MZEE SAID KAYAKANYAGA KWA NABII MEJA | SIONI UBINGWA NARUDI NYUMBANI SIMBA

  Рет қаралды 11,526

MATOLE TV

MATOLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@marystambuli8045
@marystambuli8045 11 күн бұрын
Hongera sana Nabii. Upon vzr sana
@IbrahimTanganyika-b1y
@IbrahimTanganyika-b1y 11 күн бұрын
Meja BAADA YA kukusikiliza Sana KWELI wewe Ni YANGA.karibu sana mwananchi
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 12 күн бұрын
Mini ni Yanga lakini TFF wako sahihi kwa sababu Yanga wamecheza mechi moja na Simba wana mechi 2 na kila mwezi tuzo lazima itolewe na haijalishi umecheza mechi ngapi. Mchezaji anaweza kufunga magoli 10 kwa mechi moja na akawazidi waliocheza mechi nyingi. Ungawa ni mugimu kwa TFF wajitahidi kupanga ratiba zinazo waepusha kupewa lawama kama hizi.
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 11 күн бұрын
Ulihongwaa😅😅😅
@bisekomusiba8385
@bisekomusiba8385 11 күн бұрын
😢TFF emdeshenni soka letu liweledi na siyo kimahaba.Hivi suala l ubora wa kocha na mchezaji wa Simba kuwa Bora mwezi August wametumia xigzo gani
@yusuphbenjaminkugaiwa7608
@yusuphbenjaminkugaiwa7608 11 күн бұрын
Figisu kwa soccer la bongo halito isha mfano tuzo za msimu uliopita ili kipatikane kiatu ilipaswa top scorer atokee simba hapo tungeona kiatu upo sawa mzee
@flaxbeatman
@flaxbeatman 11 күн бұрын
uyu mnafiki tu .huwezi kupenda timu ukubwani bro sema posho mjin kodi😂😂😂😂
@IbrahimTanganyika-b1y
@IbrahimTanganyika-b1y 11 күн бұрын
Huyu bado kabisa.hata maelezo yake yanayumba..mshabiki hutetea timu yake.
@RamadhanJuma-x1z
@RamadhanJuma-x1z 11 күн бұрын
Urud wap shoga wew
@hajisuleiman2752
@hajisuleiman2752 11 күн бұрын
Acheni kujisahaulisha huu uwiano wa mechi hata ligi iliopita haukuwa ukifuatwa na zawadi zikitolewa
@fesalhumud6762
@fesalhumud6762 12 күн бұрын
Huyo katumwa kuja kutoa Siri za utopolo
@YohanaMdege-o4l
@YohanaMdege-o4l 11 күн бұрын
Mnatumia majina yawatu kutafuta views tumien yenu mtrend kama mzee side
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda 11 күн бұрын
Muongo kenge ww
@IbrahimTanganyika-b1y
@IbrahimTanganyika-b1y 11 күн бұрын
Wewe siyo Yanga.yanga hatuko hivyo.wewe Ni ushamba NDIYO unakusumbua sana.usijifanye Yanga wakati wewe Ni kolo lia lia ,toa matongo tongo ya ujinga wa kuigiza
@VincentLucas-co9io
@VincentLucas-co9io 11 күн бұрын
TFF WABABAISHAJI AKUNA KITU KAMA HICHO TOZO ZINATOLEWA BAADA YA TIMU ZOTE ZIMECHEZA MECHI SAWA ANGALIA LIGI YA EPL WAO TIO WAMEANZA KUHAZA LIGI MPAKA LEO AWAJACHAGUA TFF WANAIBEBA SIMBA
@kassidpandu866
@kassidpandu866 11 күн бұрын
wewe si Mshabiki wa kweli unafata upepo Tuu
@pinomjata678
@pinomjata678 11 күн бұрын
Hujielewi, wewe ni hovyo kabisa
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 97 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 16 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 79 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 97 МЛН