Amina,asante kwa fundisho nzuri,jina la Bwana litukuzwe na ubarikiwa sana mchungaji neema ya Baba yetu iwe pamoja nawe daima
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Halleluyaah Amina mbarikiwa sana mutumishi wamungu nami niko nauvimbe zingo langu Kwai mani ninaimani mungu nmuweza yote ataniponya pastor niombee! Amina
@barakajoseph18165 жыл бұрын
Pr unanibariki sana..Mungu azidi kukuinua kubariki watoto wa Mungu daima
@jennifermwongera66974 жыл бұрын
Amen , God bless you pastor
@ruthomolo6635 жыл бұрын
Ni ukweli hayo umehubiri kuhusu imani,my brother ni mlevi alingia kanisani akiwa mlevi alisukumwa na mchungaji akagonga viti,aliye simama kumshika mkono kumwamsha ni kiongozi wa vijana .Mungu awasaidie ndugu zetu awaokoe.unanibariki sana mchungaji.
@debymofati23876 жыл бұрын
Truely, you have blessed me a lot with the message Thanx and God bless you abundantly
@namsamson34436 жыл бұрын
Somo zuri Sana mchungaji..tunapenda kujudge watu from the outside kumbe sisi wenyewe ndani ya mioyo tumeoza..Asante kwa kutuambia ukweli..Mungu tupatie Imani imara kwa kweli...Asante Mungu kwa mchungaji huyu endelea kumpa afya na kuibariki familia yake
@neriacharles48935 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo hili Mungu akukuze zaidi.
@rachaelndege56415 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji Mungu akubariki sana
@hondenisonmagufulinyabaro39236 жыл бұрын
Very much encouraging sermon!!!Be blessed brother PR David Mmbaga-Tz,,, hope umefika Kenya???
@honorinadawite77366 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Bwana nikiwa karatu nakupata kwa uzuri kabisa
@graceymaghema27536 жыл бұрын
Amina nimejifunza kwa kweli barikiwa Mtumishi wa Mungu
@sumayigilya94426 жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe siku zote za maisha yako..
@angelmangu68716 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi wa Mungu huo ndio ukweli kanisani kumegeuka sehemu ya minongono na masengenyo balikiwa sana mtumishi.
@babyjanny29566 жыл бұрын
amen barika sanaa pastor
@esterkessy38776 жыл бұрын
Asante mtumishi nimejifunza kitu.Mungu akutie nguvu
@bungayamayo73776 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza mahubiri yako Pastor. Great inspirational preachings
@samwelantonytuguti18836 жыл бұрын
Mtumishi mungu akubariki
@judithcherono25956 жыл бұрын
ukweli kabisa pastor imani ndio itatuinua barikiwa sana mchungaji mungu awe nawe kila wakati,Amen
@violetnyansiaboka28215 жыл бұрын
Amina mungu akubaliki
@elliahsikira37466 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa. Pastor ** Maana masomo yako hunibariki sanaaa
@shangapeter60046 жыл бұрын
Barikiwa sana umenifundisha kitu na kunitia moyo wa kuwaombea watu wanao nisema, hakika nimebarikiwa sana
@johnboay71096 жыл бұрын
mungu akubarik Sana Mchungaji
@eliakyando39766 жыл бұрын
Nime barikiwa sana mtumishi wa baba
@omariedward45396 жыл бұрын
Sema kweli Pr. MBAGA, uko unik sana.
@deone7286 жыл бұрын
Be blessed pastor
@janekuloba9266 жыл бұрын
Nakuelewa sana pastor asante kwa somo MUNGU asidi kukuinua wewe jamii yako
@beatricekavaya81326 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@hondenisonmagufulinyabaro39236 жыл бұрын
Jane Kuloba my sister POA Sana kweli God bless him
@samwelantonytuguti18836 жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki
@josephatnyamache43846 жыл бұрын
I am gaining a lot since I started following your teachings.
@beatricealexander13736 жыл бұрын
Mtumishi naomba unisaidie namba yako ya simu tafadhali
@suzanjonh18286 жыл бұрын
Amen PR be Blessed
@paulalex54496 жыл бұрын
Yaani nabarikiwa sana na mahuburi live nikiwa Shinyanga mjini, Mungu azidi kukubariki mchungaji
@angel-y6 жыл бұрын
God bless you Pastor abundantly.
@briarbodie83393 жыл бұрын
sorry to be so off topic but does any of you know a tool to log back into an instagram account? I was dumb forgot the account password. I love any tricks you can give me.
@kieranpaxton22453 жыл бұрын
@Briar Bodie Instablaster ;)
@briarbodie83393 жыл бұрын
@Kieran Paxton i really appreciate your reply. I got to the site thru google and im trying it out now. Looks like it's gonna take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@briarbodie83393 жыл бұрын
@Kieran Paxton it did the trick and I finally got access to my account again. I'm so happy:D Thanks so much, you really help me out!
@kieranpaxton22453 жыл бұрын
@Briar Bodie No problem xD
@kmnazrulislam18366 жыл бұрын
nimekubata fisuri sana mungu akubariki
@maureenmuhonja7226 жыл бұрын
AMEN🙏🙏🙏 nmebarikiwa sana
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
amen
@maduhuhedarumix1806 жыл бұрын
Mahubiri Kiswahili Tv
@nicokakoyo15836 жыл бұрын
Eee Mungu nijaze imani ili nipokee uponyaji, nakemea nguvu yahofu namashaka ndani yangu.
@peninasnyamhanga48606 жыл бұрын
Amen
@peninasnyamhanga48606 жыл бұрын
Hili somo limenigusa kabisa...namshukuru Mungu sana, mchungaji umelifundisha vizuri sana, ubarikiwe sana Pr
@mpendawatu50216 жыл бұрын
Unanibariki sana
@kelvinjerome24876 жыл бұрын
Mchungaji amani ya Yesu iwe nawe. mbona huku jumuisha maombi
@jovinachacha2336 жыл бұрын
ubalikiwe mtumishi wa mungu
@rebecaflavian11416 жыл бұрын
Amen kwa somo zurii
@izackizack62476 жыл бұрын
somo zuri lakini changamoto inatokea hapo unaposema kwamba tuwakaribishe wavaa vimini tuwe makini kwa sababu unaposema hivyo wako watu wanakusikiliza halafu unawapa ujasiri wakuvaa vimini kanisani nawamefundishwa mpaka hawasikii sasa wewe unapowapa ujasiri siju unamaanisha tueleweshe hapo pasta tuwakaribisheje
@izackizack62476 жыл бұрын
lakini kumbuka pia mathayo 5-16 inasema nuru yenu naiangaze mbele ya watu wapate kumtukuza baba yenu aliembinguni
@elliahsikira37466 жыл бұрын
Kweli Pastor unacho kizungumza
@damarisfavour57996 жыл бұрын
Amen
@bobog97326 жыл бұрын
Amina amina
@yvonneamekakaombeniwimbomu83125 жыл бұрын
Mume soma kitabu gani?
@dennisochoki18376 жыл бұрын
Indeed a good lesson
@SermonsRoom6 жыл бұрын
Pastor Mmbaga ,niulize huyo aliyefufua mtu kwa uweza wa Mungu ni Pavel Goia au ni mwingine?
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Hapana! Japo yeye pia yuko kwenye list na natamani kumualika Tanzania!
@SermonsRoom6 жыл бұрын
Mahubiri Tv ,nitafurahi sana ,maaa nimekuwa nikifatilia mahubiri yake Na yako katka channel yangu ya impressive Topics!,
@machangopaul2366 жыл бұрын
Soma linajenga imani, MUNGU atubariki wote
@timonwilson66796 жыл бұрын
Amina
@namsamson34436 жыл бұрын
Jamani imekataka kabla ya maombi
@vicentndiholeye10672 жыл бұрын
amina
@januaryboniventura79516 жыл бұрын
pastor ningepmba usiwe unakatisha masomo yako maana yanatia moyo sana,,,!! Be blcd!!
@claudinebatamuriza78046 жыл бұрын
Iyo ni ukweli kambisa batasema mwisho watachoka
@stellanyanda76186 жыл бұрын
Amina
@marymashala82456 жыл бұрын
uko wapi pastor?
@cloudinebatamuliza15786 жыл бұрын
nataka number ya pastor
@apostleemmanuelmabuga81485 жыл бұрын
Pastor Mmbaga Nina mtukuza Sana Mungu kwa ajili Yako Kiukweli mimi ni Pastor wa kipentekoste naomba kuwasiliana na wewe maana Mungu kakutumia sana kuinua huduma yangu 0714222287 ndio namba yangu plz