Viva magufuri viva ungekuwa hai ulitakiwa uongoze hii inchi mpaka mwisho wa maisha yako
@thadeusmarkiminja22822 күн бұрын
Kazi ya Marehemu hiyo mungu amlaze mahali pema peponi angekuwa hai tungeona mengi nchi za jirani wanashangaa.Hongera sana mama kwa kuendeleza kazi uliyochiwa.Mungu ibariki TZ.
@VicentNgunda-e1i2 күн бұрын
Safi sana. Mungu ibariki Tanzania. Mungu yabariki maendeleo ya Tanzania. Mungu mbariki mkuuu wa nchi yetu Mheshimiwa Doctor samia suluhu hasan na wabariki viongozi wote wa chini yake pamoja na wasimamizi wote wa usafiri huu wa tren ya kisasa inshaallah
@alfinmbilinyi59852 күн бұрын
❤Yeah❤!Iko vizuri sana nimeipanda Jana Toka Dodoma kuja dar.big up🇹🇿 serikali na♥️ M❤a❤gu♥️f❤u❤l❤i wetu alifanya kazi nzuri kuiheshimisha 🇹🇿Tanzania kimataifa.Nchi ya Nyerere inapendeza pia Dodoma inazidi kupendeza .
@obofranck14572 күн бұрын
Vive Magufuli ( RIP )... Vive la Tanzanie 🇹🇿..
@allysimu68562 күн бұрын
Asante mungu yoteyanapatika kwasababu ya amani tuzidi kulilinda nchiyetu viva Tanzania
@paulmuriithi91958 сағат бұрын
Kutoka wa- kenya..tunasema hongeraaaaa Tanzania. Mungu aendelee kuinua mbendera yenyu juu. Treni bora zaidi eastern africa.
@johnalexandermushi67202 күн бұрын
Hayo tayari hebu sasa jengeni ya Moshi na Arusha maana Krismasi inakaribia
@DanielKullwa2 күн бұрын
Hapa kwa kweli sawa kabisa
@lenajeff12402 күн бұрын
Wenye mabasi yaliyokuwa akibeba abiria Dar to Dim myafanye daladala la sivyo mnarudi kwenye mawe😂
@deokibona28352 күн бұрын
Kwanini wafanye daladala magari makubwa kama Yale! Wamebadili route tuu, wengine wameanzisha safari za nje ya nchi.
@DanielKullwa2 күн бұрын
Yes yes wamejiongeza..nadhani magari bado yana nafasi kubwa tu
@christopherwambali57962 күн бұрын
Acha urongo bwanaa siti ni nzuri njoo upande
@xyz-v6d2 күн бұрын
Urongo au uongo?
@MwachuomoКүн бұрын
Safi sana kenya
@55goodmen2 күн бұрын
AKILI NA MAWAZO YOTE HAYA NI JPM REST IN PEACE BABA JPM
@UnitedAfrica-uw9ct2 күн бұрын
AU AGENDA 2063....nenda kasome pale , magufuli kweli ni jasiri kwa kuianzisha lakini hili ni wazo la AFRICAN UNION To connect all african capital cities by 2063
@martinmalale91672 күн бұрын
Boleshani huduma hapo dar huduma za hapo ni mbovu baazi ya wafanya kazi hawana mda wa kuelekeza abiria ila dodoma wako vizuri sana
@Lastborn0083Күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aminahussein52652 күн бұрын
Mashallah Tanzania tumepiga hatua
@manish-fp1fb2 күн бұрын
Eti aina 2 ordinary na express...na hivi sasa mchongoko, Mkuu wa Mkoa vp palee
@HajiKlein-so1rk2 күн бұрын
Safi sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏💯
@LogTen-c2y2 күн бұрын
Ya ghorofa inaanza lini😋
@imaniLameck-fd4ebСағат бұрын
siti mbaya wapi wivu tu sasa tunaleta nyingine siti zitakuwa juu ndio hapo mbaki sasa
@LelemaMtusi2 күн бұрын
Aliwahi kusema Tanzania itakuwa km ulaya ila wengi hawakumuelewa.rip jpm
@fadhilisecha42682 күн бұрын
Bei zimetofautishwa kukingana na aina ya tren unayotaka kupanda. Kazi kwako kuchagua
@zobakazizi76373 күн бұрын
We love our country.
@majaliwaking45002 күн бұрын
Treni nzuri ila Siti Bora Ile ya kawaida
@ototek80372 күн бұрын
Hizo siti zinazunguuka sio lazima kutakuliza kisigo na huo ndo ubora wao, mtazielewa tu
@PaurothyAcademy2 күн бұрын
Me nataman hizi tren zingepakwa rangi ya bendera ya taifa..
@ikulunimahalipatakatifu76422 күн бұрын
ONGERA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA , ROYAL TOUR SASA INAKAA VIZURI Uchumi unafunguka INTER-CITY TRAIN, KAZI IENDELEEE and RIP JPM ..,
@salumnamjupa-sy6cm3 күн бұрын
Viva tz
@sonarahashim53292 күн бұрын
Everything else is great, but the lights inside the train that stay on all the time are really irritating.
@abelg24882 күн бұрын
Sure. I think they better opt for dim lights than the normal they’re using now ili kuongeza utulivu na kupumzika vizuri pia
@DanielKullwaКүн бұрын
I agree with you but the seats don't look royal...we need better seats, color combination should be reworked I need to feel the value of my 120k...there should be no jokes..value for money
@HansLubuva-f1f2 күн бұрын
Thanks my Government
@alphageorge55632 күн бұрын
Morogoro tunahitaji EMU zetu mbili. Kadogosa tafakari hilo
@ernestsinje97003 күн бұрын
Tanzania is moving fast
@paschazianestorymatunda64902 күн бұрын
Sasa zijengwe line mbili za Reli.. YA kwenda Na kurudi.. ili Sasa treni ziwe Na rout nyingi Sana Zaidi.. badaye tuanze kuwa Na mabasi YA electronic tuache kuwa Na wakatisha ticket..
@hassanlikwenangu84712 күн бұрын
Ingefaa tungeongeza pia idadi ya reli
@DanielKullwa2 күн бұрын
Halafu naona kila youtube video wanashoot nje, viti na choo tu...hii kwani haina buffet car? haina eneo la kama kuandaa chakula? haina vending machine? ni viti tu na vyoo na TV tu? hakuna mini counter? labda kuwe na detailed video. Ni vema kuona kuwe na ka factor flani ka kutofautisha.
@FabianKakule2 күн бұрын
Tuko pamoja na Tanzania
@mathiaschoma95272 күн бұрын
Apewe maua yake mbunifu wa wazo la treni ya umeme. Tusubiri ripoti ya CAG
@aminitu37662 күн бұрын
Viva Ma samia viva
@_born842 күн бұрын
Heko Watanzania!
@samuelpatrice66042 күн бұрын
Hongera mama samia,mabehewa yaongezwe kwa abiria wa kwenda morogoro
@starjay3052Күн бұрын
wandishi wa habari atuwaoni leo yani apa treni mbovu toka saa 3 asubui alafu wamekausha njoeni sasa yani nyie kazi kusifia sifia tu
@kambamazig020243 күн бұрын
Leteni exclusive VIP train ya EMU ambayo ikitoka Dar inasimama Morogoro halafu Dodoma.
@nabeelsombidah34052 күн бұрын
Ndio hiyo sasa, kituo kimoja tu moro
@eddechriss26642 күн бұрын
Mchongoko tayari hapo hatuwadai kitu, deni limehama sasa tunadai zile wagons za ghorofa kuziona relini pia
Wakenya ongeeni kizungu cheni sisi tupo busy na kiwahili chetu
@JERRYTEMBO-ik4zk3 күн бұрын
Mimi nafikiri tuwaache wakenya maana kuifananisha tanzania na kenya ni makosa makubwa sana nisawa na kufananisha mchonga jeneza na jeneza ni mtanzania mimi kuzaliwa moro kurombelo Ruaha lakini nime kaa kenya kwa miaka 10 sasa Jamani tanzania bado tuko nyuma hiyo treni yetu kwa kiwacho cha pesa ya kenya ni mshahara wa mfanyakazi wa safaricom kwahiyo wabongo acheni kuji chocha sisi bado sana hao watu wapate Rais kama Magufuri kenya miaka 3 kama London
@JERRYTEMBO-ik4zk3 күн бұрын
Shida ilioko kenya leo hakuna Rais alie na uchungu na nchi yake pia hilo tatizo limesha tupata wacha niwambie vile Mugufuri amekufa niwaombe watanzania wenzangu tusahau maendeleo tena kwa hii nchi mpaka mika 50 ijayo maana huyo mama ana jenga kwake pesa yote anapelekea akina Abdullh so niwambie watanzania kwasasa sisi kwishinei babujii 😂😂😂😊😊😂 maana yote anayo fanya leo Rais Samia ni yale alio anzisha mzee magufuri tena kuna miladi mingi imekufa na pesa haijulikani ilipo mfano barabara ya kibamba shule kuingia Kibwegele rami ime ishia kanisa ya kkkt tokea afe magu na bajet ilisha wekewa pesa 😮😮😮😮😮 kwaiyo kufananisha tz na kenya ni ushubwada wa kiwango cha rami
@JERRYTEMBO-ik4zk3 күн бұрын
Tembea uone usiongee kitu hujui😢😢😢
@t1910j2 күн бұрын
Achana na uchokozi wa ndugu zetu Wakenya
@elijahtille-ys5sc3 күн бұрын
V.good
@seneu.21282 күн бұрын
Bei ya nauli haiendani kabisa na quality iliyopo ndani ya train hasa vitu, nendeni Kenya mkajifunze maana ya royal class muache kuwaibia watz na kuwaona ni wajinga.
@anny199882 күн бұрын
We Mkenya acha makasiriko njoo upande treni ya umeme sio hiyo diesel full Moshi
@zobakazizi76373 күн бұрын
Mwanza sasa.
@DoroPot-iv5hy3 күн бұрын
mmmmh mbona hii royal seat zake sio nzuri kama ya kawaida?? ningeshauri royal ingekuwa abiria wake wanasehem zao za kuingilia....yaani wafanye thamani ya nauli ionekane...pia hizo seat zibadilishwe hebu chungulieni royal ya kenya muone jamani....msifanye mama angu samia awe na stress kupitia mambo yenu
@SiasaShabani-v4w2 күн бұрын
Ni kweli seat zimefanana na Kidinilo bus yaani hta ya economy ni nzr
@conesmo52662 күн бұрын
Una maana ya rangi yake sio nzuri au una maana gani, hebu nenda uone live kwanza
@mfaumemkopi27632 күн бұрын
kiukweri ninzui ira kwamwanchi wa kawaida atoipanda nauri sh 120000 kwa 150000 dodoma naikiwa ni kod yauyo Masikin
@hassanlikwenangu84712 күн бұрын
Mimi nipo kwenye mchongoko hv sasa tena kwa hilo daraja la royal, msiweke mjadala mkiangalia kwenye visimu vyenu. Mje muone halafu hiyo ya Diesel ya Kenya unaifananishaje na hii yetu??
@edithandunguru34052 күн бұрын
@@hassanlikwenangu8471Ajabu 😂😂
@modenasayi3 күн бұрын
Badilisheni Viti vya Royal
@DanielKullwa2 күн бұрын
I totally agree with u...hizi royal seats ni za kawaida sana ni kama commuter buses kzbin.infoSvPfg6RK-5o..hiyo bullet train ya china
@karafuunanazi17013 күн бұрын
Mambo mazuri heko Mkurugenzi Kadogosa na timu yako
@nyambegamatoro6817Күн бұрын
Safi saaana Hadi hapo tulipo fikia. Lakini , huduma hii si kwa Dar Ddoma, Dar Moro tuuu. Tunataka tusikie Dar Singida, Dar Tabora, Tabora Mwanza, Tabora Kigoma. Ddoma sio mwisho wa reli. So , mnapokuja kuomba kura zetu mtwambie angalao Singida sgr inafika lini?
@starjay30523 күн бұрын
bei tatizo iyo bei maskini apandi watapanda ma big tu
@NoelChambo2 күн бұрын
Ndiyo tutafute hela
@deokibona28352 күн бұрын
Hapana hata masikini watapanda Kwa kujikusanya kidogo kidogo labda hohehahe ndio hawatapanda, wao itabidi waendelee kutumia coaster maana hawana haraka.
@Patriot_kenyan3 күн бұрын
Siti mbaya siyo kama ya kwetu kenya hapo tumewashinda
@GoodDeeds-Jesus2 күн бұрын
Mnaweza kuwa mmetushinda kwa siti, lakini kwa trains kama trains sisi ni baba lao 😊 trains za kenya ni za diesel mpaka leo
@nathanpangjanda27342 күн бұрын
Sawa kwani kuna tatizo sisi tuna enda mbele
@deokibona28352 күн бұрын
Kwenye siti mmetushinda kweli. Hapo nawapa sifa lakini tutakuja kuwafunika hata huko kwenye siti.
@DanielKullwa2 күн бұрын
humu kwenye comment section kuna vituko...😅...yah kuna zile seats za brightline ya US...