын
Mwakasege kwa sasa sijapata mwalimu kama wewe unafundisha unafundisha tunafundishika halelujah
@tumwagilembughi Жыл бұрын
Asante Mungu Kwa Neno hili,Hakika kupitia Neno hili Mungu amenitendea mambo makuu. Amen.
@fridamassawe96926 ай бұрын
Mungu naomba mimi na familia yangu uweze kutufungua katika lango hili🙏
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
Naomba uwasaidie watoto wetu kutengeneza mahusiano MAZURI na Mungu. Amina🙏
@PendoMwangende6 ай бұрын
Ubarikiwe sana nimepata kitu Cha tofauti MUNGU andelee kukupa nguvu ktk huduma hii
@nicksonmuyemba3152 Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe San mtumishi wa MUNGU, Nina Imani nimepata kaz Kwa maombi yako.
@ainammbaga4683 Жыл бұрын
Ameen nibarikiwa
@NsiaSwai-g4p20 күн бұрын
Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako
@devothaisaya58332 ай бұрын
Mungu wangu niondolee vikwaz vinavyofung malango ya fulsa zangu ktk biashar zangu nisaidie Mungu wangu
@BetriceMagesaАй бұрын
Amen na kwamini Mungu utafanya zaidi ya mawazo yangu maan wewe Mungu ulinijua toka sija zaliwa ivyo hatima yangu iko kwako Mungu.
@neemathomas-sm3tk3 ай бұрын
najiungamanisha na naombi haya malango yangu yakapate kufunguka niponywe mimi na familia yangu amen
@nitweleenock2287 Жыл бұрын
Naomba mungu mm na familia yangu.ayafungue Maisha yetu ameen
@NeemaKiria-wz5ghАй бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anipe Mume ninaamin Kwa Mungu anapatikana 🤲🤲🙏
@judithmuro-u9i28 күн бұрын
Leo mungu amenifunulia kitu kikubwa sana .barikiwa mtumishi wa bwana
@neemamabinza42082 жыл бұрын
Nasikiliza kila mara yani tena na tena. Mungu akubariki mwl na waandaaji wa hili kongamano
@DoriceKilawe8 ай бұрын
Eeeehh mwenyezi mungu najikabizisha mbele zako na hii ibada takatifu
@JuliethNELSON-ji1bzАй бұрын
Ee mungu naomba ukafungulie malango ya hatima yanguu.. ukanisamehe na roho kiburi,hasira na mengino yote yasiokupendeza ww
@johnrichard366617 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu siku zote
@ScolaDominick Жыл бұрын
Thanks lord.
@sacg97832 жыл бұрын
YESU aendelee kukutunza baba watt wangu na kazi yangu MUNGU akaonekane🙏🙏
@Ole-o5k2 ай бұрын
Amina naomba mungu akafungue milango yang ya baraka na kwenye mitihani yang ya necta nifaulu kwa damu ya yesu 🔥