Aah Jamani! Nakumbuka mwaka 1979 wakipinga mziki katika Chuo cha ualimu Singachini, Kibosho,Moshi. Nakumbuka Sana Safi Yao ikiongozwa na Samson Gumbo kwenye rythm, Lazaro Bonzo uimbaji,Zuri Bonzo trumpet, Mangati kwenye solo na mtindo wao katakata mwendo wa mamba. Jamani maisha hayana "reverse"!
@julithamuhale72714 жыл бұрын
Hakika kurugenzi band mmeukosha moyo wangu! Mmewaelimisha wanaume wote wenye wivu! Mama yangu alikuwa nesi eti akaachishwa na baba Sasa anajuta!Mungu awe nanyi popote mlipo! Ya kale dhahabu
@paulomhadoj52107 жыл бұрын
wivu ni mbaya sana nyimbo za enzi hizo zilikuwa na mafundisho tosha kurugenzi jazz watoto wa Arusha mie Paul Mhando
@saidihamza32615 жыл бұрын
Nakumbuka mambo mengi ya zamani mara nisikiapo nyimbo hizi, sana sana wazazi wangu ambao wametangulia mbele za haki Mungu awaondolee adhabu ya kabri awape mapumziko mema "AMEN”
@THEGSMGSM10 жыл бұрын
Wakati huo nawakumbuka ndugu zangu marehemu Sully Bonzo, marehemu Charles Bonzo, marehemu Gerald Nangati na marehemu Samson Gumbo, Mungu aiziweke roho zao pema peponni.
@eddienassor48010 жыл бұрын
Pole Grace.Mungu awape makazi mema
@abdullkilawi55047 жыл бұрын
Rest in peace fallen comandantes
@kokombwana86254 жыл бұрын
Nyumbani Handeni,mitaa ya kwakivesa,old is gold
@geraldmayanga47367 жыл бұрын
RIP wanamziki wote mliotangulia mbele ya haki,Eddi nitafutie mziki unaoitwa kabwe mtukutu wa bendi ya kimulimuli jazz,tunaoupata mtandaoni hauchezi,unakwaruza tu.
@arushamix60366 жыл бұрын
Huo muziki upo humu tafuta vizuri.
@ibrakambi63949 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana kila nikifikilia maisha wakati huo yalikuwa raisi sana hospital bule .
@bingwason8 жыл бұрын
Eddie tutafutie nyimbo walizorekodi Kurugenzi Jazz mwaka 1990 au 91 katika mtindo wao wa Sumu ya Mamba. Nadhani hii ilikuwa ni recording ya mwisho ya bendi hii. Moja kati ya nyimbo ninazozikumbuka ni Emmy. Wakati huo bendi ilikuwa na wanamuziki kama Salum Chimbende na Shaka Mswamili (SM). Solo alipiga Shaaban Athumani "Luxury" (RIP). Kwa kweli ni nyimbo zilizopigwa kwa ustadi wa juu sana.
@eddienassor4808 жыл бұрын
Ngoja nipekue maktaba yangu kaka!
@shabani55286 жыл бұрын
Nyimbo Za kale zina hisia kali unazisikiliza hadi machozi yanakulenga
@swalehmdoe347310 жыл бұрын
Kurugenzi jazz...walitokea Arusha//Safi
@kilosa20009 жыл бұрын
Hi Eddie wewe hasa haswa ni Legend, umetupata vitu tulivyokuwa tunavitafuta sana. sikutegemea kabisa kama nitakuja kuzisikia nyimbo nyingi za zamani, thank you very much
@eddienassor4809 жыл бұрын
Mord Ally Hahahaaa,ahsante sana Mord.Burudika ndugu
@ibrakambi63949 жыл бұрын
+Eddie Nassor wewe uko vizuri sana naomba uendelee kutupa raha tupo wimbo mmoja wa bend ya mzinga unaitwa mazoea yananikondesha
@salehal-rawahi40518 жыл бұрын
Eddie, umenirudusha shule ya msingi mdau... enzi hizo!
@eddienassor4808 жыл бұрын
Hahahahaa:Burudika ndugu
@gibsonole-meiseyeki61388 жыл бұрын
muongeze Solo bonzo mcharaza gitaa wao. dah, shughuli pevu .
@barikijofrey43949 жыл бұрын
the band is from my home town Arusha,icant say any thing just big up
@sibongilemasina87794 жыл бұрын
Fantastic Kurugenzi jazz big up
@costantinestephen2594Күн бұрын
Kurugenzi kama kazi.
@harunahalfani16243 жыл бұрын
Acha kabisa ,watu wameondoka na miziki yao
@gibsonole-meiseyeki61388 жыл бұрын
Eddie, tutafutie kibao cha marijani rajab"pendo sio kulazimishana" ambushes sana enzi hizo akiwa na kurugenzi, ila nadhani alikuja nao from safari trippers au Dar international.
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
nakumbuka wimbo huu niliusikia kwenye kwa mara ya kwanza nikiwa mdogo kwenye sahani za santuri - very goood!!. Inanikumbusha kuwa kumbe upo wakati nilikuwa mdogo
@eddienassor48010 жыл бұрын
Upo Anthony??
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Baba nipo! niliingia chaka kidogo lakini sasa nimerudi barabarani
@claudibrain11539 жыл бұрын
ASante mkuu, unakumbusha zamani kidogo..
@eddienassor4809 жыл бұрын
claudi brain Kabiru tena ndugu.Burudika
@ZawadiSaid-x6f4 ай бұрын
Namkumbuka sana bongo jamaniiii
@suleimanjabir8279 жыл бұрын
May His Almighty Rest their Souls In Peace.. Ameen! Eddie you are good people, be blessed. At last, you could upload "Wivu" by Kurugenzi. Wewe upo juu!! Those were 70's for a lady to be employed and work was unaccustomed.
@eddienassor4809 жыл бұрын
Karibu tena Suleiman,burudika ndugu
@Kosmo4tanga9 жыл бұрын
Eddie Nassor Ahsante sana, sikudhani ningepatakisikia kigongo kihi, thanks again...!
@eddienassor4809 жыл бұрын
Karibu tena ndugu
@VedelikoAsajile Жыл бұрын
Asante sana nyimbo nzuri zina ujumbe wa kutosha
@fideskissima869710 жыл бұрын
shukrani Eddie, inatukumbusha vitamu vya zamani.
@eddienassor48010 жыл бұрын
Fides Kissima
@eddienassor4809 жыл бұрын
Karibu tena
@saidihamza32615 жыл бұрын
Zidi kutupa mambo matamu kama haya , siku zote najiuliza yule mpiga solo wa kimulimuli jazz kwenye wimbo "kitu mapenzi" uwezo aliounyesha sijui aliupata wapi ni level moja tu na Diblo Dibala .anaitwa nani? mwimbaji wa wimbo ni Zahil Ally
@Raymond64978 жыл бұрын
Kurugenzi ya kina Chimbende pale ikweta hotel. ..nilikuwa nikitoka Arusha Hotel kwa kina Mzee Minyigu na kikundi Chao cha ngoma cha Wamasa Cultural Troup nilikuwa namalizia Ikweta kuangalia mayenu ya kina chimende MA mtindo wake WA supu ya magimbi. ...hakika ya kale zahabu
@heriissagombera516810 жыл бұрын
Hapo kuna kina Gerad NANGATI, SULLU BONZO NA MOHAMED MSIMBE. KURUGENZI hiyo.
@eddienassor48010 жыл бұрын
Heri mkali kaka duuh!
@ibrakambi63949 жыл бұрын
kulugenzi jazz ilikuwa kwenye ubora wake Kweli Kaka kama unakumbuka vizuri niambie lizimu alipiga nani ebu nisaidie
@farajhabib4297 жыл бұрын
Nakumbuka bibi yangu akiniamsha kwenda shule wakati huwo Rtd kipindi kumekucha Mungu amlaze pema bibi yangu
@dissomokiwa87267 жыл бұрын
Hahahaha jamani hii ndio yakale ambayo hugusa nyoyo za watanzania wengi Tanzania japo hatuji kukutana Nazo tena innalilahi wainailahi rajiunna.
@damasmlolere5870 Жыл бұрын
Hatari Sana aisee
@jamessuwi59806 жыл бұрын
Huu wimbo una maana kubwa sana,wakati huo ukipigwa RTD nilikuwa siijui maneno yake yote kindi hicho, ila kuna mzee mmoja anakaribia kustaafu halafu anajuta kila siku kwa kumuachisha mkewe kazi siku za nyuma na kwa sasa mshiko unamsumbua kwani mkewe ni mama wa nyumbani na biashara hawezi kabisa. Hawa wanamuziki wa Enzi walikuwa na akili sana za kuimba tofauti wa siku hizi.
@twilamtumbi26479 жыл бұрын
kazi nzuri sanaaaaa
@josephkennytz7 жыл бұрын
Old is always best
@mzuvendi8 жыл бұрын
Hii bomba kweli thanks Eddie....
@eddienassor4808 жыл бұрын
Karibu tena kaka:Burudika
@edwinmoses18973 жыл бұрын
Huyo ndiyo miziki sasa
@MomadeMohammed Жыл бұрын
Hatari 🔥🔥🔥🔥
@marshallislands98565 жыл бұрын
Great song!
@ibrakambi63949 жыл бұрын
wakati huo nakumbuka shule ya msingi boma Kulikuwa na walimu kama mwalimu sholwe ,mzinga ,mwl mkuu alikuwa lutambi mwl kapera kwakweli nakumbuka mbali sana unatamani kulia ukikumbika watu tuliokuwa pamoja sasa hawapo tena.
@nyangehassan9024 жыл бұрын
Muziki unaoishi
@ZawadiSaid-x6f4 ай бұрын
Walipiga kitètò mànyara kipindi hicho ilikua arusha
@sangomamourice86804 жыл бұрын
Hawa wabana pua. Kwa nn wasikopi tu hizi
@abdullkilawi55048 жыл бұрын
Top class
@eddienassor4808 жыл бұрын
Hahaa,burudika ndugu!
@pinieldaud73663 ай бұрын
Wako wapi hawa wanamziki wako moto
@Kosmo4tanga9 жыл бұрын
Asante sana
@eddienassor4809 жыл бұрын
TangalineKombo Karibu tena ndugu
@hamisikingu2139 Жыл бұрын
Zakale niDhahabu
@simonsaid40866 жыл бұрын
Duu enzi pale hoteli ya Chinese barabara ya Uhuru road Arusha nimekumbuka mbali sana