Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz -Safari yetu Mbeya

  Рет қаралды 20,474

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 жыл бұрын
Kitambo sana, Mungu mpe uponyaji Mzee king Kik.
@chidmashine3401
@chidmashine3401 2 жыл бұрын
Nalisikia gitaa la Nguza Viking daaaa hatar sanaaa
@jacksonkauga
@jacksonkauga 8 жыл бұрын
Thanx Eddie huu wimbo nimeutafuta miaka mingi sana .Ubarikiwe.
@mlindwa7001
@mlindwa7001 5 жыл бұрын
RIP Mose Sengo Fanfan na wengine wote waliotangulia.
@BongiMpessi-ts3ez
@BongiMpessi-ts3ez Жыл бұрын
Watu walikula raha wakati huo
@hassanbugu5000
@hassanbugu5000 10 жыл бұрын
Huku Kenya enzi hizo ,Pwani mwa Kenya stesheni ilikuwa RTD tu na muziki kama huo.Thank you so much.Sauti yake mzee King Kikii yasikika hapa bila shaka.Tuekee "Nimepigwa Ngwala" ya vijana hawa wa Marquiz tafadhali.
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hassan Bugu
@pacheliherman5365
@pacheliherman5365 6 жыл бұрын
Beer yetu ya safari lager ilizinduliwa siku hiyo. Wacha tu pange folleni it was exciting. Aday to remember
@saadmazen4528
@saadmazen4528 10 жыл бұрын
hio ndio Maquiz Du Zaire walipokwenda Mbeya...poa sana mtindo ukiwa Kamanyola
@adronicoreveliano7151
@adronicoreveliano7151 7 ай бұрын
Kamanyola bila jasho
@omaryaman1312
@omaryaman1312 7 ай бұрын
2024
@rajababdul7257
@rajababdul7257 3 ай бұрын
7/7/2024 listening the song absolutely the old is gold
@vuyisile
@vuyisile 9 жыл бұрын
It was 7 July or 07/07 saba/saba lol Mbeya my second home my daughter is resting there kwa Mama Johnny
@ayubikunga5597
@ayubikunga5597 4 жыл бұрын
Tawile uko sahihi
@latadotto8923
@latadotto8923 4 жыл бұрын
7/7/2020 hatar Sana hizi tungo
@mkambangwa
@mkambangwa 10 жыл бұрын
Nakukubali sana kaka Eddie, maktaba yako inatisha...Ahsante sana kwa kazi zako nzuri....
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Mbwana Kambangwa
@vendedeline
@vendedeline 9 жыл бұрын
Eddie Nassor kipo kibao kama hiki hiki lakini anasema safari yetu london! kibao hatari sana. kaka Eddie kazi nzuri sana
@andrewnyamwaro5174
@andrewnyamwaro5174 9 жыл бұрын
Yuko mpigaji wa gitaa la solo Mose Fanfani hapo, jaribu kusikiliza na wimbo wa OK jazz unaoitwa FIfi. Jamaa ndiye huyo huyo. Juzi London Prof Gumbe amekuwa naye. Nilimwuliza enzi zake katika Kamanyola ila hakunijibu; interest yake ilikuwa akiwa Nairobi.
@wesnsomba
@wesnsomba 2 жыл бұрын
Solo ni Nguza
@twilamtumbi949
@twilamtumbi949 9 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
Uwanja wa Sabasaba rather...
@kjellhavnevik608
@kjellhavnevik608 4 жыл бұрын
Nzuri sana
@benmpunga6435
@benmpunga6435 7 жыл бұрын
I have been Searching for the song " Mayanga " but I don't see it. plz help!
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
Hivi lile jumba la sabasaba pale Kilwa road bado lipo? mara ya mwisho kwenda pale ilikuwa Late 80's
@esaumodolo966
@esaumodolo966 2 жыл бұрын
Bado lipo ndugu
@abdullkilawi5504
@abdullkilawi5504 8 жыл бұрын
siku ya wakulima Saba saba
@eddienassor480
@eddienassor480 8 жыл бұрын
Kaka umeusikiliza na wa Kasheba?
Mziki wa dansi zilipendwa -Super rainbow- Milima ya kwetu
7:04
Eddie Nassor
Рет қаралды 14 М.
Tabia Mwanjelwa fania kazi wa wanjama
7:30
tabia2100
Рет қаралды 3,7 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz- Wanasema mrudie- Kamanyola
8:32
Mokili/ Orch.Maquis "Telemuka Chekecha"
7:07
Dekula2 Band [official]
Рет қаралды 179 М.
Makumbele
6:14
Djembe - Topic
Рет қаралды 50 М.
Molema
9:37
Mose Se 'Fan Fan' - Topic
Рет қаралды 14 М.
Orchestra Maquis du Zaire, "Serieux Ya Mukoko"
10:39
thumbsuckinggargoyle
Рет қаралды 918
Zowa - Maquis Original
6:37
Power Nguzo
Рет қаралды 46 М.
MAQUIZ ORIGIONAL  SAFARI YA MBEYA new)
7:21
ZILIPENDWAMUSIC
Рет қаралды 5 М.
Ngalula
6:30
Tshimanga Kalala Assosa - Topic
Рет қаралды 24 М.