Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE KZbin Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram
Пікірлер: 34
@davieswillson9782Ай бұрын
Iki kichwa ndo tumebaki nacho sijui siku kikidondoka itakuwa !!! Tumlinde sana uyu Mzee asa sisi vijana
@salimukimwaga-fu8ccАй бұрын
Sijui
@ShekhaAmourHАй бұрын
Mzee Warioba gombea Uraisi awamu ijayo. Unaweza.
@johnkasonta410Ай бұрын
Very very good Mzee Warioba!
@valencegustav1378Ай бұрын
Ndo uchawa anaozungumza Mzee sehemu zenye ujumbe wanakata sauti na ndo wandishi wa habari
@mage5371Ай бұрын
Barikiwa baba Hazina yako kubwa tunaendelea kunufaika🙏
@patrinraura1397Ай бұрын
Mhe.Jaji Warioba Tunashukuru sana kw Busara na Hekima zako Wewe ni Kizazi cha Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere Baadhi yetu Watanzania tunaamini Sauti yako ni mbadala wa aliyekuwa Rais wa Kwanza Tunakuombea afya NJEMA
@YonahMwamwajaАй бұрын
Wewe mzee wetu unaeleweka saana inchi hii ni yakusifianatuu uchawa mwingi saana .
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Vijana wote hao uliowataja tulikuwa nao kwenye gazeti la Uhueu
@AbdulrazaqMadengeАй бұрын
Asilimia kubwa watanzania tunapenda kumsifia kiongozi akistaafu au akifa, anayesifika sana ni makonda tu, ila Naye akiwa kiongozi mkubwa mtamlaumu, kwa ujumla ni vigumu kunlidhisha kila MTU!
@kivariachagama4958Ай бұрын
Kumbe hata press ya waziri mkuu mstaafu inahaririwa juu ya maudhuri ya kuruka hewani?
@RugakiMsingoАй бұрын
Nyiyi wandishi wa abali Acha uchawa nyinyi mpo kwajili yetu sisi wananchi.
@RemyDuma-db5fdАй бұрын
Huko sahihi kabisa Mzee wetu Warioba, ili swala la udini ndio linachochewa kidogo kidogo na Moshi ushaanza Kufuka Bado Kulipuka tu 🤔
@neemannko2040Ай бұрын
Uchawa hadi mwandishi ametoka sauti tusisikie hayo ya udini anayotufindisha mzee😢
@aishafadhili2321Ай бұрын
Sauti imechukuliwa na wasiojulikana
@alfredbee7967Ай бұрын
Majitu mengne bdo hayajamwelewa huyu baba cjui hata yakoje au metumwa kuharibu sikiliza kwa makini hayo ni madini adhimu huwezi kupata popote cyo unaropoka kukoment
@AbdulrazaqMadengeАй бұрын
Asilaumiwe MTU mmoja, serikali inaongozwa kwa ngazi ya kiuongozi, ukiwa na tatizo umuone kiongozi aliye karibu yako, kila mkoa, wilaya , tarafa, kata , vijiji , vitongoji hadi mjumbe waba nyumba kumi, utahudumiwa!
@daviddsouza735Ай бұрын
Sijaona channel yoyote ikitaja vizuri jina la kikao hili, ni wapi ilifanyika, nk
@reginas1832Ай бұрын
Ilikuwa ni mkutano uliohudhiriwa na wadau mbali mbali juu ya hali ya demokrasia Nchimi
@RBMBAKARI-bv6wnАй бұрын
Huyu mzee ameongea ukweli anapiga kote kote hata hao chadema amewapiga kweli na serikari nayo .ameiambia ukweli watu wakifuata busara hizi tanzania itaendelea kua bora sana
@mandelasamson8401Ай бұрын
Sehemu muhimu wanakata maana mbona tunawaona watu wanapiga makofi
@neemannko2040Ай бұрын
Ivi mbona akifikia sehemu nyeti mnatoa sauti? Uchawa hadi kwenye uandishi😳😳
@KwelihukuwekahuruАй бұрын
Sasa mwandishi si ungeacha tu kurusha hii clip kuliko kuizima kwani ulilazimishws
@DiwaniMwafongoАй бұрын
Siku hizi professor Kabudi kawa " mchicha mwiba" limekuwa lishoga kabisa ! Maprof yaliyoenda keenye siasa yamekuwa mazeng# kama mabwabwa wengine!!
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Mpumbavu sana wewe kwanini unamtukana Kabudi lishoga baba yako
@DiwaniMwafongoАй бұрын
Kakufundisha UD sio. Truly prof Kabudi ni shoga... Kuna mashoka wameoa na watoto ujue..... Mwanaume lijali you wa elimu ya Kabudi waweza kuwa chawa namna Ile? Au ni Shemeji Yako ...truly ni shoga!!
@DiwaniMwafongoАй бұрын
@@margarethpolepole7438 kwani Kabudi ni machepuko wa mamako?
@neemannko2040Ай бұрын
Hicho kipengele Cha Chadema kufanya maandamano mbona umetoa sauti! Mwanzo nilidhani ni sauti imepotea bahati mbaya kumbe Kuna kipengele akifika hamtaki wananchi wasikie
@PaulSanga-m3pАй бұрын
Watanzania tulikuwa ndugu,kikweli kweli,shida ilianza walipojitokeza waheshimiwa Kama uhuru tulipata bila gharama ya damu waheshimiwa wametoka wapi
@chikizamifupa5786Ай бұрын
Leo umeongea Point
@HamisWawilaАй бұрын
Ww urleweki mzee kama vipi kaendelee. Na mipango yako
@florencejohn6427Ай бұрын
Mbona mzee hasikiki?
@kvenanceАй бұрын
Mbona inakatakata sauti🤨🤨🤨
@yosephatMasanyiwa-oh1rlАй бұрын
Vyombo vya hbr chawa eti akifika kwenye wanapodhani katoboa wanaondoa sauti. Elewekeni nyie vyombo vya hbr ama unganeni na tbc na kundi lao