Changamba awe anaweka namba y mzee said tuwe tuna m support anafurahisha sana
@neemadaniel623321 күн бұрын
@@eliudmasha9530 haswaa
@trice_yanga21 күн бұрын
@eliudmasha9530 shida watu wanamsumbua
@B.M-ix4rz22 күн бұрын
❤❤❤❤❤you mzee said kwa kweli unanisogezea siku kwa furaha
@jambia451522 күн бұрын
Mzee Said unanifurahisa sana unanifanya nicheke
@musahairikha813521 күн бұрын
From congo nakupata father said like your interview
@daudikisoma228422 күн бұрын
Mzee Saidi bhana,hauna mtoto wa kike nije kuoa mana natamani uwe ata mkwe wangu Kwa kwel unanipa raha sana
@salumuomari22 күн бұрын
Mimi nainjoy Sana kwa mzee said nafurah Sana daah mungu akuweke Sana mzee
@Shadia54422 күн бұрын
Jamaniii jamaniii jamaniii haya nilikuwa namsubili mzee saidi jamaniii chagamba na mzee saidi chagamba anainjoi sanaaaaaa 😂😂😂😂
@SadatiRajabu22 күн бұрын
Umeonaeeee hatari sana, nilikuwa namsubilia
@Shadia54422 күн бұрын
@@SadatiRajabu miee mzee saidi tuu 🤣🤣🤣🤣
@faustalutambi810122 күн бұрын
Kabisa
@vangraphixvan832022 күн бұрын
@@Shadia544shadya
@ChenchiKing22 күн бұрын
Yan Mzee Said Tu Ni M’moja Tu Kwa Bongo Nzima❤🎉
@FosterBwalya-rh9lh22 күн бұрын
Mzee said mungu akubaliki kila siku unazidi kuleta furaha ndan ya bongo
@mesuitozil152722 күн бұрын
Wawe wanamlipa asipoteze nguvu bure
@OctavianJohn-og7wg22 күн бұрын
Mzee said mwenyezi mungu akuweke unanifuraisha sana
@user-zx1vk9pr1w22 күн бұрын
Hahaahahah ! Mzee side azizi yupooooo 🤣🤣 ! Jin lakooo 😂
@MwanahamisiMchombo22 күн бұрын
Mzee Saidi ni mmoja tu🎉🎉🎉🎉
@kampista1122 күн бұрын
Mzee saidi, arajiga, mobeto na azizi ki nacheka sana. Watu wanashaanga nacheka nini kumbe huyu mzee. Mzee Mungu akuneemeshee barka.
@user-li6zg6tg7o22 күн бұрын
Mzee said nataman nikuone mzee wangu siku moja pia nakuombea Kwa mungu uishii maisha marefu saana na enjoy saan kumwona huyu mzee wangu big up changamba😂
@abdulrazaqkatoma564822 күн бұрын
Huyu Mzee yupo vizuri sana kwenye interview 😊
@user-mq4rg9lu4h22 күн бұрын
Kila nikimwangalia Mzee saidi Yani nafuly kweri Mzee mungu akupe maisha malefu
@DicksonNasibu-tv7vr22 күн бұрын
Coacher wenu amerudi Rwanda mzee saidi
@Mary-fs4mc22 күн бұрын
Kocha gani jamani
@bonifacekankoma966321 күн бұрын
Chagamba hongera sana kwa kutuletea mzee Saidi . Kwa mzee saidi nacheka kwa vituo😂😂😂🤣🤣
@DavidSwila22 күн бұрын
Pole mzee said maumivu bado yapo palepale
@Mary-fs4mc22 күн бұрын
Sijui itakuwaje😂
@user-qu1ut5ri2z21 күн бұрын
Mungu akulinde mzee wetu
@Wami-Sababisho21 күн бұрын
Mzee Saidy 😂😂😂😂,Mobeto 😂😂😂. Safi sana nikisikiliza interview za huyu mzee siku inaenda vizuri kabisa 😂😂😂.
@phineusfredrick492122 күн бұрын
mzee saidi inakusemesha kweli kwel,👏👏👏👏
@mwajumampokileomckapela754119 күн бұрын
Mzee said tunampenda 😊😊😊😊😊
@erickmalipesa101820 күн бұрын
Nakupenda sana Mzee wangu Mzee said hakika tuna furahi sana baba hongera Kwa kipaji hicho. By Erick malipesa kutoka ilemba sumbawanga.
@user-vi7ly9zh1q22 күн бұрын
Kutoka Oman 🇴🇲 nakukubali sana mnyamwezi mwenzangu mzee said 😂😂😂
@nancynana281820 күн бұрын
Mzee said tengeneza lipa namba watu wawe wanakurushia hela ya maji
@MeddyRaymond22 күн бұрын
Mzee said what is which 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaidimtengo815122 күн бұрын
Jaman Nampenda sana Mzee Saidi,Anafurahisha sana,Chagamba tunaomba utuleteee kila siku,hachoshi kumsikiliza
@MohammedIsmail-fw9vn22 күн бұрын
Mzee said ndio anatendea haki bundle langu
@issaabdi912922 күн бұрын
Mzee saidi kweli inshaaala tutakupelekea Azizi key. Juwe yanga taifa kubwa wamemtumia bebeto kumzugua Azizi key kuongeza Mkataba.
@thomasnachenga79522 күн бұрын
😂😂😂 eti UYUGU UYUGU 😂😂😂
@eliudmasha953021 күн бұрын
Mzee said 😂😂 🔥🔥 changamba uwe unaweka namba ya mzee said awe anapata hela ya chai aise anatupa raha sana Yanga fans
Havi mzee said naweza kukuona wapi live? Mana uko vzr Kwa kiengereza
@adolfmedard575822 күн бұрын
Mzee Said nakukubali sana Babu!
@MoriceBahati21 күн бұрын
Mzee said ❤❤❤❤❤❤❤ wewe ni noma bwana
@JeniphaRobert22 күн бұрын
Ety ukatuue vizuri 😂😂 ugomvi wa alajiga upo palepale chama coming yanga the better what is which mdomo mtaoza mzee saidi nimekutafta toka asubuhi 😂😂
@salimkadenge323121 күн бұрын
YANI much love mzee
@user-er9mk2in1r22 күн бұрын
Nakukubari mzee saidy😂😂😂
@abdallayunnus347520 күн бұрын
Nkubali mzee said na gamba
@Dolea-p4x22 күн бұрын
Mzee said unafurahisha sana
@AlexjohnGowele22 күн бұрын
Ety azizi ki ni shemeji yetu 🙌🙌😂😂😂😂 mzee Saidi. 🤔🤔
@juma625321 күн бұрын
Ehe twende ukatue vizuri😊😊
@stevenayubu160720 күн бұрын
Mzee ana hekima sana na anajua ushabiki na wala hana miemko
@user-ff4zm3hk7b22 күн бұрын
Big up mzeeh said yan mzeeh unajua mpak una furahisha
@user-gj1bx9ow3u22 күн бұрын
Mzee said mungu akupe umli miefu unanifulahisha san
@angellomarcel567719 күн бұрын
Huyu mzee Bwege kweli yaani K kasaini kisa Mobeto😂
@SelemaniSelemani-bw4ps21 күн бұрын
Mzee anaongea ukweli kabisa sis washabiki yanga na simba timu itakayofanya vibaya sijui kama tutawakubali wachezaj wetu, ila sasa hivi kila mtu anaongea lake,,,!😮
@chazlaw673021 күн бұрын
Ila Mzee Side Mwenyezi Mungu akuweke na akupe Afya njema❤❤
@edwardpaulo335121 күн бұрын
Yani mimi najikutaga nacheka sana nikianza kumsikiliza mzee said😂😂😂😂
@MagrethKyaruzi22 күн бұрын
Mzee Said leo mnyoge mnoooo😂😂
@jeansindayigaya125722 күн бұрын
Mze saidi nakufata nikiwa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 100%
@ibrahimmagesa89220 күн бұрын
Aziz ki,Mavunde,Arajiga,Saidoo na mzee Said dam dam 😂
@IsraelMtafya-fq2lf21 күн бұрын
Sema mzee unajua mpila
@fathimadaid342922 күн бұрын
Hata mie nampenda sana
@RabsonSalmon-ys7bf21 күн бұрын
Waoooooooo🎉🎉🎉🎉❤
@RichardAmos-eo9dh22 күн бұрын
Ila mzee said 🔥🔥🔥🔥🔥
@andreamlela138322 күн бұрын
Karakashanee maana yake ni kurupushani ya kugombania kitu. Nabahatisha Mzee side.
@mahmoudaziz471721 күн бұрын
Ndo namkaaa nakutana na mzee wetu side boy😅😅😅nacheka tu.
@DOLLARKID-pb8gs21 күн бұрын
Mzee said😂😂😂 once you see him it's too late❤
@amaniomar175522 күн бұрын
Mzee Saidi hatareeh sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@mahirnassor311820 күн бұрын
Mzee Said welcome Yanga 😂😂😂
@privatarimo481120 күн бұрын
Mzee said unajua mpira na wewe ni mkweli well done ✅
@user-od8lh6il8q20 күн бұрын
Dah huyu mzee
@user-ug1nv3xl4d22 күн бұрын
😂 nilikua nasubiri uy mzee kwa hamu baada ya kubaki kwa ki Stefani
@mdashirumbaraka852921 күн бұрын
😅😅😅😅😅Safi sana mzee unachangamsha game
@MichaelMwambango21 күн бұрын
Mzee Said 🔥🔥🔥
@ChenyBae21 күн бұрын
Chagamba Naomba namba ya mzee said nimtumie chochote ananfurahisha sana