Pendo,wewe ni mjinga sana,mbona haukutaarifu pasco mapema wakati ulikuwa bado uko kwao,kablah Micah hajatoka kwa hiyo nyumba ili watoe taarifa police,Micah akamatwe haraka xana.
@damarisabdueli3604 Жыл бұрын
Muendelezo tafadhali
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Pendo anaolewa na mimba 😔
@brownestomihi4 ай бұрын
Huyu Pendo ni msenge na mshamba pia alf mnavyotunga story mtuambie na ukweli hata kidg bn maana kwa hali ya kawaida amna mtu anayekaa Kmy hivi na kitu kinachompa maumivu😢
@levinachristian5720 Жыл бұрын
Part 2 please 🙏 😢😢
@britney_arakaza Жыл бұрын
Ishatoka part 2
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Sijaipenda kabisa akili mbaya ya pendo ya
@LaykaSuleyman-pm7iz Жыл бұрын
Lucas I love your voice 😘
@SheladSalum11 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Atr nanusu kitu kumoyo hasa uuuiìii
@SamiKher-nq6xt Жыл бұрын
Then you ❤
@levinachristian5720 Жыл бұрын
Part2 please 🙏 😢 😭
@berthamarandu9577 Жыл бұрын
Pendo unauzi sana unanyamaza nini Sasa shauri yako
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
😊😊😊
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Ngekuwa mm ngenda polic na kujieka muaz
@NdukuEdward Жыл бұрын
Ningemueleza Na Niseme Twende Police
@sarakahidi63486 ай бұрын
❤😂🎉🎉
@veronicapaschal3185 Жыл бұрын
kubali jaman
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Hoyo Ndio faida ya uongo na unafiki wako
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🇰🇪
@deborahgodda7052 Жыл бұрын
Nimejitahidi leo kucoment mapema sana
@anajumanne4018 Жыл бұрын
Ninge fichua siri
@florenceakothotieno3673 Жыл бұрын
Nasubiri part 2
@NeemaJuma-yy1or Жыл бұрын
Nasubuli part 2
@polinlizzlizz Жыл бұрын
😊😊😊😊pendo unajua nini kweli wachana na mika ni mjinga sana kwa sababu ukiwinda ndege winda kifiako tuu
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Sikia mjinga wewe huna akili hujiongezi piga sim polisi au karipoti kwenye vituo vya usalama una barua ya ushahidi wa barua ya huyo mika
@veronicapaschal3185 Жыл бұрын
Me ningesema ukweli maana ata nisipo sema ya tanikuta Kama Yao mkuta laya