Emma Mkelo na Nana njige ,Allah awarehemu ,sauti nzuri zimemaliza mwendo
@bongelabwana11142 жыл бұрын
Daaa nilikua naitafuta sana hii nyimbo since 2015
@TeddyMagesa-h7g2 ай бұрын
Hatariiiii💃🎉🎉🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃
@julithamuhale72714 жыл бұрын
Asante Sana super rainbow!
@gibsonole-meiseyeki61388 жыл бұрын
Enzi hizo ilikuwa kila nipo Jongea nyumbani kutoka mkoani ilikuwa lazima niuimbe mwimbo huu ingawa nilikuwa bachelor. Naipenda sana milima ya kwetu arusha. Mungu awalaze mahali pema waliotutangulia, kwa kweli tunawamisi mno.
@edondaki10 жыл бұрын
Super rainbow..Inanikumbusha utotoni nikisiliza Radio Tanzania Dsm (RTD)..asante kwa kunibumbusha my best days of my life
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena ndugu
@saadmazen452810 жыл бұрын
Safi ndugu eddy kwa kuweka Milima ya Kwetu no 1 na no 2
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena Saad
@twilamtumbi26478 жыл бұрын
EDDY HERY YA MWAKA MPYA KWANZA; DAA kitambo sana, naona kazi nzuri ya akina sheggy hongera
@eddienassor4808 жыл бұрын
Ahsante kaka Twila:tupo pamoja
@gibsonole-meiseyeki61388 жыл бұрын
Eddie pls, tunafutie Wimbo: peendo pendo sikulazimishana, pendoo pendo yafaakuelewa, WA Marijani rajab nadhani akiwa na Dar inter. Ingawa alikuwa akiucheza pia hapa Arusha na kurugenzi jazz.
@vendedeline10 жыл бұрын
Kaka Eddie! just love your work men, great and thumb up, ila kuna nyimbo moja ina maneno yanayosema "batuli wamama ee ..mwenzio nakutafuta nauliza waenda wapi sijui aliyeimba, ila is the song i have been looking for ages, memories are well thrown back, thanks again dude!!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Kumbuka maneno zaidi ya hiyo nyimbo Vendedeline.Uwezekano mkubwa ni kwamba nnayo ila mpaka sasa ijaitambua
@augustinosemkuruto66049 жыл бұрын
......Hongera sana kaka Eddie! unanikumbusha mbali sana ! Enzi za Radio Tanzania Dar-es-salaam,(RTD) the only state radio station!