Kwa ujumla mashabiki tuwe na uvumilivu, hao wafungaji wanakabwa kama wezi Sasa watafungaje? Kila team Sasa hv inapambana, na wao wanataka ushindi. Sio kazi rahisi kama tunavyotazama kwa macho. Kikubwa tuwe na subira.
@BobNasa3 күн бұрын
Leo Ateba mnamsifia, meche ijayo hafai
@JoelManase-p8s3 күн бұрын
Kajifunze kiswahil kwanza
@MboraJeremiah233 күн бұрын
Haikuusu.........inakuuma nini?
@jamesjames23683 күн бұрын
Hivi utopolo alishinda ngapi dhidi ya Kengold?
@RahimaMct-ik8mr3 күн бұрын
Kimoja changuruwe😂😂😂
@hassanrashid-l3u3 күн бұрын
Na kwa mikundu ya msimbaz je?
@SeifMgunya2 күн бұрын
moja tu
@LucasRuben-x1t3 күн бұрын
Ila kipindi cha pili tuna cheza down sana kuna timu ikitumark itatufurahisha
@maclaudismail66063 күн бұрын
Msuva alipita simba ? Acheni kung'oa viti
@Derick-h8b3 күн бұрын
Mbwana Ali Sammata
@maclaudismail66063 күн бұрын
@Derick-h8b hoja yake ilikuwa hamna mchezaji anaefanya vizuri nje ya nchi bila kupitia simba, ndiyo nimemuuliza msuva alipitia simba? We mbona mgumu kuelewa au upo kama yeye dunduka ?
@IssaKanju2 күн бұрын
Yukoap asaivi ajulikani arudi apitie simba
@HusseinMoshi-t2t3 күн бұрын
Me ni Simba ila Ateba Bado anazingua kwenye wakati mgumu kibu ndo liwazo letu Ateba hafungi utafikiri siyo streaker
@anoldsamwely26683 күн бұрын
Ujui mpira
@SharifaMketo3 күн бұрын
Kafunge wewe
@YOSHUAMWAMPETA3 күн бұрын
UMEWAHI KUCHEZA MPIRA?
@RahimaMct-ik8mr3 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@SharifaMketo
@ChristianMaganga-b9h3 күн бұрын
Kwendaaa
@AllyKimeme3 күн бұрын
Ivi mbona simba wapo wengi media tofauti na ngongwe