MZEE SAID ATOA LA MOYONI | YANGA IMESHINDIKANA | REFA KATUFICHIA AIBU YETU

  Рет қаралды 83,727

MATOLE TV

MATOLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 5 ай бұрын
Uko vizuri Sana Kaka yanga mbele nyuma mwiko
@Dopa7MC
@Dopa7MC 5 ай бұрын
Safi mwananchi 💛🔥🔥🔥🔥
@GabrielSky64
@GabrielSky64 5 ай бұрын
Alafu huyu ntu wa ntwara at😅😂😂. Ila kweli we Timu gn inapigwa tu Kila Siku inasema subiri mechi ijayo😅
@husnasena6055
@husnasena6055 5 ай бұрын
Mmakonde mmoja tu chukuwa 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@colonelmustafa7213
@colonelmustafa7213 5 ай бұрын
Ni kweli derby ni AZAM na YANGA
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 5 ай бұрын
KONDÉ Umetisha saaana aisee 💯💥💚🖤💛
@jumongjr5837
@jumongjr5837 5 ай бұрын
Nshaanza kumkubali uyu Konde 😂😂😂😂😂
@MwaniPh
@MwaniPh 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@VictorBugobola
@VictorBugobola 5 ай бұрын
Huyu n mzee Said kwl mbn waandsh mnakuwaga waongo😂😂
@Godfrey-z8b
@Godfrey-z8b 5 ай бұрын
Kubabake uyu msenge anakeraaaa 😅😅😅
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 5 ай бұрын
Refa ndie aliwafichia aibu, mpira ulikuwa wa 3-1
@davidobambo509
@davidobambo509 5 ай бұрын
Hahaha huyu jamaa dah
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyo konde anazarau sana
@AllyChezo
@AllyChezo 5 ай бұрын
Yanga moto ni ule ule,mpaka mashabiki tuna roho mbaya,
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 5 ай бұрын
Hahahaha sema baba iyo ndioyanga nenolao la ubaya ubwela litawakosti nabado mpaka maji wataita mma hao waache wamsikilize msemaji wao anawapotoshapotosha tu
@JofradoByrugaba
@JofradoByrugaba 5 ай бұрын
Upo vzr😂😂
@Keithmkwatia
@Keithmkwatia 5 ай бұрын
Nakukubali mwanainchi mwenzangu
@SalumRwambo
@SalumRwambo 5 ай бұрын
Ta ta ta ta tumewapiga fataki🎉
@Astonvillah-r6z
@Astonvillah-r6z 5 ай бұрын
wawooooooooo very nice oneee
@AlexThobias-wn6tw
@AlexThobias-wn6tw 5 ай бұрын
Angaisha bwege hahahahah
@OS-pf6op
@OS-pf6op 5 ай бұрын
Azam walinufaika na space kubwa walizoacha coastal wala sikuona mpira mkali!
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 5 ай бұрын
Refa alikuwa familia ya kolo............alikuwa hana aibu kufanya maamuzi ya kihuni
@VictorBugobola
@VictorBugobola 5 ай бұрын
Wananchiiii Furaha inasidi kuongezeka YaNGa Rahaa Sana
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 5 ай бұрын
Akiba ya maneno muwe nayo,mna chama na Musonda nao Wanapanda tank ya mafuta lift?😂😂😂
@samshelembi4962
@samshelembi4962 5 ай бұрын
Et hangaisha bwege😂😂
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 5 ай бұрын
Kwa Simba hii Ahmed Ali na Kisugu ni SAWA nyumba ya Mlevi kaingia John chizi.
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 5 ай бұрын
Nanga munu,,,😅😅
@jamesgasper6764
@jamesgasper6764 5 ай бұрын
Uyu konde nyoko anajua boli sanaa
@minazsaid2470
@minazsaid2470 5 ай бұрын
Hatari kwakweli mmakonde anakera huyu 😂
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 5 ай бұрын
Ile inayodaiwa ilikuwa penatihaikuwa penati tizameni vizuri Kati ya mchezaji wa Yanga na Simba Nani alikuwa mchezaji wa kwanza kuwin mpira kama siyo Shedrack Boka wa Yanga aliukosakosa kidogo ndipo alipogongana na mchezaji wa Simba. Wanaosema penati hawajui mpira Refaree alikuwa sahihi kabisa.
@GidionJoseph-c7y
@GidionJoseph-c7y 5 ай бұрын
Waandishi ni waongo vichwa vya hbr vya uongo
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 5 ай бұрын
Mnyororo ni.wpanda😂
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 5 ай бұрын
ata ivo si ubaya ubwege
@JosephMahenge-q3b
@JosephMahenge-q3b 5 ай бұрын
Kwakuongezea tu hapo ktk tobo kipa alikataa kuufata mpira akamtuma beki wake
@JosiaNganyira
@JosiaNganyira 5 ай бұрын
Uyu jamaa anakera sana
@AffectionateBaseball-ib8dv
@AffectionateBaseball-ib8dv 5 ай бұрын
Hpo kwenye penati sema ukweli mi yanga hile ni penati, na yanga kanyimwa penati na goli Moja la azizi ki mpira yanga 3 simba 1
@josephinjoseph8320
@josephinjoseph8320 5 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀😊
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Mic imempata mmakondeee
@abbyadams8691
@abbyadams8691 5 ай бұрын
Kutokana na kuvunja mikataba kiholela,Tanzania kuilipa kampuni ya Orca Energy Dola bilioni 1.2 sawa na zaidi ya trilion 3 Tsh.Endeleeni na ushabiki wa Simba na Yanga ila jueni hilo deni linawasubiri kwenye kodi
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 5 ай бұрын
Nawee nawe ushaanza kutuvuruga🤣🤣🤣🤣🤣
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 5 ай бұрын
Masikio ya utafiti kutaka kujua kila kitu ni shida kwa afya , ndo mana tumejikita kwenye mpira na tiktok ili tupate furaha mana tukifatilia ya huko tutakufa😂😂😂
@abbyadams8691
@abbyadams8691 5 ай бұрын
@@lydiadaudi4076 Alafatasululaaa!😭😭😭
@EsterKindoli
@EsterKindoli 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanangusana
@mwanangusana 5 ай бұрын
Tutalipa pia, muhimu afya njema na uzima na maisha mengine yaendelee ... Inchi haifungwii
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 5 ай бұрын
Hahahaha et alandez hahahah
@mohamedabdul9895
@mohamedabdul9895 5 ай бұрын
Huyu jamaa nadharau cnaa anajuwa kukera mohd ALi hapa kayatimbwa
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 5 ай бұрын
Afu nyie waandishi mumeisha kuwa wezi wa akili mnaweza vp kulitumia jina la Mzee saidi afu mnawaoji mapimbi
@MaendeleoMohammed
@MaendeleoMohammed 5 ай бұрын
Huyu jama anajua kuongelea mpila
@MrleeLee-ki7sj
@MrleeLee-ki7sj 5 ай бұрын
Simba na cost ni wageni wa alikwa wenyewe ni yanga na Azam simba wamlaum karia ndo kayataka
@user-qe2lb9ns8h
@user-qe2lb9ns8h 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 5 ай бұрын
😆😆😆😆😆
@GeraldMbega
@GeraldMbega 5 ай бұрын
Simba timu ya wakoloni.
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 5 ай бұрын
Hakuna mmakonde mshamba konde boy unatupa raha
@MossesMshubi
@MossesMshubi 5 ай бұрын
Tuchukue kombeletu kabisa
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 5 ай бұрын
Mtibwa ishashuka
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku 5 ай бұрын
Tumewafunga Gori la dharau Gori la dobo au tobo
@PaulElisha-l6s
@PaulElisha-l6s 5 ай бұрын
Yanga nitimu ya ccm
@Pascaltz
@Pascaltz 5 ай бұрын
Na simba je? Niya chadema
@philiminamlosa
@philiminamlosa 5 ай бұрын
We chiz kweli au hujui Simba ni timu ya warabu
@selemanimbwidi
@selemanimbwidi 5 ай бұрын
Kwaiy ww unasemaj w kafu
@shahamemalenga4838
@shahamemalenga4838 5 ай бұрын
Kunowa
MCHOME APAGAWA SIMBA KUFUNGIWA | NAHAMIA YANGA RASIMI
22:12
MATOLE TV
Рет қаралды 33 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
ALI KAMWE AMPA ONYO KALI MWIJAKU "WEWE NI MWEHU, NINGECHUKUA MKEO"
6:57
ASKOFU MWANAMAPINDUZI AMVAA MBOWE,SISI TUNAMTAKA LISSU
15:27
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 12 М.
Magoli Yote Yanga vs Al Hilal SC 1-0 Highlights leo 2025 Al Hilal vs Yanga Young Africans
10:03
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 123 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН