Sasa GPS Ina drop sangapi mbona nikama muna nifanya mutumwa wa simu
@mussaibony21485 ай бұрын
❤❤
@shyfettymtunda46195 ай бұрын
Sa' Masanja atagombana na nani jamani kule EFM😂😂😂
@faidhamyovela1795 ай бұрын
😂😂😂efm ina week 3 haisikiki mikoan nae majjzzo khaa redio haip hewan week 3
@GabrielSky645 ай бұрын
Soon Sky anatasiriti Kampuni yake 😅😅nae tutamuona Wasafi or Clown pesa uhamisha mto
@lisawilliam24915 ай бұрын
Duh
@GabrielSky645 ай бұрын
Kumbe Junior Nikajua senior. Tuanze kumsema
@haidhabushiri95585 ай бұрын
Huyu ni mdogo wake MASUDI kipanya?
@WaziriRamadhan-ML5 ай бұрын
Kweli biashara mashindano
@BenjaNetanyahu5 ай бұрын
👍
@AnjelMwaluka5 ай бұрын
GPS vp jaman
@SADIKIMAPESA-yn7mo5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jonathanmwanja39945 ай бұрын
One day wasafi watachukua sky kutoka sns
@isabellamichael10255 ай бұрын
😂😂😂
@aaa64sa135 ай бұрын
😂😂 pesa ndio kila kitu na amna kisichowezekana
@BigZhumbe5 ай бұрын
SnS sio competitor wao 😂
@beatricejoseph23475 ай бұрын
Sns akichukuliwa kwenye media nyingine atakuwa ameshuka ngazi ,Anajitosheleza hapo alipo.
@nellymtambo84325 ай бұрын
Sky awezi kwenda
@allykwaya5 ай бұрын
Tutaandamana kabisaaaa😅
@paulmwandoe39595 ай бұрын
Kipanya Musa kaka buraza
@Mariam-fm8vq5 ай бұрын
Wahamaji watatulia kaburini tu hawa😂
@yusufsong79935 ай бұрын
Anaenda kufifia uko ata sikika tena kama mwenzake
@Anthonyzombie-d2s5 ай бұрын
Hiz midia ilimnyanyasa San mondi enz ana haso Leo anawanyoosha ,malip hapahap dunian
@HalimaKassim-yz3we5 ай бұрын
Weka nombar uone ni wangapi tuna kupenda
@geoufo28585 ай бұрын
🎉
@MrTop-wj7no5 ай бұрын
Daah hii Wasafi sio poa
@innocentijames65605 ай бұрын
Wasafi 😅
@homeandaway28115 ай бұрын
Majizo kashindwa vita, labda amlete mume wa Samia sasa😂
@efronaaron67725 ай бұрын
😂😂😂😂
@rehemarwanda60395 ай бұрын
Mmmmh......E-fm 😢
@prudentjm30395 ай бұрын
Business
@jeremiahcharles60275 ай бұрын
Mbona anafanana na kipanaya ,ni mwanae au
@stanslauschatata34835 ай бұрын
hivi musa ni ndugu wa dam na masoud??
@lswai67775 ай бұрын
Asije regret
@RomanMwinyi5 ай бұрын
Yan mashoga wana frai kutoka efm mtangazajii sasa sijui wana flai nn
@HASSANBAKARI-q9c5 ай бұрын
HAKUNA MTANGAZAJI ASIYEPENDA KUFANYA KAZI WASAFI; VIJANA WENGI NDO WAKO HAPO; AFU UNATENGENEZA JINA ;;UKIONA MTU KARIDHIKA JUA KATULIA ANASUBIRI OFA;;;KWANI KAANZA LEO UYO?? NGOJA AINGIE MUONE
@aminatanzanya74755 ай бұрын
Nikajuw Masoud kipanya au ndugu hawa. Mweny pesa sio mwenzio
@Kibaadvocate5 ай бұрын
Mdogo wake
@zuwenasalim27945 ай бұрын
Masanja itabid anichukuwe mm anionee
@mr_kajomba_og57195 ай бұрын
Masanja s iujui atakuwa anampiga Nan makof
@RamadanPaul5 ай бұрын
Wasafi sasa ni media kubwa kuliko clouds media.
@NeemaMushi-wj1zn5 ай бұрын
Haiwezekani clouds brand kubwa we're acha kutudangany
@RamadanPaul5 ай бұрын
@@NeemaMushi-wj1zn hebu thibitisha ukubwa wake. Kwa sababu hata wafuatiliaji wasafi ni wengi kuliko clouds fm. Hata mawimbi na masafa ya wasafi yapo juu kuliko clouds fm. Thibitisha hoja yako kwa ushahidi shadidi .
@homeandaway28115 ай бұрын
@@NeemaMushi-wj1zntofautisha brand na media, sasa brand kubwa inasaidia nini kama watazamaji wa vipindi wanashuka kila leo?
@OfficialA836405 ай бұрын
Mbona hawajamfanyia promo😂😂😂😂
@MrTop-wj7no5 ай бұрын
Duuh umeona msafara wake??
@OfficialA836405 ай бұрын
@@MrTop-wj7no hapana naonaga zile kashkash zao kila page