MY BOO PART 2 : SIMULIZI YA SAUTI

  Рет қаралды 34,625

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер
@SusanWangoi-l3r
@SusanWangoi-l3r 18 күн бұрын
Moto hii simulizi❤❤❤❤
@nahimananeema
@nahimananeema Жыл бұрын
Nzuri , my boo tabiya zake nzuri kabisa
@NaomyBernard
@NaomyBernard 6 ай бұрын
Nakupenda penda umenifunfish meng
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Asanteni sana kwa simulizi nzuri yenye mafundisho mazuri sana kwa maisha yetu
@norahwilliam8116
@norahwilliam8116 Жыл бұрын
Jman nliskiza mara kadhaa hii simulizi,My BOO❤
@AbigaelMalashi
@AbigaelMalashi Жыл бұрын
Nimechelewa sana laki we pendo weye unaniuzi sana sha kaone Ila acha nijikaze nifike mwisho
@florenceakothotieno3673
@florenceakothotieno3673 Жыл бұрын
Duh!!!Yani tangu jana hata sikupumua😊😊😊
@annaedward148
@annaedward148 Жыл бұрын
Jamani unajua kuimba sana wowo🥰🥰🥰👏👏👏
@olyoly9992
@olyoly9992 Жыл бұрын
Waaah pending ww umeweza mamaa hongera sana lucas be blessed I enjoy the story😊
@ApolloniaMwinula
@ApolloniaMwinula 3 ай бұрын
Hata kama ningekuwa mm ningeamua hivyo! Naanza tu kupredict hii story itaishaje! Ukimuona mtu wa nn wenzako wanasema watampata lini na saa ngapi! .....Ganda la muwa la Jana,chungu kaona kicuno! 😂😘
@ApolloniaMwinula
@ApolloniaMwinula 3 ай бұрын
Nimeipenda sana hii story hata kabla haijaisha!? ...big up Kwa mtunzi na msimuliaji! 😂❤
@maryrungwe
@maryrungwe Жыл бұрын
Asante sana rukas kwa simulizi nzuri
@Glorie711
@Glorie711 Жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzur ❤❤❤❤
@fjggoxfh9502
@fjggoxfh9502 Жыл бұрын
Pendo ww nakipenzicak boo hakika mumenifunza meng wasimulizaj mubalikiw sanaaaa
@AbigaelMalashi
@AbigaelMalashi Жыл бұрын
Dj wng kwakweli nimeyipenda sana tu we hadi raha jamani ila nakupenda ww hapo Dj wetu❤️❤️❤️❤️‍🔥✌️
@AminaSuleiman-e2z
@AminaSuleiman-e2z Жыл бұрын
Alooooh pascal amejua kunifurahisha kwa msimamo wake❤❤
@AbigaelMalashi
@AbigaelMalashi Жыл бұрын
We pendo weye uko muuwaji kwakweli unaniuzi🙆😢😢😢
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j 2 ай бұрын
Umeonaeee...
@puritylobun5313
@puritylobun5313 Жыл бұрын
Mambo ndio hayo Sasa umeshusha ❤❤❤
@shamsaalrahbi7593
@shamsaalrahbi7593 Жыл бұрын
Hee😂😂😂😂Blaza Lucas 😂😂😂😂❤❤❤❤❤hongeraaa
@anethnyudula2413
@anethnyudula2413 Жыл бұрын
Makofi kwa lucas 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 umeimba vzr Lucas
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 Жыл бұрын
Mashalla love story my boo❤❤❤❤❤
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Asante mr lucas kwamuendelezo❤❤❤❤
@maggiesadock
@maggiesadock Жыл бұрын
Duh ! I love this story my boo ❤❤❤😂
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Sasa hizo nyege gani jamani wee pendo huna haya la hufai kuolewa kwani ni usaliti mwingi 😂😂😂😂😂😂
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j 2 ай бұрын
Umeonaeee....maana itakuwa kila ukikwazwa unatombeka njee...mh hasira gn...umalaya tu
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Wazenji hao warogi usi shangae hapo ndoa ipo kweli
@HappyMshanga-xx1ob
@HappyMshanga-xx1ob Жыл бұрын
Jmn my boo ni 💥
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Жыл бұрын
Duh hii Tamu sana❤❤❤❤
@LisperNjeru-bv3gb
@LisperNjeru-bv3gb Жыл бұрын
Asante Kwa simulizi tamu sana
@XhxhccVfhhxh
@XhxhccVfhhxh Жыл бұрын
Nimecheka et Tako langu 😅😅😅 nimecheka😂😂
@salmarajabu1626
@salmarajabu1626 8 ай бұрын
Duh we dada hizo nyenge kiboko
@husnakihambwe262
@husnakihambwe262 Жыл бұрын
Waoooooooo ni mzur xn jmn inaelimixha xn
@rizkimw1301
@rizkimw1301 Жыл бұрын
Ekooooooo weeeee ety utampenda yy na mademu wake wa nje 🤣🤣😜😜😜
@zahramohamedy3995
@zahramohamedy3995 Жыл бұрын
Ila pendo kauniuz jmn kwann amfanyie vile ahmedy jmn
@kapolalucy4616
@kapolalucy4616 Жыл бұрын
Nice story Mrs Lucas
@NadzuwaGofwa
@NadzuwaGofwa Жыл бұрын
Nitamu sana❤❤❤
@MiMi-pj2mz
@MiMi-pj2mz Жыл бұрын
Asante sana nliingoja kwa ham mnooo hii tuna kupenda sana❤🌹
@zahramohamedy3995
@zahramohamedy3995 Жыл бұрын
Kumbe unajua n kuimba🤗🤗🤭
@hasinangina5405
@hasinangina5405 Жыл бұрын
Subhanallah 😮😮😮
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 Жыл бұрын
Uliataka mwenyewe
@kaveresylvia9521
@kaveresylvia9521 Жыл бұрын
Jamani wakenya tuko huku tena😂😂
@everlynesafari1527
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
😂😂😂😂tupo
@RahimRahim-x3d
@RahimRahim-x3d Жыл бұрын
Nataman ningempata anayejua ku care km Pascal
@NeemaNzogolo
@NeemaNzogolo Жыл бұрын
Nimeipenda
@vero756
@vero756 Жыл бұрын
Wanaume kama our Boo bdo wapo jamni 😢
@annakinyi218
@annakinyi218 Жыл бұрын
Lucas unajua kuimba 😂❤❤❤
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Kwa kweli anajua kuimba lucas wetu
@everlynesafari1527
@everlynesafari1527 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Kwakweli huyu Pendo simuelewi hata kidogo
@loisebasilica7506
@loisebasilica7506 Жыл бұрын
Wa kwanza leo
@mahirgeri7682
@mahirgeri7682 Жыл бұрын
Waooooooo
@mahirgeri7682
@mahirgeri7682 Жыл бұрын
Waooooooo
@ApolloniaMwinula
@ApolloniaMwinula 3 ай бұрын
Yaani kama ningekuwa mm,ningengoja apone Kisha ningepanga mabegi na kuchukua mwanangu Kisha ningeendelea na maisha yangu! Mtt akikua atamtafuta baba yake! .....SI Kwa upuuzi huu I see!?
@laylasaid8406
@laylasaid8406 Жыл бұрын
Mmama tooba hikika na wew penda nishida na uzur wako Nishida 😂😂😂🙆‍♀️🙆‍♀️
@AbigaelMalashi
@AbigaelMalashi Жыл бұрын
Pote mm nipo nawapenda wote 🫶🤝
@francisjohn8243
@francisjohn8243 Жыл бұрын
Pendo na packo walikua na mapenz ya dhat japo. Wote walikoseana kwa kias kikubwa wakosano ndo wapatanao. Nzur sana nimependa
@noranora-cv1ee
@noranora-cv1ee 10 ай бұрын
I love you my boo👌😂
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 Жыл бұрын
Story tamu funzo lamaana sana asante lukasi
@swabrarashidi1082
@swabrarashidi1082 Жыл бұрын
Mr lumbasi unajua na unajua tena
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 Жыл бұрын
Daa pendo😂😂😂❤
@khadijaabdul-kadir7264
@khadijaabdul-kadir7264 Жыл бұрын
Sweet stry mashaallh
@laylasaid8406
@laylasaid8406 Жыл бұрын
Mapezi marahaba
@noranora-cv1ee
@noranora-cv1ee 10 ай бұрын
Pendo hana musimamo 😢ok ngoja nisubiria mwisho itakuwa je 😢
@khadija725
@khadija725 Жыл бұрын
Jamani watu mnalauka🤣
@OfficialPrisca-b5c
@OfficialPrisca-b5c 11 ай бұрын
Love love love❤❤❤
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
We lucas wacha kuimba 😂😂😂😂😂
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 Жыл бұрын
💯 nakubembeleza nayo 🤣🤣🇰🇪
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
😂😂😂😂Mmi like yangu inaukweli
@zahramohamedy3995
@zahramohamedy3995 Жыл бұрын
Yaan nimempenda❤️❤️❤️❤️ gafra uyo pascal jmn
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Duuh inahuzunisha hii
@laymallya178
@laymallya178 Жыл бұрын
Wa kumiiiiii🙏🙏
@khadijamohd5741
@khadijamohd5741 Жыл бұрын
Nice story
@nashaldy1804
@nashaldy1804 Жыл бұрын
Cjawai comment kwenye story bt leo ninshindwa jizuia kwa hio song thu.umenimaliza
@mporipori99
@mporipori99 10 ай бұрын
Umeenjoy
@shamsaalrahbi7593
@shamsaalrahbi7593 Жыл бұрын
😂😂😂😂Eti kijana wa ovyo
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Mafahali wawili wakigombana zinazoumia…. Pendo anaumiza Watoto wasio na hatia. Haya sio mapenzi ni mauzauza!!!!!
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 Жыл бұрын
Namimi pia hii simulizi nesikia kweli nimauzauza kabisa 🤭😂🤣
@dianahelisha2785
@dianahelisha2785 Жыл бұрын
jmn nliisbl nwaaah.💓
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Du,shikamoo mapenzi!maisha hayana mwelekeo wowote jamani,unampaje mwili wako mtu usiyempenda?
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j 2 ай бұрын
Halafu pia usimpe nafasi aduwi wa mapenzi yk..ht km mnakwazana na mpenzi wk...bc chumba chenu ndo mwisho wa matatizo yenu...maana wanaume wenyewe wanataka sababu...halafu wamebaki wachache wenye upendo wa dhati
@nawmijdodk733
@nawmijdodk733 Жыл бұрын
Daa 🙏🙏🙏
@DadyReagan-pi8kh
@DadyReagan-pi8kh Жыл бұрын
Huyu pendo hana akili kabisa alikua kama kahaba tena hakukua anajiheshimu kabisa alikua changanyachanganya then haeleweki kabisa
@Nasranasra-ce1qb
@Nasranasra-ce1qb Жыл бұрын
Mbona unaimba vizuli jamani
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Mapenzi shikamoo
@hanafizamiri5968
@hanafizamiri5968 Жыл бұрын
Kizaz sana
@shamsaalrahbi7593
@shamsaalrahbi7593 Жыл бұрын
Pendoooooo uwa ovyo sn kha 😊
@thadeosanga7757
@thadeosanga7757 Жыл бұрын
Nizuri
@marrygasirigwa9309
@marrygasirigwa9309 Жыл бұрын
Umeuaaaaaaaaaaaa🥰🥰
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Hasira unazipata wapi Pendo wakati umekosea wewe
@ZaiZainabu-o4p
@ZaiZainabu-o4p 27 күн бұрын
🎉🎉🎉❤
@ابراهيم-ض6ص6غ
@ابراهيم-ض6ص6غ Жыл бұрын
nimeipenda kwakweli❤❤❤
@pendokawiche3103
@pendokawiche3103 Жыл бұрын
Hivi pendo ana akili kweli
@RAHEEMARa-y9j
@RAHEEMARa-y9j 2 ай бұрын
Hapo pendo umeharibu..kwanza...hakuna mwanaume wapeke yk..halafu mwanaume km anakupenda akifanya makosa haina maana ww ..kumrejeshea hukumu km ulomfanyia ww mwenzio...umekosea sn pendo
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 11 ай бұрын
Pendo nimpumbavu sana Hana akili kabsa, mjinga na umalaya asili yake kabsa
@happinessjonathan9994
@happinessjonathan9994 Жыл бұрын
Story nzr sana,ila pendo umeniboa sana tabia ya kutomwambia pascal ukweli wa Kila jaribu ulilokiwa ukikutana nalo
@rqmadhaniabeid3143
@rqmadhaniabeid3143 Жыл бұрын
Asante. Sana
@imanwalid6549
@imanwalid6549 Жыл бұрын
Nipe likes zenu ❤
@vero756
@vero756 Жыл бұрын
Sasa lucas utatuambia ama unatupa pressure
@levinachristian5720
@levinachristian5720 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@HalimaHalima-rw5os
@HalimaHalima-rw5os 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@slyla2565
@slyla2565 Жыл бұрын
Waoooo
@ashleymohamed6935
@ashleymohamed6935 Жыл бұрын
Ujatulia wewe
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
Thank you love
@asiangochele
@asiangochele Жыл бұрын
Asante
@neemagendo8462
@neemagendo8462 Жыл бұрын
Comes
@jacklinekwamboka6245
@jacklinekwamboka6245 Жыл бұрын
❤❤❤😂😂😂 du!!! Wewe pedo
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 Жыл бұрын
Ulifanya kosa lakumsaliti mme wako
@mwanasiti83sete63
@mwanasiti83sete63 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 Жыл бұрын
Makosa yako utajuta
@MisheckJeremia-zy1kc
@MisheckJeremia-zy1kc Жыл бұрын
😋😋
@brenndazlopez5818
@brenndazlopez5818 Жыл бұрын
😘💯💯🤣
NDANI YA KOREA
2:35:46
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 25 М.
MY BOO PART 1 : SIMULIZI YA SAUTI part 2 inapatikana pale SmixApp
5:04:25
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 44 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
INSPECTOR NATASHA
2:50:19
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 20 М.
HOUSE GIRL:SIMULIZI FUPI YA SAUTI
1:50:57
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 6 М.
TATIANA
2:23:09
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 20 М.
AMINA MCHARUKO: SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
1:39:32
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 9 М.
BINTI CANDY - PART 03
2:05:58
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 31 М.
KAKA MSOMALI - KUPENDA SANA NI HARAMU
1:21:35
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 23 М.
SAMRAH: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
1:50:07
Simulizi Mix
Рет қаралды 12 М.
NANAH (LOVE & COMEDY): simulizi fupi ya sauti
3:52:31
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 50 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН