Рет қаралды 27,479
Bwana Aman Thani Fairuz anakutana na Twala jela. Huko walifunga urafiki mkubwa. Aman anasema mengi kayapata kwa Twala kuhusu serikali ya MAVAMIZI. Abeid KArume akiwafanya mawaziri wake kama watoto wa skuli.
Aman amepata habari kwamba Othman Shariff na Idrsa Majura wamefika jela ya Bamkwe (Mandera). Pia Hanga kafikishwa huko kwa Mandera.