Mzungu anaye ongea kiswahili

  Рет қаралды 29,858

IMANI tv

IMANI tv

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@samsifuni
@samsifuni 5 жыл бұрын
kiswahili kizuri kama umezaliwa Tanzania,,,...karibu tenaa kaka
@larpeibraixon828
@larpeibraixon828 4 жыл бұрын
Hivi mimi mkenya haswa mzaliwa wa hapa lakini kichwahili chako ki shwari mwanangu zaidi kushinda changu,,,hongera lakini
@morurievans3149
@morurievans3149 3 жыл бұрын
Hey, siamini ndugu Kiswahili chako ni safi. Nimefurahi sana. Karibu wakati wowote
@josephpowon8436
@josephpowon8436 5 жыл бұрын
Meen, I've never even spoken swahili with a word haswa in it and this fluent American is speaking it, furthermore the accent, the flow is just amazing, if it's just audio no one will say you are white. They will say you are Tanzanian
@abdallahmussa5115
@abdallahmussa5115 4 жыл бұрын
Hii ndio Africa mashariki yenye Ladha ya Lugha na ukarim kwa wageni na ni sehemu ya mila za kia Africa zenye mshikamano na jamii yoote, karibu sana karibu Africa karibu Africa mashariki
@violetjoseph8649
@violetjoseph8649 4 жыл бұрын
Hahahahhaha wooow so wonderful to speaking Swahili language,, unaongea kiswahili sahihi sana 🇹🇿
@jephtengendo3048
@jephtengendo3048 5 жыл бұрын
Nailed it. I met this guy called Adams on a plane and he surprised me speaking fluent Swahili. This guy is also great.
@meddyzambetakis
@meddyzambetakis 4 жыл бұрын
Magufuli mpe mkoba kamanda huyu, 🇹🇿👌👍☝️ mwenzetu 🙏🙏🙏🇹🇿
@djnobitv4243
@djnobitv4243 3 жыл бұрын
kiswahili chako nikizuri sana nakuomba kihubiri kiswahili na huko marekani
@matildakabissi7926
@matildakabissi7926 4 жыл бұрын
Ukifumba macho utadhani ni mchaga😊
@wilsonwanjohi4910
@wilsonwanjohi4910 5 жыл бұрын
Alitembea Kenya lakini hazungumzi kama Wakenya, lafudhi yake ni ya Kitanzania ;-)
@endythomas2838
@endythomas2838 4 жыл бұрын
Wacha kuleta mzaha na mchezo ndani ya kazi. Kila sehemu ina matamshi yake hata kama mizani za neno ni sawa.
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 жыл бұрын
Kweli ana kiswahili kizuri kuliko cha wakenya
@farhatomar7495
@farhatomar7495 4 жыл бұрын
Kabisaaaa 🇹🇿🇹🇿the first one kiswahil
@dorothmariwa7805
@dorothmariwa7805 3 жыл бұрын
Karibu tenaaaa
@roseryobase6971
@roseryobase6971 5 жыл бұрын
Unajitahidi sana kama vile umezaliwa Tanzania mhhhm hongera sana
@msabahamalonda
@msabahamalonda 4 жыл бұрын
Safiii sana Karibu tema Afrika Mashariki.
@cathycharmym28
@cathycharmym28 5 жыл бұрын
"Hadi nyumbani kwao nimekaa kwenye sofa, nmekula"😂😂 Nmekupenda buree😍
@Areyou-u8n
@Areyou-u8n 5 жыл бұрын
kiswahili chako bomba haswa. Fasaha na kizuri. Matamshi yako ni safi sana
@MoRasheed
@MoRasheed 5 жыл бұрын
Hahaha 👏🏾👏🏾👏🏾 *sijuwi* apo unajua huyu kakaa mtaani
@sofialinus8241
@sofialinus8241 4 жыл бұрын
Karibu tena Tanzania 🇹🇿 Nitakupikia n'nsasa za karanga
@yassirashur1934
@yassirashur1934 4 жыл бұрын
You are hero 👍👏👏💯💫
@Anita-we4vf
@Anita-we4vf 6 жыл бұрын
Kiswahili kimenyooka 👏👏
@neemakaisile3913
@neemakaisile3913 4 жыл бұрын
Wow karibu tena
@Turyatunga53
@Turyatunga53 3 жыл бұрын
Hongera sana
@lynbaby485
@lynbaby485 4 жыл бұрын
Naomba tuwe marafiki
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
karibu sanaaa Tz
@blasioshitsirishibachi9739
@blasioshitsirishibachi9739 2 жыл бұрын
Karibu tena kwetu Kitale tule ugali na kuku
@grantler1726
@grantler1726 5 жыл бұрын
Swaibah "mzungu", Kiswahili chako ni poa sana, sana tena sana!!! Lakini fikiria ,wako waafrika hasa wakenya mafalah,machizi,wenye mawazo ya kitumwa hawataki kuongea Kiswahili, hawezi kusema sentence moja bila kutia kizungu hasa wakutoka Nairobi!!! Mara nyengine ukija Kenya, jaribu kuishi Mombasa / malindi / Lamu, hapo ndipo utapiga msasa hii lugha na tukupe jina la pwani.Kwa sasa ntakwita "Mswahili Ziara". Man you`re great!
@jeddynduta4049
@jeddynduta4049 3 жыл бұрын
Eish matusi ya nini tena
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
EBU MWAFRICA AONGEE KIZUNGU WATUWA TATOKWA NA MAPOFU SAAAAANA 🇰🇪🇨🇿
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 жыл бұрын
Karibu tena kenya tunapenda wageni zaidi.
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Karibu tena Tanzania 🇹🇿
@Richforever66
@Richforever66 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣 eti kinyama kabisa
@comfortyhamaro1112
@comfortyhamaro1112 5 жыл бұрын
Nmeipenda hiyo
@joseojuang6402
@joseojuang6402 4 жыл бұрын
MZEE baba unamjua sana
@grantler1726
@grantler1726 4 жыл бұрын
Bro uko noma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@gm7045
@gm7045 5 жыл бұрын
Perfect 👌
@dirhamnamir9444
@dirhamnamir9444 4 жыл бұрын
Mhhhhhhhhh very well
@alainwalterrwota1868
@alainwalterrwota1868 5 жыл бұрын
Karibuni hata kweri Burundi
@luqmanit475
@luqmanit475 5 жыл бұрын
perfect from 🇰🇪💯
@chumamihambo8060
@chumamihambo8060 4 жыл бұрын
Komaa mkuu
@leahsimiyu8269
@leahsimiyu8269 5 жыл бұрын
Da kiswahili kizuri sana , karibu Kenya tena
@ciciliamwambe5558
@ciciliamwambe5558 6 жыл бұрын
karibu tena kenya Kiswahili kizuri
@gily5931
@gily5931 5 жыл бұрын
U got a nice Swahili accent. Big up
@abhambomihambo6754
@abhambomihambo6754 5 жыл бұрын
Uko poa kaka njoo tukupe uraia.
@ezra6304
@ezra6304 4 жыл бұрын
Kenya hakuna matata
@kinyuakennedy
@kinyuakennedy 4 жыл бұрын
Kenyan Swahili is not the normal Swahili..it's like Nigerian English.
@jddolx2543
@jddolx2543 5 жыл бұрын
Sanifu kuniliko ata sielewi maneno mengine.
@rashidkhamis5361
@rashidkhamis5361 4 жыл бұрын
Kiswahili nzuri
@musa2843
@musa2843 5 жыл бұрын
Perfect Textbook Swahili .
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 4 жыл бұрын
Mash Allah
@serahnjoroge6679
@serahnjoroge6679 3 жыл бұрын
Aitwa aje, huyu msanii?
@mulusawalter779
@mulusawalter779 4 жыл бұрын
Kiswahili kizuri kakangu
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 5 жыл бұрын
Huyu Naye wa moto sana
@halimahalima4892
@halimahalima4892 5 жыл бұрын
Vizur sana
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 5 жыл бұрын
Lafudhi ya tz hicho ni kiswahili safiiiii
@zlocks9713
@zlocks9713 5 жыл бұрын
Ain't gonna lie swahili yako nzuri for a white guy Lmaoo
@sweetcriss9791
@sweetcriss9791 5 жыл бұрын
Na kupenda sana
@alainwalterrwota1868
@alainwalterrwota1868 5 жыл бұрын
Da onaongea kiswali sahihi
@hellenchitechi2659
@hellenchitechi2659 4 жыл бұрын
Kiswahili ya huyu imeomoka
@ernestmbwana6282
@ernestmbwana6282 5 жыл бұрын
Karibu tena na tena..
@abdulyburhani1019
@abdulyburhani1019 5 жыл бұрын
Kalibu tena tanzania
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 жыл бұрын
Kiswahili the next big thing
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 4 жыл бұрын
🔥👌👌👌💯🔥
@mathiasvicent9955
@mathiasvicent9955 5 жыл бұрын
Karbu sana Tanzania
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Kwahyo wewe umesalimika kuowa mkenya? 😂😂😂 Karbu Tena Tanzania nchi yenye amani
@kamakazi8243
@kamakazi8243 4 жыл бұрын
Seems u lived in tz more......UA accent is more of tz......in Kenya our Swahili is just something else😂😂😂😂 n we don't even use Swahili sanifu.
@mauricemutua869
@mauricemutua869 3 жыл бұрын
Hahahaha, very true, he more of a Tanzanian, wachana na Kenya.
@jeddynduta4049
@jeddynduta4049 3 жыл бұрын
But we can communicate comfortably in swahili it doesn't have to be kiswahili mufti usi sahau tuna lugha za mama bado amazon tuna faa kuwa tukiongea usisahau nakizungu pia like every kenya is supposed to be fluent in three languages lugha ya mama,kizungu na kiswahili ai we try bwana
@aarondick5304
@aarondick5304 6 жыл бұрын
Karibu tena Tanzania,,,,,karibu dar es salaam,,,,naomba tuwe tunawasiliana,,,,,on Instagram "I am Aaron dick tz"",,,,,, karibu kcc ujifunze sanaa
@rice6048
@rice6048 5 жыл бұрын
هلا فيك 💜
@rrrhhhsssal1617
@rrrhhhsssal1617 5 жыл бұрын
هلا فيك
@rice6048
@rice6048 5 жыл бұрын
Raya Salim احنا وش جابنا هنا 😂😂ع الأقل انا افهم وش يقول
@issamardini4160
@issamardini4160 5 жыл бұрын
Karibu tena bro
@aleemaalrahbi338
@aleemaalrahbi338 6 жыл бұрын
I love you 😍😍😍
@abuga777
@abuga777 5 жыл бұрын
nice
@carinadavid8214
@carinadavid8214 5 жыл бұрын
Mpaka raha jamani
@andersonsoly1469
@andersonsoly1469 5 жыл бұрын
unaongea vizuli sana
@jacklinentinyari1830
@jacklinentinyari1830 5 жыл бұрын
Afrika masharika twapenda watu
@johnnybegood92
@johnnybegood92 5 жыл бұрын
Iyo siyo Kiswahili, ni KIKUYU 😆🤣 His Kiswahili is much better than our frenchlize Kiswahili from Rwanda or Congo, Burundi etc.... Much romantical with drama 😘 Karibu Rwanda 🇷🇼👍
@henryking4836
@henryking4836 5 жыл бұрын
Rwanda or Congo? So you mean Rwanda is the same thing and Congo.
@petermariao4052
@petermariao4052 5 жыл бұрын
amjui kiswahili nyie wa warwanda
@alexchege2620
@alexchege2620 5 жыл бұрын
Kiswahili cha mwambao ama cha pemba?
@liftedbyJesus
@liftedbyJesus 5 жыл бұрын
Oh .. I know you Joshua! Did you go to WSU KS (I'm a WSU Allumni )? Guess who went there? I am also from kitui. Lol. If This is you.... We met at wheat-shocker.. I Mean the old building...
@الزنجباريعلي-ب4ذ
@الزنجباريعلي-ب4ذ 5 жыл бұрын
ww unakijua kiswahili la kidogo lafdhi
@dinahandi7027
@dinahandi7027 5 жыл бұрын
👌🤛🙏👋👋👋
@philipbiasaf8889
@philipbiasaf8889 5 жыл бұрын
🇹🇿💪🏻
@oprahoprah1005
@oprahoprah1005 6 жыл бұрын
Munip nomber yake please
@paulinekabui649
@paulinekabui649 5 жыл бұрын
Nå feel like wewe ni wetu I
Who can understand you?
8:59
WavesOfBelle
Рет қаралды 12 М.
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
UK student professes his love for Swahili
3:48
Nairobi News
Рет қаралды 54 М.
Intahe ya Evelyne   part 1
15:06
IMANI tv
Рет қаралды 9 М.
Arabic vs Turkish vs Persian: which is the hardest?
20:14
Zoe.languages
Рет қаралды 668 М.
Who are you?
13:32
Our Animated Box
Рет қаралды 21 МЛН
▶️ Loneliness 1 - 2 episodes - Romance | Movies, Films & Series
1:29:22
Movies & Series
Рет қаралды 8 МЛН