Kila atakaye soma hapa sikujui unijui ila naongeya maneno ya kinabi mungu akupe kila unachokiitaji amen kabla ujamaliza mwaka huu
@E.kkenya-gc2scАй бұрын
Ameen 🙏🙏
@Binty-z7gАй бұрын
Amen
@lwimikomwambeneАй бұрын
Ameen
@josephfabian3262Ай бұрын
ameen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@AminaSelamanАй бұрын
Amiin
@KimokoFamilyАй бұрын
Bigi boss ulituaidi mwezi wa kumi na Moja na hady leo kmy wew jamaa unazinguwa sanaaa
@SiviriSuisse-yz2spАй бұрын
Absolutely
@GlobalMusicLyrics2000Ай бұрын
Wakwanza na mimi kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮 Hivyo kama wewe ni Murundi Na unampenda Clam Vevo ngonga like hapa🇧🇮🇧🇮
@KapilimbaYoshuaАй бұрын
Jamani vevo mungu aendelee kuku bariki na kazi yako una fanya vizuri sana sijue niku lipe nini lakini naomba Mungu aendelee kukupa akili mara dufu 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩
@hamisisalum974Ай бұрын
Yaan vevo kumchkua huyu juma jichoo umeuaa saana atakufkisha mbaliii zaid ya ulipooo ni dagaaaa huyuuu. Anajuaa
@JacquelineErickАй бұрын
Aiseeee ni shidoo etiii shindwa kwa jina la Yesu kristo 😂
@AmaniLubungaLubandaАй бұрын
Huyu Mke wa clam ni mvumilivu sana anapenda ndoa yake
@Cheusi_mediaАй бұрын
VEVO kama VEVO saloot sana Mkuu ✅✅ Kazi nzuri kaka Team Cheusi tujuane hapa kwa VEVO 🎉🎉
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
Maama😂😂😂😂😂😂
@SharifaRashid-tg9kxАй бұрын
Rahaulaa cheus
@Cheusi01Ай бұрын
wew ni cheusi gani😊
@ReginaJanuaryАй бұрын
Mmh cheusi wa mission impossible
@Cheusi_mediaАй бұрын
@@ReginaJanuary LAHAULAAA ✅
@SdFft-j5gАй бұрын
Mtu unapoingia kulala omba japo neno moja tuu kua mungu nilinde na uniepushe na nguvu zozote za giza na uchawi,
@ShamsiMbago-n2qАй бұрын
Nmetafakar sana pia
@MaryNasieku-if7qnАй бұрын
Kabisaa💪🙏🙏
@DearNaah-st2nxАй бұрын
upo sahihi kw kl
@AfrovoicetvАй бұрын
Amen
@KelvinMhandoАй бұрын
Ameni
@aishaomar2287Ай бұрын
Badala mfanye kaz mnalala makaburini😂😂😂 kusumbua watoto wa watu wamelala😊 bless 🙌...imeweza hio😅
@sophsoph4740Ай бұрын
😂😂
@RAZAKITENDEАй бұрын
😂😂😂 jamaa hatari sana
@charitiejeptooАй бұрын
😂😂😂😂😂jamani
@aishaomar2287Ай бұрын
@@RAZAKITENDE fire😂
@BENEDICTONONYA21 күн бұрын
😂huyu Jamaa noma
@LilOmmyCrazyOfficialАй бұрын
Tulio Subiri Hiki Kipande Cha Leo Kwa Hamu sana Hebu Tujuane Hapa Guys😢! Ila Kiusema Ukweli Kaka Mkubwa Yuko Anachelewa sana Kutupostia Hii Movie Yani Hata sijuwi ni Kwanini Pia Hata Akitupostia Yuko anatuwekea Dakika Ndogo sana Yani Hii hali mimi iko inaniumiza sana kweli daaah,🤦♂️😢😢
@JojohkatotoАй бұрын
Yaaan ata ham inakua aaamna aaan
@MaryLunaloАй бұрын
Amen
@Saraphina_Ай бұрын
Mm ningekuwa Merrissa for real ningeondoka tu siwezi kuwa na mwanaume ambaye aniskilizi 😂💔🖐️
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
Shindwa kwa jina la yesu kristo😅😅😅ila juma jicho😅😅😅
@KelpamАй бұрын
Mganga kwel
@JayBee-yo8jcАй бұрын
Na mapepo yanamjua yesu kuwa ni mfalme wa wa falme😅😅
@AllyBabu-kr6lgАй бұрын
@JayBee-yo8jc smile ☺
@marymele9714Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@rashowshine7849Ай бұрын
@@JayBee-yo8jchuo ni msemo too acha kujigamba😂😂😂
@FurahiniNsemwaАй бұрын
Ushindwe kwa jina la YESU KRISTO 😄😄😄
@SiviriSuisse-yz2spАй бұрын
U clam itakuwa kafungwa kichawi uyu 😂😂😂
@yusufukaasha4173Ай бұрын
Wow clam love you form Ethiopia, Nani anapenda Ethiopia? Like hapo bas
@kingcicero1708Ай бұрын
Nimejifunza namna ya kumpiga demu wangu 6:45😂😂😂
@PanarBoinaАй бұрын
"Shindwa kwa jina la yesu usiniletee matatizo" 😩😂😂😂😂
@ALIMOHD-bk9lrАй бұрын
Nilichopenda ni roho safi ya Clam. Kuwashirikisha kurya boy, boss wake yule na big plus juma jicho. Hao wote ni mastaa wakubwa. Clam ni nguli na mwema kwa kuwa na wenzake
@Mwathethe-qx3deАй бұрын
Kazi safi mkuu,nakukubal Sana i say👍
@bonventureimbuga522Ай бұрын
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@kapondadr5840Ай бұрын
All the best for clam family 😂
@J74251Ай бұрын
Wa kwanza leo nimewahi kufika tuliokua twasubiria hii movie ❤🎉❤🎉❤🎉❤
@CollisBill-mu3zpАй бұрын
YES ITS ANOTHER BEAUTIFUL DAY 😍 ❤🎉WE ARE TOGETHER FROM 🇰🇪 Kenya
@AlenCredoАй бұрын
Saluti sana sema umeichelewesha sana
@MkongweOmmyАй бұрын
Sema mwanangu tunaskilizia episod kama twasubiri ajira
@AmiriKiondo-zk1xyАй бұрын
Tena ajira za TAMISEMI (ualimu na afya)...🤣🤣🤣
@DavidMgaywa-zd5kdАй бұрын
🤣
@latifahkambi453Ай бұрын
Ajira portal ahahaha
@mariethachitemaАй бұрын
Dah😂😂
@latifahkambi453Ай бұрын
@@mariethachitema Ahahaha
@AminaDibweАй бұрын
Jamani hii move naipenda sana ila inachelewa sana sema nipeni like zangu hapa japo kumi tu mana nimewahi kutoka Zanzibar 😅😅mbali kidogo 😅😅😅
@AminaMohamed-d7g4 күн бұрын
ᴡᴀʟᴇ ᴡᴀ ᴢᴇɴᴊʏ ᴀᴜ ꜱɪᴏ ᴛᴜᴘᴏ ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ ᴍᴀᴍɪɪɪ❤❤❤❤
@venasngoyАй бұрын
Wakwanz leo Mimi kutoka USA like japo kumi tu Mungu atakubariki 😂🎉🎉
@venasngoyАй бұрын
@deltonedavid nimeipenda sana siasa ya manyanya hatar
@Twahamwela-ch5lzАй бұрын
Nmekukamilishia mie like ya 10
@EusébioisaiaspauloPauloАй бұрын
Wa kwanza leo kutoka mozambique
@Sayd-pi5lqАй бұрын
Duuuh uyu mtt ni ataree mashaAllah kaz mzr
@nicholausmwinuka7640Ай бұрын
Wakwanza hapa nicholaus kutoka iringa Big up
@mahmoudabdul5884Ай бұрын
Woow good for clam vevo 🎉🎉🎉dah naombeni wadau like japo 10 tu 😢😢😢
@BarackjumahАй бұрын
Habari zenu ndugu , jaman kila nikisema nimewahi najikuta nimechelewa kwn mnalalaga huku , tugonge like tukisonga BC jaman 😢
@UmmyMuhammediАй бұрын
Kipala mi naomba hiyo suti nikampe mjombaangu aende nayo kipaimara 😂😂😂
@ReymsidadaАй бұрын
😂
@fidesvenancemshanga5492Ай бұрын
😂😂😂mganga bhana😂😂😂 shindwa kwa jina la Yesu😂😂😂😂
@mercymwendo2990Ай бұрын
😅😅😅 mtoto gan huyo mchawi ndugu zangun😂😂
@AsiaBakari-b8dАй бұрын
Hahahaha
@salamamwazuma315Ай бұрын
N mtoto gan uyo mchawi nduguzanguni" maneno hayo sio magen kw mtto Angel lkn kw kipara na Melisa n maneno waliyoyazoea😅😅
@KigoyaKimayaАй бұрын
2lioona ep imechelewa 2juane😮😮😮
@marthesifa-5803Ай бұрын
mbwana mkubwa anatucheleweshea sana adi naumiya
@eliseindakidemi8269Ай бұрын
Nimefurahi sana kumuona Victor warioba a. K. A kurya boy
@KidumeRashidАй бұрын
Njoo nimekuelewa kwanza hongera kwaushindi wa kwenye kinyang'anyiro cha watoto wenye vipaji .pili leo timu yako imeshinda nadhani pale golini ulikaa wewe ndio maana umeshinda
@JumaMigezoАй бұрын
Aliemuona KURYA BOY akimuasha mke wa clam makaburini gonga LIKE 🔥
@LeitaoBoyАй бұрын
Jiamani Mimi sikawai pata like ata moja basi naomba ata 3🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@dhazona6935Ай бұрын
Moçambique upande gani
@chrisenciaChilatoАй бұрын
Melisa kipenzi muombe Sana mungu maana kunahatari katika rango
@CamiliusLeonardАй бұрын
Vevo mmmmh mnamchelewe kuchia movies shidann 🍎🍎🍎
@vicky_ylove14.Ай бұрын
Kuachia movie 😅😅😅
@ChristianKalindoАй бұрын
😅😅@@vicky_ylove14.
@NasrahMsiagiАй бұрын
@@vicky_ylove14.😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618Ай бұрын
@@vicky_ylove14.😂😂😂
@saidymatongo1478Ай бұрын
Sure
@nemahk2361Ай бұрын
Shindwa kwa jina la yesu kristo mganga umenichekesha hatar😂😂😂
@haso_mutribuog7383Ай бұрын
First viwers❤ fr0m zanzibar na0mben like na mm
@Cheusi01Ай бұрын
cheusi from chadow master familly nawapongeza one lovee🎉🎉
@qurthummrabdllh3635Ай бұрын
Eeh jmn nmekua wa mwanzo leo clam naomba bc like yako na mm leo nijidai😢🎉
@manyanya-01Ай бұрын
Kazi nzuri ndugu yangu clamvevo
@barakamwasi7442Ай бұрын
Leo wa Kwanza nipeni 🌹🌺
@tetri-numz96Ай бұрын
Nikajua Kipara umbea so vitu vyake kashaachaga kumbe umbea ubwela toka snake boy hadi huku🤣
@josephalfonce4493Ай бұрын
Iko pw sana suda apo kauwa muendelezo sehem ya 7mbn amna
@LedoBoy-topicАй бұрын
Good 👍👍 job 🎉🎉🎉😂😂😂
@Binty-z7gАй бұрын
Mgangaaaa😂😂😂ushindwe kw jina la yesu😅😅😅hja imenibana
@CarltonOsongАй бұрын
Much love from Kenya ,clam tutolee wimbo Moja 🙏Bado nakumbuka ukiwa mwana mziki😂😂 .Napenda kazi zako💯
@Neyy777Ай бұрын
Ila mgangaa "et shindwa Kwa Jina la Yesu😂😂😂
@AminaElizahАй бұрын
😂😂,😂
@Professor.Irene95Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila JUMA sio poa 😂😂😂😂😂😂😂 kazi nzuli sana
@CanrichJamesАй бұрын
Shindwa kwa jina la yesu kristo😂
@jamesmpinga543Ай бұрын
Fireworks 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JanethJafethАй бұрын
Toka imeanza sijawahi kupewa like atamona😢😢😢😢
@SERGEWABOMUNDU-r2eАй бұрын
Djuma jicho ❤😂 shindwa katika jina la yesu 😅
@BrankizyManingamaАй бұрын
Mimi mtu wa 100 kutoka Mozambique 🇲🇿🇹🇿
@TheReporter-A47Ай бұрын
Mganga leo kamkumbuka Yesu wa Nazareth 😂😂😂😂😂😂😂😂
@barakamembe467Ай бұрын
Tumengoja sana hatimae imefika❤
@SharifuAlbughuliАй бұрын
Dah Adi kurya boy yupo mjengoni😂😂😂😂
@MoiseTagAtАй бұрын
WA kwanza leo tokeya kongo🇨🇩🇨🇩 🥰🥰🥰 munipe ma like zanguuuu😂😂😂
@JaguarEscobarАй бұрын
KURYA BOY ndani ya move 🤝🤝🤝
@StratonMushi-wq4txАй бұрын
Wa kwanza tokea kilimanjaro 😅😅
@HUpendoАй бұрын
Akuna kitu sipendii unamuwazima pesa mt alafuu anakwambiya ametoka kutowa sasa iviii🤣🤣🤣🤣 bola aseme sinaaa
@LayanLayan-np6qbАй бұрын
Pia mm nmewahi naomba like 😅😅
@hillarywekesa7936Ай бұрын
Nimetua kwenye hii na nimemkubali sana kaka Clam walahi tena yamoto hii🫡🫡💪
@JumaJohari-o5cАй бұрын
Uko vzuri SANA chado master ila ndugu weka epsod 2 Kwa siku Kwan tunainjoi sana
@pascalselemani8132Ай бұрын
❤kali hapo clam vizuri sana natoko congo drc kinshasa bote
@E.kkenya-gc2scАй бұрын
Nimesubili hii video Kwa mda sana daaah atimaye imefika , mimi ndugu zenyu tokea kenya 🇰🇪 wapi like zangu jamani
@pastorhermantv5420Ай бұрын
Jina la Yesu ndilo jina lipitalo majina yote hakuna jina jengine lenye nguvu kushinda YESU
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Mungu ni mmoja tu Allah❤
@WardaBidoАй бұрын
Kabisa Allah akbar@@mohammedkidody5618
@SalmaAbdul-l6pАй бұрын
Kweli. @@mohammedkidody5618
@JigflouАй бұрын
😂😂😂😂😂
@LezkushАй бұрын
Yesu ndo mdudu gani au wale nd mashoga zenu
@EdouardKapamaАй бұрын
😂😂😂muganga paka anakimbilia jina la yesu😂😂
@hamzaIlungaАй бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤
@vituspeka4665Ай бұрын
Duuuh trip hiii tume subir sana sema nini mungu akuzidishie uwepesi na afya njema uendelee kutupa vi2 nzur nzur❤
@hassanmakame4382Ай бұрын
Kipara tuondoke ameshakufa uyu!!!😂😂😂😂 Km unamkubal mtto weka like
@ClintonFufumbeАй бұрын
Huyu jamaa move zake inatakiwa ziwe zna onyeshwa Netflix
@pascalselemani8132Ай бұрын
❤ukweli huo
@musamafayo3580Ай бұрын
Wazi umesemaa
@IssaMuhammad-t8iАй бұрын
Msenge kweliii ww😂😂😂😂
@ClintonFufumbeАй бұрын
@IssaMuhammad-t8i unataka nikujibuuu upatee kikii au syooo
@IssaMuhammad-t8iАй бұрын
@ClintonFufumbe Fanya ivoo niendeee mjini
@ShadrackAmani-i4pАй бұрын
Tuna ngoja épisode ya ju fata mkubwa kwa hamusana mbiyo tena mkubwa épisode ya ju fata sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MrfaldotzАй бұрын
🎉🎉🎉 Good
@LucienShabani-h3qАй бұрын
Clam naitaji kuona usutwa wa kipara na cheusi media kwenye mission impossible natumaini kitawaka mahana kipara simudogo cheusi mwenyewe si mudogo 😂😂
@RosemaryWilbardАй бұрын
😅😅😅😅
@rosemarenga832Ай бұрын
😅😅😅juma et shindwa kwa jina la Yesu
@bayanzaro7897Ай бұрын
😂😂clam una majibu ya kushangaza kweli yani bibi yako yuko serious wewe una mjibu ovyo kweli.
@JaymoneyTz-s9hАй бұрын
Uyo enjoo m2 wa mana kabisa
@ismacleverАй бұрын
Wa kwanza apa, nipeni like
@Labano2Ай бұрын
Wee clam bada watuangusha izo siku zote nikingoja movie
@iddyselemani4051Ай бұрын
Ni moto 🔥 🎉🎉 0:50 0:51
@mayaashassan3918Ай бұрын
Katoto kanampelekesha mama yke balaa😂😂😂
@JolinoPeterАй бұрын
Watu mnapenda kwel kutamkiwa mema ila ukwel Mungu hakup mema tu kwa sabab kuna mtu kasema ubarikiwe😢😢 utapta mema kwa kumlingana Mungu
@SammyCosmus-m5fАй бұрын
Shidwe katika jina la yesu kristo😂😂😂
@zahraabdul9652Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 shindwe kwa jina la yesu .
@KAGASSBАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉Fecitation Mukubwa weni noma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@KAGASSBАй бұрын
Kama kuna uwezekano nipatiye namba zako 🙏
@gabrielWandembaАй бұрын
Tafuna nyama vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@remmiyrabsoni4306Ай бұрын
Jmn mbn sna clm jmn dah🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅😅
@VivianMguto11 күн бұрын
Njoo kwake YESU Mwamba na kiboko ya uganga na uchawi
@AbdullahiMfaumeАй бұрын
Good job VEVO🔥🔥🔥
@FahimuFaraoАй бұрын
Uyu clam uyu siku kitakuja kumkuta kitu kizito atoamini😂
@CHOMBOFCM24Ай бұрын
Sempre que esperamos Vevo, demora de lançar a cena, mas a cena está muito ótimo. Visto por #CHOMBOFCM24