Dunia ya mkate was sia! watu walikuwepo asilimia 70 ya kizazi cha nyimbo hizo hawapo tena,ukiwa kila kona ewe Mungu tutalie mwisho mwema hapa Duniani" Harris Dale Boston USA
@kamanyolabilajasho3833 Жыл бұрын
Kwa kweli huu wimbo ukianza tuu na hilo solo machozi yananilengalenga sijui ni kitu gani kinaniletea simanzi moyoni nakumbuka maisha yangu Ngara Mkoa wa Ziwa Magharibi sasa Kagera😢😢😢😢😢😢 ambako niliondoka kwenda ughaibuni nikiwa na umri wa miaka 16 sasa nashukuru nipo nimefikia umri wa miaka 65 nipo ughaibuni lakini harufu ya kijijini nilikozaliwa, kusomea na kukulia bado navikumbuka❤❤❤
@yussufali16642 жыл бұрын
Dahh vitu adimu sana utunzi mpangilio wa vyombo haitokei tena hii time
@godlistenurio60555 жыл бұрын
Ni mabingwa wa pili,wa Taifa.Mwenge Jazz
@miguelsuleiman35729 жыл бұрын
Mbona Benno Villa yuko vizuri tu na Super Kamanyola inayopiga Villa jijini Mwanza.Sijamuona akinywa wala kuvuta
@stephanosambali82599 жыл бұрын
Asante kwa wimbo Eddy. Brother Wangu alikuwa akiupenda Sana huu wimbo. Kuna video Dogo anasema Elimu Haina mwisho ila Bagia mwisho saa nne
@johnmapunda994 жыл бұрын
Huu wimbo ulionesha Benno Villa alikuwa na nia ya dhati ya kujiendeleza tangu zamani. Maana Kwasasa ni miongoni mwa wanamuziki wachache wasomi.
@charlesnjau82527 жыл бұрын
Enzi hizo ni wachache sana waliokuwa kazini na kutamani kwenda kusoma!
@oscarchibwana65704 жыл бұрын
Hatari sana. Vya kale daima huwa ni dhahabu.
@philipmbunda36107 жыл бұрын
Eddie endelea kuchimbua vitu hivi ni adimu sana. Golden days on earth.
@eddienassor4807 жыл бұрын
Burudika kaka
@bushzerahamusic47629 ай бұрын
Hawa ndio wakongwe wa mziki
@kaccmmatonela5648 жыл бұрын
ahsante kaka eddie dah, Beno vila Antoni huyo hatari sn
@najmasaleh92317 жыл бұрын
Kaccm Matonela Huyo mtu wa kuitwa benno villa Antony ni hatari sana yuko na Masters ya music mm upenda kumuita mwl wa muziki miongoni mwa manguli wa muziki lazima uweke jina yake
@makamehaji79945 жыл бұрын
benno ni noma sn tunazikumbuka fujo zake
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Eddie & Brownee - huyu ni Beno Villa Anthony. Huyu bwana alikuwa na sauti nzuri sana na pia ni mtaalamu wa kupangilia muziki. Siku za karibuni amekaribisha sana unywaji wa vinywaji vikali na sigara - aha! vimeathiri sana sauti yake yapokuwa bado anamiliki vizuri microphone
@eddienassor48010 жыл бұрын
Anthony Kisondella Ameanza hivi karibuni kuisatili koo yake na afya yake kwa ujumla??
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Eddie Nassor Ni kwelli - ni jambo ambalo linasikistisha sana kwani kwenye kumbi ya muziki ni kawaida kumuona mkono wa kushoto umekamata bia na mkono wa kulia ana sigara. Kwa mara ya mwisho alikuwa anapiga na bendi ya Super Kamanyola ambayo ipo Mwanza (ikiwa na wanamuziki mchanganyiko kama yeye mwenyewe (Beno Villa Anthony), Roy Mukuna, Seseme Omary,Mukumbula Parashi,Bonny Chande, Ally Yahaya, Rashid Mwezigo, Anna Mwaole na John Hamisi. Sijajua kama kama kuna mabadiliko - vinginevyo naona kama anapalilia matatizo juu ya kipaji chake
@eddienassor48010 жыл бұрын
Anthony Kisondella Duuh! inasikitisha sana!
@heriissagombera516810 жыл бұрын
Anthony Kisondella Kweli Kaka Anthony uwa napenda kufuatilia comments zako unaujua sana mziki wa Tanzania. Beno ni mtaalam wa vyombo vyote anaweza kuvitumia. Namkumbuka ndiye aliyezua kasheshe kwa nyimbo za Sikinde kutopigwa RTD pale aliposema RTD wanauza nyimbo zao. Ni mtu anaependa kuchakarika sana na maisha.
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Wakati ukuta
@brownee2000710 жыл бұрын
Huyu ni Mabruk Halfan au Benno Villa? Nijulisheni wandugu Asante Ed. ....Any more from Mwenge wana Panselepaaaaa?
@eddienassor48010 жыл бұрын
Hapa ndugu tumsubiri kaka Anthony atushehereshee:)
@eddienassor48010 жыл бұрын
brownee20007 Nafikiri nna nyimbo zao karibu zote hawa watu brownee.Sema tu upi nami nitaurusha Mungu akipenda!!
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Eddie & Brownee - huyu ni Beno Villa Anthony. Huyu bwana alikuwa na sauti nzuri sana na pia ni mtaalamu wa kupangilia muziki. Siku za karibuni amekaribisha sana unywaji wa vinywaji vikali na sigara - aha! vimeathiri sana sauti yake yapokuwa bado anamiliki vizuri microphone
@brownee2000710 жыл бұрын
Poa cuz, je ni nani mwenye sauti nyororo wa Mwenge aloimba nyimbo kama Mama Musa, Kupatwa kwa mwezi si kiama etc?
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
brownee20007 sasa ile sauti ndio hasa ya marehemu Halfan Mabruki - Mungu ailazae mahali pema peponi roho yake
@beckabakari58607 жыл бұрын
hao ndio washindi wa tatu wa dsnsi miaka ya 84
@charlesnjau82527 жыл бұрын
Kweli kabisa nakumbuka, wa kwanza walikuwa Sikinde!