MZEE ABEID AMANI KARUME AKIELEZEA ALIVYOIFAHAMU PEMBA

  Рет қаралды 70,303

Bin Seif

Bin Seif

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@abuuhamzasuleiman7005
@abuuhamzasuleiman7005 3 жыл бұрын
Assalaamu alaykum. Dah! Ndugu zanguni nimeskitishwa sana kuona watu ndugu wenyewe kwa wenyewe wakitukanana na kujisifia tuu. Tuacheni tabia hio sio nzuri. Allah Subhaanahuu wa taalaa amesema ktk Quran: Hakika mbora wenu ni mcha Mungu, Makabila na Utaifa yameumbwa ili tupate kujuana tu. وبالله التوفيق. وجزاكم الله خيرا
@aliyhamim1683
@aliyhamim1683 5 жыл бұрын
kama umeikumbuka pemba kama mm gonga like
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Masha Allah shekh karume Allah amlaze pema peponi amin
@destiny4life439
@destiny4life439 6 жыл бұрын
pemba imebarikiwa na allah likn hawakupendi wenyewe wanangngania unguja tu
@aliyhamim1683
@aliyhamim1683 5 жыл бұрын
Destiny 4life ujinga uoo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 жыл бұрын
Destiny,nafikiri hapo huko sawa. WaPemba hawajawahi kung'ang'ania Unguja kama usemavo. Kabla ya mapinduzi,labda asili mia 10 ya wafankazi serikalini,walipokuwa na likizo,ndio waliokuwa wakitoka kwao Pemba kwenda Unguja kwa matembezi.Waliridhika na maisha ya Pemba Shida za aina mbali mbali za kimaisha zilizoibuka baada ya mapinduzi,ndio mwanzo wa WaPemba kukimbia kwao,na mpaka leo tunaona jinsi WaPemba wanavyoteswa wakati wa chaguzi za kisiasa.
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 2 жыл бұрын
Ni umri wako mdogo ndo uliopelekea kuona na kusema hivyo hauna lawama, jaribu kujifunza katika Africa ya mashariki mpemba alitambulikaje, shida ni mabadiliko ya utawala palikua na neema ikaondoka na walioondoka pale wasiostahiki kutawala walipopewa madaraka, wasiomiliki walipomilikishwa visivyokua vyao, mauaji, viungo, vipigo nk, kuwa mdadisi wa kutafuta sababu ya kitu kinapotokea usiropoke kiushabiki
@aidoact3166
@aidoact3166 4 жыл бұрын
Pemba inafisidiwa na Ccm tu dunia ya leo
@zenjiboy_
@zenjiboy_ 2 жыл бұрын
inna lillahi wa inna ilaihi rajiun
@salummzee9739
@salummzee9739 2 жыл бұрын
Allah akurehemu Akheira uliko
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
MMungu atakulani kwa mauwaji ya wasiokuwa na hatia na dhuluma zako..
@khalidali1130
@khalidali1130 10 ай бұрын
Hata uislam ulipitia magumu kwenye vita kwaio wkt mwengne lazm papitie vita ndio pawe na neema kwasbb wkt mwengne neema inakua imekaliwa na pia uspnde kusklza maneno ya wtu msklze vzr sheik Abed A karume uspanic tu kwasbb ulichskia kw wtu wenye chuk binasfsi🙏
@drhalimalmaskari
@drhalimalmaskari Жыл бұрын
Ndio maana akaowa 2 wapemba Lakini ccm inaigandamiza Pemba
@zahiribrahim7418
@zahiribrahim7418 2 жыл бұрын
Upon baba Hongera siku nyingi sijakuona piga kazi baba ....🥰😍🤩🥳🇧🇷 Alhamdulillah Mimi ni mpemba wa kengeja....🇧🇷🤩🥰🕵️🤪🤬👩‍🚒👩‍💼🕵️😒🥉🎍🎏🎑🟩🔵🤎🟡🇦🇼🇬🇹🇬🇳🇬🇮🇬🇹🇬🇼🇬🇲🇬🇹
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
okyy . Lkn hiii wizi waliisikia vzr Sasa wapo kzn kutuibia chakwetu kukipeleka.unguja natanganyika.
@alimansourali8871
@alimansourali8871 5 жыл бұрын
Mzee namkubali sana mungu amlaaze pema pepon
@allyseif8961
@allyseif8961 6 жыл бұрын
Maneno murua kabisa
@mohamed.hassani9917
@mohamed.hassani9917 6 жыл бұрын
Nani alioleta mikarafuu na minazi zanzibar
@abdillahmasoud6277
@abdillahmasoud6277 4 жыл бұрын
Waarabu
@abdalaramadhnibizimana3462
@abdalaramadhnibizimana3462 7 жыл бұрын
rais wakwanza alikuwa naakili kwa wazanzibar mzee alikuwa namuwono wambali lakini wamemuuwabure walokuwepo ndowanaharibut2
@abdullahanboori7904
@abdullahanboori7904 7 жыл бұрын
kawatia njaa ya maisha na nakma na laana mpaka leo
@abdullahanboori7904
@abdullahanboori7904 7 жыл бұрын
akili ya kucheza bao
@mwanaeidizenji8264
@mwanaeidizenji8264 5 жыл бұрын
Hii kali
@omarsaid4702
@omarsaid4702 2 жыл бұрын
Yeye aliua waislamu wenzake nayeye akauliwa kwa hio hisabu kwa mungu yamgoja
@eliasnavytanga
@eliasnavytanga 4 жыл бұрын
Anamjua Mungu huyu? Aliwaozesha wanawake kwa nguvu bila ya radhi zao.
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Lipumbavu tena jambazi kubwa Mungu kamfupisha
@bashaakumaarpandan9021
@bashaakumaarpandan9021 3 жыл бұрын
Huyu huwa cmuelewi anataka mke wa kiarabu kakin amewapiga
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 7 жыл бұрын
thanks bin seif
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 жыл бұрын
Talend karume
@samueljackson1591
@samueljackson1591 5 жыл бұрын
Fumba domo lako chafu hilo!!wapemba ndio wanaokuweka wewe))Mpemba akiondoka Unguja utakopa wapi na utalishwa na nani??!!kazi hamutaki ubishoo na usenge tuu ndio wenu
@abdallamohd1937
@abdallamohd1937 6 жыл бұрын
Mashaallah japo kua laana2llah Nyerere kakudhulumu lkn M'Mungu atakulpa malpo mema kwa wema wako na Nyerere atalpwa kwa mabaya meng alio2fanyia na had leo yanaendelea
@abushirylangwe9566
@abushirylangwe9566 5 жыл бұрын
Mungu alaze malii pema peponi
@abdillahmasoud6277
@abdillahmasoud6277 4 жыл бұрын
@Ali Ali baba yako ndio muuaji
@abdillahmasoud6277
@abdillahmasoud6277 4 жыл бұрын
Karume hajauliwa na nyerere ushike adabu yako mafisadi mukome
@abdillahmasoud6277
@abdillahmasoud6277 4 жыл бұрын
Hajauliwa na nyerere karume
@mohammedabdallah9821
@mohammedabdallah9821 Жыл бұрын
Tunabaki kusikiliza hutuba tu Lakini yoote hayo hayapo tena Zanzibar imebaki story tu,hususan pemba Ukoloni upo pale pale tu
@saidkhamis4662
@saidkhamis4662 6 жыл бұрын
Rais wa kwanza alikuwa mzalendo wa maendeleo na kuwajali wananchi
@omarabdallah2151
@omarabdallah2151 6 жыл бұрын
Said Khamis m
@ahmedkhamis9470
@ahmedkhamis9470 5 жыл бұрын
Nurdin Amberuty nae mpemba au
@abdillahmasoud6277
@abdillahmasoud6277 4 жыл бұрын
Karume ni mzanzibari
@nurdinhabib9045
@nurdinhabib9045 7 жыл бұрын
ndio umalaya upo xana mchana mabuibui lkn usiku balaa huko kuingiliana nyuma ndio usiseme mpaka wake zao
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن 7 жыл бұрын
Nurdin Habib umbwa wewe
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 6 жыл бұрын
Nurdin Habib mmmmmmh
@issamohd346
@issamohd346 6 жыл бұрын
Nurdin Habib ndugu mbona huku yataja mataifa ya marekani naulaya kwaujumla umekimbilia kuitaja Zanzibar why nadhani naww utakua nimiongoni wa wale ambao wanachuki nahusda zidi ya wazanzibari lkn tambua kua mabaya yapo popote nakitendo chamtu kufanya mapenzi kinyume namaumbile niile hali yayule mtu kuamua kufanya lkn sote tunajua kua nidhambi kubwa sana natena tangu zamani walikuoko watu wa Kaumu Luti walokuja kuufanya uchafu huo lkn Mungu hatimae akawaangamiza jifunze adabu usiwashtumu wazanzibari wote kwawachache wenyekufanya uchafu kama huo tunamuomba Mungu awaongoe wale wayafanyayo hayo ili watubie lakama hawataku basi Allah nimkali wakuwaadhibu atawaadhibu
@alinuhu3727
@alinuhu3727 6 жыл бұрын
Kuwa makini na kauli zako na utathmini kabla ya kusema
@AhmadAli-cv7hb
@AhmadAli-cv7hb 6 жыл бұрын
İvi maneno yako unaweza kukubali ilikuwa itatuhumiwa familia yako..???
@seifmassoud2686
@seifmassoud2686 7 жыл бұрын
mbona nyerere hukumpiga vita ulimkumbatia?
@destiny4life439
@destiny4life439 6 жыл бұрын
acha upofu mbona na nyinyi unguja mmeikumbatia kama yenu
@fawzyoalbahry4420
@fawzyoalbahry4420 6 жыл бұрын
+Destiny 4life zanzibar Unguja na pemba ya wenyewe sio yenu mrima pia mmeivamia
ZANZIBAR HISTORY:  The Ancient Time
5:34
SA.Nassor
Рет қаралды 52 М.
MWL. J.K. NYERERE: HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO
10:45
VIPAJI ONLINE TV
Рет қаралды 17 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 32 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,5 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mfahamu Aliyemuua KARUME/Alitumwa /Serikali ya Zanzibar
10:55
BONGO LEO
Рет қаралды 15 М.
MWALIMU NYERERE, MAENDELEO BILA UHURU NA DEMOCACRY NI KIINI MACHO
13:31
11 Twala Yuko Jela
12:37
MzeeBarwani
Рет қаралды 26 М.
NATIKISA PENDO - BURUDANI ZA MASHAKA (4)
16:02
Bin Seif
Рет қаралды 35 М.
HISTORIA YA RASHID MFAUME KAWAWA
24:00
Davistar Media
Рет қаралды 9 М.
PEMBA YAZIDI KUIWEKEA  ZANZIBAR RIKODI DUNIANI.
6:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 68 М.
KILICHOTOKEA SIKU YA KUUWAWA RAIS ABEID KARUME/RISASI ZILIPIGWA BALAA
13:30
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5
34:09
Abd Binm
Рет қаралды 431 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 32 МЛН