Mziki wa dansi zilipendwa- Fresh Jumbe na Msondo- Pamella

  Рет қаралды 48,206

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@suleimanalihaji9386
@suleimanalihaji9386 Жыл бұрын
Moshi William alimalizia wimbo
@khalidikmuhija5397
@khalidikmuhija5397 3 жыл бұрын
Nakiri udhaifu na fahari kwa pamoja ndani ya nafsi yangu miee........ kila nikifikiria wema wako Dadaa.........mimi ninajiuliza nikupe nini Wewe. Inasemekana hiki kisa ni Cha kweli. Bro, alipewa Bonge ya favour flani
@abbasmungia6107
@abbasmungia6107 2 жыл бұрын
Fresh jumbe " Waziri Kitanda" sauti safi sana, sauti ya joseph Lusungu RIP
@chidmashine3401
@chidmashine3401 2 жыл бұрын
Daaah hadi nimetokwa na machozi ya huzuni
@fatmaunji1275
@fatmaunji1275 5 жыл бұрын
Broo umetisha sana na hiki kibao cha pamela,,,, mungu azidi kukuweka utuletee mambo mazuri zaidi
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 10 жыл бұрын
Kaka Nashukuru kwa wimbo huu. Huyu dada Pamela alikuwa anakaa Mwananyamala A. Sauti ya Fresh inatisha
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Karibu tena Heri
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Ulikuwa unamjua?
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 10 жыл бұрын
Eddie Nassor Yeah nilikuwa namfahamu
@bulgaria0108
@bulgaria0108 2 жыл бұрын
@@heriissagombera5168 hatari sana.. ametungiwa tungo kali sana Pamella
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
Nakumbuka Enzi zile kiingilio shillingi Tano
@ndesanjomsaki2820
@ndesanjomsaki2820 6 жыл бұрын
hatari vijana wazamani walikua vizuri sana hamna mfano.
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Ай бұрын
Fresh jumbe fundi wa muziki😂
@suleimanalihaji9386
@suleimanalihaji9386 Жыл бұрын
Upigaji😂wa solo ni wa Mabera
@esmaeelkenadid3027
@esmaeelkenadid3027 2 жыл бұрын
Kuna ule wimbo mwengine pia aliimba Fresh Jumbe akiwa Msondo enzi hizo, siufahamu unaitwaje, ila anaimba kuhusu mtoto, kwamba kama ni mtoto hata mimi nampenda, ila uwezo sina, mola ndie mpangaji wa yote, mwenye link nauomba, please
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 жыл бұрын
Safi sana mjomba.vitu vya maana hivi
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hahahaa,kweli kaka
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 4 жыл бұрын
Bitozi Fresh Jumbe na kundi zima la wana Juwata Jazz Band, Nazani Solo la Mulenga
@jaffarially8389
@jaffarially8389 4 жыл бұрын
Mariam Abdullah Dada solo la Mponda hilo
@husseinsimbano1466
@husseinsimbano1466 11 ай бұрын
Moja kati ya nyimbo Bora Sana, watu wameitendea haki sanaa.
@hajihamad7222
@hajihamad7222 8 жыл бұрын
Mario matadidi bwan kitoko
@nasirally9098
@nasirally9098 10 жыл бұрын
kaka uko juu aisee, give us more plse
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Nasir,wewe taja jina nami kama nnao Mungu akipenda nitaurusha
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie weka MK Group ya shem karenga "Tucheze sote tukunyema" pls
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
asrams,burudika ipo hewani ndugu yangu
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie Nassor asante kaka, im speechless
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hahahahaa
@papaakizwii4934
@papaakizwii4934 7 жыл бұрын
WEKA SALMADA YA OSS MKUU
@sibonikemwasalemba1953
@sibonikemwasalemba1953 3 жыл бұрын
REHEMA SAID
@sibonikemwasalemba1953
@sibonikemwasalemba1953 3 жыл бұрын
GRACE mwankuga
@waziriselemani5773
@waziriselemani5773 7 жыл бұрын
Mbona nyimbo km sauda salima szpati vp au hazipatikani kk
@ndetezuberi7578
@ndetezuberi7578 4 жыл бұрын
Mulenga hajapigia haya siku 1huyo ni Mponda
@sibonikemwasalemba1953
@sibonikemwasalemba1953 3 жыл бұрын
Solo Mabel's lithium idea ramadhani base manito musa
@rajabumashashi592
@rajabumashashi592 7 жыл бұрын
kaka inabidi nikutafute aisee
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Bado hujaupata "kivumbi kimenizonga"? Ndala kasheba alivyokua IOSS?
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Nna wasiwasi nimeupa jina lengine.Tafadhali nipe maneno machache ya huo mziki uustue ubongo wangu!
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie Nassor nitumie number yako ktk email yangu (asrams2000@yahoo.com)nikupigie kaka , ni kati ya kimbunga kimenizonga au kivumbi something like that
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Nshindwa kwa kupita nahangaika ee jamani,maneno haya yamo kwenye huo wimbo asram?
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie Nassor misukosuko ya kimbunga moyoni nambae, madhara ya kimbunga mwili umekufa ganzi ooh, pakupita siwezi mama, mimi mfamaji yoyoyo!! Pakupita sipaoni nahangaika na dunia kimbunga kimenipata....... nimezisahau lyrics
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie Nassor misukosuko ya kimbunga moyoni nambae, madhara ya kimbunga mwili umekufa ganzi ooh, pakupita siwezi mama, mimi mfamaji yoyoyo!! Pakupita sipaoni nahangaika na dunia kimbunga kimenipata....... nimezisahau lyrics
@sibonikemwasalemba1953
@sibonikemwasalemba1953 3 жыл бұрын
SAADA NJIMBWI
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
safi sana
@marshallislands9856
@marshallislands9856 4 жыл бұрын
Msondo ndiyo pia waliitwa Juwata?
@abubakarbwika8397
@abubakarbwika8397 2 жыл бұрын
Ndio
@marshallislands9856
@marshallislands9856 4 жыл бұрын
Tz
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
kaka library yako inatisha,
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hahahaaa
@asrams
@asrams 10 жыл бұрын
Eddie Nassor nimekutumia number yangu ktk PM , i have to visit your library bro, hehehe
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Sijaipata,lakini karibu sana ndugu.
Mziki wa dansi zilipendwa- JJB- Ama zake ama zangu
7:35
Eddie Nassor
Рет қаралды 43 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- JJB- Priscilla
7:26
Eddie Nassor
Рет қаралды 72 М.
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 34 МЛН
Hizi Nazo na Fresh Jumbe
14:42
ITV Tanzania
Рет қаралды 3,9 М.
SHIDA MPAKA LINI LIVE SHOW MSONDO NGOMA
9:29
MSONDO NGOMA
Рет қаралды 2,9 М.
MASOUD MASOUD : NGURUMO HAKUWA VILE / WATANGAZAJI HAWASOMI
23:15
Gangana Info Channel
Рет қаралды 85 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Eddie shegy na Dede Hakuweza ulezi
7:39
Double Double by Nguza Viking & Orchestra Maquis
7:17
Dekula2 Band [official]
Рет қаралды 55 М.
Hussein Jumbe-Nachechemea
7:17
Idd Selemani
Рет қаралды 600 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -JJB- Fatuma
7:28
Eddie Nassor
Рет қаралды 19 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -JJB- Ashibaye
7:03
Eddie Nassor
Рет қаралды 39 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.