Chagamba huyu mzee inabd umzingatie anatufanya ni moja kati ya watu wanaokupa content na moja ya watu wanaofanya tukufatilie😊🎉🎉🎉
@piuskazibure494428 күн бұрын
Yaan Mzee said hataki kabisa kumsikia wajina wake saidoo anabaki msimbaz
@eliahwanda581628 күн бұрын
mwambie mzee said asikope pesa ya kuku ntamtumia mimi siku saidoo anapewa THANK YOU
@adamkihile259628 күн бұрын
Naomba kupatiwa namba ya mzee Saidi nina zawadi yake napendaga anavyochambua na kuongea kwake tafadhali. NAITWA ADAM. K.
@tonijr822928 күн бұрын
Saidoo tayr bado jobe ili mzee saidi aanze kunenepa😅😅😅
@user-ox3ij7ki3t28 күн бұрын
Aziz ni kweli alikuwa dodoma na diarra walialikwa na Antony Mavunde kwenye mech ya hisani tena akatupia attrck 2 na mipira yote 2 kamzawadia mheshimiwa
Mimi ni mtu wa yanga napenda nimtumie gift 🎁 Mzee Saidi
@lumistarboy849928 күн бұрын
mZee said 😅😅😅watuvunja mbavu et goli nilibaki tu ayaaaa goli 😅😅😅 comedy sana na Saido kaachwa sasa kesho 12 mapema tu😂😂❤❤❤
@patrickmukundichalamila303828 күн бұрын
Mzee Said nkikuskia tuu safari yangu naitembea usiku alafu naweka mahojiano yako naunganisha kwenye Bluetooth na speaker za radio ya gari basiii nakula zangu burudaaaaani😂😂😂
@ChenchiKing28 күн бұрын
Huyu Mzee Uwaga Ananitowa Stress Kwa Kwelii❤🎉😂😂
@SafiaWimana28 күн бұрын
Jamani mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Fundirichie28 күн бұрын
Saido naye kapewa THANK YOU
@SuleimanMohamed-kw4gh28 күн бұрын
Chagamba mtafute mzee saidi tayari huku mtu wake saido kashapaa 😅😅😅
@RahmaMadani-gy6ge28 күн бұрын
Mzeee side wajina wa Saidooo like zake jaman zije kwangu
@abelimaganga41728 күн бұрын
Najua mzee said kuanza Sasa utakuwa na furaha sana❤❤❤❤
@jonasmalima914328 күн бұрын
Chagamba mtafutie mzee Saidi matangazo anajuwa sana kutufursisha
@ngido25528 күн бұрын
Saidoo ashapewa thank you mzee said atafurah hatar
@JohnsonAmos-py3wf21 күн бұрын
prezee chee pereee cheleee daaah mzee saidii😂😂😂😂😂
@trice_yanga28 күн бұрын
kama umechoka kuongea funga kipindi tuondoke😂😂mzee said lawuuuu kaongeza mkataba costo😂