Inaonyesha huyu mlilo nimiongoni mwa watekaji mana kauli zake zinaleta ukakas pia ninacho kielewa Tanzania hatuna jeshi tunakikundi kimejivisha elementi ya kijeshi lakin kazizao ni kazin zao ni majambaz kiujumla tuna majambaz hatuna jeshi mungu ndo anajua
@EmmanuelSimion-d3e9 ай бұрын
Mh!
@seifdisail30072 ай бұрын
Kweli kaka wala usigune...@@EmmanuelSimion-d3e
@BenedictMaganga-c9u2 ай бұрын
Huyo mliro mwenyewe mtekaji
@fdizzo10 ай бұрын
Jeshi letu La polisi ni janga Aisee sijui limepatwa na nini!!!? Weledi sifuri. taaluma ukichanganya na siasa ni umekwisha masood kipanya uko vzr Sana kaka pamoja na team yako msichoke endeleeni ivoivo na endeleeni kuwaalika tuone panapo Vuja.
@ibrahimomari245810 ай бұрын
Hakuna kazi ngumu kama kutetea uongo...
@abigailbabalwatyatyeka18162 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SalmanMughal-lq5lt2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Abdul-nb3jl2 ай бұрын
Nimeipenda hii ❤
@mikidadichisala613610 ай бұрын
Kama huyu anaetoa majibu hapa ni jeshi la polisi basi tunayo kazi kubwa
@RaysonMtui2 ай бұрын
Kwa heshima ya jeshi la polisi,lhivyo vyeo leo hii visingekua vya kwake,mabega yangekua meupe kabisa,majibu anayotupa na maswali alioulizwa ni tofauti,anakwepa kujibu swali anatoa tu mifano.Masoud uko vizuri big up
@nurumussa91076 ай бұрын
Kaka masoud umeuliza swali zuri Sana lakini Cha kusikitisha halijatolewa majibu sahihi, tunamuamini kamanda wetu mulilo na tunaipenda kazi yake hivo ni vizuri alichukue Ilo swali na kulifanyia kazi. Asante
@lizp682610 ай бұрын
Hamna kitu hapa Hana analojibu, mbambamba nyingi
@JohnsonBagambi10 ай бұрын
Kama ujawai kupelekwa police uwez kujua omba yasikukute et uchunguz yani! mungu atusamehe
@DonMooSTUDIO_Express10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Snuky5410 ай бұрын
Masha Allah masoud umeuliza swali zuri sana
@mayungarichard744310 ай бұрын
Masud uko vizuri sana
@joycembogo78702 ай бұрын
Safi sana kipanya umemuuliza maswali maxuri sana
@chotachammy69402 ай бұрын
kazi kazin Mungu atusaidie Mifano yenyew hata haina uhusiano😢
@joshuakasemelo16752 ай бұрын
Mlilo ana maanisha askali wake akitajwa kwautekaji yeyeanaandika kwenye failizake kwamba asikali siku hiyo alikuwa ametumwa mkoa furani ,hapo huyo anachunguza nini,ona anavyopindisha hoja watanzania tutaisha
@sophiapatrick482410 ай бұрын
Hajajibu maswali anayouliza anakwepa
@yokoi397010 ай бұрын
Hakuna kitu hapa aibu tu
@RemmyMringo10 ай бұрын
Uchunguzi wa nn na unamchunguza nani acheni usaninii hata kamanda ana familia kazi yako isiwe laana kwako
@soudmaulid19242 ай бұрын
Afande Muriro ni bonge la afande,msomi na anafanya kazi kwa weledi,hata the way anavyojibu maswali ni kisomi zaidi. Hapa tuna kiongozi.Hongera sana Afande Muriro.
@allyomary227110 ай бұрын
Hongera sana kamanda murilo ila kwenye jeshi la police kuna tatizo kubwa sana hujma za ubambikiaji kesi kwa raia umekuwa kwa kasi sana chunguza hilo na chukua hatua
@RizwanAbdallah3 ай бұрын
Maswali na majibu nivitu tofauti au Sina uwelewa
@matalo05512 ай бұрын
Natamani kujua Elimu ya Kamanda huyu, mana ninamashaka nae.....mana haelewi anachoulizwa
@avitusmwemeziandrea731710 ай бұрын
Hakuna anachojibu afande, anazunguka tu. Swali liko wazi, kwenye hali ambayo askari anatajwa jina nini kinafanyika? Hatoi jibu, anazunguka.
@knight675710 ай бұрын
👀
@JohnsonBagambi10 ай бұрын
Kaz ya hawa watu ni changamoto
@navioma48823 ай бұрын
Huyu bwana anakua kila kitu kinachoendelea😢😢 ila Mungu yupo
@EmmanuelSimion-d3e9 ай бұрын
Haya mambo bhana MUNGU atusaidie tu!
@jackmabirangacharles939810 ай бұрын
Huyu.Bwana ni Mropokaji na Hana Jipya ana Linda Jeshi lake
@altonkanjolonga23802 ай бұрын
Safi sana Masoud Ally Nyomwa
@maulidsumbuka61572 ай бұрын
Mungu wa haki Tunaomba ikikupendeza...........raajuun
@mage53712 ай бұрын
Dah Mungu tusaidie tujue kwamba upo hata km huonekani kimwili🙏
@bimumaulid117110 ай бұрын
Afande mbona anazunguruka tuu zuieni hicho kiti kwanza tuelewane
@sadiqadam797110 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@lifeofbeed_221610 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah
@joycemkeka376910 ай бұрын
😂😂😂
@franknzowa2210 ай бұрын
Afande hapo naona kama Masoud Kipanya hajapata alichokuwa anahitaji hapo
@suleymanimixkatafighter26692 ай бұрын
Hatuna taarifa za kutosha ila tuliowaamini na kuwathamini na kuwaona polisi ni sehemu ya ulinzi ila imani yetu kwao inatoweka kabisa wanatakiwa kuwa smart sio kutumia nguvu na vitisho sisi tunawathamini na kuwaheshimu na ni kweli kazi yao ni ngumu na wanapitia changamoto nyingi ,.Tunataka kuona ubora wa kazi zao na maarifa makubwa kuna sehemu hekima inahitajika sio nguvu
@mikemutabuzi366510 ай бұрын
Je afande anatushauri kwamba watakaokuja kuchukua watu wananchi waungane wawadhibiti kama hawatatoa vitambulisho?
@FrankMushi-cs5js10 ай бұрын
Yani katika watu siwapendi duniania ni polic wa tanzania maana awana hutuu kabsa alfu awa viongozi wao wanawatetea sana ila ingekuwa rahia kampiga polic yani watakamata mtaa mzima awa awana maana kabisaaaa
@AbelnegoChali2 ай бұрын
Masoud ❤❤❤
@abubakarsuleman198310 ай бұрын
Uyu afande kisisiasa zaidi
@qonquererqanquerer17819 ай бұрын
Naam Kabisa
@isackignas175210 ай бұрын
Tuendelee kushika tama
@claudiajames200310 ай бұрын
Kusema kweli Mimi binafsi huyu kamanda huwa simuelewi maana naona kama ana udhaifu katika kusimamia watendaji wake,ye naona amebase katika siasa tu sio kuangalia majanga yanayosababishwa na jeshi la police Kwa wananchi!
@EmmanuelSimion-d3e9 ай бұрын
Kuna kitu kinaitwa Leadership (kiukweli kwa Tz viongozi wa Umma wanatakiwa kulitendea Haki hili NENO hasa Jeshi LA POLICE TANZANIA)
@alexlazoro35302 ай бұрын
Afande mrilo unatoa majibu mepesi kwenye watu ambao kwasasa wanauelewa mkumbwa sana unatuona watanganyika niwajinga sana wa kudanganya
@kadrimwingamno2582 ай бұрын
Amakweli uongo wa polisi sio ukweli wa raia. Polisi ni chombo Chenye nguvu sana katika Jamii. Na wasii vijana wangu ambao wapo katika jeshi la polisi kueni waadilifu. Kwani kesho yenu amujui... Mwenyezi Mungu anawapenda wanaofanya uadilifu.
@propKibali2 ай бұрын
Semea hapa, South Africa kufanya nn ilhali ya hapa yamekushinda?
@FocusmachumuMwizarubi2 ай бұрын
Hawa police watanzania tuchukuwe hatua kwa hawa police kwani tunaishi nao na sisi tukawauwe watoto wao na wazazi wao
@peterkisanga80892 ай бұрын
Next please
@captenndunga67453 ай бұрын
Bado hujajibu swali mzee acha kupuyanga
@RemmyMringo10 ай бұрын
Una jua kabisa musa aliko kwa haya mahojiano rpc dar
@dizangetv73062 ай бұрын
Tupige kula je jeshi la polisi lina faida gan kwa wananchi Kwa faida ya nani Kwa masrah gan😢😢😢😢
@saidmasoud77012 ай бұрын
Salute mwandish
@shabaniiddi5103 ай бұрын
Yana awa jamaa wanajiona jiona sana sema mungu yupo ipo siku moja watapata uchungu ety watu wameenda South africa alafu wamebadilisha majina sasa ndio nn ww yanakuhusu nn wao wakibadilisha majina yao
@abubakaranwar3372 ай бұрын
Atuna ima na polisi wa Tanzania ni kama majambazi
@vicentlyimo597410 ай бұрын
Mmmmmh tunachamoto kubwa kwenye jeshi letu la police
@kaslali203910 ай бұрын
Afisa ni dhaifu mno ktk kazi yake, anaonyesha uwezo mdogo sana ktk kuelezea kiupolisi hana uwezo wa kuwa mkuu wa police anaeleza kisiasa kabisa
@rafaelmbaga65432 ай бұрын
Duu kazi ipo
@AnaniaMmari2 ай бұрын
Masud umeliza kweli 🙏
@joannoel-g3r3 ай бұрын
Dah aisee Mungu tu aingilie kati viongozi wetu wawe na busara juu ya haya malalamiko ya wananchi kuna vitu vinajengeka kwa jamii vitatuathiri baadae
@Maarifasnr-gu6dp2 ай бұрын
Bro masoud fanyeni mumpate waziri wa mambo ya ndani aje ajibu yote hayo ila kesi ya ngedere kumpelekea nyani .....
@Josephmwambe-r6n2 ай бұрын
Naamini mungu yupo na kila nafsi itaonja umauti aya yote mapito ya kesho. Mana ukipandacho duniani utavuna mbinguni mn naamini kila chozi la mnyonge litapata uponyaji kwa mungu. Muchungaji bola ni yule anaye wapa machungo bora mifungo yake bila kuwatesa
@jimmyhabarugira423210 ай бұрын
Haja jibu swali la Masud Kipanya Naona anakwepa swali 🤣
@MagrethMallya-we8ui10 ай бұрын
Masoud muulize mpaka akujibu.😮😮😮
@RadslausKiwona2 ай бұрын
Izo nafas za connection
@asteriashios18522 ай бұрын
Muliro unazunguka mbuyu sema ukweli mungu anakuona unafahamu Siri yote ya mauaji na utekaji sisi siyo watoto wadogo
@charlesmoshi198310 ай бұрын
Kuna mtu amesema askari fulani tunamjua na kulikua na cctv camera
@hassankidilikia55663 ай бұрын
Bounjour broo t ‘res bein
@MashakaShobo-cs5wj10 ай бұрын
Kipanya unaokomavu sana kwenye utangazaji hongera ila huyo afande ni siasa tu
@petermgaya969310 ай бұрын
Mm kwangu Power break fast ikiisha nafungaga radio
@ramadhanimrungu58063 ай бұрын
Kamanda mbona maswali unayoulizwa tofauti na majibu unayotoa
@NyasanaTv-ol4ix2 ай бұрын
Shida polisi mkiwa mnakamata mhalifu hamkubali kupigwa picha kwanini hamuoni hiyo mnapoteza ushahidi toeni elimu kwa watanzania pindi wanapotaka kukamatwa
@Princewaweru10 ай бұрын
Jeshi la police ni bado kizungumkuti
@BarakaWilliammwaka-ei3cb10 ай бұрын
❤ penzi nitamu endapo unaependa munaelewana
@onesmomwakasege52152 ай бұрын
Duh!!!
@OmbeniLuka10 ай бұрын
Kwa kweli kamanda hajajibu maswali
@ZuberiMjanja2 ай бұрын
Tunaenda wapi jamani mbona ss niwaamani kwann tusiezi amani yetu ,mungu ubariki tz nawatu wake emungu waazibu wanao ua watu bila hatia i
@starjay30522 ай бұрын
sisi tulichokiamua police 👮 akija mtani kwetu aondoki na mtu labda aondoke akiwa oi au amekufa sababu atuwezi kukubali ujinga huu sababu anaulizwa swali lengine anajibu swali lingine kabisa
@NyasanaTv-ol4ix2 ай бұрын
Tanzania raia haruhusiwi kua na smg ni polisi peke yake kama sio police ni nani anae miliki silaha kama hizo basi kinacho takiwa toeni elim kwa watanzania iweje akija kukamatwa ajilizishe vip kua hawa ni polisi kweli
@youthmediatv110 ай бұрын
Duh
@MiriamKalipa10 ай бұрын
UYO mlilo muongo kashindwa kukujib Na awezi kujibu ata akijatena apo studio
@nurumohammed13102 ай бұрын
Kaka masoud umemuuliza swali zuri lkn majibu yake ya kujitafunatafuna masoud kazi ipo samia na jeshi lake
@dentomedicalresourceslimit46022 ай бұрын
Mifano ya Kamanda ni mepesi sana. Haina mashiko.
@Its_Goodluck10 ай бұрын
Safari ni ndefu sana na hata robo atujafika
@feezdidthis22202 ай бұрын
Niko bar las Vegas 😆
@msukumamnywamaziwa27853 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@yusuphmruma17712 ай бұрын
😂😂😂😂 sawa kaburi la kila mmoja lipo karibu sn
@victorsanga22293 ай бұрын
Jeshi la polisi limeoza
@LukioMateruh6 ай бұрын
Amnaa majibu sahii apoo
@ashurakhamis57872 ай бұрын
Ss mbona anaongelea mada nyingine
@bakarimahenge10 ай бұрын
sasaivi tuwetunawapiga picha wakikamata mtu ili wakikataa tunawaonesha picha
@Aziz-p6s6 ай бұрын
Ndio dawa
@KenedyMboma-zb4cq2 ай бұрын
Minajiuliza inamaana wakubwa wainchi nawao wanasali waende mbinguni kweli! Naona wamehahau Dunia nipakupita tumkumbuke mungu jamani!
@thejoeclassicsoldier2 ай бұрын
Je "Alibi" nini?
@IbrahimAbdallah-z2z2 ай бұрын
😂😂😂 kamandaaaaaaa anyway uchunguzi bado unaendelea
@jonakajigili699110 ай бұрын
Afande mwanasiasa
@starjay30522 ай бұрын
sasa sativa alifanya tukio gani mbaka mkampeleka kalakana
@jacksonsilaa41510 ай бұрын
Tutachukua picha kila tukio la police arrest report.
@MartinMwasyeba3 ай бұрын
Hawawezi jichunguza.
@JosephMwaipopo-px4wi2 ай бұрын
Bas ilikuwa haina haja ya kuzuia maandamano mngewasikiliza waandamanaji ili muwasikilize mpate taaliza ambazo pengine zingewapa ukweli juu ya hao wanaotajwa, kuliko hii ya kuzuia, inaleta sintofahamu,
@denisntinabo401810 ай бұрын
Afande anatamani nipindi kisirushwe😂😂😂
@FortuNyimbo-u8u3 ай бұрын
Fax ni nini jamani
@SuperBablii2 ай бұрын
😂
@yonawilliam94192 ай бұрын
Yani hawa wamebaki na mavazi tu lakini si kazi. Naumia sana kwa yanayoendelea. Waandishi mnatakiwa kujua uchunguzi hufanyika kama muhusika ni CCM ila raia wa kawaida ambaye hajihusishi na shuguli za CCM hanaumuhimu. Hapo nakubaliana na kauli za baadhi ya makada wa CCM wanaosema kesi ya mwanaCCM na wengine ni tofauti inaonekana kabisa.
@isaiahmakenzi92432 ай бұрын
Duh Hamna kitu hapo ujanja ujanja tu
@ThomasMmary-r7w2 ай бұрын
Daaaah so p😢ainfully
@Jamillaglivrwsd1org2 ай бұрын
Leo mtekaji mkubwa anaojiwa 😂😂😂
@hubman678010 ай бұрын
Mara nyingi serikali na majeshi Huwa na lugha zao kikazi
@PhilipoMasaga2 ай бұрын
Majibu mepesi kabisa anatoa kamanda ila naisi wao Awana Mungu awa jamaa wanajipa cheo Cha mtoa roho utazani wao hawatakufa kumbe apa duniani wote niwakupita tu ifike mahari Viongozi mumuogope Mungu.