N/WAZIRI ATOA MACHOZI,APIGA MAGOTI MBELE YA WANANCHI "UBUNGE MCHUKUE, TUSIKWAMISHANE"

  Рет қаралды 57,353

Millard Ayo

Millard Ayo

9 ай бұрын

Пікірлер: 203
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 9 ай бұрын
Pole mh byabato mungu atakusimamia katika kazi zako akufanyie wepesi wakila jambo.
@abesigakabigumila3744
@abesigakabigumila3744 9 ай бұрын
Mh. Byabato, you have made me cry too…Pongezi sana kwa moyo wako wa dhati kuleta maendeleo ya mkoa wetu. TRUST me machozi haya hayatapotea bure!!! Watakaonufaika na Tunaopenda maendeleo haya ni wengi kuliko hawa wachache wanaopinga na wenye hira na nia mbaya kwa maendeleo na mkoa wetu. Piga kazi Kaka, we have your back!!!!
@godwingodfrey1115
@godwingodfrey1115 9 ай бұрын
2025 kura yngu añayo uyuuu bora nipoteze nauli
@lawrencekamete2404
@lawrencekamete2404 9 ай бұрын
Pole Kiongozi ! Duhhhh, nimeumia sana. Mungu akutie nguvu na Yeye apigane na wanaopigana na wewe na kukwamisha miradi yamaendeleo Jimboni kwako. Please soma Yer 1:19. Nimeumia sana maana na mimi nikionozi mahali fulani
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 9 ай бұрын
Sehemu yoyote duniani yenye wachawi wengi huwa maendeleo kupatikana nivigumu sana, njia rahisi nikumrudia mwenyezi Mungu, airehemu kagera, mashekh, wachungaji, makasisi wote watangaze dua maalumu kwa huo mkoa nawana siasa wawepo nao watubu,Mungu niwarekhema ataiponya kakera, 2Nyakati,7:14,
@user-eg2wk4xx3h
@user-eg2wk4xx3h 9 ай бұрын
Kwa kweli umenena ila mbona Mbeya inaenda?! Au Kwa sababu baada ya nyumba mbili ni Kanisa?
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 9 ай бұрын
@@user-eg2wk4xx3h mbeya imechangia sana nyumba zaibada ninyingi lakini kule wanakumbia diniyetu ya zamani kumbe nyuma yake kuna yaliyo jificha
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 9 ай бұрын
Barikiwa Sana mhe isaidie tu usichoke
@prisca4612
@prisca4612 9 ай бұрын
Mungu anaweza, tunakuombea, machozi hayo Mungu ameona moyo wako na atatenda.. Mungu akulinde na familia yako💪❤️🙏🏿
@raynittu4599
@raynittu4599 9 ай бұрын
Aisee! Natamani ungekuwa mbunge wa kwetu Songea huko.Waziri unatamani Maendeleo ya wanainchi. Mungu akusimamie ktk kazi zako, Hao wanaokukwamisha watashindwa.2025 utapita
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 8 ай бұрын
🙏💪
@Hakimwaipaja
@Hakimwaipaja 5 күн бұрын
Mungu akusaidia sana kwa kazi hii mungu atakusaidia yeye ndie Leo maka kesho
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 9 ай бұрын
Nikweli kabisaaa,WAKOLA MWANA WA MAE.
@magazijuto7991
@magazijuto7991 9 ай бұрын
Apambane kijana...Bukoba kuna baadhi ya watu wana ubinafsi wa hali ya juu...Yaan kama kitu hakimpi faida yeye anaachana nacho na anaweza kukipinga...sijui roho hiz wanazitoa wap...Bukoba ingeishaendelea kitambo sana maana uwezo inao na iko strategically located...Lakin baadhi ya watu tena viongozi wakubwa tu wa manispaa hiyo wanairudisha nyuma....
@juniorivany9087
@juniorivany9087 Күн бұрын
Mimi nakuelewa vizuri sana kaa na wanafiki wako,huna jipya wala huna lolote kulia lia tu.huna loloteee
@HassanMusyoka-gn8qp
@HassanMusyoka-gn8qp 9 ай бұрын
WATU WA BUKOBA TANZANIA MIMI NI MKENYA LAKINI KIONGOZI KAMA HUYU NI BARAKA MFANO WA MAREHEMU MAGUFULI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@masolavachui1728
@masolavachui1728 9 ай бұрын
Unazijua siasa za bongo ww au unazisikiaga tu 😂😂😂
@user-eg2wk4xx3h
@user-eg2wk4xx3h 9 ай бұрын
Byabato oyeee Magufuri oyeeee mlikuwa na chemistry Moja SS ni majungu wanamsingizia mama Samia roho chafu tuu Magu aliwapasha
@amankajuna5064
@amankajuna5064 9 ай бұрын
Mheshimiwa Byabato wewe ni kijana bora kabisa, mzalendo na mpenda maendeleo. Najivunia wewe kuwa Mbunge. Nimekushuhudia namna unavyopambana na mahitaji ya watu wa jimbo lako. Barabara, umeme, maji tayari umefanya zaidi ya 90% sasa stand, soko, kanoni yamewashinda waliokutangulia kwasababu ya fitina za watu. Lakini umefanikisha. BIBLIA INASEMA “USIOGOPE” nami ninakwambia usiogope songa mbele Hakuna mwingine ya kufanya kama siyo wewe. Historia utakuandika vyema. Wanabukoba walio wengi wanakupenda na kukuombea. Mwenyezi Mungu akutunze
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 9 ай бұрын
Saf kampaina meneja wetu 2020
@mgayamgaya
@mgayamgaya 9 ай бұрын
2025 bado sana watamkumbuka Magu😁
@frankfrance2833
@frankfrance2833 9 ай бұрын
Ongera mweshimiwa tuko nyuma yako tunakupenda tunakupongeza pambana kiume tuko nyuma yako tutakusapoti mpe mama ongera yetu kwakutupenda nani kama mama ❤❤❤❤❤
@gisellakaijage9155
@gisellakaijage9155 9 ай бұрын
POle sana Mungu akutie nguvu
@eliminamichael9567
@eliminamichael9567 9 ай бұрын
Mkuu ninakuelewa sana endelea mbele tupo tunaokuombea..shida bukoba ujuaji mwingi jameni punguzeni, kila jambo mnataka liende mnavyotaka nyinyi na ajabu bukoba ndo mkoa ambao watu wanaweza kua na umoja mkubwa katika mambo yakurudisha nyuma mendeleo na wakawa na mgomo baridi majority of them. Loh!
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 9 ай бұрын
Huyu kijana tumepiga wote skuli ni mzuri sana wana BK msikubali kumpoteza.
@wilfredmbowe3644
@wilfredmbowe3644 9 ай бұрын
unalia nini kubwa zima tulia
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 8 ай бұрын
​@@wilfredmbowe3644unayoyaongea huyaelwi kwanza kagera haikuhusu ndo maana
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 9 ай бұрын
Suala kupiga goti na kulia ndo hapo Sasa ndo umeharibu. Bukoba mwanaume jasiri hawezi kulia. Kupiga goti, ni ishara ya unyenyekevu wa Hali ya juu. Goti huwa linapigwa Kwa Mungu tuu. Mungu atakasirika na sidhani kama ilikuwa sahihi. Omba msamaha Kwa Mungu. Maana imeandikwa ( Flp 2:10-11).Kwa jina la YESU KILA GOTI LIPIGWE.
@jamsonkanyiki6038
@jamsonkanyiki6038 9 ай бұрын
Hata kwetu mbeya wapo. Wakwamishaji wa maendeleo. wao kwao kila kitu Ni kupinga tuu. Chapa kazi. Maneno yao achana nayo. N/ Waziri Kazi iendelee.
@ErastoZakayo-to6nm
@ErastoZakayo-to6nm 9 ай бұрын
Noma sana hiii
@PhilipinaPhilibart-wl6rq
@PhilipinaPhilibart-wl6rq 9 ай бұрын
Pambana kaka. Uongozi nikazi Ila kikubwa watumikie wanachi wako walio kutuma. Mtangulize Mungu maana uongozi unatoka Kwa MUNGU
@stevenmdoga8414
@stevenmdoga8414 9 ай бұрын
Bado hamjasema na mtasema yaani mpk msemeeee hiyo ndyo CCM
@dianasamson9311
@dianasamson9311 9 ай бұрын
Pambana Mheshimiwa.... Bukoba yetu iko nyuma sana kwakweli.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 9 ай бұрын
Unafaa sana. Bukoba ni ngumu lakini unaweza waziri. Hiyo barabara imeua wengi sana .
@johnmurathe9033
@johnmurathe9033 9 ай бұрын
Tanzanian have leaders manze this people are proud of their country
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 9 ай бұрын
Wewe ni mwema sana . Unavoongea tu ni mkweli . NA UKWELI UPO KATIKA FAMILIA NZIMA WANABUKOBA WANAPASHWA KUJUA HILO . SISI WENGINE TUMESHAFANYA KAZI NA NDUGU ZAKO . FAMILIA YAKO NI YA UAMINIFU . PIGA KAZI WANAOONA WANAONA WAPUUZI ACHANA NAO . ONUKAMA TAFUKAMA IWE WAFUKAMA ASANTE SANA.POLE SANA .
@bashirubumalwa7419
@bashirubumalwa7419 9 ай бұрын
Kweli unachosema Bukoba nikwetu ila wanafiki ni wengi sana wanakwamisha maedeleo toka zamani unafikia ni mwingi sana unakosesha maedeleo tunachekwa sana uku nikoani Wasomi niwengi ila wanafiki niwengi elimu ya mwanabukoba aiwasaidihi tunakwamisha
@victoriakiwanuka5428
@victoriakiwanuka5428 9 ай бұрын
Piga kazi kijana na ubunge utapata Mungu yuko pamoja nawe 🙏
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 9 ай бұрын
Huyu ata wasipojenga stand kushinda ata shinda tuu hata kama maana kawa muwazi mapema nini kinamkwamisha. Jamani kamati ya siasa ya wilaya msaidieni kwa moyo mmoja tuache nongwa tusije kumkwamisha Raisi wetu Dkt. Mama SSH. UKimukwamisha Mbunge mtakuwa mmeikwamisha Serikali yetu. TUACHE NONGWA.
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 9 ай бұрын
Muililie na ndiyoooo mliyoipitisha ktk Iga.
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 9 ай бұрын
Pambana kaka, Mungu yupo.
@StephanoGallet-dq7ch
@StephanoGallet-dq7ch 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 leo mnajifanya mnalia kuomba huruma pole sana
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 9 ай бұрын
Karibu kuwaza kabla yakuandika
@fransiscondyanabo9154
@fransiscondyanabo9154 9 ай бұрын
Nakupongeza usivunjike moyo fanya kazi ndugu yangu
@SamPatrick-nj8oe
@SamPatrick-nj8oe 9 ай бұрын
Mbinu za kijeshi hizo
@JovinJosephat
@JovinJosephat 8 ай бұрын
Inauma sana. Bukoba sijui tumerogwa na nani?
@generosennko8343
@generosennko8343 9 ай бұрын
Mpeni ushirikiano kiongozi huyo. Ana moyo wa kufanya kazi. Ni kwa faida yenu wana bukoba. I just got emmotional by just watching him. Be strong son. And lead your people with prayers to break the stronghold.
@revocatuskatto7293
@revocatuskatto7293 9 ай бұрын
Duh adi nimelia et tatzo Ujuaji mwingi mno bukoba kila mtu anajuwa ndo maana apaendelei mim cku ya kupiga kura nakuja kukuchagiwa ndugu yangu we piga kazi
@drdd774
@drdd774 9 ай бұрын
Tatizo la baadhi ya wahaya ni wajuwaji mno, hata chalamila aliisha waambia
@user-vy5ei1xl4p
@user-vy5ei1xl4p 9 ай бұрын
hii sio sawa kwa kiongozi sifa ya kiongoz ni kuwa na moyo mkubwa
@faridubakana6733
@faridubakana6733 9 ай бұрын
We pengine hujakaa Bukb ..yan hapa kuna watu wapo radhi wazuie maendeleo ili mradi wapate la kusema kwenye uchaguzi
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 9 ай бұрын
We ria ata ikiwezekana urie ata damu ira kitajurikanatu 2025 sisi niwatu wazima atuwezi tishiwa namachozi sisi siyo mirima tutakutana
@raulnassor5761
@raulnassor5761 9 ай бұрын
Mama haya yasikie hayo yakiongozi ,sijuwi yawananchi watasemaje watampa au 😂?
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 9 ай бұрын
Ubunge umepewa na mwendazake ss subiri 2025 utakiona
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 9 ай бұрын
Daaaaaaaah yaaaan wazzir analiaaa mamamaeeee sa wabunge wa kawaidaaa watafanyaaa Nini ??????? This is stupidy
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 ай бұрын
Kha sijaelewa mm.mwenzenu pole muheshimiwa jamanj kwann lakini mnamfanyia hivi😂😂😂
@niazonbukoke1964
@niazonbukoke1964 9 ай бұрын
Mpumbavu kwel yaan , siuwataje hao wanaokwamishaaa?? Kama wameiba peleka mahakamani... Kalilie kwa mkeo huko tunamachungu sie
@HafidhuMasudi-ne2bi
@HafidhuMasudi-ne2bi 9 ай бұрын
Wengi wao waliotoa comment hapa ni uelewa mdogo masikini,hamjakutana na mizozo au mivutano ya viongozi katika kuleta maendeleo kwa wananchi.Mheshimiwa huyu kulia,mambo ni mengi na yanakwaza sanaa.Hata mkuu wa mkoa alishayasema hayo ya watu kukwamishana hapo Bukoba.
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 9 ай бұрын
ni mnafiki tu.Kwa nini asiwataje wanaomkwamisha?Kama Waziri, kwa nini asiwalipue hao Bungeni? Kwa nini asiwashtaki kwa Samia?Ni aibu kuona Waziri analalama kama Mwendawazimu.Ametuaibisha Wahaya.
@user-dq5xt8ed7w
@user-dq5xt8ed7w 9 ай бұрын
Unaakili saana
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 8 ай бұрын
​@@jonathanakhabuhaya1693wewe huyaelewi unayoyaongea inaonekana bukoba huijui vzr
@titusrobert5890
@titusrobert5890 9 ай бұрын
Hasa wanapinga nini?. Kama ni stend kwa hapo mjini katikati ni makosa, hapo panabana mno hauwezi kupanua maendeleo ya bkb kwa kubakisha stand na soko mjini kati Byabato
@henrymasomi831
@henrymasomi831 9 ай бұрын
Kipindi Cha kampeni magufuri alisema bukoba ujuaji mwingi
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 9 ай бұрын
Kiongoz makini safi sanaaa pambana uongoz nivitaa
@godwingodfrey1115
@godwingodfrey1115 9 ай бұрын
Byabato once mda wa kupga kura lazm nije nikuunge mkono 😊
@edisonsebasitian-th3zy
@edisonsebasitian-th3zy 9 ай бұрын
Wewe Samia ni wezi
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 9 ай бұрын
Mkoa wenye wasomi wa kiwango cha juu ,ajabu ni miongoni mwa mikoa maskini Tanzania.Nini tatizo ?
@MwakyMwaka
@MwakyMwaka 9 ай бұрын
Hata ulie vipi hamna kura msenge wewe
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 9 ай бұрын
Usiseme uliomba pesa no mali za umma
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 9 ай бұрын
Yaani Hawa wajanja sana wanajifanya Wanahuruma sana kwa Sasa waongo sana na matapeli mbwa coco Hawa 😂😂😂😂
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 9 ай бұрын
Fikiri kabla yakuandika
@yaasirimuhudi1664
@yaasirimuhudi1664 9 ай бұрын
Haoo wanaokwamisha watolewe madam kwetu pataendelea wenye nia nzuri wasapotiwe
@buberwazimbeiya7406
@buberwazimbeiya7406 9 ай бұрын
Nagira nkwibe simka nkuteme
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 9 ай бұрын
😂😂 nenda kajiajiri achana na siasa
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 9 ай бұрын
Wewe acha usanii ,hayo yote ni mapicha ili kuwahadaa wana nchi na kuwa fanya mazuzu ili upate ubunge wa huruma hapo wana nchi msikubari ngonjera hizo mtupeni kapuni huyo msikubali hao tena
@sdiketz3053
@sdiketz3053 9 ай бұрын
Pole byabato
@fridolinefrance1353
@fridolinefrance1353 9 ай бұрын
Wahaya wengi wajuaji Sana piga kazi
@edwardmakonge3371
@edwardmakonge3371 9 ай бұрын
Kijana pambana.
@justusndyamukama4808
@justusndyamukama4808 9 ай бұрын
Waitara amekuambukiza?
@jonaskweyamba9747
@jonaskweyamba9747 9 ай бұрын
Sijaona point tukutane 2025
@paschalrutashoborwa7976
@paschalrutashoborwa7976 9 ай бұрын
Mbinu mojawapo ya kuleta maendeleo ya kweli katika Bukoba municipal, ni kuboresha miundo mbinu kama kujenga/ kupanua barabara,ujenzi wa bus stand, hivyo yeyote anayepinga uwepo wa miradi hii, atakuwa haitakii mema Bukoba municipal, na mkoa wa Kagera kwa ujumla.
@kadogojohn7643
@kadogojohn7643 9 ай бұрын
Na inaonekana wanamfanyia hujuma
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 ай бұрын
Tatizo sio waziri natizo ni rais kuchangua matope ndio wanaomuagusha rais
@MganyiziAmosi-cz3qk
@MganyiziAmosi-cz3qk 9 ай бұрын
Mtanyooka tu awamu hii
@wilfredmbowe3644
@wilfredmbowe3644 9 ай бұрын
uchanguzi umefika tutona mengi
@deodatusdioniz-cp1sm
@deodatusdioniz-cp1sm 9 ай бұрын
Ndg yetu pambana maisha ni vita
@Commentsplus
@Commentsplus 9 ай бұрын
hivi ungekua ni wewe afu ni waziri unaona kitumbua chako kishatiwa mchanga afu kwa wahaya lazima ujishushe jamaa mjanja afu anabusara
@De_lima98
@De_lima98 9 ай бұрын
😂😂😂 hapana
@richardbegga6679
@richardbegga6679 9 ай бұрын
Uchaguzi Umekaribia 😂😂 mtalia kila aina ya Machozi Mamae.Kama unapenda wana Bukoba Ungeomba Serikali yk ya au Chama chako cha CCM waondoe Vyeo vya hovyo kama Wakuu wa Mkoa na Wiraya na Warete Serikali za Majimbo ndo yaamue Maendeleo ya Wananchi wao sio Maendeleo ya Wananchi yamuliwe Dodoma
@johnmahu5060
@johnmahu5060 9 ай бұрын
Na bado mtapiga sana magoti 2025 hiyooooooo asnt yesu umewachanganya wenyewe bila chadema ah
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 9 ай бұрын
Chadema walileta nn pimbi ww
@shafyukamugisha5373
@shafyukamugisha5373 8 ай бұрын
mambo saf
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 9 ай бұрын
Wananchi msimuamini mwanasiasa yoyote ata ajigalagaze vp chini kampeni zikinukia ndo mambo yao ao iv bukoba stendi tayali ishajengwa wahaya wenzangu au bado 😂
@stevesungura6789
@stevesungura6789 9 ай бұрын
Kumbe Bukoba wagumu sana kuelewa eh!? Basi ndo maana Bukoba pako hivyo!
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 9 ай бұрын
Yani tutaona mengi sana kipindi hiki na uchaguzi unakaribia Nasemajeee bado hatujaona tutaona saaaaaaaaana
@titusrobert5890
@titusrobert5890 9 ай бұрын
Byabato bukoba ni ngumu ilimhitaji Jpm tu, tumechelewa mno
@amonmethod
@amonmethod 9 ай бұрын
Mbinu za kuomba kura hzo..!! Hakuna kilichofanyika
@jameschubiri9453
@jameschubiri9453 9 ай бұрын
Ww ndo ulisema Tarime vijijini wasilipwe fidia na mgodi Acha na ww ukome
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 9 ай бұрын
Usanii
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 9 ай бұрын
Duh
@georgembise7234
@georgembise7234 9 ай бұрын
Usimwabudu mwanadamu mwenzako!
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 9 ай бұрын
Itakua hujui maana ya kuabudu wewe 😂😂
@user-df5mj2ft4w
@user-df5mj2ft4w 9 ай бұрын
yn apo bado
@ballackmasungura6753
@ballackmasungura6753 9 ай бұрын
Ccm wanajua drama mtu anatetea ugali wawatoto wake akifika bungeni anatetea ccm
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 9 ай бұрын
Wataa kwaeri wabanza kuria kabra ya uchaguzi ndo umefika pore sana c.c.m oyeee
@user-eh4dz9kz3y
@user-eh4dz9kz3y 9 ай бұрын
Mlimdhurumu Chifu Adronicus Kalumuna kura, sasa acha Mungu akuonyeshe dhuluma kuwa ni dhambi
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 9 ай бұрын
Ww mandaz Tena yakalimati jitathmin alikuwa meya alifanya nn
@user-eh4dz9kz3y
@user-eh4dz9kz3y 9 ай бұрын
@@estergordian-vv9jx Chifu usimlinganishe na hizi takataka. Akiwa Meya tena CHADEMA ambapo serikali ya CCM inaminya pesa, alifanikiwa kuboresha miundombinu ya barabara nenda mpka kilimahewa, Kashenye, Kahororo, nk. Mradi wa maji mkubwa unaojengwa Kahororo, utu na uungwana ndani ya manispaa haupimiki. Chief kijana mchapakazi, asiyejikweza, mwenye uwezo wa kujenga hoja akasikika popote, usimlinganishe na hawa watia huruma waliobebwa na mfumo. Bukoba haiwezi kuongozwa na kijana arrogant, anayelialia ingali ana mamlaka , mbunge ana mamlaka tena waziri unafika kila eneo, ikulu haubishi hodi, afu uje kulia?? Hiii ni inaonesha kiasi gani dogo ni dhaifu, hachangamani na watu, syo mbunifu, mjanja, mwenye weledi wa kutatua matatizo ya jamii. Kazi hii ni ya mnyamwezi Chifu (mwamba) uliza CCM wakwambie vizuri uwezo wake tangu akiwa mwenyekiti uvccm Hadi Diwani, muulize Kagasheki akusimulie moto wa Chifu
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 9 ай бұрын
Sasa imekuwaje ccm wanalia chadema wanalia wananchi wanalia kila m2 kwa style yake jamen. Ila waitara na silinde walisema walihamia ccm kwasababu ni sikivu mbona naibu waziri huku nalia sijui ndio amesikia anatoa shukrani..
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 9 ай бұрын
Ni aibu kwa Waziri na Mwanasheria kulialia ovyo na kupiga magoti mbele za watu.Hafai.Kama kuna watu wanamkwamisha, si awataje? Kama anawaogopa si awashtaki kwa Waziri wao au hata Rais? Ameshindwa kazi na hapa anataka huruma za watu.Hafai hata kuwa Katibu Kata.
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 9 ай бұрын
Uwe unapokea na simu za watu hasa wenye ulemavu, na yule dada mwenye ulemavu wa bugashani alikuomba scooter 🛵 ukampatia kiti mwendo ambacho siyo msaaada kwake, kwahiyo Mzee milion 5 kwako siyo kitu fanya kitu kwaajil ya yule dada anapitia changamoto kubwa sanaa japo anajituma😢😢😢😢
@explorewithbertin
@explorewithbertin 9 ай бұрын
Mkuu hawezi kusaidia kila mtu aisee....wacha afanye makubwa yanayoweza kusaidia jamii nzima
@gracebuyuya4349
@gracebuyuya4349 8 ай бұрын
​@@explorewithbertin🙏🙏🙏🙏
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 9 ай бұрын
Miaka yote Siasa za Bukoba mjini ni ujenzi wa Soko na Stand ya Mabasi basi.
@ismaelismael1405
@ismaelismael1405 9 ай бұрын
Wahaya mkimkosaga huyu byabato ndio mjifute katika Raman ya Tanzania kimaendeleo.... Kamwe hamtaendeleaga mtabakia hivyo hivyo na roho zenu mbaya
@aminakashoro9430
@aminakashoro9430 9 ай бұрын
Maendeleo yanakuja na gharama zake, tumekubali matokeo mazuri ya kimaendeleo.
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 9 ай бұрын
Duh...😂
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 9 ай бұрын
Wew uyu anariria madaraka ameona mudawake umekaribia kuisha
@Denis-f5m
@Denis-f5m 9 ай бұрын
Mh Byabato unatosha mitano tenaaa ccm mbele kwa mbele 🔥🔥
@StevinKiwili-gh3kg
@StevinKiwili-gh3kg 9 ай бұрын
Unapwaya sana iki kiti alisitahiri chifu karumuna
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 9 ай бұрын
Kakosa ukomavu wa kisiasa!Too emotional Anasema muda wa siasa bado wakati alipo anapiga siasa.(so contradictory). Kiongozi lazima uwe jasiri, shupavu, ujiamini na kujisimamia, upime nini cha kuongea unaongea na nani, wapi na wakati gani. Hutakiwi kuwa na mihemko, jazba na hamaki. Kama ndiyo wabunge tuliokuwa nao wa kulialia na kutafuta sympathy kama akina Waitara basi watanzania tuna kazi!
@chachawambura811
@chachawambura811 9 ай бұрын
Nilijua hatamaliza bila kuweka misifa ya kumiliki V8!
@jellymbogo7246
@jellymbogo7246 9 ай бұрын
Haya maigizo sana,hawa inatakiwa 2025 iwe fundsho
BYABATO AELEZA SABABU ZA KUKWAMA WA UJENZI WA STENDI NA SOKO BUKOBA
9:33
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Dangote Refinery Saga Exposing Nigeria To 'Unbelievable' Ridicule, Says Falana
16:24
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,3 МЛН
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
NAPE AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE "ULIKUWA NI UTANI"/"MNISAMEHE"
1:57
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 4,1 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН