Kweli Mimi nakubali sana waliofikiri kwa umakini huu maana wangeweza kusema tujenge treni la diseli baada ya miaka 10 tungeanza kuwaza kubomoa tujenge kama hivi ilivyo hawa wali toa hii Plano Mungu awabariki sana
@ogdosho93Ай бұрын
Hongera sana nchi yangu I liked it
@loner_wolfАй бұрын
Naipongeza Manara TV kwa mara ya kwanza , lkn pia ninaSUBCRIBE Leo kwasababu ya nimeona ndugu mwandishi ni mzungu na wazungu wanaweza . Mungu awe nguzo juu ya harakati za Hidjis Manara na team yake INSHALLAH ❤❤❤❤❤
@patrickndizeye2190Ай бұрын
Treni safi sana❤🎉🎉❤
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Kiongozi lini ten ya gholafa itaanza hongera sanaa Kwa maono ya juu🎉🎉🎉
@ernestsinje9700Ай бұрын
Viva Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 😍
@fredyjunior6961Ай бұрын
VIVA TANZANIA VIVA. ALUTA CONTINUA
@PapiiGosugosu-f7zАй бұрын
Ndugu mwandishi nchi jiran n china umetupanga aisee
@RomStar-p4wАй бұрын
Title Na kinachoonekana Ni tofaut. Acha uhuni manara
@ezekielmichael9431Ай бұрын
Bable DEKA inaanza lini
@RonnieBertinАй бұрын
China ni Asia sisi tuko Africa
@ezekielmichael9431Ай бұрын
Dable DEKA inaanza lini
@allymusira2153Ай бұрын
Mama yupo kazini
@DivineWisdom-o8yАй бұрын
Mama yupi
@PapiiGosugosu-f7zАй бұрын
Uchawa huo
@josephatodimary3633Ай бұрын
Nyie wote hamjamwelewa mtangazaji amesema china majirani zetu maana yake wakujilinganisha nao ni china kwa humu hamna😂😂😂
@yohanajoseph-w2uАй бұрын
Ndugu mtangazaji China sio nchi ya jirani, angalia ramani vizuri
@rayisadesigns2646Ай бұрын
😂😂😂😂
@Divar01-tx8wlАй бұрын
Kweli kbs aangalia Ramani vizur kk
@gideonmwanjila8616Ай бұрын
China nchi jirani kweli? 😂😂😂😂😂
@IsayaSosolo-nx8zkАй бұрын
Kwani jirani yukoje hasa?
@bekabakari7394Ай бұрын
Watangazaji wenye vyeti bandia Hata lugha pia wengi wao Kiswahili Kina wapiga chenga
@richardnganya2311Ай бұрын
Nchi za jirani China!!? Hapo ujue jografia haipo kwa watangazaji wetu !!
@thirdsigntzofficialАй бұрын
Kama china ni jirani basi na India ni jirani...bongo nyoso 😀!