ishaanza kufanya kazi kwa kipande kilicho kamilika ?
@tagdymagdy73013 жыл бұрын
Usiibinafsishe
@yasiniSwedi-qg5oc8 ай бұрын
Mnainjoi kz ya laisi mwenzenu kanakwamba ninyi hamkuwa malaisi manyumbu
@saidimtame23203 жыл бұрын
Wewe kikwete auna lolote umekujaa umimi sana ungejua watu hawa kupendi hata usinge tembelea mladi wa magufur wetu mfitinaji mkubwa
@peterjohnson1673 жыл бұрын
Hongera sana mkuu umeongea la maana sana yaani wanipa faraja ...maendeleo kwanza mambo mengine baadae kama vile kaatiba mpya..... Tumeletewa demokrasia ya vyama vingi kwao tayari wamesha jenga inchi zao hawadaiwi na uma chochote ... leo si bado tupo hukoooo alafu changanya Maendeleo na vyama vvya siasa duh mambo moto... Tanzania inatakiwa ijengwe kwanza mengineyo baadae.
@tatoorashedi17873 жыл бұрын
Anaongea utumbo ww unampa hongera ya nn
@abuuramadhan80933 жыл бұрын
Watu wengi wanachuki nyingi zidi ya viongozi wakiislamu hawana lolote