MZEE MASATU: AGEUKA MBOGO, AIWEKEA SIMBA LAKI MOJA KUSHINDA DHIDI YA YANGA | JUMA, AJIBU KWA JEURI

  Рет қаралды 23,764

wispoti tv

wispoti tv

Күн бұрын

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Пікірлер: 99
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ IN.SHAALLAH M'MUNGU ATUJALIE SIMBA ISHINDE AMIN THUM'MA AMIN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jumongjr5837
@jumongjr5837 Ай бұрын
Kweeeli mzee Masatu unazeeka Vibaya,,,,,,,,,
@DanielChaula
@DanielChaula Ай бұрын
⭐⭐⭐⭐⭐✨✨✨✨✨✨
@LovelyBakedBuns-ue7un
@LovelyBakedBuns-ue7un Ай бұрын
Yaan utopo lazima kesho walie tunza hii crip tuko pamoja mzee masatu
@donatienbest6043
@donatienbest6043 Ай бұрын
Masatu anamahaba kweli
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Yan kwasimba ya devs watapgwa wengi sana sio utopolotu
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Ай бұрын
Huyu Mzee yupo sawa kabisa
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Nasema na Nina ludia Tena kusema kuwa yanga atobowi hata kwa dawa kihama chao tayli kimesha fika
@user-yg2oi5ln7h
@user-yg2oi5ln7h Ай бұрын
❤❤❤
@makoreremakorere4212
@makoreremakorere4212 Ай бұрын
Simba nilidude likuuuuuuuuubwaaaaaaa
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Lkn kubwa jinga
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
@@robertphilip385kesho ndo utajua 😂
@stephenwainage2523
@stephenwainage2523 Ай бұрын
Yanga hawata amini macho yao😅😅😅
@kamanda7703
@kamanda7703 Ай бұрын
Japhet simba wakifungwa mimi nitamrudishia hela yake mzee masatu. Mwambie asiwe na hofu nitamtafuta. 💯
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Halafu unazima cm achakumdanganya Mzee wa watu
@kamanda7703
@kamanda7703 Ай бұрын
@@robertphilip385 hamna simdanganyi ni uhakika. Kikubwa afya tuu
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hakuna kumrudishia!
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx Ай бұрын
Mtaumiaa sanaaa vitenge
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Kasome SANDA
@lifeplanB-y6n
@lifeplanB-y6n Ай бұрын
unahoji vizuri sana pande zote mbili na mpangilio wa maswali pande zote umetisha sana
@johnmariki
@johnmariki Ай бұрын
Money huruma juma mwenye wazee
@YusuphBupamba
@YusuphBupamba Ай бұрын
Yanga ni Dunia nyingine
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Ай бұрын
Dunia ya wachawi na watoa rushwa!
@LovelyBakedBuns-ue7un
@LovelyBakedBuns-ue7un Ай бұрын
Baka alitembea na matako Kwa Fred sasa kesho shughur ipo.
@kayandaabwe2976
@kayandaabwe2976 Ай бұрын
Mzee wa hovyo sana huyu masatu
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf Ай бұрын
Young Africans 4-1Simba kesho tutawalipa magori yenu ya Azam Federetion cup
@allydaud612
@allydaud612 Ай бұрын
Mzee Masatu nimekuonea huruma hiyo hela bora ungenunua chakula ukala na wajukuu wako kesho mtapigwa nyingi usije ukazimia uwanjani
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l Ай бұрын
🦁🏆💪💪
@user-fh7gu7eb2d
@user-fh7gu7eb2d Ай бұрын
huyu mzee kumbe anashida hv,hajui nyeusi ni ipi anapotea mpaka tarehe
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Huyu ni shabiki,ila mpira haujui! Ila namuheshimu sana,mi yanga
@Joshuapaul-nn7gk
@Joshuapaul-nn7gk Ай бұрын
​@@errydeo8865Elewa neno imani ya mtu, yeye anaamini hivyo, kwn ww unayajua matokeo?
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
@@Joshuapaul-nn7gk sijui kama unajua principles za betting! Kabla la hujaweka ela au kitu kwenye Kubet na mtu, unaangalia probabilty ya kushinda au kushindwa( wenyewe wanaita odds! Odds zilivyo sasa hivi, asilimia ya Yanga kushinda kuliko kushindwa ni kubwa! Sasa ,ukiwa unabeti na mtu,lazima uzingatie hayo bro! Ni sawa TAIFA stars ikicheza na Spain! Uwezekano wa kushinda hiyo mechi ni nani?( Na haimanishi TAIFA stars,haiwezi kuwaotea) lkn probabilty ya stars kuifunga Spain ni karibu na zero! Sisemi simba hawawezi kushinda kesho,lkn uwezekano ni mdogo! Hiyo laki,uwezekano wa kuliwa ni mkubwa kuliko yeye kushinda!
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 Ай бұрын
We mzee unajua boli.simba nguvu moja
@Jumasalumumembajumasalumumemba
@Jumasalumumembajumasalumumemba Ай бұрын
Yani eti watoto wadogo yani mechi moja tu mnapata wazimu jamani lakini watapoa huwo wazimu wenu kesho inshaa allah
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Jamani mwambieni tulinganishe miaka ya wachezaji mmoja mmoja kati ya hizi timu😂 ndo atajua timu gani wana UMRI mkubwa ( AVERAGE age)
@user-xu7zt8cc9t
@user-xu7zt8cc9t Ай бұрын
Is not solution we ni simba na kesho kipigo kinakuhusu kaka ondoa habar ya umri. Umri namba tu kaka miniko pale
@ayoubsimon810
@ayoubsimon810 Ай бұрын
huy mzee masatu uzee unamvamia vibay mno
@christopherdaniel7279
@christopherdaniel7279 Ай бұрын
Simba kaulizenu ndio huwa zinawaponza
@mwakusyoka
@mwakusyoka Ай бұрын
Huyo more anajidanganya yanga itazalilisha
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
Wewe mzee MASATU kesho utalia sana kilio Cha mtu aliye fiwa na mke aliyempenda sana ndani ya dakika 30 tu yanga itakuwa ishawauwa goli 3
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Kwanza wwe huna Tim zaiz akuna yang mbovu kama ya msimu huu
@DeusPaschal-g5q
@DeusPaschal-g5q Ай бұрын
Mzee masatu mtani nakukubali kwa majibu!!
@JescaErick-f1d
@JescaErick-f1d Ай бұрын
😂hhhaaaa mzee hio laki umetoa sadaka
@donatienbest6043
@donatienbest6043 Ай бұрын
😅😅😅 masatu kitachomponza ni espegne
@richardmshindi2702
@richardmshindi2702 Ай бұрын
Sawa msemaji wa wazee
@user-xu7zt8cc9t
@user-xu7zt8cc9t Ай бұрын
So mzee masatu tu Madunduka wte ni wahovyo tu wte Macomedy Awajielewi kabbisa poleni
@ChirwaMlowe
@ChirwaMlowe 27 күн бұрын
Mliwekeana hela hadharani mbona hakurudi hadharani?
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Nasema huyu mzeee hajui mpya hata kidogo yeye anahalisila tu zinamuongoza
@BoniphaceCosta-kd2yw
@BoniphaceCosta-kd2yw Ай бұрын
Simba
@japharyhamisi-3438
@japharyhamisi-3438 Ай бұрын
Mze masatu atakimbia uwanja huyo
@Jumasalumumembajumasalumumemba
@Jumasalumumembajumasalumumemba Ай бұрын
Simba mdomo ndio unao waponza kila wakati mdomo uliponza kichwa
@abbasimdesa829
@abbasimdesa829 Ай бұрын
Nyie msikalili wahujumu sasa tulisha watoa
@lifeplanB-y6n
@lifeplanB-y6n Ай бұрын
mzee masatu anajifunga mwenyewe haiwezekan kipa atoke majeruhi adake mechi muhim kama ile
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini Ай бұрын
Hiyo pesa haina kazi
@ayoubsimon810
@ayoubsimon810 Ай бұрын
kudadek mzee masatu kashaliw hel tayar
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Juma usimuhurumie😂😂😂😂
@Jumasalumumembajumasalumumemba
@Jumasalumumembajumasalumumemba Ай бұрын
Wana simba kweli ni wagonjwa wa Akili yani wanaongea ovyo ovyo
@johnmariki
@johnmariki Ай бұрын
Kaiser timu gani wewe, ya 10.
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Manula halalamiki,wakati kapeleka malalamiko chama cha wachezaji? Huyu vipi?
@DeusPaschal-g5q
@DeusPaschal-g5q Ай бұрын
Hahahaha
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
😂😂😂😂kocha wake hata jina halijui
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf Ай бұрын
Sawa ngoja watu wajipe moyo ila naona mkiteseka kuzuia mafuriko ya mashambulizi
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Mzee kwa hali yako hiyo laki ni hela ya maana.. usipende kamari, ni hatari kwa afya yako
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hasa kiakili! Hapo akiwa anarudi nyumbani,mawazo kibao🤣🤣
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
Tatizo mashabiki wa simba wanaalibiwa sana na Ahamedy Ally anacho waaminisha medy Ally nao wanakishikilia timu ikIshaanza kufanya vibaya wanachokonoa mangungu sasa kesho kuna mtu watamfukuza
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
basi watangazie wewe wakuamini
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Masatu chukua ela ukale na wajukuu😂😂
@shaba822
@shaba822 Ай бұрын
Huyu ni sawa na makolo wengine wengi,mpira hauangaliinumri,ni uwezo bro. Cr7 na Messi wameendelea kuwashika vijana hadi hatua ya mwisho.. Afu hapobkwenu kijana ni nani hasa? Lakred? Kapombe? Zimbwe? Ngoma? Muzamiru? Kibu? Fredi? ...acheni ujinga
@christopherdaniel7279
@christopherdaniel7279 Ай бұрын
Msikalili yanga inakupokea kutokana na unavyokuja ukija kwa speed ukija taratibu hivyo
@TwalibuSaidi-w6s
@TwalibuSaidi-w6s Ай бұрын
kweli mnahela za kuchezea
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Kamari hiyo..hatari sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MATOPOLO WAPIMWE MIKOJO KABLA YA UMRI 😂😂😂😂😂😂 WASHIRIKINA HAO WANATUMIA MADAWA HARAMU KUONGEZA NGUVU VIZEE HIVYO 😂😂😂😂😂😂😂
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Ай бұрын
TAFUTA WATU WANAUJUA MPIRA ACHANA NA HAYO MATAKATAKA,
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 Ай бұрын
Ache ni kujipa tumaini simba
@hassanimam2454
@hassanimam2454 Ай бұрын
Mzee Masatu hapo Kwa Aishi manula umeongopa?
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Ай бұрын
Ww masato kweli ww Tena wa mwisho msukuma gamond kakupiga chuma 7 nje ndani kesho so mbali ngili ww
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 Ай бұрын
Saba za manunuzi zile mkuu...Nd'o maana wameenda walikopeleka bidhaa
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 Ай бұрын
🤣🤣🤣🗣👉👉👉GSM maji yake ya chumvi
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 Ай бұрын
Ww juma ndo una akil timilifu,kwanza sifa ya wenye vichwa km Cha juma hua Awana kumbukumbu
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
Ila wewe mzee unaonekana mpira UJUI ila ni shabiki mfia timu timu ikiwa mbovu ujui nzuri UJUI hiyo ijumaa Mnasema nyinyi alafu sisi Nyota yetu INAANZA kusimama juma Tano haliamisi, ijumaa mpaka jumamosi
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 Ай бұрын
Juma uchambuzi umesomea wap ,ww nishabiki tu
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 Ай бұрын
Huyo juma nae uwa ni choko kwel,anasahau kuwa Naby ndo aloitengeneza Yanga kabla ya Gamo kuipikea
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Acha ushamba tunaangalia Kwa Sasa hata chawa wa ccm wanamsifia mama kwasasa
@AbdallahKarata
@AbdallahKarata Ай бұрын
Mzee kapumzike muda wako ushaaish
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud Ай бұрын
Masatu chuma yako pesa hairudi
@Ogutu1970
@Ogutu1970 Ай бұрын
Yanga bila mbelelko hamna kitu
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Ай бұрын
Vice versa na mshaanza kuwekewa marefa wenu
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl Ай бұрын
Huyo. Mzee. Masatu. Msenge. Mtu. Mzima. Ovyo. Kwa. Timu. Gani? Huyo. Mzee. Kariri. Haendi. Na. Wakati
@ShabainBankintole
@ShabainBankintole Ай бұрын
Matuc ya ww hizo hella unazitoa ww au
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Ай бұрын
Yanini kubishana na mtu ambaye kutokana na ujumbe aliyo utuma kumjibu babake kwa umri. Inaonyesha wazi hakupelekwa shule wahurumieni wana yanga wenge kwao matusi ni fahari ya mashabiki.
@UfahamHalisi
@UfahamHalisi Ай бұрын
Ww Huna adabu na una mapungufu mengi tu,ungeweza kutumia lugha nyingine siyo hiyo uliyotumia
@kingzu_97
@kingzu_97 Ай бұрын
Sivizuri kumtukana pesa si zako yanini uumie
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Ай бұрын
Utakua shoga sasa wew😂😂
@mutakagoza4759
@mutakagoza4759 Ай бұрын
Uyumzee kazeeka vbaya
@user-yg2oi5ln7h
@user-yg2oi5ln7h Ай бұрын
❤❤❤
@japharyhamisi-3438
@japharyhamisi-3438 Ай бұрын
Mze masatu atakimbia uwanja huyo
@user-xu7zt8cc9t
@user-xu7zt8cc9t Ай бұрын
So mzee masatu tu Madunduka wte ni wahovyo tu wte Macomedy Awajielewi kabbisa poleni
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 43 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.