Mziki wa dansi zilipendwa- JJB- Priscilla

  Рет қаралды 72,201

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@papaj6795
@papaj6795 5 жыл бұрын
Woohoo sulemani Mbwebwe(RIP)Nico Zengekala (RIP) Fresh Jumbe And Mzee Ramadhani Mnege on Saxphone (RIP) And maestro Mabera on Solo Guitar I think mi solo guitar is Rithiwani Old is Gold this is what we call music
@ahamadarashid8797
@ahamadarashid8797 Жыл бұрын
Papa J ..fresh jumbe hakuwepo wakati wimbo huu unarekodiwa.
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 5 ай бұрын
​@@ahamadarashid8797 Yap Fresh sidhani kama yupo
@joanrwegoshora785
@joanrwegoshora785 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana mlioimba wimbo huu
@sweetbetmpaluka7183
@sweetbetmpaluka7183 9 жыл бұрын
Muziki uliokwenda shule. Msondo ngoma, Baba wa muziki!
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Sweetbet Mpaluka Hahahahaa,nakubali mie
@danieloyile977
@danieloyile977 4 жыл бұрын
Mizuki iliotungwa kwa ustadi mwingi bila kutumia njia za mikato kama vile wakati huu! Ilifanyiwa kazi kweli! inapenya hadi kwenye mishipa ya roho! Mola awahidhi palipo na wema!
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 10 жыл бұрын
Nico Zengekara anasikika hapo. Mabera alipiga solo balaa. Asante kaka
@moseswere7478
@moseswere7478 Жыл бұрын
Great music, cool and touching. Where do I get this old Nuta Jazz namba? Lines ni hivi Mpenzi kwa vile nakupenda kwa moyo wangu', .... Mbona wataka kuharibu mapenzi yetu...jitulize Chorus: Usinipe tabu wewe mwenzangu Mimi nakupenda oo dada Lazima ujue maisha yetu... Oh my ,this was Ngurumo when young and he took Nrb by storm. Get me this song plsss
@hassanmkwama9528
@hassanmkwama9528 7 жыл бұрын
jjb msondo ngoma.magoma kitakita,za kale zina ladha ya kale ipenyayo masikioni.tungo,vifaa vinatumika ipasavyo.sikia,trumpet,mdomo wa bata.mashallah! musuri
@jamirambwana6309
@jamirambwana6309 Жыл бұрын
ADI Raha jamani kusikiliza izi nyimbo vyombo vilivyo pangiliwa
@suleimanalihaji9386
@suleimanalihaji9386 Жыл бұрын
Namsikia waziwazi Suleiman mbwembwe na Nico Zengekala.....Gitaa ni la Mabera. SAXOPHONE NI MNENGE .MSIFANYE MASIKHARA NA MSONDO NGOMA. IPO MPAKA LEO
@BakariKhatib
@BakariKhatib Жыл бұрын
Saxophone ya Mzee Mnenge Ramadan aka big staff
@sundimbelwa7078
@sundimbelwa7078 7 жыл бұрын
hapo ni seleman mbwembwe na nico zengekala utunzi wa said mabera ambaye amesimama kwenye solo la kente hatariiii
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 9 жыл бұрын
eddie ngoma moja ya juwata kaka selemani vp mzee mzm idondoshe kama vp mkuu
@sweetbetmpaluka6515
@sweetbetmpaluka6515 7 жыл бұрын
Muziki wa ki,Tz, uliopo kwenye ubora wa hali ya juu!
@margaretoyugi7137
@margaretoyugi7137 2 жыл бұрын
Tangia jadi❤❤❤
@wilfrans5788
@wilfrans5788 7 жыл бұрын
gitaa la Dr.Mabera sichoki kulisikiliza kwenye wimbo huu,aliutendea haki sana
@antontemba3276
@antontemba3276 6 жыл бұрын
Natamani sana kama wanjiita kizazi kipya wangeiga mfano wa akina mabera,mnenge Ramdha na wengine
@suleimanalihaji9386
@suleimanalihaji9386 Жыл бұрын
Wimbo unaitwa NASIIKITIKA aliuimba BITCHUKA akimpiga kijembe GURUMO kuhamia sikinde
@aloycetemba8652
@aloycetemba8652 8 жыл бұрын
Jamani mwenye wimbo Faulata wa JJB
@majaliwaomari86
@majaliwaomari86 4 жыл бұрын
FAULATA , huu wimbo unaitwa 'Kuchacha kubaya'
@barakasunga7860
@barakasunga7860 8 жыл бұрын
JJB- Priscilla itabaki na ubora wake ingawa miaka inakwenda....huu ni muziki bwana
@ba3206
@ba3206 10 жыл бұрын
Mkuu miziki imetulia. Asante sana. Ila kama utaweza kuiunganisha kama playlist ingekuwa powa, ili niki click mara moja nasikiliza zote huku naendelea na kazi.
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hahahaha.Sijui inafanyika vipi lakini nitajaribu
@irenekirenga
@irenekirenga 8 ай бұрын
Haichuji
@twilamtumbi949
@twilamtumbi949 9 жыл бұрын
Selemani mbwembwe. Zengekala. Mabela na Kundi zima la msondo ngoma. Kweli umekwenda shule huu mziki
@hildaeliya5582
@hildaeliya5582 8 жыл бұрын
Huyo ni Sulemani mbwebwe'' na Mabera mwana kigoma
@mwalimabrahmanmohamed8245
@mwalimabrahmanmohamed8245 6 жыл бұрын
Ni wimbo ambao mume wng anaupenda Sanaa
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 4 жыл бұрын
Mungu awape umri mrefu na mafanikio
@LukooAlbert
@LukooAlbert 10 ай бұрын
Gitaa utadhani linapga stori
@wamburamasiaga387
@wamburamasiaga387 4 жыл бұрын
This I a good music
@brownee20007
@brownee20007 2 жыл бұрын
Msondo afya!
@vedastoizoba7905
@vedastoizoba7905 7 жыл бұрын
Niko jamani!
@sweetbetmpaluka7183
@sweetbetmpaluka7183 9 жыл бұрын
Salamu mkuu, kuna nyimbo moja ya msondo nadhani inaitwa uzuri si shani. Bahadhi ya maneno ni haya: Kijana una umbo la kupendeza, mrefu, mnene na mwanya wa wastani. Hakika uzuri si shani, utu wa mtu ni tabia njema. Tafadhari kama utapatikana upandishe. Asante!
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 5 жыл бұрын
Sweetbet Mpaluka j
@BakariKhatib
@BakariKhatib Жыл бұрын
Nasikitika ulitoka baada ya Gurumo kuhamia Mlimani Park
@jumannesylivesta857
@jumannesylivesta857 3 жыл бұрын
Safiiiii...
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
asante Gambalee mtani nimeshika
@linusleon7018
@linusleon7018 6 жыл бұрын
Waimbaji ni suleiman mbwembwe na Nico zengekalla
@amandusmtani4921
@amandusmtani4921 9 жыл бұрын
Twila mtumbi hiyo sauti ni ya Fresh Jumbe na si Suleiman Mbwembwe!
@mwajumamassoli8011
@mwajumamassoli8011 6 жыл бұрын
Amandus Mtani ...Suleiman mbwembwe na Niko hapo kaka walikuwa wanafunikana mpaka watu mnachanganyikiwa haha
@hashimubito5893
@hashimubito5893 6 жыл бұрын
Amandus Mtani huyo selemani mbwebwe
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 5 жыл бұрын
Fredy Lucas umenifurahisha sana tunapaswa kuwapa historia
@galagotours12
@galagotours12 4 жыл бұрын
Ni Suleiman Mbwembwe (RIP) na Mtaalamu Nico Zengekala (RIP). Ukitaka kumjua Mbwembwe sikiliza hata Queen Kase anapoingia "Na ahidi mbele yenu watoto nitawatunza na hata mama yao Shadi simtupi kamwe lakini Kase Kase nipo nayee lkn Queen Kaseeeee nipo nayee!!!" Hawa watu walikuwa na sauti Mungu ndy fundi yote tumwachie Muumba wetu.
@ahamadarashid8797
@ahamadarashid8797 Жыл бұрын
Ni seleman mbwembwe na zengekalla
@kilumatalanguagecentre5646
@kilumatalanguagecentre5646 7 жыл бұрын
Hatari sana
@papaakizwi9905
@papaakizwi9905 7 жыл бұрын
kuna wimbo unaitwa hasira hasara na afunguliwe nelson mandela
@rahaaa1845
@rahaaa1845 6 жыл бұрын
Uzuri si shani ubora tabia
@dorahdauson6506
@dorahdauson6506 6 жыл бұрын
Vitu vya kiutu uzima hivi. Nani alipiga bass hapa linasikika kwa mbali kwa utulivu mkubwa kabisa
@jmkwanzatv5363
@jmkwanzatv5363 6 жыл бұрын
Niko zengekara na fresh jumbe mkuu sio mbwebwe
@mwajumamassoli8011
@mwajumamassoli8011 6 жыл бұрын
Jumbe Mpalasinge ...jamaa huko sawa ni Niko zengekala na s.mbwembwe kaka
@hashimubito5893
@hashimubito5893 6 жыл бұрын
hapo nico zengekala na selemani mbwembwe sauti za hatari kweli mziki ulikuwa zamani gitaa dr mabera
@ahamadarashid465
@ahamadarashid465 5 жыл бұрын
S.mbwembwe na Nico zengekalla
@makameabdalla8928
@makameabdalla8928 4 жыл бұрын
Maberaaaa
Mziki wa dansi zilipendwa- JJB- Ama zake ama zangu
7:35
Eddie Nassor
Рет қаралды 43 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC-Pata potea
7:08
Eddie Nassor
Рет қаралды 44 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 20 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 60 МЛН
Belinda - Juwata Jazz Band
6:45
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 11 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -kimurimuri Zahir Ali-Photo album
7:48
Eddie Nassor
Рет қаралды 277 М.
Hizi Nazo na Fresh Jumbe
14:42
ITV Tanzania
Рет қаралды 3,9 М.
Ottu Jazz Band - Usichezee Chuma Cha Moto
7:03
Power Nguzo
Рет қаралды 70 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -JJB- Ashibaye
7:03
Eddie Nassor
Рет қаралды 39 М.
Mziki wa dansi zilipendwa - MCA- Kasoro yangu sijaijua
7:16
Eddie Nassor
Рет қаралды 41 М.
Msondo Ngoma - Baba Mayi
7:56
Bongo Fire
Рет қаралды 22 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Bantu group- Vicky
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 98 М.