Hongereni Tanzania. Treni yenu ni bora zaidi kuliko yetu ya Kenya.
@malengaWetuTv2699Күн бұрын
Nitakuja kuiona
@MusaMpende3 күн бұрын
Bila kuchoka ❤
@AbubakarSadick-e1n3 күн бұрын
🔥🔥
@IMmedia2243 күн бұрын
Nakubali kk
@RonnieBertin3 сағат бұрын
Bro ngelengele ni morogoro
@malengaWetuTv269919 минут бұрын
Yes
@hafidhlukaly74623 күн бұрын
Mmetumia mida gani kutoka dsm hd Ddm
@malengaWetuTv26993 күн бұрын
Masaa manne na dakika kumi na tano maana tumetoka dar saa 18:55 Dom tumeingia saa 23:05
@donking-d4t2 күн бұрын
Wewe kama mwandishi wa habari na mtangazaji jitahidi kufuata matumizi R na L, Shida ni pale unaingiza hayo makosa mpaka kwenye kiingereza,, Hio ni kosa kubwa kwa mtangazaji boss