Wasafitv ni ndoto yakila mwandishi wa habari ya mtanzania 🎉🎉
@FahadAbubakari4 ай бұрын
Sio BBC au voice of America
@omarymnuru87464 ай бұрын
Namkumbuka sana Mussa Kipanya...nakumbuka miaka ya elfu 2... kulikuwa na Media TV inaitwa C2C ilikuwa inatafuta watangazaji..wakaitisha mashindano ya kumtafuta mtangazaji... mshindi wa kwanza alikuwa Amri mwana wa masale wa ITV, mshindi wa Pili ni Mussa Kipanya...mshindi wa tatu na wa nne simkumbuki ila mshindi wa Tano alikuwa ni Zamaradi Mketema...Nami nilikuwa miongoni mwa washiriki wa shindano
@justinemagige14394 ай бұрын
Good memory
@MatandiMatandi4 ай бұрын
Ninakukubari kipanya.Mm ni mshabiki wako.Pale upo na chumvi,na minyama ni timu ya hatari,sana.
@Jeff_Tz4 ай бұрын
Naomba kuuliza je huyu ni ndugu yake Masoud Kipanya au.....?
@EricaBizuru-jp9by4 ай бұрын
Naomba nikujibu japo Sina uhakika..,Inasemekana kua huyu mussa alipenda to kutumia Hilo Jina coz alikua anampenda Masoud kipanya
@Kabeya4104 ай бұрын
Ndiyo ndugu yake kabisa mtu na mdogo wake
@EricaBizuru-jp9by4 ай бұрын
@@Kabeya410 Aah sawa
@JosephMilinga-nl4zh4 ай бұрын
Awana undugu wowote yeye mwenyewe alishaliongele ilo@@Kabeya410
@Rizikialiamechannel7634 ай бұрын
@@Kabeya410wamefanana vooo
@pendothomas78854 ай бұрын
Mbona anamuwekea Mungu mipaka ? Acha Mungu aamue wapi unatakiwa kuwa kwa wakati gani.
@martinjosephat46944 ай бұрын
Media kukua. Imaongeza watu😊
@beatricemshiu28164 ай бұрын
Daah Diamond anachofanya ni dhambi😂
@Zainab-sq1tc4 ай бұрын
Yule bonge na zungu na Charles cjui nan yuko wako wap
@Rizikialiamechannel7634 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wallah tatizo watangazaji ndo wanautana
@PaulEbby-n4r4 ай бұрын
Sasa Utazeekea Wasafi na Wakikufukuza je?!😂😂😂
@halimamasai22344 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@EricaBizuru-jp9by4 ай бұрын
Atakuja umuajiri wewe au vipi
@joezeno84 ай бұрын
Anaanza uchawa mapema
@halimamasai22344 ай бұрын
@@joezeno8 🤣🤣🤣🤣
@GeorgeAkasha-zx2rj4 ай бұрын
Amesema anaamini....elewa neno anaamini.
@omanoffroadriders7474 ай бұрын
radio zote tunazipata online nyie wasafi sjui mnafeli wapi wekeni redio yenu tunein au app zingine za redio walio nje ya tz wawapate kirahisi crown imeanza juz tu iko online
@CholoMwamba4 ай бұрын
Mbona inapatikana
@zenooernest183 ай бұрын
Duh ila diamondplatnumz
@roudhamahmoud7634 ай бұрын
Salma dakota 🎉🎉🎉🎉 wewe ni mrembo
@jeremiahcharles60274 ай бұрын
Huyu ni mtoto wa masoud kipanya??
@GeorgeAkasha-zx2rj4 ай бұрын
Hapana
@jeremiahcharles60274 ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj mbona wanafanana
@GeorgeAkasha-zx2rj4 ай бұрын
@@jeremiahcharles6027 Hawana undugu wowote boss.Yule masoud kipanya kwanza jina la ukweli hakuna hata kipanya ila alipewa tu kutokana na uchoraji wake katuni.
@jeremiahcharles60274 ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj nashukuru kaka kwa kunifahamisha
@joshuamuro94944 ай бұрын
@@jeremiahcharles6027nimdogo wake wadamu!
@EvancFranz-wl6qw4 ай бұрын
Mlete habari za ukweli so mlete uchawa kama kitenge
@zuwenasalim27944 ай бұрын
Nasubir ufukuzwe urudi EFM 😂😂
@EricaBizuru-jp9by4 ай бұрын
Hivo kumbe unadhani Huwa wanafukuzwa !!😂😂😂pole mwaya