Huyo Mzee nimchawi , Hapo mmeanza kutengeneza vilusi ndani ya chama
@ybmtaakwamtaaofficial34153 ай бұрын
Siku zote ukweli hupuuzwa magoma yuko sawa
@JacklinaJohn3 ай бұрын
We nyoko koma km ulivyo koma k...m ..la mm YK
@ybmtaakwamtaaofficial34153 ай бұрын
Wanaobisha wote ni watoto wa 2000
@anastahiliutawala38793 ай бұрын
Mzee yuko sahihi
@AmbagayeАй бұрын
Huyu jamaa hajui maana ya uwakilishaji. Kwani tunapopeleka wabunge kutuwakilisha kuisimamia serikali huwa na maana uwa sisi wengine tumetengwa hatuna haki?
@BoniphaceFridoline3 ай бұрын
ndo naamini sio kilaa mzeee na mwenye mmvi anaakili afu chuki ni kitu kibayaa sana kwenyee maisha asa mzee kama huyo baadala amrudie mungu azeeke vzuri anatumiwa na watu kuchafua Timu wazeee mnajizallsha tuaacha kuwasalmia
@AmbagayeАй бұрын
Inawezekana alitaka kutumia hukumu hiyo kuwa-blackmail viongozi wa Yanga akawahiwa!~
@neemaisrael6883 ай бұрын
SIYO MWANACHAMA WA YANGA.
@maryfides5913 ай бұрын
ilooo zeee zima linataka kushindana na mtoto we mzeee hapo ulipo umeishajiishia unamtafuta nini mtoto wawatu😮😮
@nicholauskilosa53363 ай бұрын
Takataka kabisaa
@JacklinaJohn3 ай бұрын
Huyo nyoko ana njaa tu pumbavu zake,aende akaongoze familia yake mbwa kabisa
@PaulAckim-m9q3 ай бұрын
Angalien nyuma ya pazia wtaan wang kuna niniiii
@Mtz-u2t3 ай бұрын
Mzee yupo sawa kabisa😊
@mutakagoza47593 ай бұрын
Kolo pole
@eliathomas84463 ай бұрын
Kolo mwenzake na magoma
@sonnyr18993 ай бұрын
Kolo
@c.e.o_abdiroush3 ай бұрын
Mzee Magoma kubwa la maadui 😂😂 Sema Wazee kama hawa wakizeeka huwa wachaw 😂😂 kofia ndogo kuliko kichwa 😂😂 Shwaiiin
@msisimwasihu-96533 ай бұрын
Uyo mzee hafai
@terrence94773 ай бұрын
Pia aambiwe hiyo yanga anayoisema ni Dar Young Africa, sasa hivi ni Young Africa, Dar ilishafutwa. Njaa mbaya, tutamchangia, kwani anataka sh ngapi?
@mohamedichande-eb6jh3 ай бұрын
Uyoananjaa na ametu!wa ila hawez kufanikiwa na akizidi na hayo atayaona Yanayo fuata
@dasadremandad92083 ай бұрын
Deixem jovens trabalhar vocês já fizeram a vossa parte
@JoviceEustad-vv1hl3 ай бұрын
Kwani mwanachama aliyesema kabaguliwa Nan zaidi ya wewe
@terrence94773 ай бұрын
Kama hizo ndio baraka, hahahaa! umekwishaaa!
@S.king_73 ай бұрын
Mzee mpigaji hana hoja
@terrence94773 ай бұрын
Kwani wananchi wote wanaenda bungeni, aelimishwe tu huyo
@ABELISichalwe3 ай бұрын
Weee kazeee njaaa inakusumbua sema uchangiwe
@MhagamaJoseph3 ай бұрын
Hacha kupotosha watu
@babuumaeda76713 ай бұрын
MEDIA 😂😂 zetu za TZ ni za UMBEA muda woteee😂😂😂😂😂 ni kuzidaha uuu
@HellenAlquin3 ай бұрын
Mbwa Koko huyo
@ameirdarueshi25933 ай бұрын
Hii nchi ngumu sana hasa ukiwa unafanikiwa fanikiwa lazima tu watakuja tu mafisadi wakutilie mchanga kitumbua chako oya daima mbele tuacheni vijana tupije kazi mnakwama wapi vidingi
@Saikalyasi3 ай бұрын
Hoja yake dhaifu Yanga ina wanachama zaidi ya 65k, akisema wote tuende kweny mkutano tutakaa kweny ukumbi gani? Wanachukuliwa wawakilishi ili wao wakusanye hoja zao kutoka kwa wanachama kweny tawi husika ili wakaseme kweny mkutano mkuu Ni kama wabunge tu walivyochaguliwa kuwawakilisha wananchi wa jimbo husika
@PeterNgusa-d1l3 ай бұрын
Shule hana
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu3 ай бұрын
Kashindaje hao wenye shule?
@Peterchila-un2lx3 ай бұрын
Weunayo shule kenge wewe
@rexgodwill73533 ай бұрын
Mzee Ana akili kubwa Sana.. Kajambisha wanayanga wote na viongozi wanatafutana
@SamweliMango3 ай бұрын
Kufungua kesi kwan ni kubaya? Ni kosa? Ukienda mahakaman maanake anataka ufafanuz....yeye Ni GEN A Hersi ni GEN Z