Na nasheed ya Karume ni hii hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/oGfKe4B9hZKEocksi=szdUrjfXBZqj-5d8
@adamnguvu10202 жыл бұрын
*Ukweli Upo Ila Tutajuwana TU kwamungu*
@edwardmenawezkuzamakwadaki4825 Жыл бұрын
Nimeipenda xana
@LeylatVlogs2 жыл бұрын
Nimeipenda na nimesoma kuhusu jina la Eneo hilo kuitwa kisiwa ndui ambalo sikujua maana yake kabla 👏
@sulimanm65252 жыл бұрын
Anafahamu kila kitu uyooo anaogopa kusema
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Adela hongera kwa history
@ahmadajafari70832 жыл бұрын
Mie nafaham vizuri sababu ya huyo mwanajeshi alika na cheo luteni sio cpt alikua mwarabu amempiga risasi kwaajili ya kulipiza kisasi cha baba ake ambae inasemekana aliuawa kwa anri ya rais karume wakati wa mapinduzi mie nafaham vizuri historia ya jambo Hilo lengo ilikua kuipindua serikali Kiongozo mkuu alikua conalAli mahfudh mie nilikua mwanajeshi wakati huo nikiwa na cheo Cha sgt
@selemanimakau90262 жыл бұрын
Acha uongo mungu anakuona,na siku ya hukumu ukasimame useme ivoivo,unafikiri watu hatujui kuna siku maumivu ya watu yataisha,je angekuwepo mpaka leo zanziba ingekuwaje,acha kudanganya watu wanajua.
@jofreymsigwa852 жыл бұрын
Sasa ukweli n upi
@alrabee01suleiman40 Жыл бұрын
Unafahamu kisasi hicho lakini ndio umewiva husein kitu cha kweli
@YussufAli-yt6dp Жыл бұрын
@@selemanimakau9026 hug Thu by😊h
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Zanzibari mpaka leo haijapata uhuru wake kutoka kwa ungereza NA waarbu ikaja ukoloni wa tanganika
@Bam2682 жыл бұрын
Nyerere ndie alie kuwa mtuhumiwa mkubwa wa kifo cha karume
@sephaniaizengo7602 жыл бұрын
Jna lako tuu linaonesha ufinyu wa fikra na kwanza unachafua jina la kiongoz ,tna baloz madhubuti malawi
@redmondbaby17102 жыл бұрын
Hhhhhh hata Mimi siyafaham 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mchezo nini
@nelsonjonathan76602 жыл бұрын
Safi dada umehoji vyema
@bakarimtange5702 жыл бұрын
Uo ulikua mpango ambao Nyerere aliupanga
@Bam2682 жыл бұрын
Na ukimaliza hapo uende ukatutafutie historia ya tanganyika pia ni nnchi yenye history nyingi tu
@roudhamahmoud7632 жыл бұрын
Piya uko vizuri dada
@richardmakupa80402 жыл бұрын
By
@kelvinbernard54532 жыл бұрын
Nimependa Sana Sana tu
@Hassanali-sq2dm11 ай бұрын
Alitumwa na nyerere lengo nikumua karume ili asivunje mungano karume alitaka kuvunja mungano badala kuona anapelekeshw na nyerere
@allychale28852 жыл бұрын
Usidanganye wazanzibari semeni ukweli nyerere alipoona muungano unakaribia kuvunjika nyerere akamuua karume ikawa hakuna kuvunjika muungano tena wanasahau kwamba karume alisema muungano mwisho chumbe
@ahmedalbalooshi85182 жыл бұрын
Lazima iko au ziko sababu lakini hawataki kutangaza,wengi wanaohusika wanajua lakini wanaogopa kusema ukweli
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Lengo na sababu ya kuuliwa kwa Rais Abeid Karume ni Siri na Kitendawili.
@venitarugemalila92902 жыл бұрын
Yaani mwafrica bwana kweli hakuna kuaminiana
@frankmlowe7559 Жыл бұрын
Duuh ilikuwa hatari mzee karume aliuliwa kikatili Sanaa
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Frank,jaribu kuulizia namna Kassim Hanga na Othman Sharif walivyo uliwa huko Zanzibar.Ukipata taarifa sahihi ndio utajua nini ukatili
@bwittozmjomba70192 жыл бұрын
Leo ssa nimejifunza kitu ususan kifo cha karume, Nilikuaga sijui kam alikufa kwa bunduki. Lkn nimejua kumbe muuaji Alikua mwiongoni mwa walizi police
@timotheosumba42932 жыл бұрын
🙏🙏
@tamyomy83982 жыл бұрын
Aliua wa arabu na akauliwa na humud muarabu
@hanihaji62172 жыл бұрын
Historia ya khalifan
@abdulab62022 жыл бұрын
Hao wengine hawakupigwa risasi zilikuwa zile risasi anazopigwa Mzee karume ndio zilikuwa zikimtoka zinawapiga wale wengine nikweli alikuwa mlengwa ni yeye na Marehemu humudi alikuwa na lengo lake
@michaelmkisi69992 жыл бұрын
Hamtapata ukweli hata kidogo media ndogo sana . CCM wameshindwa kutoa habari hizo CCM Leo wasafi mpate habari hizo za miaka takribani miaka 31.
@VedastoRushalizi8 ай бұрын
Kikubwa aliwadaidia wanyonge
@janerouhassanjanerou7933 Жыл бұрын
Duh mzanzibar gani huyo anaesema Afisi
@fareesfarees7634 Жыл бұрын
it seems u don knw swahili
@AllyHamran9 ай бұрын
Mbona unamtaja Humoud tu huwataji na wengine .hakuwa humudi pekee walimuwa wengi wataje usifanye bias.
@KhaleedHamad-vl7lz9 ай бұрын
Sasa wale walio burutwa na gari ni kina nani
@rahmajaffar7942 жыл бұрын
Tukio limetokea cha msingi tujiulize wananchi tumejifunza nini na viongozi pia wajiulize wamejifunza nini? Halafu tuiombee dua zanzibar na Tanzania kwa ujumla ibarikiwe na amani na rizki za halali
@KhaleedHamad-vl7lz9 ай бұрын
Ongea ukweli karume alimuuwa baba yake humud karume kutaka humudi asahau wkt huo humudi alikua kjn mwenye elimu karume akampatia veo vikunwa ili asahau machungu ya kuuliwa baba yake kumbe humudi alikua anamachungu na nyerere alipanga mipango amkimbize humud baada ya humud kuuwa na wenzake wakakimbilia shamba chwaka kupanda boat na boat haikuwepo
@kessynurutajiri49402 жыл бұрын
Hiyo Miwani ya nini?.
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Umeona ndio wandishi wa tz
@b.39402 жыл бұрын
Mbona hamtaji Tito Okello katika historia ya Ungunja? Zanzibar haingekuwa huru bila huyo mganda.
@redmondbaby17102 жыл бұрын
Karume akifufuka leo akiiona znzbar ilivyo hii atalia sn
@ahmedalbalooshi85182 жыл бұрын
Redmond,unadhani hivo kwa sababu zipi?
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Nyie mbona hamtii nchi yenu mnawachia watanganyika wanaimaliza.
@omarimpogo68952 жыл бұрын
We muandishi umeniboa... Unaacha kuuliza maswali ya msingi unauliza kuhusu bao
@josephmakutano70672 жыл бұрын
Bibilia nikitabu kizuri kilichotafusiri mambomengi yaduniani hata yapeponi,kunamahali pameandikwa kwamba lisilowezekana kwetu kwamwenyezimungu lawezekana vilevile auwaekwaupanga atauawakwaupanga
@mohammedbakar41422 жыл бұрын
Wewe unajuwa humo ndani makao maku ya ASP kiswandui hakuna kaburi la mzee Abeid Amani Karume peke yake humo ndani kuna makaburi mawili moja la mzee Abeid Amani Karume na jengine limo ndani hukulitaja ?
Huyo muuwaji alijuwa ni shemeji yake alikuwa analipa kisasi cha kupinduliwa maana alikuwa mwaarabu na karume aliowa nwaarabu baada ya kuwapindua hao waarabu
@lutegochangarawe4122 жыл бұрын
Una uhakika
@binseifalsuleimaniy5032 жыл бұрын
Duh kam hujui bora usicoment karume kao muarabu tena akaza kabla ya mapinduzi mapinduzi yanatokea yeye ameshaowa zamani san ,tena murabu ,pmoja na kina Aboud jumbe ,Ali hasan mwinyi na wengine wengi wameo waarabu tena kabla ya kufanya mapinduzi ,rudi shule kijana
@barwani890 Жыл бұрын
@@binseifalsuleimaniy503 tena kwa nguvu kuoa
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Nyie ccm mkowa mnajuwa Karume hakuwa na makuu na nyie kuwache makuu muwache wizi
@gangmore90912 жыл бұрын
Ukitenda dhulma n wewe itakukuta Dhulma ameuwa n yeye ameuliwa
@abdulrahmansalim977311 ай бұрын
😊
@belgieboys98672 жыл бұрын
Muulize huyo jamaa alikuwepo hapo wakati wa tukio? Mie nishaelezewa na mzee aliyekuwepo hapo siku ya tukio.
@ZanzibarOrchestra2 жыл бұрын
tuelezee wewe bac huenda tukapata faida zaidi.
@belgieboys9867 Жыл бұрын
@@ZanzibarOrchestra Muuaji alikuja na vikosi vya jeshi wakavamia makao makuu nje. Muhusika muuaji aliingia akaua na alipotoka nje na katika hao majeshi waliokuja nao walimuua. Hadithi hiyo niliipata makao makuu ccm kwa mzee mmoja ambaye alikuwa mzee wa chama na yeye siku ya mauaji alikuwepo nje ya jengo kwa alivyonihadithia. Na akanambia rover mbili ziliingii moja geti la mbele na moja nyuma Sasa hiyo hadithi nilipewa makao makuu
@belgieboys9867 Жыл бұрын
@@ZanzibarOrchestra Hata hadithi ya mapinduzi ukiisikiliza kwa mama karume siku ya mwaka wa kwanza mwanawe kuwa rais alisema mumewe alikuwa kalala naye nje zogo watu wanauana tvz record ipo.
@belgieboys9867 Жыл бұрын
@@ZanzibarOrchestra tizama nani aliyekuwa akiwauza watumwa ni muengereza au muarabu? Muarabu alikuwa ni transport tu. Mabaki wanaotembelea wazungu ambayo ni mafichio ya watumwa yapo wapi ? Misikitini au makanisani?
@rajabjuma2772 жыл бұрын
Afisi kiswahili wacha ushamba
@lutegochangarawe4122 жыл бұрын
Kwahiyo ofisi Ni kireno acha ujuaji
@AliAli-rx6wu2 жыл бұрын
Kwani hilo li miwani bayaaa kama la kipofu!!! La nini??? Au una makengeza!!!
@idrisasimba8501 Жыл бұрын
Acheni kuingilia privets lives za watu
@theophilluskahigwa81282 жыл бұрын
Watangazaji punguzeni au acheni kuvaa miwani ya jua mkiwa ndani ya majengo! Mnajificha nini? Mbona watangazaji wa vyombo vingine vya nchi za nje hawana tabia hiyo?
@ahmedalbalooshi85182 жыл бұрын
Mbwembe hizo
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Usikariri
@stanleymsenga94442 жыл бұрын
Duu
@rizikivincent52552 жыл бұрын
Huyu baba anayajuwa yote maana anaeleza mambo yanayoonyesha kuwa katika shauri lililopangwa naye aliusika maana alitaja na viseemu walivyoikalia kana kwamba alikwenda kwanza kupeleleza nafasi karume ameketi ni wapi akapaona nakuelekea kumwambia muaji mbinu laana na mikosi waafrika azitawatoka maana usaliti umewajaa moyoni mtabaki kuwa watumwa wawazungu myaka nenda myaka rudi msipojikosowa dhambi zenu za kusalitiana
@akinzaathumani38702 жыл бұрын
Huo mnafikiii anajuwa kabisaa muwajii nawewe atawawa tuu eleezaa tu ukwelii mzee