sasa humo kaka eddie unapata sauti ya captai Mabrook mohammedi R.I.P mzee wetu
@jumambegu3826Ай бұрын
Nakumbuka mbali sanaaa
@ughcleo774610 жыл бұрын
Hivi vitu hatupati siku hizi,ona midomo ya bata hiyo kama sikosei ndiyo kaka Mafumu Bilali Bombenga anaingia Dar toka kwao Ujiji-Kigoma!Mleta nyimbo hizi Eddie Mungu akupe maisha marefu
@eddienassor48010 жыл бұрын
Kumbe ni Mafumu huyu? ahsante ndugu kwa kusherehesha
@jhayparism59875 жыл бұрын
Hiyo Saxophone 🎷 sio Mafumu ndugu yangu, hiyo safu ya wapuliza ala za upepo waliokuwepo ni LUIZA ELIUS, BAKARY KUBO, BENGWE SIMBI, JANUARY SAANANE, na YUSTER. Hiyo safu kwenye Safu hiyo walikuwa hatari sana.
@nassormwaupeya53895 жыл бұрын
Moja kati ya nyimbo ya mwisho niliyosikiliza na mpenzi wangu mwl muhesa mbelwa.....Teddy Simba siku ya jumapil 7/7/2019 jioni kabla hajafariki tarehe 8/7/2019 jumatatu asubuhi.Mungu muweke mahali pema barafu wa roho yangu
@obillaezra62055 жыл бұрын
nassor mwaupeya Pole Sana umenigusa!!! Najua ulikuwa unamuaminisha kuwa unampenda!!!
@nassormwaupeya53895 жыл бұрын
@@obillaezra6205 Ahsante sana Obilla Ezra.Sina budi kushukuru kwani Kazi ya Mungu haina makosa
@obillaezra62055 жыл бұрын
nassor mwaupeya Wanasema ni KAZI ya Mungu na Binadamu hatuna la kufanya!!!! Pole hakika!!!!!!
@nassormwaupeya53895 жыл бұрын
Kila jumapili huwa jioni ninausikiliza nikimkumbuka TeddyMuhesa wangu
@johnmapunda994 жыл бұрын
Pole sana. Muziki wetu unaleta hisia zote za furaha na huzuni. Nostalgic...
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Kwenye vocal section - Benno Villa Anthony very good! hapo ni muda mfupi kabla hajatimukia DDC Mlimani Park Orchestra kuungana na Freshi Jumbe, Maximillian Bushoke na Fransis Lubua - niliwahi kufanya mazungumzo na Benno pale DDC Kaliakoo wakati Sikinde wanatumbuiza, na alikiri kuwa alipenda sana na alikuwa anaota kuimba kwenye laini moja na Freshi Jumbe, Bushoke na Lubua, kitu ambacho alitimiza ndoto yake
@festonkuyeko773810 жыл бұрын
Kisondella namkubali pamoja na miaka yake,anavuma!
@modrickkicks83205 жыл бұрын
Mimi sijazaliwa lakin nazijuwa zote da machoz yanatoka nataman zirud
@mwananchipicha32124 жыл бұрын
Rey ni bint aliyekuwa akishi kawe Ukwamani mtt wa mzee mmoja wa Kingoni alimtesa mtunzi wa wimbo huo Kitwana Majaliwa kama sikosei ni kisa cha kweli Hatarii Udongo umebeba wengi
@benedictkyaruzi14104 ай бұрын
Mwenge Jazz hatari sana.
@ughcleo774610 жыл бұрын
Mgoro Mohamed Mgoro hapo kwenye solo guitar na kijiti chake mdomoni!Enzi hizo bana acheni haya mambo!Haroub Msafir Mungu akupe malazi mema uliyotuachia hapa duniani si haba
@mwanakwetu647210 жыл бұрын
Hiki kitu kinanitoa machozi, nikikumbuka Enzi naamshwa kwenda shule duuu!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Burudika ndugu
@TheBigyosef10 жыл бұрын
Huu ndio mziki wa Tanzania kabisa na Wanaosema eti Watanzania hawajui kuimba au kupiga vyombo hawajui wanachokisema hii nyimbo ilipigwa miaka ya themanini 80s na solo yake ukiisikia ilikuja ikapigwa tena katika wimbo wa marehemu King kester Emeneya wa Congo katika album yake moja kati ya 98 na 2001 huu ndio ulikuwa mziki yaani bendi zilikuwa zinapiga kwa kujituma sana na bendi hizi zote zilikuwa zinatowa upinzani wa hali ya juu ndio maana mpaka leo nyimbo za DDC.MSONDO.OSS.VIJANA.TUN CUT ALIMASI .BIMA LEE na bendi zote za zamani bado ni tamu toka TABORA JAZZ .NYANYEMBE JAZZ BAND sio sawa sawa na leo asnte ndugu kwa kutuwekea nyimbo ambazo ni dhahabu Old is Gold. Weka zote zilizo pendwa
@eddienassor4808 жыл бұрын
Ahsante ndugu
@mapimwankemwa67786 жыл бұрын
Huu wimbo moja ya best kazi kabisaa za mziki wa dansi ni hali ya juuu, Mgoro alitisha
@ba320610 жыл бұрын
Neema mama oooh nakupenda sana....sijuhi nilikuwa darasa la ngapi..Enzi hizo radio ni RTD tu
@hildaeliya55828 жыл бұрын
Hayati Msafiri Haroub, utakumbukwa kwa Mengi'' nyimbo hii Enzi hizo ikipigwa Dunia ilikuwa pahala nzuri Enzi hizo'' Eddie endelea kutupa vitu'' na wewe hizi nyimbo huwa unapataga wapi?? nyimbo adimu sana hizi''
@eddienassor4808 жыл бұрын
Hahahaa,nilishiriki kaka husikii sauti yangu kwa mbali?:)
@hildaeliya55828 жыл бұрын
Enzi hizo wimbo hu ukiwa unapigwa alafu unatumwa Dukani, unasita kidogo uisikie sauti ya Msafiri Haroub na Mafumu Bilali mwana ujiji'' inasemekana Ni wimbo wa kweli na Rehema huyo yupo hadi leo'''
@hildaeliya55828 жыл бұрын
Mnatupa nyimbo adimu'' wewe na Power Nguzo' mpo juu'' cjajua kama mnafahamiana?? pamoja na yote na nyie kuna nyimbo zingine mlizishuhudia kwa macho yenu ndani ya kumbi
@daudmanase71995 жыл бұрын
Rest in peace my uncle Bambo Ndifwa. Nakukumbuka sana ninaposikia nyimbo hizi.
@masanjamasanja30214 жыл бұрын
Hadi raha mungu awasamehe makosa Yao waliyotangulia mbele ya haki
@ceasermbisso658910 жыл бұрын
Wimbo ulipigwa miaka ya themanini nikiwa darasa la tatu au nne.Mtunzi alikuwa ni Mzee Mashaka,ambaye pia alikuwa mpiga rithin gita kama sikosei.Alikuwa ni jilani vile vile Mwenge kwenye magorofa ya jeshi.
@eddienassor48010 жыл бұрын
Hii bendi ilikuwa nzuri kwa kweli
@janiampakate51507 жыл бұрын
Ceaser Mbisso Enzi za Lugalo primary mzee..na viboko vya kabigi ahahahaha... unakumbuka mzee?
@mapimwankemwa67786 жыл бұрын
Mtunzi naskkia Mgoro Mohamed mwenyewe aliyepiga Solo na ka arrange, Bass naskia Bomboko, Rythim Seleman Hassan, Tumba Msimbe, vocals captian MAbrook, Mfasiri Haroub anayetambaa,Fred Siyame na Bwngwe Simbi, hii Bendi waxcha ipite nomaa wana Paselepa, naskia Sax la Mzee Luza sijui kwl?
@gabrielmzomkunda48814 жыл бұрын
@@mapimwankemwa6778 ni kweli alikuwa anaishi nyumba za jeshi ubungo nhc dar...Liza Elias
@MultiMbongo Жыл бұрын
@@janiampakate5150 dah ulisoma lugalo mkuu hebu tutafutane
@anjeomdawali72983 жыл бұрын
Tulia Rey wangu nipate kukupenda
@ughcleo774610 жыл бұрын
Lkn Kisondela hapo mwenye bend alikuwa ni hayati Haroub Msafiri!Hata Benno alipo ondoka kwenda DDC wana wa Paselepa hawakuyumba kivile kaka!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Duuh! Charles mchango wako wa maelezo tunauthamini sana ndugu
@gombera110 жыл бұрын
Sauti ya Marehemu Msafiri Haroub ilikuwa ipo juu. Asante kaka
@eddienassor48010 жыл бұрын
Ebwana eh! mimi hata nilikuwa sijui hiyo ni sauti ya nani!Ahsante sana gombera
@johnsamani614 жыл бұрын
Mabruk muhamed msafiri haroub mzee dancan njirima kwenye kibod, huku solo akisimama mgolo muhamedi , sax eliasi luza, bila kumsahau Fred siame kwenye uimbaji trampet ndunguru na deusi
@salehemohammed86326 жыл бұрын
mwenge jazi #rehema nomaaaa
@jasonbyrne_benga2 жыл бұрын
Such a beautiful song. Thank you. I actually tried to buy this song on 7” but I bought the wrong album - Mwenge Jazz - Rehema Mpenzi Wangu. If anyone knows what the name of this track is, would be great to know.
@bingwason10 жыл бұрын
Mgoro Mohamed katika solo.
@twilamtumbi264710 жыл бұрын
maafande nao hawakuwa nyuma. ilikuwa raha
@eddienassor48010 жыл бұрын
Kweli kabisa
@rubennsalika42977 жыл бұрын
Eddie Nassor msariri haroob acha kabisa, akiwa tabora jazz unakumbuka wimbo farida
@festomalugu10 ай бұрын
NAKUMBUKA UNA RADIO NATIONAL 277 UMEISHONEA MFUKO UMEIWEKA BEGANI SAFARI NA MZIKI
@arestidadamu24223 жыл бұрын
Enzi izzo sii mchezo
@sofiambaga26595 жыл бұрын
Kweli maisha ni Safari ndefu mh Sina la kusema
@abouayman87133 жыл бұрын
mohamed nzera akpga tumba
@josephmgeni2083 жыл бұрын
kwanini band za kijeshi zinapotea ludisheni jamani dah acha tu
@masanjamasanja30214 жыл бұрын
Nakumbuka moyo. wauma
@nassibulimira89214 жыл бұрын
Kipindi hicho namsalandia bint mmoja akiitwa Rehema kwa kutumia wimbo natia voko balaa lkn mtoto alidinda nadhani sasa atakuwa ni Mzee kama mie enzi hizo kupata Demu sio kitu cha maskhara
@iddiiddi55853 жыл бұрын
HA HA HA HA TUNAFANANA MWINYI !!!!!!!!!!!!
@sibongilemasina87794 жыл бұрын
That's true Old is gold
@shabanmtasha95588 жыл бұрын
kweli ya kale dhahabu
@masanjamasanja30214 жыл бұрын
Hao ndy pasekepa
@sangomamourice32515 жыл бұрын
hakika
@brownee200078 жыл бұрын
Kwh hiyo huyu msafiri Haroub ndio aliyekuwa lead singer wa nyimbo zote za wana paselepaaa miaka ya themanini? Nyimbo kama Mama Musa, Kupatwa kwa mwezi si liama, maudhi? Nijulisheni wandugu
@hildaeliya55828 жыл бұрын
lead singer hapo ni Msafiri Haroub akishirikiana na Benno villa Antony'' Msafiri Haroub ni kati ya wanamuziki nguli waliowahi kutokea katika tasnia ya muziki wa Dansi Afrika Mashariki'' hata kupatwa kwa jua, mama Musa, na nyingine ni mtunzi hodari sana''' Ataendelea kukumbukwa na vizazi vingi vijavyo''